Konde gang Rajab I like this Man. Huyu ndio mwanaume. Anafaa kuwa mbunge na kuendelea....safi sana harmonize washa moto..
@zainabubakari71593 жыл бұрын
Unakumbuka hata jpm alimwambia harmonize agombee ubunge tandaimbaa alimuona kama ni jeshiiiiiiiiiiiiii 💥💥
@salmaathuman91563 жыл бұрын
🐘🐘harmonize mpaka Amelia kwa uchungu sana ila MUNGU ataendelea kusimama na ww inshaa Allah
@hassanisufiani85993 жыл бұрын
Big time konde boy msanii wangu bora tanzania period 🔥🔥🔥💣💣💣
@nunuuali53163 жыл бұрын
Kwa uelewa wangu wcb ndo waliharibu uhusiano kati ya Harmona Banaboy huku Harmo akiwa bado yupo wcb. Alafu bado watu wanazidi kumlaum eti kwa nini alitoka hata hivyo Harmo ana moyo
@zou74703 жыл бұрын
Alafu ukiangalia pica za hamo yupo uko wcb naivi inamanisha alikuwa jela kwakwel but Allah akulinde jeshiii letu uzidi kupambana👏👏🔥🔥😍
@mbonimarog59033 жыл бұрын
Jeshii
@khamisshee51313 жыл бұрын
Hamonazi ameuwa sana kamaliza utetesi machawa wa upande wa pili waje na maoni ya hamo 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 aka bachuchu mombasa 001 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@b.38453 жыл бұрын
This channel is just so professional! The only online blog that operates like big media! 💪🏽
@valeriemasumbuko66243 жыл бұрын
Yes they are professional. When they is a story like Harmonize story I always come on this Chanel to seek their views on issues
@vibeanytime87833 жыл бұрын
Yani watu wasio helewa kuusu maongezi ya harmonize basi watakua sio waelewa ila kijana kapambana sana ila mungu yupo ataamsaidia tu yani kule WCB kunamambo mengi sana tena unyanyasaji wahali ya juu
@rabsontryphon92543 жыл бұрын
Wap ambapo hakuna manyanyaso na wasanii wao wanavuma? We matako usilszimishe kuelewa ujinga
@winfridapeter94553 жыл бұрын
Konde ni jeshi kwakweli,mi nisingeweza kufika hata hapo alipofika🙌🏼
@thisboyisgreat3 жыл бұрын
Namimi pia
@markh81423 жыл бұрын
Harmonize katoa nyongo yake 🙌🙌
@dixminderjngao10563 жыл бұрын
Harmonize Mungu akusimamie JESHI
@stella882443 жыл бұрын
Diamond anataka kujifanya Mungu mtu mshenzi sana
@Shivoo__173 жыл бұрын
Ujuwi chochote wewe tuliya
@godfreylyimo94423 жыл бұрын
@@Shivoo__17 hakuna hata mm from today naanza kumsapot jeshi
@sponsor78823 жыл бұрын
Well said
@shellaking61853 жыл бұрын
Ukweli ndio huo bhana harmonize amepitia jmn Diamond hana heshima hata kwa mamake.
@aminatanzanya74753 жыл бұрын
Mshenzi kuanzia kweny Familia yake
@francisjoseph10743 жыл бұрын
Kiukweli harmonize nilikua simpendi na nilikua namtukana sana coz nilikua siujui ukweli imeniuma sana kama kijana na kuona kijana nwenzangu anapambania ugali wake then anapigwa vita , harmonize nsamee sana 😥 😥..
@themaquin21773 жыл бұрын
True bro
@margarethalyimo54753 жыл бұрын
Hapo jifunze kuingilia bila kujua ukweli wa mambo pande zote mbili.
@sophieatieno51483 жыл бұрын
😂😂 jifunze kuskiza pande zote mbili kabla kuamua. Mtu anaezalia machozi yake yote na iwe wongo mtupu.
