RECAP: MARIOO atapotea Kimuziki, amekuwa CHEAP kimataifa hapawezi, HAKUNA MATATA imekufa, anakosea

  Рет қаралды 5,956

Bongo5

Bongo5

Ай бұрын

Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!
We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!
#entertainment #news #music #funny

Пікірлер: 58
@jumastephano2688
@jumastephano2688 Ай бұрын
Una point sana kaka nkukubali sana
@mgimbaboniphace
@mgimbaboniphace Ай бұрын
Kitu nichogundua watu hampendi ukweli uyu jamaa anaongeaga sana fact
@user-qf6dh9hy8c
@user-qf6dh9hy8c Ай бұрын
Anamtaja mond coz ndo icon ya Africa,mfanowa kuigwa,kioo
@MkomboziKaoneka
@MkomboziKaoneka Ай бұрын
Umeongea point sana yaan awe anawaangalia kina diamond harmonize alikiba
@tomsijohni
@tomsijohni Ай бұрын
hao wote unaosema ni wasanii wa East Africa Mondi zamani ndo alifika international ila kwa sasa ni East Africa pamoja na Ally kiba wakina harmonize ni East Africa
@johariabdalla3319
@johariabdalla3319 Ай бұрын
Sio kuona ngoma zinafika wapi,nadhani zinamuingizia pesa nyingi kupitia platform zote huko wanakouza nyimbo,nadhani anaangalia hilo,asharidhika na kipato kinachoingia,wanaingiza pesa nyingi kupitia platform wanazouzia nyimbo.Kwahyo wengi wao hawashuhuliki sana kufika huko mbali,au kutafuta mastaa wakubwa wa nje kutowa mapesa mingi kufanya nao collabo,madhali washaona wanaingiza pesa nyingi,na ndo ukweli wenyewe,maono yangu ni hivyo
@tausikiyabo6302
@tausikiyabo6302 Ай бұрын
Kizuri chajiuza harmonise hajafanya promo hata na single again ilienda kimataifa na colabo na msanii wa Marekani haijahit kwa hiyo muda wake Ukifika atatoka huko kimataifa
@museojohn3879
@museojohn3879 Ай бұрын
Kabisa pia komasava diamond alipost dance challenge tu
@kilimanjarostarlounge
@kilimanjarostarlounge Ай бұрын
bro utasema sana lakini kwa ushari wangu pia alika wadau wa mziik kujadili mambo kama haya wachambuzi kama nyinyi mnaitajika kuwa wengi kuliko machawa kusifia tuu hawanza ushauri wa maana kwenye mziik tengeneza oja kama hiz alika watu kujadili utaenda mbali na wasani pia watabadilika wakiona mijadala ukisema wew tuu kila siku itaonekana kawaida
@VitusEmmanuel-pe3yi
@VitusEmmanuel-pe3yi Ай бұрын
Kila mmoja ale urefu wa kamba yake tulia afanye Kaz vp ww
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Ай бұрын
Apo Kwa Mario umeongea vizur Sana na unafaa Sana kuwa meneja wa kusimamia wasanii japo Kwa ushaur kwamana unajua mashalah na unalo jicho lakuona mbal
@DullahMayaula.
@DullahMayaula. Ай бұрын
Yaan..wew unazngua kwan huwez kufanya interview bila kumtaja mondi yaan ww..kila interview sijui mondi alifany hik tunachoka tutaacha kukusikilza unazngua.ujue..
@ziggertv3185
@ziggertv3185 Ай бұрын
Achaaa
@AugustinMuswabantu
@AugustinMuswabantu Ай бұрын
Kwani marioo ni mkubwa
@kennedymafole
@kennedymafole Ай бұрын
huku wenye D 2 hawawezi kukuelewa kaka, unatema madini matupu mzee wangu.
@HazardHbcomEmmanuelprodduseign
@HazardHbcomEmmanuelprodduseign Ай бұрын
Je dois me forcer connaître le swahili tu parle se qui est réel merci Brot courage vraiment.
@nicolenabintu2509
@nicolenabintu2509 Ай бұрын
Sianze kukuomba shahuri at last
@GeraldSmith282
@GeraldSmith282 Ай бұрын
safi sana
@NathanSaad-qf7gp
