RECAP: Ni kweli ZARI alimtambulisha DIAMOND Afrika Mashariki? Ubilionea je? BIFU na FANTANA

  Рет қаралды 23,954

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер
@Umwiyemezi911
@Umwiyemezi911 Жыл бұрын
Jaman nipeni like zangu Kama una mkubali Sky
@m___ck799
@m___ck799 Жыл бұрын
First of all, Diamond ameenza kujulikana sababu ya Wema Sepetu- aliyekuwa maarufu sana kwa kuwa Miss Tanzania miaka hiyo. Yeye ndiye alimfanya Diamond kujulika East Africa lakini pia yeye Diamond aliitumia opportunity akaitumia kisawa sawa...ndio huyu sasa!Platnumz..😁 but Zari did add Value kwa Diamond maana Diamond alikuwa hana pesa na Zari was a Boss Lady already!!
@mohamedally5225
@mohamedally5225 Жыл бұрын
Nyie mnachekesha sana hiyo wema ashakua na wanaume wangap na hawajulikan daimon kajitafuta mwenyewe bila kutolewa na mtu
@svt3
@svt3 Жыл бұрын
M__CK: na Wema ameisha kuwa na wanaume zaidi ya kumi na hao wanaume hawana chochote wala sio jina wala pesa, Zari baada ya Diamond alisha badilisha mara 4 au zaidi tena vijana watoto na hakuna umaarufu alisha waongezea
@jonathanmwanja3994
@jonathanmwanja3994 Жыл бұрын
Zari didn't have money . She just inherited from her late husband Ivan.
@annachristian1350
@annachristian1350 Жыл бұрын
wema ndio alimwandikia kamwambie?
@afixjomo
@afixjomo Жыл бұрын
@@annachristian1350 nimecheka hila humemaliza mada,
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 Жыл бұрын
Zari is a bully,she bullied Ann 2face's wife in the last episode am happy this time round she got her match,,fantana well done baby girl ...💃💃
@pichunakichuna2111
@pichunakichuna2111 Жыл бұрын
The only Tanzanian channel I trust , greetings 🇰🇪🇨🇭
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti Жыл бұрын
Thank you
@Misskavalau
@Misskavalau Жыл бұрын
Tunawapenda sana from 🇧🇮🇨🇭
@pichunakichuna2111
@pichunakichuna2111 Жыл бұрын
@@Misskavalau nice I leave in Basel Kanton
@Misskavalau
@Misskavalau Жыл бұрын
@@pichunakichuna2111 niko Freiburg
@Bravo-or8oy
@Bravo-or8oy Жыл бұрын
👏👏👏👏Sky kama kupromote show umeipromote maana imeingia top 10 toka Jumamosi na bado ipo, keep it up
@CedOG
@CedOG Жыл бұрын
I’m from RWANDA 🇷🇼 and this content is disturbing😂 WE ALL KNEW DIAMOND BEFORE THAT CHICK(Zari) WE KNEW DIAMOND WHEN HE SANG A SONG CALLED “MBAGALA” bro Diamond was on fire since 12 Years ago when he made a collabo with Romy Jones and Fatma called “Toka Mwanzo” and y’all bringing this chick Zari up is nonsense, You’d have at least said WEMA SEPETU, DIAMOND MADE THAT CHICK (Zari) known coz before she got the money from her ex-husband “RIP to him” who’s passed away, I’m telling y’all, no one knew Zari really exists😂😂 put some respect on Diamond Platnumz Name cuz🫡🫡🫡
@ndindaqueen9346
@ndindaqueen9346 Жыл бұрын
That grand ma Zari she is just an idiot
@idayattijani5341
@idayattijani5341 Жыл бұрын
To you,to others it different so everyone is right with their own view
@salmaathuman9156
@salmaathuman9156 Жыл бұрын
Fantana apewe maua yake kajua kutunyoshea bibi wa sauzi 😂😂amezowea kututukana wabongo 🤣
@davinaheven4794
@davinaheven4794 Жыл бұрын
Kibibi cha botox kimenyooshwa
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Жыл бұрын
Diamond platnumz, kajulika East Africa kwa Collabo na Davido, hivyo ndo ninavyojua. 🙌🏽
@freelancer6368
@freelancer6368 Жыл бұрын
No that was Africa..East Africa alijulikana through nitarejea, Kamwambie na nataka kulewa after collabo na Davido wakazunguka African countries
@mohamedimohamedi58
@mohamedimohamedi58 Жыл бұрын
Chris umeongezeka sana uwezo wako wa uchambuzi.hongera bro
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti Жыл бұрын
Sure, Creez yuko on fire!
