RECAP: RAY VANNY na vita vya maneno na PAULA, nani alimpenda zaidi mwenzie? FAHYMA amedhalilishwa?

  Рет қаралды 28,318

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Unaipenda kazi yetu na ungependa kutuunga mkono? Sasa unaweza kutuchangia kiasi chochote kuanzia shilingi 500. Fuata link hii hiveticket.web.app/buy/6Ew6mE...
Tunashukuru kwa kuwa Mwana SnS unayejali

Пікірлер: 185
@user-hn3km9ex5r
@user-hn3km9ex5r Жыл бұрын
Rayvanny mwanaume mpumbavu sana yaani ogopa sana mwanaume asiyekuwa na msimamo,anaeza sababisha muuwane mkiwa hamjielewi kutokana na upuuzi wa mwanaume
@allanothuman2941
@allanothuman2941 Жыл бұрын
kwanini mahusiano yaje mtandaoni kwann yasiwe kimy kimy kwann wakifany mapenz yao awatuonesh wakiachan na story kibao n ujinga tuh akun upend apo n el tuh nd zinafatwa alaf Paul anaend na upep wa msanii kweny game
@stevenckanumba7
@stevenckanumba7 Жыл бұрын
Sns tunawapenda sana munajuwa sana afu sauti zenu zote fire 🔥🔥🔥🔥🔥 Mungu awabariki mufanye mengi mazuri 🙏🙏🙏🙏🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩❤❤❤❤100%
@user-hn3km9ex5r
@user-hn3km9ex5r Жыл бұрын
Nashindwa kuelewa why fahyma anazidi kumng'ang'ania Rayvanny wakati jamaa hamheshimu
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Жыл бұрын
Fahima anatumiwa tu maana mwanamme kama anakupenda hawezi kufanya yote hayo
@Lina4285baby
@Lina4285baby Жыл бұрын
Fayma is back up in rayvanne is life believe me 🤦🏾‍♀️ I like them together but sometimes you need to move on
@rossarutasha9391
@rossarutasha9391 Жыл бұрын
Nami napenda Raivanny akiwa na Faivanny yule mwanamke materiel❤❤
@olivemauwa2877
@olivemauwa2877 Жыл бұрын
Jama wa kofia nyeupe uko right sanaaaa
@ghadaalzuhari2739
@ghadaalzuhari2739 Жыл бұрын
Paula kajuwa kumchamba rayvanny kweli kweli khaaaa 😂😂😂❤
@fannyfarrah
@fannyfarrah Жыл бұрын
Nilikua nasubiri sana hii recap 🙌
@videlialabeka4899
@videlialabeka4899 Жыл бұрын
Paula anajiona sukari ..atachezew tu kama wema Sepetu
@eliakejijoseph1422
@eliakejijoseph1422 Жыл бұрын
That’s why I love u guys 😊😊
@maryamconstantine2232
@maryamconstantine2232 Жыл бұрын
Kuna mtu mmoja alisema kuzaa na mwanaume haimaanishi atakupenda daima, kuna wakat ni lzm kukubali matokeo Ray bado anampenda paula.
@vickydan2869
@vickydan2869 Жыл бұрын
Kabisa mm nimemzalia mapacha nabado hanioni
@maryamconstantine2232
@maryamconstantine2232 Жыл бұрын
@@vickydan2869 pole mwaya mahusiano ni kumtanguliza sana Mungu
@michellekiilu621
@michellekiilu621 Жыл бұрын
Nakubaliana na mweye kofia , Ray anampenda paula ,juu y Ray kama alirundi kwa faima alienda kwa show ya kina paula kufaya nn ??. . Faima kuzaa na mwanaume sio kumanisha anakupenda .
@vickydan2869
@vickydan2869 Жыл бұрын
Mwambieni
@JudithKigalu-ue3in
@JudithKigalu-ue3in Жыл бұрын
Paula wewe ni super star. Unatikisa tanzania. Wache wakuseme kupitia masemi yao njoo mungu atakubari wache wakuchambe ginsi wanapenda. Na bila kuzarauliwa mungu awezi kukuinua. Baraka yako iko njiani. You are the best ❤❤❤❤
@Chrisblaze-beats
@Chrisblaze-beats Жыл бұрын
Supastar wa nyoko😂😂😂Yani we unajifunza kwa paula nini?😂
@JudithKigalu-ue3in
@JudithKigalu-ue3in Жыл бұрын
@@Chrisblaze-beats kukuwa superstar sio tabia ni kujulikana...mitandaoni sio fasi ya kujifunzia...
