Usisahau ku"SUBSCRIBE" KZbin channel yetu kwa videos nyinginezo #zamaraditv #mambonimengi
Пікірлер: 158
@Tuu20193 ай бұрын
Kajitahidi saaaaana kwa age yake na misha ya bongo congratulations mamii.. Hay Da zama tuletee dada director please guy's like km yes
@kautharjay58683 ай бұрын
mbona wakawaida tu
@leaherasto9293 ай бұрын
@@kautharjay5868 acha roho mbaya ww
@faidhamohamed72033 ай бұрын
Eti kawaida kaaa🙌🙌
@ukhutfatumah11542 ай бұрын
@@kautharjay5868 unacheza wewe ebu tuoneshe yako uwenda mbk. Leo unasubilia ugali wa kengengele hapo kwenye
@nyasolugoe88912 ай бұрын
Zuuu collection ndio habari ya mjini sasa hivi, product zake zote zipo poa,,, Hongera sana zuuu ❤
@TatoOman-s5t3 ай бұрын
Saleh ukiwa unawahoji sana wafanya biashara Yani wajasiriamal inapendeza sana maana tunajifunz jins ya kupamban
@sajdatomar60252 ай бұрын
Kweli kabisa
@nasrachimamy2 күн бұрын
San
@MaryamaAlly3 ай бұрын
Mchangamfu sana nampenda zuu collection😅
@cdeleo93362 ай бұрын
Kwanza hongera your house is well organized na ipo clean
@zuwenasalim27943 ай бұрын
Salehe Ukija kwangu makochi yangu hupandishi miguu hivyo ntakutimua shenzi kabisa ukaaji gn kwa watu huo
@SafiaOmar3 ай бұрын
Salehe please usimuulize mtu kwanini huna mtoto? Sio swali zuri
@tanzcanmediatv44733 ай бұрын
Ni swali la kawaida sana kwa siku hizi kuna wengi hana mtoro for her choice kwanini asiulize mxiuu
@SafiaOmar3 ай бұрын
@@tanzcanmediatv4473wanaojielewa Tu ndio wataelewa comment yangu
@evamwambapa52512 ай бұрын
@@tanzcanmediatv4473 mh hii sio kawaida
@Vee-w3x3 ай бұрын
Host jifunze ustaarabu usiwe too comfortable nyumbani kwa mtu. Unaingia moja kwa moja unapandisha miguu juu ya kochi muhusika mwenyewe hajafanya hivyo..hovyo kabisa
@nancyg86643 ай бұрын
yan, Kuna wengine hatupendi
@gracemmary78903 ай бұрын
True
@pendosailo19892 ай бұрын
Sure.
@fatmaabdillahi54Ай бұрын
Yn anavojiweka km kwao 😅😅😅
@JUU-lw2je2 ай бұрын
Saleh tunataka tupaone pia kwako
@khadijauledi32933 ай бұрын
HONGERA SANA ZUU. TUNASHUKURU KWA USHAURI
@MohamediKalanje3 ай бұрын
Hunywi pombe wakati mezani kuna chupa ya wine ila wabongo bhna😂😂😂hv kwann linapofika suala la kunywa pombe mnaruka distance kubwa sana why passing around
@WinWilly41623 ай бұрын
Si kila chupa za design hiyo ni wine my dear. Kuna chupa za mafuta ya zaituni zinafanana hivyo mimi pia natumia zaituni kama hiyo
@evergreenmushi21713 ай бұрын
Na amesema anaishi na ndugu zake wa5 so inaweza kua ya hao ndugu zake, watu bana@@WinWilly4162
@elphinejoshua19143 ай бұрын
Nice zuu, Mungu akusimamie.❤❤❤❤❤❤
@aminaothman21363 ай бұрын
Mashallah kijumba kizuri
@emmanuelmwakyusa62733 ай бұрын
Zuu your very smart, I like the way you express yourself
NYUMBA KALI. KUBWA...UNASHNDWA KUMWAGA ZEGE APO NJE UKATOA AYO MAJI TAKA UPITE VIZURI NA GARI LAKO??...AU NDO USWAZI..
@IreneMacha-d5q3 ай бұрын
Mbona unakipele ww .Aya onyesha ya kwako yenye zege..