@mohamedimohamedi58
@mohamedimohamedi58 Жыл бұрын
Niko pande za Hartford 🇺🇸 huwa nyinyi i nawasikiliza kwa karibu sana hongereni
@mohamedimohamedi58
@mohamedimohamedi58 Жыл бұрын
Oh is Creez not Chris big sorry!
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 Жыл бұрын
Diamond ndo dawa ya zari ...matukio tu nothing else yaani diamond alivyolisifia lili kiss lazma zari aumie tu....🤣 Nassib.....👐
@SWAHILINATION
@SWAHILINATION Жыл бұрын
Been waiting for this! 😂😂😂 Sky! This recap should be another reality show! Well done SNS
@loicebaraza
@loicebaraza Жыл бұрын
Mali ya Ivan waliwachiwa watoto,she was managing until the kids become of age,ndio sababu anakubali kwenda kudhalilishwa kwa vipindi kama hizi,Netflix ilimleta Fantana na akawekwa na Diamond because hapo itauza sana,Diamond is controversial and big and has a bigger audience,Swanky kuwakilisha mashoga,show iende
@filskischannel9737
@filskischannel9737 Жыл бұрын
Ni kiki iyo na siyo kitu kingine apo Mondi alikuwa amekitafuta. The master of Kiki
@edwinjohn6334
@edwinjohn6334 Жыл бұрын
Wa kwanza jaman nipeni like zang🎉🎉🎉🎉
@Tinx.
@Tinx. Жыл бұрын
SnS, we love you! You are so on point 🇰🇪🇺🇸
@shakira1301
@shakira1301 Жыл бұрын
Best recap ever
@freelancer6368
@freelancer6368 Жыл бұрын
Kusema alimtambulisha Diamond Africa mashariki ni Uongo kabisaaaa.Tulimjua Diamond 2012 yeye tumemjua through Diamond.She was only popular in Kampala until she dated mondi in 2015 that's when we got to know her.Sema Kawaida ya madem mkiachana she will claim she built you na may be kitu alikusaidia ni handkerchief tu ama vest
@ndohoriomsacky445
@ndohoriomsacky445 Жыл бұрын
Ngoja zari ajiengue tuone upepo kwa daimdy utavuma au atazungumziwa yeye mwenyewe daimondy anajijua
@mejamiela7436
@mejamiela7436 Жыл бұрын
Diamond platnumz ndo alimtambulisha zari
@millymack1370
@millymack1370 Жыл бұрын
What Modi and Fantana have is a Fling..not infatuation there's a difference.