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le Жыл бұрын
Ahahaaa halooooo
@bama9271
@bama9271 Жыл бұрын
Rayvanny alitakiwa kukaa kimya tu na wala asingemjibu chochote kile na mwishowe Paula angekaa kimya!!! Na hii pia inampa Marioo nafasi ya kujitasmini na kujua huko na mtu gani katika mausiano maana Kama kwa Rayvanny yametokea haya,ajuwe hata kwake pia inaweza kutokea!!!!!!
@anicyaedward6257
@anicyaedward6257 Жыл бұрын
Mimi tu niseme apart from your works 💪 guys this utube chanel its growing mpaka nafurahi kiukweli. Keep it up SNS
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti Жыл бұрын
Asante sana
@anicyaedward6257
@anicyaedward6257 Жыл бұрын
​@Simulizi Na Sauti nawafatiria sana hunambii kitu kuhusu SNS ...😊and am so proud of you
@everrineanyango7410
@everrineanyango7410 Жыл бұрын
True they are the best
@ZuenaAbdallah-ne6zt
@ZuenaAbdallah-ne6zt Жыл бұрын
They love each another
@nazzmalicha1836
@nazzmalicha1836 11 ай бұрын
You guys are talking facts
@kevinishailiza
@kevinishailiza Жыл бұрын
Rey hajielewi ni mwehu from 254.
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 Жыл бұрын
Kwakweli naungana na criz juu ya Mario awe makini ❤
@alinebakome
@alinebakome Жыл бұрын
Cruiz unaakili sanaaa rayvany hamtaki fahyma wanalea mutoto tu ,ila Mungu amjalie paula apate mume
@CollisBill-mu3zp
@CollisBill-mu3zp Жыл бұрын
Paula hapo kusema alikuwa bikra Ni kujizaririsha mwenyewe Paula atulize akilii
@pendo8082
@pendo8082 Жыл бұрын
😂😂
@mwanahamisrashid7787
@mwanahamisrashid7787 Жыл бұрын
😂😂 Rayvanny kamjibu Juma Lokole Bikra hiyo nyoko
@pendo8082
@pendo8082 Жыл бұрын
@@mwanahamisrashid7787 Hana bikira yule🤣🤣
@hakizimanamoosa1157
@hakizimanamoosa1157 Жыл бұрын
Paula anampenda sana chui iyo aina ubishi
@user-hn3km9ex5r
@user-hn3km9ex5r Жыл бұрын
Ila Paula kajua kumsuza Rayvanny 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le Жыл бұрын
Hana lolote
@bigirumanalululouise4540
@bigirumanalululouise4540 Жыл бұрын
Leo mimi wakwaza like zangu nipeni❤❤❤
@user-yd8sp4es9n
@user-yd8sp4es9n 11 ай бұрын
Ravnyn Chuiii kasha kuja faihiyma ❤
@salamanauthar5261
@salamanauthar5261 Жыл бұрын
Tusojua kuongea Ila kuandika tupo vizuri' tujuane hapa kwa like👇
@hi-fx1er
@hi-fx1er Жыл бұрын
Chris ni fire 🔥
@lucymtuka6393
@lucymtuka6393 Жыл бұрын
Rayvanny si mwaminifu hpo fayma ajiandae
@trendz_2548
@trendz_2548 Жыл бұрын
Napenda hii segment sana 😂😂😂😂😂❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@massejobbs4284
@massejobbs4284 Жыл бұрын
Rayvany anampenda paula kuliko fahyma. Lakini Paula anamuumiza kichwa. Fahyma wife materiel… rayvany anapenda watoto wadogo, ariziki. Mimi nampenda fahyma, anaakili sana.
@MsAggie5
@MsAggie5 Жыл бұрын
Hiyo ndo shida ya wanaume wetu, Kwa nini aliachana na Paula kama bado anampenda? Ok hata hivyo ya nini kuchambana kwenye mitandao?
@massejobbs4284
@massejobbs4284 Жыл бұрын
@@MsAggie5 ameachana na Paula sababu ni ametembea na kaka yake wamuziki. Iyo niishara ya kudanga.
@michellekiilu621
@michellekiilu621 Жыл бұрын
@@massejobbs4284 bona Ray alitebea na dada wa kazi ??