@emmanuelmasse62193 жыл бұрын
Hata Mimi hamo nilikuwa simkubali kabisa nilijua amejiona katosheka ndo anaondoka kumbe msela amepitia mateso mno daah! Hatari
@shabanibakari95762 жыл бұрын
🤝
@ramlamasika73023 жыл бұрын
Harmonize your a true fighter 🙏🙏🙏🙏
@hodanawale80243 жыл бұрын
HONESTLY HARMONIZE HE IS INSPERATION HIS NEVER GIVE UP GOOD FOR HIM VERY HARD WORKNG GUY👏💙❤
@mymunamymuna48073 жыл бұрын
Domo ana roho mbaya, ndio maana hanenepi nakuvuta unga kwake
@aminaabdallah36443 жыл бұрын
Yh😘
@luchihamisi75023 жыл бұрын
BIG UP FOR HARMONIZE AND GREETING FROM SWITZERLAND 🇨🇭
@ibrahimabubakar83563 жыл бұрын
Mmechambua poa sana nimesikiliza mpaka mwisho Walahi ubinadamukaI jama ila wamefanyia vibaya harmonize Pole harmonize
@hadijagere3 жыл бұрын
Kiukwe misina team ila nimemuelewa harmo sana kaongea kwahisia sana
@jcrackcrack16693 жыл бұрын
Wacha tuskie upande wa pili coz amezoea kutojibiwa ndio anaongea anacho taka,hatuezi jua n kweli aloo ongea ama ameongeza kitu extra,bt msema pekee huonekana mkweli na anajua hatojibiwa basi ana uwezo kuongea mabaya yao,hatambui kulikua na mazuri yao pia,kitu kizuri na Salam Yuko biashara hachezi na mtu pale,
@hkmeme54373 жыл бұрын
@@jcrackcrack1669 Hakuna kilicho ongezwa, harmonize aliongea ukweli kabisa
@Ryoof-qo7if3 жыл бұрын
@@jcrackcrack1669 😂😂😂hupati picture leo
@malikzafarani1723 жыл бұрын
Much respect tow harmo good bless him
@user-yd8sp4es9n Жыл бұрын
Ravnyn ndiamondi 💪❤
@fredrickmatiku77833 жыл бұрын
Dully skyes kumbe ni legendary njaaa linatumika anaonea wadogo zake eti kaibiwa nyimbo mtu kamtoa kimziki kamrudisha kafanya nae ngoma kamnunulia nguo wameshoot video kampa pesa ya mafuta legendary njaa ndio maana ajawahi kupata Tuzo ata ya heshima
@williamloserian59993 жыл бұрын
🙏🙏🥀🌹🥀moja ya chalen bora kwangu kwa hapa bongo na ata njee itakuwa hivyo...🌹🌹nawakubali sns ,sky ,criss na esco mko talented Sana🙏🙏🙏🥀🥀mungu aendelee kuwaweka sanaa🙏🙏🙏🌹🌹
@serianjamal82543 жыл бұрын
I was waiting for this kwakweli Well done SNS uchambuzi bila ubaguzi 🇬🇧🇬🇧
@getmad99083 жыл бұрын
Me too 🇬🇧🇬🇧🇬🇧
@bahrujbaura80423 жыл бұрын
SNS on 🔥 nawafahamu from 254. Sky nipe like yako!
@aminatanzanya74753 жыл бұрын
Niab ya sky nimekup
@chainbre2753 жыл бұрын
Kama wewe ni team kusikiliza paka mwisho drop your likes plz
@SimuliziNaSauti3 жыл бұрын
Wewe ni MVS!
@chainbre2753 жыл бұрын
@@SimuliziNaSauti thanks am humbled but muturegeshee ka round up basi 🙏🙏🙏
@constancekarisa16053 жыл бұрын
@@SimuliziNaSauti mimi ata narudia tena kumenifanya nikalala usiku na niko kazi
@nelizabethnelson85763 жыл бұрын
Daaah,harmonize be Strong God is King!!
@ernestofrerelembus33163 жыл бұрын
Daaaaah SNS nawakubali Sana yaani nimeelewa kila kitu kwa utaratibu wenu 💯
@amzamatsco89823 жыл бұрын
Live in Stockholm city swiden mimi fun wenu kabisa thaxs for your work guys tunawafatiliya nyinyi wa bongo but Harmonzi alivumiliya mengi sana anapambaniya ndoto yake jamani %🐘🐘.
