NILIFUNDISHA HIVYO SIKU MOJA NILIPINGWA SANA, HUO NDIYO UKWELI BABA ULE MUUJIZA AU KUA WA MUNGU. DAH BARIKIWA SANA
@NeemaMgaya-ez9un10 ай бұрын
Amina mtumish ubarikiwe wengi tunapona
@Wekesa-m1u Жыл бұрын
Mafundisho mazuri sana mungu akubariki sana
@angeljoseph4666 Жыл бұрын
Tatamani aya mafundisho ambayo unafundisha yawafikie dunia nzima, unafundisha vizuri sn,Mungu akuweke baba
@collinsgabriel3090 Жыл бұрын
Amen ufunuo wa hali ya juu sana
@jefrineliaselias6912 жыл бұрын
Mimi nakupenda Sana Mtumishi Sanbella hakika wewe ni Mwalim
@tatukadope72132 жыл бұрын
Amen mtumish nataka kupitia kwenye mlango wangu sahihi unamafundisho mazur
@patrickmunishi2277 Жыл бұрын
YESU USINIPITE UNAPO ZURU WENGINE ÀMEEN
@pr.kayomboedga-revelatorps1491 Жыл бұрын
i have never heard about this mysteries ..yan unapofundisha mm najiona napata new revelation from your teaching ..yani nimepata cha zaid aisee....this is real God voice to Me
@neemasaidisaid17913 жыл бұрын
Amen. Asante bwana yesu kwa ujumbeee huuu ni fungue sikioo la rohoni nipate kuisikia saitiii yako
@margaretkithuku65333 жыл бұрын
Twakuskiza na kubarikiwa kutoka kenya
@thewinnersband1678 Жыл бұрын
Ameen
@esmilykipele40083 жыл бұрын
Ufunuo wa mzuri nimepata kuelewa kuujua mlango wa kiungu . God bless you iam enlightened and blesssed
@aminafideli81322 жыл бұрын
Ubarikiwe mchungani kwa ujumbe mzuri ubarikiwe sana
@agnesalex47613 жыл бұрын
Ubarikiwe mchungaji nakuelewa
@lovethildah73402 жыл бұрын
What a revelation?🤔 Thanks Daddy Bella
@starluzenja98613 жыл бұрын
Such a great revelation
@felisterrobert96923 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana na ili somo
@christinesavai8843 жыл бұрын
Amen Amen
@everlineeva5943 жыл бұрын
Ameeen am blessed 🙌 🙏
@thomasamos95633 жыл бұрын
daa wewe mtumishi daaa Mungu akubariki
@hannahtikolo36182 жыл бұрын
Milango ya gereza ikafungunguka....
@siamoye45493 жыл бұрын
Asante baba Yan mm nilikuwa wa kwanz kukimbilia milang kumbe haikuwah kuwa ya MUNGU