@massejobbs4284
@massejobbs4284 Жыл бұрын
@@michellekiilu621 Ndio Rayvany ariziki… ana tamaa yangono . Ficheni vitoto vyenu 🤣🤣🤣
@amanimapenzi571
@amanimapenzi571 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@millymack1370
@millymack1370 Жыл бұрын
Ray hakua na nia ya Kumjibu Paula lakini Fayma ndio alimpush Ray aseme jambo ili aonekane ako upande wa Fayma(baby mama).
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 Жыл бұрын
Creez is right esco wacha zako Rayvanny doesn't respect fayma Rayvanny anaposti posti Fay kumuumiza Paula tu ila bado anampenda Paula sana.
@emanuelkitojo-mp1ks
@emanuelkitojo-mp1ks Жыл бұрын
True faymah n back
@suzan4200
@suzan4200 Жыл бұрын
Ni kwel kabisa marioo anapotezewa muda apo na anaharibiwa uvulana wake tu hahahahaha unaona kabisa hata wakiwa out the girl hayuko happy kabisa like anaforce kuwa happy kwenye hayo mahusiano
@emilymula645
@emilymula645 Жыл бұрын
I also have a feeling Fayma is just used used as a standby generator. Chui knows she'll more often than not b there anytime anyhow..🤔🤔
@bullsjoy254
@bullsjoy254 Жыл бұрын
Rayvanny anampenda sana paula fayma ni backup umeongea ukwel kabisa chriee❤❤❤❤
@barankenyereyejosh8410
@barankenyereyejosh8410 Жыл бұрын
You are great researchers. No information goes unnoticed for you ...I love you guys and then you form a magic trio. Baby sky nani tena😂😂😂 mke wa sky worker? Eti nini??muuzaduka ni kisuuuu ni pisi kali😂😂
@massejobbs4284
@massejobbs4284 Жыл бұрын
Cris anaongea ukweli.
@user-hn3km9ex5r
@user-hn3km9ex5r Жыл бұрын
Ray kilichompeleka bagamoyo ni nini??
@meedahasger2715
@meedahasger2715 Жыл бұрын
Dahhh i love you guys 👌
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 Жыл бұрын
Kwa Sasa Mario ashapoteza mashabiki ,,,,,mm sitamfatilia tena😁😁😁
@nihadshighadi4095
@nihadshighadi4095 Жыл бұрын
Ukiunfollow wengine tunamfollow
@maryamconstantine2232
@maryamconstantine2232 Жыл бұрын
Ukwel ni kwamba nilikuwa namkubal Ray but now hamna kt
@pendojeremiah1023
@pendojeremiah1023 Жыл бұрын
@@maryamconstantine2232 hata me siko kwa rayvany kabisa
@helenkambi3918
@helenkambi3918 Жыл бұрын
Sijui kwa nini watu wengi wanaangalia ukali wa shape na uzuri. They are other important things to make a woman good
@user-hn3km9ex5r
@user-hn3km9ex5r Жыл бұрын
Rayvanny aende gym apate pumzi ya kitandani 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂ila Paula
@estellantakarutimana2444
@estellantakarutimana2444 Жыл бұрын
😂😂 Pumzi kidogo 😃🤣🤣
@irenepaul3110
@irenepaul3110 Жыл бұрын
😂😂😂
@uwinezajohara8362
@uwinezajohara8362 Жыл бұрын
Wote walipendana
@efrahfarahahmed8960
@efrahfarahahmed8960 Жыл бұрын
😂😂😂 leo mmenichekesha sana dah
@KayagoAziza
@KayagoAziza Жыл бұрын
Kwenye picha kwa kweli ray anampenda Paula kuliko fayma ye mwenyewe kasibitisha amerudi kwa sababu paula katembeya na diamond ila bila Ivo asingerudi mazima
@merinakassembe4251
@merinakassembe4251 Жыл бұрын
Appendix marioo
@helenkambi3918
@helenkambi3918 Жыл бұрын
Kapata umarufu wa kubadilisha wanaume na ku share wanaume na mamake
@merinakassembe4251
@merinakassembe4251 Жыл бұрын
Nikweli chriss
@xingho3990
@xingho3990 Жыл бұрын
Kapole kale...lakini kanafirwaa!