@kimah9855
@kimah9855 Жыл бұрын
Leo sina lakusema, but much love from Finland❤❤❤❤❤SNS Nawapenda sana
@messiahfeatures3994
@messiahfeatures3994 Жыл бұрын
Kiukwel Diamond alikosea huwezi kuwa mpnz wako mpya ukaanza kutoa siri zenu ambayo umeongea ama kupanga na mama watoto wako, mwanaume mwenye hekima na busara humsitir mkewe ama mzazi mwenzie. Sio sifa kutoa siri za ndani hta kama mapenzi yameisha. Huyo Fantana nae hajitambui hawezi kufurahia kuzalilishwa kwa mwanamke mwenzie akumbuke nae yuko sokoni anajinadi🤣
@chiefndatu1895
@chiefndatu1895 Жыл бұрын
Hapana nmemjua zari 7bu ya chibu, kwanza akua anaitwa zari, b4 alikua Zarina
@trishtrish2349
@trishtrish2349 Жыл бұрын
Zari ashawahi jioa so hiyo ndoa yake na shakib ni ya kiki tu kama mahusiano yake na king bae
@getrudeodanga2609
@getrudeodanga2609 Жыл бұрын
😀😀😀😀😀😀😀
@sophiahmedza929
@sophiahmedza929 Жыл бұрын
😂😂😂bi tukinao kamuoa shakib.baada ya kuona Akothee kafanya white wedding
@trishtrish2349
@trishtrish2349 Жыл бұрын
@@sophiahmedza929 kweli
@kingria255
@kingria255 Жыл бұрын
Ubilionea maana yake sio kuwa na bilioni kwenye akaunti. Ili useme wewe ni bilionea lazima thamani ya mali zako zote (Assets) ukitoa madeni yako yote (Liabilities) jibu liwe bilioni na zaidi. MO Dewji ni bilionea certified kwasababu ana uwezo wa kulipa madeni yake yote kwa asset alizonazo na Bilioni+ ikabaki. Ana net worth ya bilion, hence ni billionaire. Na ukiwa unasema we ni bilionea international lazma status isome kwa USD (Forbes ndo wana kazi ya kufuatilia na kutambua watu hawa).
@natureboy972
@natureboy972 Жыл бұрын
Anaweza kuwa na billion yarand kweri ✔️
@Truly_Afrikan
@Truly_Afrikan Жыл бұрын
Aaah wee sio kweli but Mondi ndio kamtambulisha Tukinao East Africa, we never knew her at all
@sabrinamustafa8554
@sabrinamustafa8554 Жыл бұрын
My favourite sho RECAP❤
@barankenyereyejosh8410
@barankenyereyejosh8410 Жыл бұрын
Récap kali sana nyinyi wakali sana nawapenda kweli kweli. Nikifungua simu naanza kwa shortcut Yangu pendwa SNS
@millymack1370
@millymack1370 Жыл бұрын
Am from Kenya na Nilimjua Zari baadaya ya kutoka na Modi...i never heard of her not even once 😂😂
@Lassana755
@Lassana755 Жыл бұрын
Kunywa togwa nakuja kulipa ❤
@annitabobo5438
@annitabobo5438 Жыл бұрын
Zari had a realty show on KZbin and that how I knew Zari but Diamond I knew him through Wema. But frfr Zari is 🔥
@freelancer6368
@freelancer6368 Жыл бұрын
Why is she claiming she introduced diamond to east Africans yet most of us knew her through Diamond?
@idayattijani5341
@idayattijani5341 Жыл бұрын
​@freelancer6368 yes some of us knew him through zari. Some through wema some through music all valid.He trended and was known by many because of his music and zari
@patricialuande9540
@patricialuande9540 Жыл бұрын
U are right Cris...she did over react...i watched the whole episodes...kweli diamond alimwambia Fantana baada ya kuona maadam anamcontrol na zile feelings kwa diamond....x
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 Жыл бұрын
She's over controlling yet her and diamond are not dating but only co-opareting.
