Kwl kaka huhakosea kuusu TAM tuzoxote apewe jux kbx minishabikiwa simba big lion irajux aritishasana enjoy is the big dong like shu!! Nadiamondeplatunamz amemubless sana jux❤
@gmrecordinglabel28623 күн бұрын
ukweli mtupu
@Joneslaizer1003 күн бұрын
Umefanya Bongo 5 ipate views zangu
@EmmanuelprodHazardBeatsaun-e5x3 күн бұрын
Courage vraiment pour les informations nécessaires 🇨🇩
@GbemzyLeeBello3 күн бұрын
Me As a Nigerian and don’t Understand Swahili; But I Actually Understand Everything you Said… You Present Your Speech in a way Calm way That makes me Understand Everything You Said 👍👏👏👏
@sulleymernmannarah79303 күн бұрын
English is englishing 😂😂
@Omary-xv5dz3 күн бұрын
Nakubari kaka mando
@tekashichannel2 күн бұрын
Fact always 🎉❤💯
@eleven-in5qw3 күн бұрын
Kiuhalisia nilimjua jux baada ya sugua na diamond
@NgindoNdingo-nm4in3 күн бұрын
Nice
@RazaquePedro3 күн бұрын
Kweli kabisa
@trendz_25482 күн бұрын
Uko sawa ila sound mpongeze S2kizzy manake ndie kaziunda zote. Sound inazibeba zaidi pia na kaproduce Zombie beats
@MeshackMagaro3 күн бұрын
Wa kwanza Leo weka likes kibao kama unamkubali el Mando pablo
@frank181123 күн бұрын
Jux kambeba diamond kwenye hizo collaboration.
@sulleymernmannarah79303 күн бұрын
Waah ww una chuki
@JamesYunusa-y4c3 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂 Huon aibu??
@chrispinmkanda60973 күн бұрын
Unachoongea unakijua kweli!?
@connasideeofficial39952 күн бұрын
Acha kulala bro kambeba vipi wimbo upi ni WA kwanza wa jux kufika milioni 100 kama si enjoy fuatilia mambo kwa kina
@paizinhosaide-cv9pm3 күн бұрын
❤❤❤❤🙏🙏🙏
@AlfroLyd3 күн бұрын
Bro, kuwa najitahidi Ku ongeza Sauti, Sauti yako mara nyingi hua iko chini kidogo, recap yako nzuri Sana, moja ya midia ambazo Zina fanya vizuri na Ku ongea fact, siyo kama hizo zingine ambazo ukiona Tu maandishi chini unajuwa Tu Ni uwongo mtupu, ila Bongo 5, munajitahidi Sana.
@agogomgagagigigogo3 күн бұрын
We sema tu kuwa wasanii wengi iwe ni bongo ama nje waliowahi kufanya kolabo na Diamond nyimbo hizo ukienda kwny page zao ndo zinaongoza kwa viewers na streams ,
@Muba-rf1eb3 күн бұрын
We jamaa wee duh yaan kwako diamond ata aimbe na Rihanna bs utasema diamond kamkuza Rihanna kimuzik
@chizashungu83643 күн бұрын
WEWE DIAMOND PLATNUMZ HAPA AFRICA NI MKUBWA.MSANII YOYOTE AKIJA KUFANYA COLLABO NA DIAMOND PLATNUMZ LAZIMA AENDE TU.NDIYE MSANII ANAYEONGOZA KWA FOLLOWERS EAST AFRICA AND SUB SAHARA.
@JamesYunusa-y4c3 күн бұрын
Kwan hapo anaongelewa Rihana?? Au taja ngoma moja ya Jux aliyofanya na wasanii wengine ambayo imemfikisha level hizo! Acha chuk bhana
@chizashungu83643 күн бұрын
@@JamesYunusa-y4c Hawa ndiyo wale wakisia jina LA Diamond PLATNUMZ wanakata upepo.Wanabaki kuropoka tu.
@Muba-rf1eb3 күн бұрын
@@JamesYunusa-y4c juma umekasirika duh
@chibudangote01263 күн бұрын
JE KUNA MSANII ALIYEFAIDIKA NA ALI KIBA???
@rashidmexes36293 күн бұрын
Acha kutuvunja mbavu😂
@kinganyamohamedi22712 күн бұрын
Labda MWIJAKU
@bahatimdetetv12922 күн бұрын
si mchezo
@user-is4cx6rk4z3 күн бұрын
Atoe nyimbo pekaeka tuone itafika wapi ndio tujue ukubwa wake