@maryamsaid3297
@maryamsaid3297 Жыл бұрын
Napia marioo kutembea napaula kashajengachuki kwa chui na harmonize kwasababu yamama namtoto
@Zinbo-pc9uu
@Zinbo-pc9uu Жыл бұрын
Rayvanny anampenda paula sema fahyama hajiamini
@NoorAli-gk8bj
@NoorAli-gk8bj Жыл бұрын
Uyo reivani kama anampenda mzazi mwenzie kwann asimuowe namtu kabadilisha adi dini anaupendo wadhati kuwa chezea wanawake tu mwanaume asojielewa nimtihani mtupu uyo awapendi anawatamani tu
@lilianjeremia1024
@lilianjeremia1024 Жыл бұрын
Mimi apa naona rayvanny n paula bado wanapenda na sana ila ndo ivyo n mda wote wote wakasema warudiane watarudiana na fahyma kumuacha Ray ni ngumu yaan atabki kuwa side chick 2😂😂is
@mkamajames2786
@mkamajames2786 Жыл бұрын
Mngeangalia interview ya wasafi Mario alivyo muongelea mboso na mboso na akajibu kwenye inter view ya the switch sns fatilieni iyo afu miweke recap
@angyadongo3534
@angyadongo3534 Жыл бұрын
Faima ndio back up
@rosejoely4518
@rosejoely4518 Жыл бұрын
Yani haina tochi chui anampenda sana paula
@sistersade9039
@sistersade9039 Жыл бұрын
Mie naona Marioo pia ni smart enough kujitoa kwenye ukimya na ku play on his comfort zone na kuingia mtaani kwa kuzungumzwa kila kukicha, he needed that nayeye anajua hivo. Atajenga fan base yake na atagain viewers and subscribers anohitaji at this point. Na achangamke kidogo, kwani watu wa wcb ndio iliowajenga. Marioo anaingia kwenye ulimwengu wama stars sasa 😊 atajufunza tu 😂😂😂😂
@zinthaahmed5751
@zinthaahmed5751 Жыл бұрын
Lakini kwa kuchamba juma lokole kakubali mwenyewe yy alimsaidia kuchamba
@classicwaisala6677
@classicwaisala6677 Жыл бұрын
Kalisa achafuwa Ali ya ewaa sns..... # fahima kama faima rooh inapiga kwa kasii...
@mwezzireen17
@mwezzireen17 Жыл бұрын
Paula anaumia san na penzi la rayvnny😂
@pichunakichuna2111
@pichunakichuna2111 Жыл бұрын
Paula she’s not a kid she’s 22 years she knows men way back before sio rayvanny alimtoboa anyways blame the mother 🇰🇪🇨🇭
@irenepaul3110
@irenepaul3110 Жыл бұрын
Exactly my point
@ZuenaAbdallah-ne6zt
@ZuenaAbdallah-ne6zt Жыл бұрын
Jamani si mume wake
@happynelson1180
@happynelson1180 Жыл бұрын
Kama mimi ningekuwa Fayvanny ningeachana na huyo mwanaume maana ningewaza alishawahi kuniacha sababu ya demu mwingine na ataniacha tena yaani ni kama vile mwanaume akikupiga siku ya kwanza atarudia kukupiga tena Fahyma ni mrembo sana angeweza kupata mwanaume aliyetulia ambaye atampenda yeye kama yeye sio kuwa na tamaa na wanawake wengine
@christinembeye5489
@christinembeye5489 Жыл бұрын
Nakubaliana na Creez 100💯✔ Ray anamdhalilisha sana Fahyma. Uvumilivu wa Fahyma ni wa Kijingaaa. Kwanini Uzalilishwe kama vile Mwanaume ni Mmoja tu Duniani? Fahyma amka!!!!
@willsalsina220
@willsalsina220 Жыл бұрын
Daah naomba sikumoja nije nihojiwe nanyie ....maana iyi u tube channel inaoitwa sns inanifurahisha saana Sky na chris munakiwasha kweri keep it up guys we love what u did
@MsAggie5
@MsAggie5 Жыл бұрын
Hawapendi wote ana play tu! Paula ni vile kijana wanaume hawatosheki bora a move on aachane na huu upuuzi, Fayvan ni material jamaa anahangaika lakini aki compare anaona hamna future anarudi kwa Rayvan
@millymack1370
@millymack1370 Жыл бұрын
Chris ako sahihi kwa hilo la Ray hampendi Fayma...ni vile tu kazaa naye na anajua Fayma atamkubali siku zote hata afanye mangapi.
@chainbre275
@chainbre275 Жыл бұрын
Escko Bana eti global boy
@Bwenge-minecraft
@Bwenge-minecraft Жыл бұрын
Creez ume ongeya point kama kweli ana mpenda asinge muhonesha baby mama wake zaruu zile!!
