RECAP: ALIKIBA atikisa USAJILI WATANGAZAJI, B DOZEN atoa TAMKO zito, MWIJAKU na BABA LEVO MOTO

  Рет қаралды 13,557

Bongo5

Bongo5

Күн бұрын

Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!
We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!
#entertainment #news #music #funny

Пікірлер: 45
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 4 ай бұрын
Ahsante kaka kwa kulitambua hili
@godfreyjames6792
@godfreyjames6792 4 ай бұрын
Anatafuta usajili crown mamae c mwanzo ulimponda ww.....njaaa 😢
@mrfashion1687
@mrfashion1687 4 ай бұрын
Kuna huyo dogo wa wasafi anaitwa CHARLES WILIAM, mpe sikio halafu ndo usema siku hizi hakuna madogo wachambuzi wa siasa
@theonekulwa
@theonekulwa 4 ай бұрын
leo umetisha sana mwamba we ni mtu wa maana kabisa.
@benedictomb
@benedictomb 4 ай бұрын
Big up bro❤
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 4 ай бұрын
Kikeke na Alikiba ni wamiliki wa crown medea. Fuata history ya alikiba na Kikeke, kikeke akiwa anaizungumzia. Na Kikeke kuacha BBC na kuja alikua na mkakati na Alikiba
@yohanamnema4496
@yohanamnema4496 4 ай бұрын
Dogo kike ni mtangazaji tu analipwa ww enjoy Crown acha makasiliko mkataba wa wamiliki 2 upo nyumbani kwenu au mama yako ndo ametunza huo mkataba wa kikeke kuwa na hisa humo.
@AlexAlexNihayimana
@AlexAlexNihayimana 4 ай бұрын
We ndo unajuwa ni ya like me najuwa ni ya king
@idontknowwhoami3066
@idontknowwhoami3066 4 ай бұрын
Wabongo kama wachawi yani 😂😂 kwaio alikiba hawezi ku-own radio peke yake? Acheni ukuma
@alibachirofficial3939
@alibachirofficial3939 4 ай бұрын
Alikiba anaweza akampa ajira diamond. Usinchukuliye powa
@davidmwakibinga5058
@davidmwakibinga5058 4 ай бұрын
😅😅😅​@@idontknowwhoami3066
@browndee205
@browndee205 4 ай бұрын
Bro uwo mkono uwaginachokakuweka ivyo Badili style bas
@NkusiFred
@NkusiFred 4 ай бұрын
Hakuna mtu yeyote aliyewahi kutunga mashairi anoyojumuisha jamii nakuwalenga watu wote kupitia mafundisho aina mbali mbali iwe nisiasa, iwe nimeisha, iwe ninamna yakumbabana nahali zote baada akajya Professor JAY
@ZakariaMachibula
@ZakariaMachibula 4 ай бұрын
Sawa
@aminishebwana8660
@aminishebwana8660 4 ай бұрын
Njoo kenya uone citizen,ktn zaid ya CCN
@zainabuabdul7852
@zainabuabdul7852 4 ай бұрын
Mwijaku ana nguvu sana
@issaramadhani9141
@issaramadhani9141 4 ай бұрын
Unaongea fact bt watu wamekalia utimu, na jamii sasa hivi wanachotaka kusikiliza ni ishu za maisha feki ya watu wa mitandaoni na sio issue serious zinazogusa jamii na taifa kwa ujumla. Leo ni michezo asubuhi, mchana mpaka usiku uchambuzi wenyewe simba na yanga kutwa. Leo hata kinachoendelea serikalini watu hawana shida nazo.
@stevkaliona4107
@stevkaliona4107 4 ай бұрын
Wewe mbona hawakutafuti Sasa unaongea nini😅😅😅
@allenonesmomwebembezi6248
@allenonesmomwebembezi6248 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@ElipendoMasanja
@ElipendoMasanja 4 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@zah1d124
@zah1d124 4 ай бұрын
Kwanini wewe usifany ivyo vipindi ikawa ni mfano ?
@alexshabani2012
@alexshabani2012 4 ай бұрын
Wewe siufanye
@ramamabrok2523
@ramamabrok2523 4 ай бұрын
🏆
@sundayyohana-qx3ys
@sundayyohana-qx3ys 4 ай бұрын
Wew chawa wa mond umeanza kuferi ulianA poa lakni ulivonunuliwa kuwa chawa wa mond bx watu wamekubwaga
@tomaskilly
@tomaskilly 4 ай бұрын
Asle
@LameckSaidy
@LameckSaidy 4 ай бұрын
Una kidomo sana wewe , mambo tumesha yaona ndo unaongaya toka
@allenonesmomwebembezi6248
@allenonesmomwebembezi6248 4 ай бұрын
😂😂😂😂
@priscamrekoni3451
@priscamrekoni3451 4 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅
@shukurumushi
@shukurumushi 4 ай бұрын
😂😂😂
@chihoma-m4f
@chihoma-m4f 4 ай бұрын
ww unanuna nn siusiagalie tu km kushaona zamani
@alexshabani2012
@alexshabani2012 4 ай бұрын
Wewe ni mtangazaji unafanya
@hustlersmart7917
@hustlersmart7917 4 ай бұрын
Wew ni muongo ulikuja mara ya kwanza unasema ajajipanga mara hajui nini anacho kifanya saiv unakuja na kujifanya unaona mbalii tatz la watangazaji wengi mnao chipukia mnataka trending tu siyo kufanya research na itawashangaza sana kweny vitu vingi 😂😂😂
@DAN-O-MWANA
@DAN-O-MWANA 4 ай бұрын
its true but media ya alikiba ndio kuanza ni ngumu anze kazi wa watu wale syi wasoefu
@browndee205
@browndee205 4 ай бұрын
Kama vp wajiri wew bro
@LatifaHashim-rn1ip
@LatifaHashim-rn1ip 4 ай бұрын
Bora ata Diamond alimpa aliyah nafasi
@alexshabani2012
@alexshabani2012 4 ай бұрын
Wewe unajuwa su seme sasa
@alexshabani2012
@alexshabani2012 4 ай бұрын
Wewe nimtangazaji sasa kwanini usifanyi hivo
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 4 ай бұрын
Na ww unaipigia kelele bongo5
@benmkare1095
@benmkare1095 4 ай бұрын
Bro ka-apologies kwa ALIKIBA ulianza kusema hajui anachotoka mara hataweza...now ana kuprove wrong everyday
@martinlucas7875
@martinlucas7875 4 ай бұрын
UNAMFAHAM CHAZ NA ZUNGU WA WASAFI KAKA?
@alexshabani2012
@alexshabani2012 4 ай бұрын
Unaongea sanaaaa mbona wewe hufanyi Armando
@elvisoscar9912
@elvisoscar9912 4 ай бұрын
Mbona wewe auwi Ivo
@hamisibakari342
@hamisibakari342 4 ай бұрын
Nenda huko mwehu wewe hunamaajabu,,,,Pelekahuko BONGOdiamond yako
@mdbosco1640
@mdbosco1640 4 ай бұрын
❤❤❤❤❤
小蚂蚁会选到什么呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:47
火影忍者一家
Рет қаралды 120 МЛН
😜 #aminkavitaminka #aminokka #аминкавитаминка
00:14
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,7 МЛН
Flipping Robot vs Heavier And Heavier Objects
00:34
Mark Rober
Рет қаралды 59 МЛН
MWIJAKU AMLIPUA HAMISA MOBETTO, KUTEMBEA NA AZIZI K NI UPUUZI
11:42
小蚂蚁会选到什么呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:47
火影忍者一家
Рет қаралды 120 МЛН