Jeshi la Anga la Urusi lapata ndege mpya aina ya Su-57 na Su-34 zilizotengenezwa upya

  Рет қаралды 22,242

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 78
@niffonlinetz7214
@niffonlinetz7214 2 күн бұрын
OYA TEAM RUSSIA LEO WA KWANZA NIPENI LIKE NYINGI SANA HAPA
@AthmanMohammed-h9n
@AthmanMohammed-h9n 2 күн бұрын
TEAM RUSSIA RUSHING USA, MBAYA MBAYAA
@paschalfausitine7108
@paschalfausitine7108 2 күн бұрын
Hizo 🎉🎉
@husseinmassawa7186
@husseinmassawa7186 2 күн бұрын
Sema masubi tumpe hongera yake kwenye kutu update matukio ya kivita
@amanimafara4310
@amanimafara4310 2 күн бұрын
Nice explanation
@POLITICS_WAR_DIPLOMACY
@POLITICS_WAR_DIPLOMACY 2 күн бұрын
SnS/GPS . Sky,Sma, Henry mwinuka na Ali masudi Mungu awabariki sana Big up
@ramadhaninyamwelu5772
@ramadhaninyamwelu5772 2 күн бұрын
Mm naamini kabsa Putin nimtu special sana 🇹🇿🇹🇿🇷🇺🇷🇺🇷🇺
@brianbaltazar6198
@brianbaltazar6198 2 күн бұрын
Nice work bro ali masubi..
@hamzafishten9560
@hamzafishten9560 2 күн бұрын
Kazi nzuri
@hassangaddafi2347
@hassangaddafi2347 2 күн бұрын
Good work mr Putin 🌹❤ 🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@MatelefoneMustafaMatelefone
@MatelefoneMustafaMatelefone 2 күн бұрын
Tupo sambamba na Putin ❤❤❤
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 2 күн бұрын
Sisi hata ile feni ya helcopter hatuwezi kubuni ila utakuta jibwa linachukulia pow.. hii hatua ya urusi
@nanyangahustler4305
@nanyangahustler4305 2 күн бұрын
Tunaweza tukikumbuka nyumbani
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 2 күн бұрын
@nanyangahustler4305 duh sidhan
@nanyangahustler4305
@nanyangahustler4305 2 күн бұрын
@@AFRICA_D669 kwani nani alianza kutengeneza?
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 2 күн бұрын
@nanyangahustler4305 ngozi nyeupe
@SumuuKijoka
@SumuuKijoka 2 күн бұрын
tayari vita ya tatu hiyoooooo
@nanyangahustler4305
@nanyangahustler4305 2 күн бұрын
Sisi hata kurusha ungoooo serikali inakataza 😢😢😢😢😢
@yahyasuleiman9539
@yahyasuleiman9539 2 күн бұрын
Hh
@HorebuKasuku-zz8cj
@HorebuKasuku-zz8cj 2 күн бұрын
​@yahyasuleiman9539😂😂
@Mindset_99-m
@Mindset_99-m 2 күн бұрын
Russia na China wameamua kumpasua kichwa marekani
@GeorgeElias-p5o
@GeorgeElias-p5o 2 күн бұрын
Marekani sio somalia wew.. 😂😂
@kamanapomo7029
@kamanapomo7029 2 күн бұрын
​@@GeorgeElias-p5ounatetea ujinga broo, Kusoma hujui hata picture huoni? Rusia ni habari nyengine kwenye suala la vita
@nizarrama225
@nizarrama225 2 күн бұрын
Multipolar world dunia inataka 💪🏻💪🏻
@abuhamissi9082
@abuhamissi9082 2 күн бұрын
Mwambie aingie kwenye history ya vita ya pili ya dunia. Ndio ataijui Russia. Walivyo mvuruga jerumani. Na
@abuhamissi9082
@abuhamissi9082 2 күн бұрын
Ingia kwenye history. Yavita ya pili ya dunia. Ndio uta muelewa mrusi. Alivyo wafanyia wa germany. Na wa ufaransa
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche 2 күн бұрын
Sio bora kwa urusi,bali kwa ulimwengu.
