JUA NAMNA YA KUVUKA VIZUIZI - PASTOR SUNBELLA KYANDO & PASTOR JOHN SEMBATWA

  Рет қаралды 58,969

Reality of Christ Church

Reality of Christ Church

3 жыл бұрын

Yoshua 6:2
[2]BWANA akamwambia Yoshua, Tazama, nimeutia Yeriko katika mkono wako, na mfalme wake, na mashujaa wake.
Wakati Mungu anampa Yoshua maelekezo haya walikuwa bado hawajaingia Yeriko,lakini Mungu anamwambia kuwa ameshautia mji wa Yeriko katika mikono ya Yoshua.Watu wengi huwa tunaishia kusikiliza tu Mungu anasema nini juu ya maisha yetu na hatutafuti kwake kujua anataka tufanye nini ili tuweze kuona matokeo ya alichokisema.
Baada ya kumwambia Yoshua hivi anampa maelekezo juu ya kuuzunguka ukuta kwa siku Saba na kisha kushangilia siku ya Saba na ukuta utaanguka.
Safari ya kuuzunguka mji huwa sio rahisi kuna wakati unachoka.Ni kama ambavyo unaomba sana lakini matokeo huoni maana hata ukuta haukuanguka siku hiyohiyo.Siku ambapo ukuta unatakiwa kuanguka(siku ya Saba) walitakiwa kuuzunguka mara saba.Ni siku ambayo walichoka zaidi na waliumia zaidi lakini katikati ya uchovu na maumivu ndimo ulimokuwa ushindi wao.
Unaweza ukawa unaomba sana lakini huoni matokeo,na kadri unavyoomba ndivyo ambavyo vitu vinazidi kuwa vigumu.Usikate tamaa maana ndio upo kwenye mzunguko siku ya saba,ushindi wako unakaribia.Umezunguka siku sita zote,usikate tamaa siku ya saba.
Katika ibada hii Mungu kupitia Mtumishi wake Pastor Sunbella Kyando ametufundisha sana juu ya kuanguka kwa ukuta wa Yeriko,kisha tukaingia katika maombezi ambayo yaliongozwa na Watumishi wa Mungu Pastor Sunbella Kyando pamoja na Pastor John Sembatwa na Mungu alithibitisha Neno lake kwa ukubwa sana.
UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
Like our Facebook: / therealityof. .
Follow our Instagram: / realityofch. .
Subscribe our KZbin: kzbin.info/door/67L...
Also Subscribe Roc worshippers youtube channel: / @rocworshipperz

Пікірлер: 77
@JumanneAlly-p6e
@JumanneAlly-p6e 5 күн бұрын
❤Yesu ni mwema
@emmanuelbernard8628
@emmanuelbernard8628 3 жыл бұрын
Amen I receive it 🙏🙏
@joycejoseph7110
@joycejoseph7110 Жыл бұрын
Hakika Mungu anakutumia endelea kutuudumia nabarikiwa sana na mafundisho yako 🙏
@rusiwadonatrusi3603
@rusiwadonatrusi3603 2 жыл бұрын
Asante mtumishi kwa somo nzuri Mungu akubariki
@catherineaugustine7124
@catherineaugustine7124 Жыл бұрын
Nisaidie Mungu wangu
@angeljoseph4666
@angeljoseph4666 Жыл бұрын
Amen
@jeanclaudeniyonkuru5889
@jeanclaudeniyonkuru5889 2 жыл бұрын
Nabarikiwa sana, Minister asante
@peninaancon1256
@peninaancon1256 3 жыл бұрын
Ubarikiwe Pst!.. Somo hili limekuja kwa wasaa mzuri kwangu na naamini ni Roho wa Mungu ametaka aseme na Mimi. Nimelisikiliza Jumamosi ya Jana ya tar. 10/7 kwa Pst. Sanbella na Jumapili Leo ya tar. 11/7 Mchungaji wangu (Kanisani) amelifundisha nae na nikamshangaa Mungu sana.. Ndio nimepata kufahamu linapatikana toka Commentary ya Matthew Henry na Dake Study Bible.. Barikiwa sana!..