@hkmeme54373 жыл бұрын
Wasafi festival kule mtwara harmonize alimfunika diamond hiyo ni kweli, festival zingine walikataa kumsirikisha kabisa
@abdoulusheke23733 жыл бұрын
Kumufunika je???il faut bien réfléchir avant de dire quelque chose, alitoka wapi ule harmonize???kafunzwa nakuvaa nguo
@hkmeme54373 жыл бұрын
Kufunzwa kufaa sio issue, kwenye maisha ya kila mtu lazima upitie kwa walimu ili uwe bora, halafu unaweza kuwa bora kuliko mwalimu
@sifatiiman3 жыл бұрын
@@abdoulusheke2373 wewe 0 bran kabisa
@Noah-se3ni3 жыл бұрын
Kweli Harmonize ni jeshi kapitia mengi Kabisa.
@britonngale66443 жыл бұрын
Jeshi hatoi siri ya kambi
@fahadilo3 жыл бұрын
That’s why we call him “JESHHI”. KONDEGANG FOR LIFE 💯🇬🇧
@minigamer-py4zw3 жыл бұрын
Hamo kamaliza kila kitu domo mnyonyaji
@nizclemencelampslabiche20073 жыл бұрын
Ata Ommy Dimpoz alisemaga kwamba waligombanaga na Diamond kwa sababu ya maneno ya watu, wanamwambia eti Ommy atakupita oh sijuwe Ommy ni-ni basi na Diamond akakubali yaani uyu diamond anapenda kusikia maneno yakuambiwa
@keifatuke993 жыл бұрын
Diamond mswahili sasa
@nizclemencelampslabiche20073 жыл бұрын
@@keifatuke99 sana
@derrickndikumasabo43153 жыл бұрын
I'm in South Africa nawapenda sana🙏👍
@aminaabdallah36443 жыл бұрын
Dah harmonize unasubira bro 🙊😘
@nemajaquecene91673 жыл бұрын
Japo Diamond ndio ameanza utasikia machawa wake watasema Harmonize anataka kumharibia mwenzie wakati Diamond alianza 😁 anyway Hamonize ametoa ya mayoni hajafanya kosa yuko sahihi kabisa kwa upande wake which is very good. Kuliko angeendelea kuwa na kinyongo hope D nae atatoa kinyongo chake,mtazamo wangu kwa hawa 2 ni watu(machawa) ukichanganya mameneja hasa wa upande wa Diamond especially (Salaam)ndio wanao wachonganisha mpaka kufikia hatua hii waliofika so sad 😔
@jcrackcrack16693 жыл бұрын
Wacha tuskie upande wa pili coz amezoea kutojibiwa ndio anaongea anacho taka,hatuezi jua n kweli aloo ongea ama ameongeza kitu extra,bt msema pekee huonekana mkweli na anajua hatojibiwa basi ana uwezo kuongea mabaya yao,hatambui kulikua na mazuri yao pia,kitu kizuri na Salam Yuko biashara hachezi na mtu pale,
@majabumbaga23493 жыл бұрын
WCB wanafanya biashara .What do u expect.Yaani afanyiwe favour.Huyu keshakwama
@hassanmsingiri62163 жыл бұрын
Kwa hio ata ile kum dis diamond na rayvanny kwenye album pia ameanza diamond?
@@hammytototundu9292 kwanza turned hii ulbum ya teacher ilivyo toka ilikua tayari rayvanny alishaenda kuimba mtv emma?
@barankenyereyejosh84103 жыл бұрын
Ninapotaka kusikiliza habari za ukweli ninakuja hapa SNS. Kwa hiyo ninachukua nafasi hii kuwapongenza, Kwanza Mkubwa Gundala na washikaji wako Donald na chris kwa habari mnazotupa zenye uhakika bila kuegemea upande wowote. BIG UP
@SimuliziNaSauti3 жыл бұрын
Asante sana
@aminatanzanya74753 жыл бұрын
Bundala sio Gundala
@zeinababdi47573 жыл бұрын
Ok, young Africans who are chasing dreams, take note....Harmonize is an inspiration for those of you about to give up. Well done Harmonize we love you here in Canada 🇨🇦❤
@umutoni-roussel52333 жыл бұрын
Always they blame harmonize ,mala that they helped him ,yet he paid them for his own freedom that was just business ,and actually he cleared the air so now you know the truth ,he is been in pain for long time ,let everyone look after their own business , keep supporting good music, all good talent need your support , please stop hate .