@zirochance2639
@zirochance2639 Жыл бұрын
Fresh
@BigZhumbe
@BigZhumbe Жыл бұрын
Zari kwa Mondi hazungushi ......... Mondi akipepesa macho tu Zari anavua pichu 😂😂😂😂😂😂
@Nikita_8017
@Nikita_8017 Жыл бұрын
When they are acting and shooting they repeat like several times, thats why you find Diamond English good
@carimabdou9165
@carimabdou9165 Жыл бұрын
Vraiment vous êtes des grands analystes,quand Zari dit dit que c'est elle qui a fait que Diamond soit connu East afrika?? Non non non, c'est la musique de Diamond qui lui rendue populaire, aller sur les réseaux sociaux voir avant et après que ces personnes soient ensemble qui a bénéficié de la popularité de l'autre,Zari a perdue sa valeur,
@evenabwire1860
@evenabwire1860 Жыл бұрын
It's true. In UG. I new Diamond from Zari
@freelancer6368
@freelancer6368 Жыл бұрын
A star in UG is hardly known in east Africa.Your artists only perform in Uganda so you are in another world
@hakimataibrahim9887
@hakimataibrahim9887 Жыл бұрын
A big BS Chris❤
@millymack1370
@millymack1370 Жыл бұрын
A Billionaire who cant afford her own house...if Zari was rich she would be living in paradise.😅😅
@idayattijani5341
@idayattijani5341 Жыл бұрын
She is living in her house,owned houses still renovating some.A jealous soul is what you are.She bought her children apartment each,see how you're crying everywhere. None has called zari a thief,but fantacoke is a well known thief
@faustinombilinyi9809
@faustinombilinyi9809 Жыл бұрын
Ukiona mwanamke anafunguka SN kitu kidogo jua bado anampenda SN Ila km hampendi huwa wanapotezea tuuu
@suntzu8959
@suntzu8959 Жыл бұрын
Hata ukiwa na billion ngapi za Tz, au currency zingine, kama ukiziconvert hizo billion kwa Dollar na hazifiki zaidi ya billion dollar, wewe siyo bilionea. Hata MO Dewji anaitwa billionea kwa USD siyo Shilingi.
@hakimataibrahim9887
@hakimataibrahim9887 Жыл бұрын
The problem I have with Zari is her arrogance. Always calling people low life. God will for ever favors the humble
@hawa2235
@hawa2235 Жыл бұрын
Sokweli zari ndo katambuliswa na mondi
@ngowibeatrice1701
@ngowibeatrice1701 Жыл бұрын
Hapana wewe pasipo mond kudeti na zari ulikuwa unamjua zari
@malkavoice2570
@malkavoice2570 Жыл бұрын
Wanangu nawakubali sana kwenye hii room ya Recap 7bu huwa mnakamia sana na mimi siwezi kuitazama nikiwa sijajifungia pekeangu huku nafinya tartiibu. Mko safi kila engle wanangu
@fauziaalmaamry8360
@fauziaalmaamry8360 Жыл бұрын
Mimi nitasema kitu kwa diamond Kitu cha kwanza diamond amekosa maleze Leo yeye ni msani mkubwa tanz. Lakini haishimiki Leo ataishia wapi kuchezeye watoto wa watu ajisimu
@loicebaraza
@loicebaraza Жыл бұрын
Lugha ilimlemea Diamond, but ingelikuwa kiswahili moto ungewaka
@freelancer6368
@freelancer6368 Жыл бұрын
But alisumbua hata hivyo😂😂😂
@MariamJuma-n3m
@MariamJuma-n3m Жыл бұрын
Fantana ❤ diamond
@rosemaryjuliyo
@rosemaryjuliyo Жыл бұрын
Simjui zar myaka yote mbka wamekuja kuzaa na chibu Uganda tuna jua ma super star akina chamilion jozey akina Michael Ross akina bebecool nk et leo kampaisha daimond East Afika ya nyoko 😅😅😅
@emilymula645
@emilymula645 Жыл бұрын
I normally don't watch realty shows - but going by what I gather here, I thought ZH is now married... I wonder what's his take is in all these debacles 🤔🤔
@ndohoriomsacky445
@ndohoriomsacky445 Жыл бұрын
Sasa hivi watu hawatowasaidia kuwa vusha hapa na kwenda sehemu nyingine watu Sasa hivi wanaogopa kwasababu watu wkifanikiwa wanajisahau kua walisaidiwa Sasa hivi kila mtu wapambane na familia yke tunaogopa
@samniza1763
@samniza1763 Жыл бұрын
Ana sign za bi polar. I love her so much, but I am afraid so.
