Kugundua tena Ukweli kuhusu Injili Swali langu ni hili Je kibibilia Ni injilii ipi Yesu alihubiri na kutuagiza na Sisi tuihubiri? Je Tuna hubiri injili ya Yesu ?
@aloysmrimi3250Ай бұрын
Kitabu Cha ufunuo mambo yaliyokuwepo wakati huo hasa kutokana na ukweli kwamba kanisa lilikuwa linapita katika mateso makali hasa na Dola ya kirumi,mambo yaliyopita na unabii wake ilikuwa unatimia, angalia utabiri wa nabii Daniel, na mambo ambayo yangetokea baadaye. l