@gladysiame
@gladysiame 11 ай бұрын
Yesu naomba univushe katika Kila vizuizi vinavyonizuia nisimiliki vilivyo vyangu ndoa,uchumi na elimu 🙏
@catherineaugustine7124
@catherineaugustine7124 Жыл бұрын
Natamani kujua na kuelewa SoMo.hili, Mungu unisaidie na uniwezeshe,Mungu nivushe kwa Damu ya Yesu, 🙏
@emmasidi9446
@emmasidi9446 2 жыл бұрын
oooh yesu 😭😭😭😭😭🤲🤲🤲🤲🙏🙏niko hapa mm mwanao nazunguka ukuta ni kizubiri siku ya saba naomba ukuta ukavunjika kwa jila la yesu maana kuna Yusufu ndani yangu ooooh 😭😭😭😭😭🤲🤲🤲🧎‍♂️🧎‍♂️🧎‍♂️🧎‍♂️niperoho ya uvumilivu ubarikiwe sana mchungaji kwa mafundisho haya umeni gusa moyo wangu
@meshackmanofgod8151
@meshackmanofgod8151 Жыл бұрын
ameeen mtumishi wa mokozi nabarikiwa kutoka dodoma mjini Mimi umenigusa Moja Kwa moja na somohili
@petermunuo1657
@petermunuo1657 2 жыл бұрын
Amen mtumishi
@linetluvisia18
@linetluvisia18 2 жыл бұрын
Napokea Neema ya uongozi katika jina la yesu
@neemaloy889
@neemaloy889 2 жыл бұрын
Napokea kwa jina la Yesu
@murekatetegermaine6559
@murekatetegermaine6559 2 жыл бұрын
Asante sana mcungaji ubarikiwe.
@demarianiccky5812
@demarianiccky5812 2 жыл бұрын
Naomba Mungu anivukishe vifungo vyangu vyote chini ya sauti yako mtumishi wa Mungu
@IreneNdomi
@IreneNdomi Жыл бұрын
Amen MUNGU azidi kukuongeza katika maarifa zaidi ya yake
@salumsamesame1741
@salumsamesame1741 3 жыл бұрын
Amina
@fatemabahlool4357
@fatemabahlool4357 3 жыл бұрын
Ubarikiwe mtunishi
@paulashuma3042
@paulashuma3042 2 жыл бұрын
Amen🙏naomba nipate Kibali kwa Mungu niudhurie tena Ibada.nilishakuja mara moja na nikabarikiwa sana siwezi kusahau ile jumamosi ya miaka zaidi ya 4 iliyopita,Asante sana Mtumishi
@florencendatila9183
@florencendatila9183 3 жыл бұрын
Najiungamanisha na madhabau ya hii napokea na mm
@dicksonmagari8803
@dicksonmagari8803 2 жыл бұрын
Sauti ipo chini sana
@phabianmathew9484
@phabianmathew9484 3 жыл бұрын
Asante baba mchungaji tunabarikiwa
@danstonecool1734
@danstonecool1734 3 жыл бұрын
am blessed with the messages
@mercykimani9741
@mercykimani9741 2 жыл бұрын
Asante sana. Am blessed much servant of God🙏🙏
@irenenanjendo7859
@irenenanjendo7859 Жыл бұрын
Nimependa hizo tips
@Godisgreat20243
@Godisgreat20243 2 жыл бұрын
Amen Amen Amen...,you re a great teacher of the word of God i our days!In every single teaching I can hear God speaks to me!!!Many blessings and long life Dear Paster.
@jefrineliaselias691
@jefrineliaselias691 Жыл бұрын
Nakubari sana mtumishi wa Mungu hakika nafurahi Sana kukufaham
@josephinetumaleo8182
@josephinetumaleo8182 Жыл бұрын
Amen. Amen. Amen.