@SilvesterDennis-q2s
@SilvesterDennis-q2s 2 күн бұрын
Duh nihatar
@danvannyzawad6452
@danvannyzawad6452 2 күн бұрын
king masubi
@ahmedAwesu-g8o
@ahmedAwesu-g8o 2 күн бұрын
Pmoja
@LoneWolf-ng8yg
@LoneWolf-ng8yg 2 күн бұрын
Yani putin hata akizindua gari ya kivita sisi tnafurahi 2😂😂😂😂.
@muhammadmbaraka4515
@muhammadmbaraka4515 2 күн бұрын
Hata akizindua bunduki😂
@SwedyMohamed-vt5zm
@SwedyMohamed-vt5zm 2 күн бұрын
Kweli,huyo ni mtakatifu wa vita.Ni kiboko ya mashoga.
@AlmachNestory
@AlmachNestory 2 күн бұрын
Urusi ya mzalendo wa kweli Vladimir Putin kwa kila kitu wako mbele ya muda, vikwazo walivyoiwekea Urusi vimedunda na kuwarudia wao wenyewe, daima vikwazo vinafanya kazi kwa mataifa ambayo viongozi wake hawajitambui kama wa kwetu Afrika.
@IsayaMngaza
@IsayaMngaza 2 күн бұрын
Hio ndege ni hatari tupu, hii SU - 57 ilikua inaifukuzia ndege Moja aina ya SU- 70, na kuidungua, mara baada ya SU- 70, ilipokua inafanyiwa majaribio na ikaonekana teknorojia ya su-70 umekua mkubwa hadi kupitiliza ikawa inashindwa kujikontroo, ndio ikatumwa SU- 57, na kwenda kuizingira na kuidondosha,...
@SaitotiBuchali
@SaitotiBuchali Күн бұрын
Generali wa urusi alieuawa na ukrain ina ukweli gani na madhara yake ni yapi
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 2 күн бұрын
Yeah
@adnanomary1955
@adnanomary1955 2 күн бұрын
Ukiona video ina zaidi ya dakika 4 ujue huyo ni masubi 😂 sky anapiga dkk2-3 tu
@EriyaRichard
@EriyaRichard 2 күн бұрын
Video nzuri iwe dakika nyingi na aelezee vzr tuelewe
@CJ-vd9wn
@CJ-vd9wn 2 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@samtomkilao6447
@samtomkilao6447 2 күн бұрын
Sema mwana kuelezea bado aisee
@GABRIELGEORGE-qq1nj
@GABRIELGEORGE-qq1nj 2 күн бұрын
ANAJUA SANA BRO. Jifunze ku appreciate vitu vya watu, sio rahisi kama uzanivo wewe
@maniamba.tz_
@maniamba.tz_ 2 күн бұрын
Marekani alizoea kuzipiga Nchi ndogo
@amanbeyanga8055
@amanbeyanga8055 2 күн бұрын
Baba Putin,wanyooshe hao mashoga
@yahyasuleiman9539
@yahyasuleiman9539 2 күн бұрын
Hiyo ndege imeuacha wazi elon maks mwnyew inakitu huto wahi kuona kwnye ndege yoyote dunian 1-kobra manuva iyo kiyu inapatika k ny ndege hiyo su-57 hitona kwnye ndege yoyote duniani na ina uwezo wa kukunja kasi kuliko ndege yoyote
@RayMbonika
@RayMbonika Күн бұрын
Hv f 22 na su 57 ni ipi kali
@saifalyazeedy8351
@saifalyazeedy8351 2 күн бұрын
Hurrrrrraaaaaaaaaaa
@paschalfausitine7108
@paschalfausitine7108 2 күн бұрын
Russia big. National
@FredWabwire-w3q
@FredWabwire-w3q 2 күн бұрын
Waingiyevitani na marekani ndio wajuwe hawanakituhapo.