@matiasmpoyo83113 жыл бұрын
The day you guys begin to understand the meaning of the contract the better for all of you Because if let's say you sign the contract for 10 years and you work for 4 years then you And you want to Terminate the contract of course you have to pay the money of that remaining 6 years so that you can go free.....now what am trying to say here is that whatever happened is because harmonize himself read the contract Before signing so he not be fooling people by talking against diamond platinum because in this life we all have mistakes no one is perfect
@umutoni-roussel52333 жыл бұрын
@@matiasmpoyo8311 its not about paying the money no no no sir what we talking about here ,its the way they have been treating him, telling people how they helped him , attacking him yet it was business as you have said ,thank you🤷🤷 Harmonize is been appreciative since day one ,can you imagine the guy still have the tattoo on his arm🤔🤔we should be fair in this ,and Harmonize said what he felt and that's the truth... peace and unity.
@umutoni-roussel52333 жыл бұрын
@@matiasmpoyo8311 he paid them as the contract says , and that's it so now let everyone mind their own business and keep supporting good music.thank you.
@luciennedukuze22133 жыл бұрын
Nimekuwa namucukiya Sadala ivi sasa namucukiya zaidi domo anaroho cafu
@justinjoshua10593 жыл бұрын
SKY&CHRIST na ESKO nawapenda bure,bilakukusahau baby Sky😘😘😘😘😘😘
@linahcharles39813 жыл бұрын
It's true and possible kwa unayefanya kazi naye kukuonea wivu I've been in the same situation kabsa si uongo apo Harmo kaongea kweli sio kila mtu anaekuchekea anakupenda congratulations to you SnS👌
@kahimbeshamu72703 жыл бұрын
Duh kumbe diamond kamtafuta alikiba kwa mda mrefu akamshindwa dun thanks harmonize kwakutoa audio ya rayvanny uchuwi upo kweli nilikuwa siamini
@sifatiiman3 жыл бұрын
😁😁😁Uchawi upo amini kwamba
@SWAHILINATION3 жыл бұрын
Big fun of your work guys! shoutout to the best online media in TZ period.
@SimuliziNaSauti3 жыл бұрын
Thanks fam, keep shining too
@SWAHILINATION3 жыл бұрын
@@SimuliziNaSauti ✊🏿✊🏿✊🏿 fam
@onlythestrong86593 жыл бұрын
Chavala big up bro.
@everrineanyango74103 жыл бұрын
True
@estherdesnah86723 жыл бұрын
Bt wat Hamo said seems to be true love 100% diamond didn't want competition he was not ready coz harmo is soo talented and diverse
@farijalangumba89163 жыл бұрын
Kiukweli Jana nimeumia sana Baada ya kusikia Ukweli alio usema Konde boy kuhusu wcb na diamond konde gang for everybody 🌍
@ilovejesus93033 жыл бұрын
Dah ungefanya interview mapema labda pia ungejaza huku nje. Hata mimi ningeenda hapa Minnesota. Anyway there is always a second time. You inspire me a lot Harmonize. Your new fan here😍😍😍
@ninjaisma79833 жыл бұрын
Asante kwa maelezo ya mic na sauti...nawakubali sana
@anjelinakasembe8453 жыл бұрын
Mungu Nimwema uku juu kwasababu walikupamwaka tuu unarudi mtwara lakini konde umeteseka sana Hamo wetu jamaniweare happy for you🔥🔥🔥🌷💼🌷🌷🐘🐘🐘🐘🐘🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@rsautoservice9843 жыл бұрын
Mpaka SASA harmonize always the best ever believe it..Yuko juu zaidi
@mrdocta31063 жыл бұрын
Assnte Sky kwakufafanua about sauti I love it
@MHD95853 жыл бұрын
Big up Fredrick hundala hichi Kipindi cha recap ni kikubwa sana hongereni sana
@SimuliziNaSauti3 жыл бұрын
Tunashukuru sana
@lazalonzo46073 жыл бұрын
I can’t believe I watched this for 1:22:04 just to understand the story about what happened
@SimuliziNaSauti3 жыл бұрын
You are the real MVS! Most Valuable Subscriber, thanks
@ilovejesus93033 жыл бұрын
Me too lol
@antoniokauele31413 жыл бұрын
@@ilovejesus9303 too
@briandaudi39833 жыл бұрын
You guys(SNS) are in another level.Good work,keep it up.