@uwinezajohara8362
@uwinezajohara8362 Жыл бұрын
Mwenye kosa ni Rey sababu fay ana Luhusa ya kusema eti Rey wamtowe kwenye kipindi Chao na wajuwi yenye yako nyuma ya pazia
@CollisBill-mu3zp
@CollisBill-mu3zp Жыл бұрын
Fatiria vzr Paula ndio tatzo
@mariamibrahim6738
@mariamibrahim6738 Жыл бұрын
Chris unampnda Paula uyo Fahim kwann alikuja kuuliza kwann asimuulize uyo rayvany achenii izo
@merinakassembe4251
@merinakassembe4251 Жыл бұрын
Sio kweli hampelnde nakutoa Ainu kwawote
@user-hn3km9ex5r
@user-hn3km9ex5r Жыл бұрын
Ni kweli mondi kamla Paula tena kwa nyumba yao wakati mamake alihamia kwa harmo
@freelancer6368
@freelancer6368 Жыл бұрын
Tupe picha wewe mmbea..Mondi Kwanini aende kwa nyumba ya kajala wakati ana nyumba yake statehouse mbezi hata hamjui kutunga uongo... Mwingine alisema alimla kwenye gari so which is which hebu mkubaliane mtuambie uongo official ni upi
@pendojeremiah1023
@pendojeremiah1023 Жыл бұрын
Mitandao itawapoteza mnahukumu sana
@JescaTapule-ln9qu
@JescaTapule-ln9qu Жыл бұрын
Paula Hana mpango wa kurudiana na rayvany ndy maan amejiachia kwa kumchamba.. Mkumbuke fahyma alivotunza heshima ya rayvany alikua anaweka matumain na uhuru wa rayvany kurudi kwake... So Paula amemove on.. Kikawaida
@vickydan2869
@vickydan2869 Жыл бұрын
Unaakili ww sisi wanawake tunajijua kama mtu tunamhitaji tunamchia madhaifu ila pau ni wazi hamtaki fat guy na ikitokea wamerudiana bac fat guy atakua ametumia nguvu nyng sana na pesa
@nahimagingo1289
@nahimagingo1289 Жыл бұрын
@@vickydan2869 kweli kabisa💯💯
@ayubundossi8903
@ayubundossi8903 Жыл бұрын
Save my comment fyma yupo kwenye maumivu flani hivi makali sana ila kuna dude analiandaa Rayvan atapigwa na kitu kizitoo sanaaa
@mohammedkombo9798
@mohammedkombo9798 Жыл бұрын
Samaki ukishamvua humpi chambo Fayma vs Rayvani!😊
@popiya2368
@popiya2368 Жыл бұрын
Chris hivi hujijui wanamme mlivyo nyie, Fayhima siyo backup Hilo hapana jamaa wa katikati ana point sana
@merinakassembe118
@merinakassembe118 7 ай бұрын
Hata sasa yuko na marioo Chui akimwambia tika njol paula anatoka upesi kwenda kwa chui
@rayanndizeyes3161
@rayanndizeyes3161 Жыл бұрын
kweli Fayma anauwezo wakumuasha.
@merinakassembe4251
@merinakassembe4251 Жыл бұрын
Alafu trip za Zanzibar na Dubai kwa Paula Simonides tena
@merinakassembe118
@merinakassembe118 7 ай бұрын
Paula anampenda Chui na Chui anampenda paula
@helenkambi3918
@helenkambi3918 Жыл бұрын
Ajiue tu
@pendo8082
@pendo8082 Жыл бұрын
Ety ooh kifupi km Red Bull ooh Paula ni mjinga anavyozidi kumuongelea Rayvanny ndio anazidi kuchafuka tena anazidi kuonekana kahaba😂😂😂
@jescatebuye2287
@jescatebuye2287 Жыл бұрын
Kwani yeye alikwambia anywe maziwa ! Tusi ni tusi tu 😂😂
@pendo8082
@pendo8082 Жыл бұрын
@@jescatebuye2287 sasa hapa Paula ndio changu na ivo ndio inavoonekana
@bovickpascal6554
@bovickpascal6554 Жыл бұрын
Utafiti unasema kana wa toto hote wanao lelewa na mama zao huwa hawana heshima kwa hiyo m,we makini ninyi wa toto wa mama
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌.