@NathanSaad-qf7gp Ай бұрын
Umeongea sana broo
@user-gf4zp4si6x
@user-gf4zp4si6x Ай бұрын
Hahahahahhahabahahahahaha mwanangu nakukubali sana
@ankalmzito254
@ankalmzito254 Ай бұрын
hamsha hamshaa kumekucha😂😂mzee baba wacha mashabiki waje sasa hapa utakiona mtema kuni😂😂😂😂😂😂
@user-gf4zp4si6x
@user-gf4zp4si6x Ай бұрын
Strategic hana
@user-hm3qm2nf1v
@user-hm3qm2nf1v Ай бұрын
Marioo ana management hajiongozi mwenyewe tofauti na harmonize, Raivanny na Diamond wao wanajiongoza wenyewe
@BADdirector632
@BADdirector632 Ай бұрын
fact broo anakosea
@JumaHuseni-in8wv
@JumaHuseni-in8wv Ай бұрын
Nonsense broo...Mario sio mkubwaa kama unavyozani😂😂😂. Bado anajitafutaa, na huwezi kumlinganisha Mario na Mondi...apo umezingua.
@dkensmopainvevo3683
@dkensmopainvevo3683 Ай бұрын
Wewe kama huelewi rudi shule braza
@user-hm3qm2nf1v
@user-hm3qm2nf1v Ай бұрын
Marioo hajitafuti😮😮😮😮 kibongo bongo ameshajipata kwenye top 5 kwa Tanzania yupo tena bila ya lebo kubwa
@RiddoRiddo-jj1bx
@RiddoRiddo-jj1bx Ай бұрын
Iv unajua mzik w
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 Ай бұрын
Muache acheze east africa bado kuenda international.Hilo ni swala la muda
@tigejuma9865
@tigejuma9865 Ай бұрын
Mondi hawez toa hizo Ngoma mbili ambazo marioo aliimba nae....juu mondi yye akishafunikwa Ngoma inafutwa😅....ata bifu lake yye na kiba kwn ilikua n nn? Isitoshe pia akaiba Ngoma ya kiba tena.... sikomi akaimbia yye...kiba hajawai ongea Mpka Leo hii...lakin kina K.G.T wanajua kila kitu.😅
@user-gf4zp4si6x
@user-gf4zp4si6x Ай бұрын
Hahahahahhahabbahab mariooo wabaki hapa
@barekebavugemasudi3436
@barekebavugemasudi3436 Ай бұрын
Marioo shida yake watu wanamzunguruka njo wanamponza sana wanamwambia ni mkubwa anangoma kali ila ss kwel ni kali ila sio hit njomaana atatowa ngoma nyingi nzuri ila wakitia2 ngoma moja ya mondi shuu ama comasava wanaona hana ngoma kali , wakiweka single ya konde imekuwa hit kuzidi ngoma zake zote alafu analilia tuzo sasa😂
@user-gf4zp4si6x
@user-gf4zp4si6x Ай бұрын
Broooo unaelimu kubwa sana ya mziki
@salimhassan3369
@salimhassan3369 Ай бұрын
Kibongobongo ao wakubwa awajai fanya show kwa stage kubwa kubwa zile tunazo ona wanigeria wakipiga Show...Bado tupo nyuma kimataifa kuanzia lugha mpaka kibiashara za kimuzik😂😅
@Onge-shabani1994
@Onge-shabani1994 Ай бұрын
Uyu jamahaa kimataifa kila siku , ana fikiria utakata tiketi na uwende tu 🤣🤣🤣🤣🤣 ? Ili ufanye nyimbo na msaniii mkubwa lazima uwe na zaidi ya dollars $50,000 sasa nani atowe pesa iyo kwa sababu ya colabo? Alikiba ame fanikiwa bila colabo yeyete kubwa , Leo yupo na halali jahaaa
@museojohn3879
@museojohn3879 Ай бұрын
Sasa nashagaa akiombwa collabo Na msanii amnyime ama
@user-hm3qm2nf1v
@user-hm3qm2nf1v Ай бұрын
Anamfundisha roho mbaya 😮😮😮😮😮
@abdul-kareemkhamis3303
@abdul-kareemkhamis3303 Ай бұрын
Dah ww ni mtangazaji mwenye maono makubwa sana
@Mwadaba
@Mwadaba Ай бұрын
Usisahau na media yako inatakiwa iende kimataifa zaidi utatisha sana
@martinomwakyusa8184
@martinomwakyusa8184 Ай бұрын
Mzikii wa bongo ata miaka kumi ijayo hatuwezi kufika uko boss tunajitekenya afu tunajichekesha muache dg afanye mzikii uuh ndio unamlipa bhanaa kwaio hakuna aja ya yeye kufocus na mataifaa
@vanjay8685