@SimuliziNaSauti3 жыл бұрын
Thanks a ton!
@chainbre2753 жыл бұрын
Afu mtu anadai fadhila 😭😭😭 kweli Harmo alipitia mengi yenye kwa mtu wa kawaida nivigumu munoo kuyastamili
@sponsor78823 жыл бұрын
God protect Our Harmonise
@barkembarak92703 жыл бұрын
Amin Amin Amin
@irenebruno33153 жыл бұрын
Na bado diamond, laana za mzee Abdul..nilianza kumchukia diamond since alivyo ongea vibaya kuhusu huyo mzeee what's comes around 🚶around
@mwatumsaidi51043 жыл бұрын
Konde uko juu mwaga kilakitu hakuna kuficha amekutesa sana
@fatumasharif-mohamed54863 жыл бұрын
Why can Diamond grow up and stop embarrassing the dignity of the society and the community. Why shall he focused on himself instead of abusing others by using his sources. Harmonize deserve respect!!
@matiasmpoyo83113 жыл бұрын
Do u know the meaning of contract what the contract ? means i guess you went to school right even though you speak ur broken English...? Before you criticizing next time please think properly before you Vomit the rubbish
@eddy49983 жыл бұрын
Ninahakika hata yule rayvany wanamnyonya Sanaa pale uzuri ameweka mpaka voice ya rayvany dahhh Hawa jamaa wabaya Sanaa alafu utakuta watu wanamponda harmonize kusema Hana fadhira Sasa hapo inatakiwa fadhira ipi jamani
Pole harmonize pia hongera rayavanny nae ana moyo wa peke yake one day kila kitu kitakuwa sawa
@rogersford21913 жыл бұрын
I love this tv ,aim from Kenya we love you people
@priscillaamossen82493 жыл бұрын
Mafans wake wa nje we needed this, jaani tulitaka aongee ukweli Kwa sababu, tumewachoka media za online siku zote mmekuwa mnatuletea habari tusizozihitaji ambazo zinafanya,, hatuendi hata kwenye show za wanamuziki wa Tanzania… wafanye muziki mzuri sio matusi.
@ibrahimhumanamicroscopic65153 жыл бұрын
I don't believe I finish all the recall interviews 🥰🥰😍
@rosemofuga81013 жыл бұрын
Brother sky asante kwakutueleza kuhusu tatizo la sauti, ila to be honest mm nilisikiliza hivyo hivyo, nilihisi tu kwamba huenda media walikuwa wengi, all in all thank you brother, I do trust you and your team
@SimuliziNaSauti3 жыл бұрын
Asante sana Rose
@godfreylyimo94423 жыл бұрын
Jeshi 🔥
@nahimanajo89933 жыл бұрын
Nakwambiya nishidasana kwakweli harmonize kwakweli amepitiya magnumu a shukurumungu yate ni mapito tena asikati tama Mungu iko tunakuhomba umeisha honesha ukweli wako wakukubali atakubali hendeleya kupambana achana na hokabisa wala ajirudi kuwahogeleya tena tunakusapoti chapakazi Mungu anakuhona natakusahidiya insha' Allah inauma kwakweli ndohivo waache waki na mama levo uwezi kuwabadili tunasema kilasiku sadala anarombaya sana yote ulimukabizi mungu ndo duniya jeshii pambana sana utafika usikati tama 🐘🐘🐘🤲🤲🤲💪🏿💪🏿💪🏿🔥🔥🔥
@annitabobo54383 жыл бұрын
My take on this issue Harmo has gone through alot under WCB and they need to apologize to him even if it was a biz he didn't have to go through all that just to terminate his exit but all the accusations for me is not under Diamond alone remember he has a management we don't know how he was been directed by them coz they have played alot in this beef too. Harmo is pissed off by Diamond personally but he know well who are real players in this game. This beef smells bloody they need to stop it!!!