@hakimataibrahim9887
@hakimataibrahim9887 Жыл бұрын
She’s definitely
@eliakejijoseph1422
@eliakejijoseph1422 Жыл бұрын
Banmbi zari’s boyfriend 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@malkavoice2570
@malkavoice2570 Жыл бұрын
Zari anatumia nguvu nyingi na muda kumlinda yule dogo na inawezekana yule chalii ndio billionaire wa Uganda kwahiyo kuna jipya hapo kati.
@lilyanmongi4545
@lilyanmongi4545 Жыл бұрын
Lkn ni kweli alitaka kuzaa na diamond mtoto wa 3 ukiangalia hiyo show ameongea yy mwenyewe zari sasa ametakaje kuzaa na diamond wakati kaolewa? Hapo hata mm namashaka na hiyo ndoa yake.
@shakylahamad8326
@shakylahamad8326 Жыл бұрын
Uncle SHAKI😂
@mwatumsaidi5104
@mwatumsaidi5104 Жыл бұрын
Yule shangazi zari hayuko sawa kichwani na ulimbukweli wanguvu anao billion hagombani ovyo😅
@mohamedchenge9440
@mohamedchenge9440 Жыл бұрын
Hivi zari anafahamu Vizuri story ya Diamond na wema au na penny?? Na sababu ya zari kumjua diamond ni muziki ,,mtu alitongozwa ndani ya ndege tena dakika 12 na akaelewa
@munaomar9532
@munaomar9532 Жыл бұрын
Waondokeee hapa wasitushuhulisheeee ...wote mwisho wao mwana wa ndani😊
@malkavoice2570
@malkavoice2570 Жыл бұрын
Shakib angekuwa kidume angekuwa anapost yeye sio Zari
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 Жыл бұрын
Zari kaumia na kiss ya fantana na diamond akamsifia eti cjawahi ona kiss kama hii Toka nizaliwe
@saudazigaba2424
@saudazigaba2424 Жыл бұрын
Nilikuwa nasubili kwa ham❤
@rosemaryjuliyo
@rosemaryjuliyo Жыл бұрын
Hahahahq mbona mtuweke na sura zetu kwenye group la kina Serena Williams 😂😂😂😂
@philobliver6621
@philobliver6621 Жыл бұрын
Tayari nko hapa topic tamu sana hii nafuatilia
@ngowibeatrice1701
@ngowibeatrice1701 Жыл бұрын
Mond ndio kamtamburisha zari
@i_a8839
@i_a8839 Жыл бұрын
Kaka Sky na team nzima angalieni Gold Mafia episode zote 4 Al Jazeera. Si kila nabii anatumia nguvu za Roho Mtakatifu hasa kwa watu ambao hawapi heshima au sifa ya jina la Yesu. Naomba sana angalieni hizo episode.
@kwisa4899
@kwisa4899 Жыл бұрын
sure yule nabii mwongo na kawaumiza sana wazimbabwe
@hawababy120
@hawababy120 Жыл бұрын
Nilikua nawasubilia muongee hili jambo love u SNS TEAM❤
@fauziaalmaamry8360
@fauziaalmaamry8360 Жыл бұрын
Diamond ni malaya tu mwanaume mchafu
@nooromar6233
@nooromar6233 Жыл бұрын
Diamond kiu ukweli hajui kizungu kabisa kama alo pewa karatasi alikuwa ana pata shida kweli masikini
@owenmutale8686
@owenmutale8686 Жыл бұрын
Ukijua kizungu unakuwaje?
@nooromar6233
@nooromar6233 Жыл бұрын
Una flow na lugha kama walivyo kuwa wenzake Diamond akiongea kama yupo Shule
@freelancer6368
@freelancer6368 Жыл бұрын
Wewe pimbi mkimbizi tulia..Hebu ongea yako tukusikie tukunyema asiye na akili
@freelancer6368
@freelancer6368 Жыл бұрын
@@nooromar6233 The guy is richer than your past present and future generations of Idi0tic family.