@zuhrazuhra6373 ай бұрын
😂😂😂😂😂@@IreneMacha-d5q
@annajohn24883 ай бұрын
Mwaga kwako
@nancyg86643 ай бұрын
@@IreneMacha-d5q anakwake basi au chumba kimoja kama stoo
@MohamediKalanje3 ай бұрын
Yan hapo kweny ilala boma hapo nmekubali sana maana ilala boma saa 10 uwe ushafk kuchukua mzgo aisee
@jamilaathumani54813 ай бұрын
Anaonekana ni mkarimu sana dada zubeda au zuu collection
@arafakhamis33362 ай бұрын
Hongera dada
@najathismail67392 ай бұрын
Amefanana zaylissa kabisa ety adi uref
@shabanbajhanun902 ай бұрын
ata me ndo nilijua hivyo mwanzo
@joailynetoto21472 ай бұрын
@joailynetoto2147 0 seconds ago Congrats wii….Kweli unapambana sana, ni mfano wa kuigwa na inspiration kwa wengi hasa kwa sisi tulioshuhudia hustle zako tangu enzi hzo❤️Keep pushing
@mustaphasegeja17123 ай бұрын
Mpole sana
@HassaniMakhalani3 ай бұрын
Sema anaongea sana mpka mtu anaye muhoji ampi chance ya kumuuliza maswali
SALEHE NA GABI MTANZANIA MNAPENDA KULA KWA WATU😂😂😂😂 YAANI MMEONA MUEKEE SINI YA KULA KABISA 😮
@jamillahkheir65363 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@lytrapha86772 ай бұрын
Salehe apunguziwe mshahara maana hana ratiba yakununua chakula😂
@ukhutfatumah11543 ай бұрын
Mashaallah wallah ni mkalim sana wewe dada zuuu Allah azid kukuweka acha nije Instagram nikufollow
@gracetemba58512 ай бұрын
Nampenda sana huyu dada
@Taito-brand3 ай бұрын
Ila anaongea sana yna hat ajaulizwa mda wt mdomo unachez tyu
@YunisJerald3 ай бұрын
Ukaaji wa kochi la watu mwandishi wewe😂😂
@aishaosman-hq7fl3 ай бұрын
Hata ukaaji piya siwakisitarabu
@esabelfadhili84323 ай бұрын
Mimi naijua zuu collection ila owner ndio Leo namuona😮
@newzon5300Ай бұрын
ANAKAAA KWENYE KOTAAA😅😅😅
@AminaAbdallah-yj8ns3 ай бұрын
Ameonyesha nyumba yake vizury hivyo ndo star ndo atakiwa awe❤❤sio kina zuchu kuonyesha kitanda😅
@StellahErick-wx5tw3 ай бұрын
Huyu dada mafuta yake yanaonekana manzuri sana tukitaka dada mafuta tunafanyaje tuko mikoaan
@animallovers34733 ай бұрын
Anatuma mpka mikoani
@ZiyandaMhlana3 ай бұрын
Nice life enjoying
@shirimabenedict54312 ай бұрын
Uyo boya nawekaje mguu kwenye kochi ustaarabu wake wa hovyo
@praisesteven77743 ай бұрын
ila umejichubuaaa saan 😂😂😂😂
@imakulatabakarysumaye9235Ай бұрын
Huyu kaka alikuwa na njaa😂
@edinalihedule76092 ай бұрын
Mngeta sio morogoro😂Ila zuu bhana ndio morogoro yenyewe ila nivijijini
@giztony20092 ай бұрын
Aise kumbe nimesoma naye bila kumjua nadhani anamjua mwalimu lyandamaa
@estertiffa-ew5id3 ай бұрын
Congleshen my sister zuuh
@reginamluviji94053 ай бұрын
mafuta ya huyu mdada ni mazuri jamn yani mazuriii mnooo niliwahi jipaka natamani kuyarudiaa kila mtu aliniuliza napaka nn
@CaroOsborn3 ай бұрын
Ulipaka full package au mafuta tu dear
@Hadijaissa-j9c3 ай бұрын
Sh ngap
@emmastraika3 ай бұрын
NDINGA???