@dieudonneniyotwizeye5955
@dieudonneniyotwizeye5955 Жыл бұрын
Hakuna kitu kinaumiza mwanaume sana, kama akijuwa mwenye ameowa au mwenye yupo naye mahusiyano akiwa ametolewa ubikila tayali. Najuwa hii Mario ilimukata sana...lakini ni showbiz anavumiliya
@mkamajames2786
@mkamajames2786 Жыл бұрын
Na ata juma lokole alisema kuwa alikua na Paula alivyo kua anamjibu vanny msikilize masham sham then mtengenez recap ingine
@anicyaedward6257
@anicyaedward6257 Жыл бұрын
Mange kimangi aliadress issue ya mond kudate na Paula before kwiki tatu zilizopita na kwann urafik wa zuchu nq paula ulikufa kisa ni hicho
@freelancer6368
@freelancer6368 Жыл бұрын
Urafiki ulikufa baada ya kajala na mtoto wake kurudi kwa Kondeboy na yeye alikuwa mtu wa karibu wa Diamond so she cut ties..Yaani kila Zuchu akipunguza ukaribu na mtu basi diamond kammega.I understand those blogs without that name diamond hakuna mtu atafuatilia habari zao especially mange without diamond is just useless .That name alone brings enough traffic to bloggers. Now issue ya Diamond inatrend kuliko drama yenyewe.... No pictures No videos not even hearsays kwani walidate in which world?
@helenkambi3918
@helenkambi3918 Жыл бұрын
Paul huko kwa Mario kwa sababu ya kutaka pesa yeye na mamake wanategemea pesa za wanaume. Mother and daughter are users
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar Жыл бұрын
Brother Sky umeniumiza mbavu zangu..pilolilo 🤣🤣🤣
@pendojeremiah1023
@pendojeremiah1023 Жыл бұрын
IPO siku fahma atamchamba rayvany kuliko Paula maana 100% rayvany Hana true love na fahma
@salmaathuman9156
@salmaathuman9156 Жыл бұрын
Mama anaejitambua hawezi kusaport umalaya wa mwanae kubadilisha wanaume eti kila achotaka amfanye tu nimchekee kajala ni mtu mzima kisoda na mtoto ana sauti kuliko mama
@CollisBill-mu3zp
@CollisBill-mu3zp Жыл бұрын
Ni kwelii
@pendo8082
@pendo8082 Жыл бұрын
Kweli
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 Жыл бұрын
Wanaumme wangapi amebadilisha ?ukiwa na mtoto msichana na unaongea vibaya kwa mtoto wa mtu wako atakufunga mdomo
@CollisBill-mu3zp
@CollisBill-mu3zp Жыл бұрын
@@agwalubifaridah7079 😅😅😅😅 Hangalia ww sio mtoto wa m2 Lazma tukosoe
@salmaathuman9156
@salmaathuman9156 Жыл бұрын
@@agwalubifaridah7079 mie kama mzazi siwezi kulea huo ujinga mtoto umleavyo ndivyo akuavyo acha kusapot ujinga
@freadyjackson315
@freadyjackson315 Жыл бұрын
Nakutambua sana Chuiii ravnnyn kwakweli rayvanny wanapedana fahiyma♥️😃
@fatma2496
@fatma2496 Жыл бұрын
Mbona kawaida tu unaweza kumpenda lakini unajiuliza umempendea nini kwa sababu Ya kasoro unazo ziona mfano ufupi, ubaya 😃😃
@olivemauwa2877
@olivemauwa2877 Жыл бұрын
Chris u are very vry right 🤜🤜🤜
@mariamibrahim6738
@mariamibrahim6738 Жыл бұрын
Ray sngekuw ansmpnd Fahim swezii kumuonesha ushenzi
@dn.n4983
@dn.n4983 Жыл бұрын
So sad youn generation wanapote muda wafa kazi kupata pesa sio uhuni wa mitandao kwa kweli
@sharongatwiri175
@sharongatwiri175 Жыл бұрын
Kama unakumbuka Ile tym Paula alisema ameolewa nani anakumbuka wimbo yenye rayvanny aliimba😂😂😂one day yes
Summer shower by Secret Vlog
00:17
Secret Vlog
Рет қаралды 10 МЛН
Despicable Me Fart Blaster
00:51
_vector_
Рет қаралды 28 МЛН
Useful gadget for styling hair 🤩💖 #gadgets #hairstyle
00:20
FLIP FLOP Hacks
Рет қаралды 8 МЛН
MC ZAKU KURITUHIRWO NI CIRA MAKIRUGAMANA NA DAMA WA MOBILE SPARES🥱💔
24:17
Summer shower by Secret Vlog
00:17
Secret Vlog
Рет қаралды 10 МЛН