@nooromar6233
@nooromar6233 Жыл бұрын
@@freelancer6368 shida ni hata nikiongeya huwezi nisikiya, nisinge comment ninge kuwa sielewi wewe Baki hi hivyo hivyo tu
@malkavoice2570
@malkavoice2570 Жыл бұрын
Lkn Fantana tumuangalie kwenye video zake yule demu ni natural kama Tiwa na Kajala kweli huenda hana sajari kabisa. Zari alikuwa mzuri sana b4 hajashape ila kwa sasa kazingua na ndiomana anaongea sana mpaka vile.
@lulurubby2235
@lulurubby2235 Жыл бұрын
Fantana anasura ya kizee ya kigana unamfananisha na mtu mwenye watoto 5 na bado anatombeka ngoja fanta azae mtoto mmoja tuu,fake designer anaendesha magari bei kubwa ashindwe kununu
@ibrahimjoseph9417
@ibrahimjoseph9417 Жыл бұрын
Hivi nyie diamond walikutana na zari kwenye ndege mnajua mond alikua anaenda wapi kabla ya zari mond alishafanya kazi na Davido alishakua na wema achen kuzungumza vitu msivyovijua
@rosemaryjuliyo
@rosemaryjuliyo Жыл бұрын
Sorry sky hizo pamba za Sns ni kias gan izo pesa huwa mnaandika za kizungu m sijui
@emilymula645
@emilymula645 Жыл бұрын
Going by " billionaire " status. I always see African business magazines post interprenuers periodically.. ( also on international levels ) Has Z.H been interviewed/posted🤔🤔 Just asking in gud faith 🙏
@shakylahamad8326
@shakylahamad8326 Жыл бұрын
😂😂😂
@mejamiela7436
@mejamiela7436 Жыл бұрын
Bonge la recap
@davinaheven4794
@davinaheven4794 Жыл бұрын
Q
@Jassmin-media-official
@Jassmin-media-official Жыл бұрын
Zari alizoea watanzania kuwatukana watoto watanzania kuwstukana na anaachwa hivi hivi make anaogopwa,saaa Mugana hamjui hataki ujinga kwaweli wewe Dada umemuweza huyo mwana mama haki hana hamu,pia mpaka chibu anaogopa zari kumtukana,sasa zari apo ameolewa?au kajioa jamani kitoto cha shule
@beatricefredilick1646
@beatricefredilick1646 Жыл бұрын
Na wema asemeje
@ghadaalzuhari2739
@ghadaalzuhari2739 Жыл бұрын
Ila fantana kajuwa kumpa zauso zari kweli kweli khaaaa 😂
@mazwilliams7691
@mazwilliams7691 Жыл бұрын
east africa hawakumjua diamond mpaka anaanza kuchumbiana na Zari na huo ndio ukweli
@kichochiselejohn999
@kichochiselejohn999 Жыл бұрын
Dio yupo na chuo lakini si kikubwa vila
@bwari01
@bwari01 Жыл бұрын
Guy in the black jacket, so sexist in his response to zari’s reaction! Basically said what Zari did is what women do and that only a man can understand that! Like…what?