@vanjay8685 Ай бұрын
Mimi husema kila siku kwamba marioo ni msanii tu wa kawaida sijui mbona unamtukuza sana ivo...viongozi wa maana hana na very soon kila mtu atamuona wakawaida tu kama rayvanny
@alibinali_
@alibinali_ Ай бұрын
Wasani wa Nigeria wakubwa wako Italy kuna jambo kubwa amekunata na wasani wengine international
@malitozzy3538
@malitozzy3538 Ай бұрын
Sija ikawa kama asilay naye alikuwa ana toa back to back nakupotea
@user-hm3qm2nf1v
@user-hm3qm2nf1v Ай бұрын
Marioo nyimbo zake ni 2 tu away na hakuna matata zilizobaki zote collabo
@user-gf4zp4si6x
@user-gf4zp4si6x Ай бұрын
Recarp HUYO MARIOO HANA MAAARIFA YOYOTE YA MZIKI ANAJIENDEA TU
@IrHubson_Christensen24
@IrHubson_Christensen24 Ай бұрын
Huwezi ku maliza interview bila kumtaja domo zege😂😂bro kiukweli siku pend kwa sababu una egamiya upande umoja tena ni bora usiwe unawazungumziya wasani wetu , baki na huyo chawa wako…n’importe quoi
@Mohaa4309
@Mohaa4309 Ай бұрын
Cheapest huyu Mario, colabo za nje hana, yeye ni colabo tu, Mr nice, Ay, Darasa wote wakazi gani wasanii hawana trending yoyote, pumbavu kabsaa.
@user-gb2ne5lp5t
@user-gb2ne5lp5t Ай бұрын
Ndio maana views wako wako chini... unaongea ujinga tuu😂😂😂😂
@amanitaura85
@amanitaura85 Ай бұрын
huyu jamaa ni fala sana ni wale ambao walitahiriwa kumbe ni mashoga harmonize aliimba hiyo nyimbo😂😂🫵🏽🖕🏿
@thierrybisimwa3312
@thierrybisimwa3312 Ай бұрын
Mbona diamond mwenyewe ame stuck chini ya wa Nigeria, nabadogo una msifu, acha watu wapambane bro. Ushabiki wako kwa WCB usikufanye mjinga.
@vanjay8685
@vanjay8685 Ай бұрын
Ni kama hufuatilii mziki
@thierrybisimwa3312
@thierrybisimwa3312 Ай бұрын
​@@vanjay8685wewe unaye fatiliya mziki nione she show za diamond inje ya Africa I mean USA, UK, Australia,... Kama sio kwa bar, nami nikuoshe show za wanigeria 02 arenas, na kwenye international stages. Simba wenu bado msanii wa africa kimataifa bado sana.
@vangraphixvan8320
@vangraphixvan8320 Ай бұрын
Yupo porin huyo
@thierrybisimwa3312
@thierrybisimwa3312 Ай бұрын
​@@vangraphixvan8320hamujasema bado 😂mwambino anapiga show za bar ulaya wakati wenzake wanajaza arena.
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z Ай бұрын
MNAIJUA SAFARI YA ASLAY??HAITOFAUTIANI SANA NA YA MARIOO
@MoneyKey247-fk4oy
@MoneyKey247-fk4oy Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@MoneyKey247-fk4oy
@MoneyKey247-fk4oy Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉
@HazardHbcomEmmanuelprodduseign
@HazardHbcomEmmanuelprodduseign Ай бұрын
Je dois me forcer connaître le swahili tu parle se qui est réel merci Brot courage vraiment.
БАБУШКИН КОМПОТ В СОЛО
00:23
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 16 МЛН
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 82 МЛН
HAYA GUSA TUZO TUISHANE UTACHEKA NDARO NA STEVE
10:34
Ndaro Tz
Рет қаралды 304 М.
SHILOLE AKIRI "NITAOLEWA HATA NDOA 30, KWANI KUNA UBAYA?
23:13
Millard Ayo
Рет қаралды 50 М.
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
0:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 7 МЛН
Мировой Рекорд по Засыпанию (@DazByron )
0:30
Голову Сломал
Рет қаралды 6 МЛН
Matt Kills Dexter's Deer | Dexter: New Blood S1E1 | #Shorts
0:51
Clashed PR
Рет қаралды 12 МЛН