@happynescostat7420
@happynescostat7420 Жыл бұрын
Wahoo Maubili ya kipekee,nimebarikiwa,🙏🙏
@miraclemoses2327
@miraclemoses2327 2 жыл бұрын
Baba mungu akubaliki sanaaaa Kwa somo Zuli akika mungu anaweza
@jackiemaggy2484
@jackiemaggy2484 Жыл бұрын
Ameeeeeeeeeeeen man of God
@doreenminja291
@doreenminja291 3 жыл бұрын
Asante Mtumishi, Ibada Imenibariki sana
@mildredwekesa5844
@mildredwekesa5844 2 жыл бұрын
Ameen,na barikiwa zaidi mtumishi
@linetluvisia18
@linetluvisia18 2 жыл бұрын
I receive special anointing in all areas of my life
@lucianaemilyo9545
@lucianaemilyo9545 2 жыл бұрын
Ameeen nashukuru ubarikiwe mtumishi wa Mungu ubarikiwe
@jamesoseko6245
@jamesoseko6245 2 жыл бұрын
AMEN
@emmanuelwith1812
@emmanuelwith1812 Жыл бұрын
Amen man of God 🙏
@miraclemoses2327
@miraclemoses2327 2 жыл бұрын
Asante mwana wa mungu Barikiwa baba 🙏🙏
@japhetmkumbwa7914
@japhetmkumbwa7914 3 жыл бұрын
Asante sana eee YESU nisaidie nimalize hili agano lako vizuri
@philipojangama
@philipojangama 3 жыл бұрын
Ameen
@miraclemoses2327
@miraclemoses2327 2 жыл бұрын
Ameni 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@elizabethrichard5185
@elizabethrichard5185 3 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa mungu
@superadventures8060
@superadventures8060 2 жыл бұрын
I bless the name of Jesus christ for letting me know pastor sunbella, your sermon really bless me.
@GodsgloryhasRisenonme
@GodsgloryhasRisenonme 2 жыл бұрын
Amen and Amen!!!!
@francksindano9582
@francksindano9582 2 жыл бұрын
🙏🏾 Amen
@revelationchoir1570
@revelationchoir1570 3 жыл бұрын
Glória
@buchardntare8616
@buchardntare8616 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏
@luhekelondelwa9714
@luhekelondelwa9714 2 жыл бұрын
Amin
@edsonnelson4933
@edsonnelson4933 2 жыл бұрын
Plz msiweke matangazo katikati ya mahuburi yanatudustract
@christinamwakitalima4267
@christinamwakitalima4267 3 жыл бұрын
Thanks God
@doreenmusee6908
@doreenmusee6908 2 жыл бұрын
I begun listening to you thus month as I started asking many que in my life...Thankyou for being God's mouthpiece to answer my que with great power of demonstration
@johnwilbard8326
@johnwilbard8326 2 жыл бұрын
Asante Mungu kupitia mtumishiwako leo umenifaamisha nafasi yangu uliyo niitia katikafamilia na ninahamini yeriko iliyakuwa inazuia kufikia atima yangu imeanguka kwakuzunguka malasaba kitanda changu Kama ukuta imeanguka ktk jina la YESU
@mgallason...5686
@mgallason...5686 2 жыл бұрын
Masomo mazuri ningeshauri mafundi Mitambo waki upload youtube wahakikishe sauti inakuwa ya kutosha. Nawapenda sana.
