DUDU BAYA ,HARMONIZE AMESHAPOTEA SHOW YA TAIAFA HAKUNA ALICHOKIFANYA MAMBO YALEYAL

  Рет қаралды 7,791

BONGO 24

BONGO 24

Күн бұрын

#bongo24 #harmonize #dudubaya

Пікірлер: 34
@alibinali_
@alibinali_ 2 ай бұрын
Dudu Baya anaongea ukweli big up Konki Master 🔥🔥🔥
@HangiMakina-wf8hw
@HangiMakina-wf8hw 3 ай бұрын
Dudubaya Yuko sawa
@bonifaceferdinand566
@bonifaceferdinand566 2 ай бұрын
Mamba uko sahihi 😂😂😂
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 3 ай бұрын
Sasa unaimba albam nzima unamsifia kiongozi wa siasa wakati sifa unazotoa hazina ukweli wowote nani atakuelewa? Na hiyo albam itatoka nje ya nchi? Ndio maana wakiwa nje ya nchi wanapiga kwenye mabaa.
@SaraSara-i1l
@SaraSara-i1l 2 ай бұрын
Big point kwelli kabisa bongo flevo ya zamani nzuri kuliko hizi amapiano
@Direct-0000
@Direct-0000 3 ай бұрын
UKO SAHIHI DUDU
@AndrewMajingwa-ln7oi
@AndrewMajingwa-ln7oi 2 ай бұрын
😂😂 ila konkii hapa umepuyanga wenzio hawataki mziki wa kuishi wanataka mziki New model na wanapiga pesa hatariiiiiii,,, angalia ni ENJOY hapo inachanja mbuga
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 2 ай бұрын
Anasema ukweli top 10 hazina maana 😂😂 watu wana Bluetooth hawana mda wa kwenda club😂
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 2 ай бұрын
7:36 kweli kabisa mimi siwez tofautisha luludiva na mimi Mars ama fina sjui madem wana igana sana
@jumayusuph5733
@jumayusuph5733 2 ай бұрын
ukweri ndio huo endelea kuwachana hao madogo
@AishaYahaya-ld5lb
@AishaYahaya-ld5lb 2 ай бұрын
Msema ukweli ❤❤
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone 2 ай бұрын
@saifsawafi2773
@saifsawafi2773 22 күн бұрын
Huyu Jamaa, au ndugu Dudu Baya kazumgumza ukweli kabisa kuhusu mziki wa Tanzania na mtindo wake wa kuiga.. Naomba pia msikilizeni Fresh Jumbe na Masoud Masoud kuhusu mziki wa Tanzania kukosa uzito kwenye platform ya kimataifa. Hivi leo tafuta wapiga viombo via mziki Tanzania nadhani wamebaki wachache sana, na sababu miziki za computer zimetawala mno. Tanzania sasa hivi wamebaki entertainers tu lakini sio wana mziki.
@RodaMwakatundu
@RodaMwakatundu 3 ай бұрын
Trueee konk3masta
@JohndMbila
@JohndMbila 3 ай бұрын
Wewe mzee mtafute Mika mwamba mbafu sana
@alibinali_
@alibinali_ 2 ай бұрын
DUDU BAYA NOMA SANA 😂😂😂😂😂😂😂
@AckriniSikulumbwe2000
@AckriniSikulumbwe2000 3 ай бұрын
HHaahahhahahaah hii nchi
@frankngoloka5416
@frankngoloka5416 3 ай бұрын
Wewe umefanyanini enzi zako?
@Legends_Interviews
@Legends_Interviews 3 ай бұрын
Huyu jamaa kapotea yeye .. kila kitu kwake sicho anachukia wasanii bila sababu ovyoooo
@barakarobert1029
@barakarobert1029 3 ай бұрын
Kwa kwel ww enz zako hela ulipeleka wap mbona unatia huruma uwez fikia level za mmakonde
@Legends_Interviews
@Legends_Interviews 3 ай бұрын
Nashangaa kazi yake kuwasema wasanii tu
@redockbracard9455
@redockbracard9455 3 ай бұрын
Wewe ni mzee mda wako umeukula vibaya una wivu na Harmonize kijana mdogo ana kuzidi pesa na umaarufu aumuwezi
@evansobewa7741
@evansobewa7741 3 ай бұрын
Jamaa anaongea maneno mengi ila hana lolote,tafuta pesa wacha mdomo
@IssaBacar-i2i
@IssaBacar-i2i 3 ай бұрын
Wewe ndo hujitambui unapenda kiingereza kuliko kiswahili chako halafu unajigamba umeitawara nchi yako muda huo huo unasema kiingereza, cha mtu mavi hebu acha kuiga cha mtu watanzania muudumishe utamaduni wenu hebu rudini kwenye bongo flava.
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone 2 ай бұрын
Loloote analoo
@evansobewa7741
@evansobewa7741 2 ай бұрын
@@IssaBacar-i2i biashara jomba fanya kile kinakupa faida sio maneno mengi
@johnmike6059
@johnmike6059 3 ай бұрын
We nimuongo
@DelightfulFish-ps8ny
@DelightfulFish-ps8ny 3 ай бұрын
Huyu kaka hampendi konde boi
@AckriniSikulumbwe2000
@AckriniSikulumbwe2000 3 ай бұрын
Hapan ukwel anaseama
@MohamedMangongo-n9t
@MohamedMangongo-n9t 2 ай бұрын
Umeferi huu wakati wa konde ata upondevipi wwnzio washakuacha mbali mmechezea mziki kazi makelele kuwaongelea wenye mziki wao
@albertkadyanji9722
@albertkadyanji9722 2 ай бұрын
Wakati wa konde hahahahahaha mmakonde kwa kipi hana jipya ameshafeli
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 3 ай бұрын
We kaka msanii au mchambuziii atukuelewii au ume ACHA kuimba toa ww nyimbo kumawee
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone 2 ай бұрын
Huyu kipaji kingi wewe
How To Get Married:   #short
00:22
Jin and Hattie
Рет қаралды 24 МЛН
А ВЫ ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?? #shorts
00:20
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН
Стойкость Фёдора поразила всех!
00:58
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 4,8 МЛН
How To Get Married:   #short
00:22
Jin and Hattie
Рет қаралды 24 МЛН