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 Жыл бұрын
Diamond na fantana wamependeza
@tunsumegideonmwamboneke9639
@tunsumegideonmwamboneke9639 Жыл бұрын
Zeroooo
@fauziaalmaamry8360
@fauziaalmaamry8360 Жыл бұрын
Diamond amekosa malezi
@lilianjeremia1024
@lilianjeremia1024 Жыл бұрын
Nilisubiria recap aswaa 😂😂😂😂
@ELIZABETHACHIENG-hx8og
@ELIZABETHACHIENG-hx8og Жыл бұрын
😁😁😁😁ama shakib ana ana mblackmail 😄
@p.kasongot979
@p.kasongot979 Жыл бұрын
Malaya wakiganda atupumzishe
@martharugwana2130
@martharugwana2130 Жыл бұрын
Halafu huyo hapo katikati anamakasiriko Sana na Zari !? maana hata Chuo anatamani kisiwe Cha Zari
@fatimakitchen5834
@fatimakitchen5834 Жыл бұрын
❤❤❤❤
@shillamahir703
@shillamahir703 Жыл бұрын
Iyo story ya shakhib imenichekesha sana
@Jassmin-media-official
@Jassmin-media-official Жыл бұрын
Zari she's stupid yani anataka kupata mtoto na chibu haki wah wah nimeona zari akisema tuliongea kupata mtoto mwingine dah
@Lassana755
@Lassana755 Жыл бұрын
Zari anapenda kiki
@davinaheven4794
@davinaheven4794 Жыл бұрын
Shakibu na Zari wana biashara zao! Mengine ni ya ziada
@Emiliana97
@Emiliana97 Жыл бұрын
Mbona Kama esco ni team fantana 😂😂
@naufalmustafa565
@naufalmustafa565 Жыл бұрын
mnajua kunifurhsha, nyie
@pastoraile7195
@pastoraile7195 Жыл бұрын
Kaka Davido is ckie for mond
@mariasospeter6157
@mariasospeter6157 Жыл бұрын
Hivi siwezi kumtag zari huku utube😆
@mandyuwimana7735
@mandyuwimana7735 Жыл бұрын
Iyo yote promo tu, Zari anamsapoti Mond ivi sasa jama kimziki kaisha vibaya ata Zuchu hamsaidiyi kitu mkubali tu. Zari kampokeya wakati wa vita yake na Harmo, kila mara jama aki anguka Zari anampa kiki...
@freelancer6368
@freelancer6368 Жыл бұрын
Zari kwani ndie anamuandikia nyimbo??Hakuna kitu zari alimsaidia diamond labda vijembe tu..Diamond sasa hivi ana makampuni yake he is richer than before mziki anafanya part time.Alimkuta tayari ana jina alafu anatuambia alimsaidia.MAVIIIII!Zari ndio mwenye anatafuta kiki kwa diamond
@rizikially9535
@rizikially9535 Жыл бұрын
Na mmpenda huyo wa musho huko jamani ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@raybby9291
@raybby9291 Жыл бұрын
​@@achawanunetv1167🤣🤣🤣
@tomsijohni
@tomsijohni Жыл бұрын
alikua sio maharufu sana Diamond kipindi hicho alikua anajulikana Tz kipindi hicho Zari alifanya diamond Platinum akafika South Africa
@svt3
@svt3 Жыл бұрын
Tomsi Johni: SA yenyewe Zari alikuwa tu kama mkimbizi hajulikane , ongea ukweli acha kuongea pumba
@ngowibeatrice1701
@ngowibeatrice1701 Жыл бұрын
@@svt3 tanzania wajinga sana wanamuogopa zari ,zari South ni mkimbizi kama wakimbizi wengine South africa
@svt3
@svt3 Жыл бұрын
@@ngowibeatrice1701 wa Tz wengi elimu yao ya chini saana exposure wengi wao hawana yaani ujinga na ushamba na ukosefu wa elimu unafanya wanamona zari kama mtu wa juu saana, japo kuwa hata huko kwao uganda sio hata wa maana hivyo
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 Жыл бұрын
Uongo wema ndo alimtoa daimond afu kufanya collabo na davido ikamtoa zaidi
@Lassana755
@Lassana755 Жыл бұрын
Mondi kaingia South through Davido and Aka
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 262 #shorts
00:20
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶 #gen
00:21
TheSoul Music Family
Рет қаралды 29 МЛН
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 39 МЛН
How to whistle ?? 😱😱
00:31
Tibo InShape
Рет қаралды 15 МЛН
Zari vs. Fatana in Diamond Platnumz's Drama Triangle
6:41
Mr. Twine
Рет қаралды 113 М.
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 262 #shorts
00:20