@japhetmkumbwa7914
@japhetmkumbwa7914 3 жыл бұрын
Powerful speech Mungu nijarie kupitia YESU njia yangu
@samuelkoina9468
@samuelkoina9468 3 жыл бұрын
God be glorified
@florencendatila9183
@florencendatila9183 3 жыл бұрын
Ameen Barikiwa mtumishi
@jesusdiscipleonlineboardec9052
@jesusdiscipleonlineboardec9052 3 жыл бұрын
🙏
@happinessakim2679
@happinessakim2679 3 жыл бұрын
🔥🔥🔥🙌🙏
@rebeccafjumathankssomuchgo8243
@rebeccafjumathankssomuchgo8243 3 жыл бұрын
Amen past and shallom,
@loveandnature2821
@loveandnature2821 2 жыл бұрын
ASANTE YESU KRISTO UMEANGUSHA KUTA
@japhetmkumbwa7914
@japhetmkumbwa7914 3 жыл бұрын
Nitotoleke Kwa Nina LA YESU hamuna ukingo wala ukuta utanizuia
@thomaspapy3519
@thomaspapy3519 2 жыл бұрын
Amen Amen Amen
@juliethbhoke1710
@juliethbhoke1710 3 жыл бұрын
🙏🏽🙏🏽
@alicemalle8974
@alicemalle8974 3 жыл бұрын
Jina la bwana libarikiwe....naomba anaeweka maandiko ya biblia ajaribu kukuza fonts
@dr.sarahbusongo
@dr.sarahbusongo 3 жыл бұрын
Shalom Mtumishi... Hili kanisa lipo Dar sehemu gani?
@ledamussa30
@ledamussa30 3 жыл бұрын
Lipo Sinza Mori karibia na Tamwa, huku maeneo ya kwa LA chaz
@realityofchristchurch
@realityofchristchurch 3 жыл бұрын
Kanisa lipo Sinza mori 0657173322
@salumsamesame1741
@salumsamesame1741 3 жыл бұрын
NAAMINI NAPOKEA UTUKUFU HUU KATIKA JINA LA YESU KRISTO
@elfridamsuya6158
@elfridamsuya6158 3 жыл бұрын
Amen
@ambelembogela7254
@ambelembogela7254 2 жыл бұрын
Thank you man of God
@rehemakilibwa714
@rehemakilibwa714 3 жыл бұрын
Amenii
@lolamhanuzi410
@lolamhanuzi410 3 жыл бұрын
🙏
@christinesavai884
@christinesavai884 2 жыл бұрын
Amen
KWANINI HAVITOKEI KWA WAKATI (I) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:03:05
Reality of Christ Church
Рет қаралды 30 М.
TAMBUA MLANGO USIOFUNGULIWA NA MUNGU - Min. Sunbella Kyando
1:08:00
Reality of Christ Church
Рет қаралды 33 М.
БАБУШКИН КОМПОТ В СОЛО
00:23
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 17 МЛН
Inside Out Babies (Inside Out Animation)
00:21
FASH
Рет қаралды 17 МЛН
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 196 МЛН
Uelewe ulimwengu wa Roho Ufanikiwe katika Maisha II
32:15
Reality of Christ Church
Рет қаралды 18 М.
KUSHINDA ROHO YA USINGIZI NA UZITO || PASTOR GEORGE MUKABWA
1:39:05
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 119 М.
Favour For Generation Impact
3:08:21
Pastor Tony Kapola
Рет қаралды 4 М.
ROHO YA UMASIKINI - PASTOR SUNBELLA KYANDO
30:52
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 76 М.
KILIO HUJA USIKU  NA FURAHA HUJA ASUBUHI
1:04:04
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 2,4 М.
NYOTA YANGU - PASTOR SUNBELLA KYANDO
26:23
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 1,4 М.
MAOMBI YA KUTAMKA | PR. DAVID MMBAGA (OFFICIAL VIDEO)
1:12:09
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 53 М.
MATESO YA FAMILIA - VI (MAOMBEZI)- PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:35:59
Reality of Christ Church
Рет қаралды 17 М.
Financial Deliverance II
3:53:21
Pastor Tony Kapola
Рет қаралды 9 М.
MIGUU ILIYOHAMISHWA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
58:50
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 41 М.
БАБУШКИН КОМПОТ В СОЛО
00:23
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 17 МЛН