@fredrickedwardmollel5319
@fredrickedwardmollel5319 2 күн бұрын
Marekani amepeka ngapi ukrane oreshniki .arekani aliogopa aswaa ww ujui kitu ulaya marekani wamepeka silaa ngapi bora pale jiulize
@HassanRamadhanPashua
@HassanRamadhanPashua 2 күн бұрын
Wataka mashoga wakapigane na wanaume Russia ndio kusema
@IdefonceAchimesi-u1k
@IdefonceAchimesi-u1k 2 күн бұрын
Hamna kitu hapo ili ujue hamna kitu aingie vitan na marekan uone watakavyopukutishwa mara moja
@EriyaRichard
@EriyaRichard 2 күн бұрын
Endelea kujitia moyo mbona Ukraine marekani hawaja ingia wazima wazima wametuma baadhi ya Wana jeshi waka pigane na Urusi Wana ogopa Nini mbona miaka ya huko nyuma walikuwa Wana ingia2 na kuivamia nchi zingine bila kuzuiwa vipi Urusi Wana ogopa nini
@HassanRamadhanPashua
@HassanRamadhanPashua 2 күн бұрын
America aliingia vita na nani ujui history nyamaza
@AliyKijangwa
@AliyKijangwa 2 күн бұрын
Mara ya ngap wakati miaka inapita xx wako ukrain 😅 tumia akili yako vizuri
@HassanRamadhanPashua
@HassanRamadhanPashua 2 күн бұрын
@@AliyKijangwa umesahau America alikimbia Vietnam akakimbia Somalia Afghanistan amekaa 20yrs
@issalyanali4119
@issalyanali4119 2 күн бұрын
Marekani Toka iwepo duniani kaingia vitamin na nani? Libya? Iraq,? Sisi tumekomba miji Ukraine mbwaa wako kafanya Nini huyo marekani
@simbaedouardo8499
@simbaedouardo8499 2 күн бұрын
Putin
@IsharaDavid-n1k
@IsharaDavid-n1k 2 күн бұрын
Jifuze kusema ukweli wewe ulisema kama israeli ilipiga nyuklia kumbe uwongo
@africanQueeny-u7o
@africanQueeny-u7o 2 күн бұрын
Amna kitu ameshidwa vita vya Ukraine now amebakiza kulipua abiria
@suwedwakil4392
@suwedwakil4392 2 күн бұрын
Ukute na wewe umechangia kama vile una ujuzi
@africanQueeny-u7o
@africanQueeny-u7o 2 күн бұрын
​@@suwedwakil4392 mm najua kufira njoo nikufire
@SalumMasengwa-b9s
@SalumMasengwa-b9s 2 күн бұрын
Umeshawahi kutengeneza angalau kiwembe Kama Bado basi usimzarau Alie tengeneza Ndege Maana utakua akili yako haiko sawa
@africanQueeny-u7o
@africanQueeny-u7o 2 күн бұрын
​@@SalumMasengwa-b9s ndio nimewai tena kisu cha asili na fimbo, au unatakaj
@Allymzaki
@Allymzaki 2 күн бұрын
Upo duniani au kuzimu? Ujui kinachoendelea huku duniani.
@OnesmoEphrata
@OnesmoEphrata 2 күн бұрын
Aongeze ndege wakati ilifika wakati akaomba poooh kisa lezenski kamuwashia moto ipaswavyo pia akatukanwa na kuitwa MPUMBAVU
@abdullahmapesa
@abdullahmapesa 2 күн бұрын
Big ally nataka jina la Instagram🤳 yako
@thefactbook...1607
@thefactbook...1607 2 күн бұрын
@Chimasubi
@abdullahmapesa
@abdullahmapesa Күн бұрын
@@thefactbook...1607 shukran sana
@MichaelMwandoto
@MichaelMwandoto 7 сағат бұрын
0:00
@SilvesterDennis-q2s
@SilvesterDennis-q2s 2 күн бұрын
Duh nihatar
@SilvesterDennis-q2s
@SilvesterDennis-q2s 2 күн бұрын
Duh nihatar
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 158 МЛН
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН
BMG TV: Taarifa mpya daraja la JP Magufuli (Kigongo- Busisi) Mwanza
12:40
HII NDIYO NDEGE KUBWA KULIKO ZOTE DUNIANI!
4:08
Global TV Online
Рет қаралды 95 М.
Urusi yafanya Mashambulizi Makubwa ya Anga dhidi ya Ukraine
3:12
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 7 М.
BSS 2024 SE15 EP03 UGANDA | FULL SHOW
1:00:09
BongoStarSearch
Рет қаралды 62 М.
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 158 МЛН