@BabygirlDadiyo3 ай бұрын
Mkubwa huyo
@MuddyKishoma2 ай бұрын
Camera man pole yako 😂
@janethelitwaza2133 ай бұрын
MUNGU AKUBARIKI HONGERA
@sund25533 ай бұрын
Kajaz vitu seating room na rangi nyingi mpk hapa vutii
@druumarley21593 ай бұрын
Dah! Ila wabongo, yeye ndie kapenda kuwe ivyoo kila mtu na choice yake
@esterMahenge3 ай бұрын
Ukweli lakini japo sijui sana mambo ya mapambo😂
@hildagabriel10033 ай бұрын
Ww kwako kupoje
@esterMahenge3 ай бұрын
@@hildagabriel1003 mapambo yake ni mazuri ila yamekua mengi mno analafu langi aijaendana na sofa na mapazia kwaiyo ayapo kwenye mpangilio mzuri sebule aija pendeza🙏🏻
@cdeleo93362 ай бұрын
Wivu kitu kibaya mno
@Virgo-l1s3 ай бұрын
Daa zuuuu nitakutafuta
@LightnesskamoneyKamoney-lr1sn3 ай бұрын
Mmmmmmh ajatueleza ukweli wote anaongea kama anajaba
@elphinejoshua19143 ай бұрын
Show dizz mumtafufe madame wema
@kashindesalha81073 ай бұрын
Salee unahekaheka mwisho utamwaga hiyo wahini😂
@AzaAzamhmod2 ай бұрын
Hyu zuu 40 na usheeee kikubwaa hiki kimwili tu😂😂😂😂 watu wembamba kwa kuongea
@giztony20092 ай бұрын
Watu wako wa small planet
@bennamush46163 ай бұрын
Kwahyo jaman camera man Hali jamni
@halimamohammed64103 ай бұрын
Salehe jmn nii mmbeyaaa
@Tariq_Tryagain3 ай бұрын
Ila hamna mtu anapitia kipindi kigum kama cameraman wa Saleh😂💔
@Neemajames-jo6vw3 ай бұрын
Yani mm namfikiliaga
@CHRISTINAMAGASI2 ай бұрын
Y jmn@@Neemajames-jo6vw
@halimaKaniki-g6iАй бұрын
@@Neemajames-jo6vwnayeye anakula nyuma yacamera
@SabrinaFatuma2 ай бұрын
Mm nataka nambar yake jamn
@dominaferuzi39013 ай бұрын
Ulikuwa unafanya KAZI benki gani? Congrats Mungu akuzidishie
@praisesteven77743 ай бұрын
viatu vibayaaaa😂😂😂😂🫠
@StellahErick-wx5tw3 ай бұрын
Banzuri
@JescaMmbando3 ай бұрын
🤙
@faudhiasalum72793 ай бұрын
😂😂Saleh 😂
@anjelinakasembe8453 ай бұрын
Huo sio ustaarabu kuweka miguu kwenye sofa ukiwa mpeni fanya kwako hinyo
@Brunn-mh2bq3 ай бұрын
Tabia za ajabu sana watu wamezizoea siku hizi . Ati ndio uzungu😊
@chai_r3 ай бұрын
@@Brunn-mh2bqsio uzungu kabisa.
@kautharjay58683 ай бұрын
@@Brunn-mh2bqmtu alizoea Sana kukaa kwenye busati ndo tatizo
@NathaliceMushi3 ай бұрын
Ivi saleheeee ukiendaga kufanya interview Huwa unawaambia wakupikie kabisa au???? 😅
@esterMahenge3 ай бұрын
Watanzania mgeni anapo fika nyumbani lazima umpe chakula ukikosa soda ,matunda,ata maji 🙏🏻
@StumaiSaid-mx4pb3 ай бұрын
Punguza uroho wewe😂😂😂😂
@rkcomercialenterprises32093 ай бұрын
Show room hakuna gari ya bei hiyo,sema yard za magari mitumba
@tanzcanmediatv44733 ай бұрын
Wewe miaka hiyo mimi nilinunua gari show room ya laki nane.wewe umewaza v8 au nini acha ujuaji usiokuwa na research