@jcrackcrack16693 жыл бұрын
Wacha tuskie upande wa pili coz amezoea kutojibiwa ndio anaongea anacho taka,hatuezi jua n kweli aloo ongea ama ameongeza kitu extra,bt msema pekee huonekana mkweli na anajua hatojibiwa basi ana uwezo kuongea mabaya yao,hatambui kulikua na mazuri yao pia,kitu kizuri na Salam Yuko biashara hachezi na mtu pale,
@orym44473 жыл бұрын
Don't trust these artist my dear
@sophieatieno51483 жыл бұрын
@@jcrackcrack1669 You're right kila story ina pande kadhaa
@ilovejesus93033 жыл бұрын
@@orym4447 I will specifically for this interview, it was real
@getrudealamis56823 жыл бұрын
Ninapo taka kusika habari zuri huwa naja huku huwa mnasimama na ukweli hamtegei upande mmoja kwazia leo mm ni fc wenu kutokea harmonize keep going
@kahimbeshamu72703 жыл бұрын
Ndomaana alikiba alimyima mkono nimeanza kuelewa
@sophyali88403 жыл бұрын
Yeah pia mm Leo imenishangaza Sana sns huwa my best channel
@janetcharo15433 жыл бұрын
I guess they saw and feared his strength and capability to prosper to greater heights,🐘 is too strong🔥🔥🔥
@aminamasera3 жыл бұрын
I agree
@williamkirema62543 жыл бұрын
Diamond mwenye wivu sana toka kitambo
@trixieke84623 жыл бұрын
Mama yake ndio shida
@Ryoof-qo7if3 жыл бұрын
@@trixieke8462 shida nikuamini uchawi kuliko mungu japo kurogana kuko
Waaa niliangalia zote hadi mwisho ila masikio😊ila nawapenda hivo hivo👏👏👏
@deusraphael29543 жыл бұрын
Nawakubali sana SNS. Sema layout ya studio yenu ndo janga, mmekaa kama mpo bus la mkoani
@boballymote75863 жыл бұрын
Mimi sina timu naangalia music mzuri. Juzi mliongea kuhusu harmonise ku post baada ya diamond kuongea kama kumkashifu harmonise kama hana shukran nikasema hapo hamna swala la shukran ni biashara kila mtu kafaidika Leo harmonise kasema yote jibu langu iko hivi diamond Ana mazuri yake na mbaya yake lakini mabaya yake Ana ya fiche sana na mazuri yake second wanao fanyiwa mabaya na diamond wengi wao wanaogopa kutokana na uwezo wake pia wapambe alio nao ila ni mtu mmoja tu ame simama na anashindwa ku maliza hapa tz ni alikiba lakini kama utamfatilia matukio ya diamond Ana roho mbaya ni paka alie vaa ngozi ya simba kama Anavyo jiita all the way from Sweden 🇸🇪
@ivynzuki67083 жыл бұрын
Thank you Guy's that was awesome
@Farajahelene230313 жыл бұрын
sns family love you guys
@SimuliziNaSauti3 жыл бұрын
We love you too Faraja
@johariabdalla33193 жыл бұрын
Harmonize hii interview kaongea point tupu 100%.na ina madini mingi ya kujifunza
@richgambi66943 жыл бұрын
Juhudi ya mtu mwenyewe itamfanya alike mbali
@Clemmo_2543 жыл бұрын
skywalker....keep on walking...i love it brother
@azminahsdelights18373 жыл бұрын
Harmonize ❤️❤️❤️
@teddymosha13763 жыл бұрын
Mungu pigana na wanaopigana na harmonize
@fotbolltvpatrick86343 жыл бұрын
Diamond na rayvanny for life 🦁🐯
@robertmwakinamwashighadi90003 жыл бұрын
Mkubwa fela mtu mzima ovyo hafai yy ndio amemkosanisha harmo na dai
@mbonimarog59033 жыл бұрын
Mvurugji ni salam sk
@Ryoof-qo7if3 жыл бұрын
Kunywa soda
@joycekisamo48963 жыл бұрын
Yaani wasanii wa Tanzania 🇹🇿 waangalie mfano wa nchi kama Nigeria 🇳🇬...kuna wasanii wengi ambao wote na wakubwa na maarufu na wanaheshimiana... Huwezi kutaka wote wawe tu ndani ya Wasafi!! Watu waache wivu na chuki zisizojenga 🤔 Shame!!!
@RamazaniMulongeca3 жыл бұрын
KWANINI NIGERIA KILA SIKU??? Kwani #DRCongo HAKUNA WASANII??? 😂😂😂
@joycekisamo48963 жыл бұрын
@@RamazaniMulongeca DR Congo sio mfano mzuri...wana matatizo mengi mengine; political, infrastructure etc...not a good example at all