BOAZ DANKEN - UONGEZEKE YESU ( Official Video) John

  Рет қаралды 6,036,792

BOAZ DANKEN

BOAZ DANKEN

2 жыл бұрын

#BoazDanken #GodisReal
Uongezeke YESU means Increase oh JESUS is a Worship song which will lead you to Pray for Humbleness please May you Join to worship. I believe through this song your intimacy with Your GOD will increase.
MUNGU awabaliki Sana Watu wote waliosimama kwa Sadaka zao kufanikisha Maandalizi ya Ibada Hii Kila sehemu Mungu akiwahudumia watu kupitia Wimbo Huu Baraka nyingi ziwafikie wote waliomuandalia Bwana kwa Sadaka ya Mda, Fedha na Maombi.
Karibu Sana Kumtukuza MUNGU Pamoja nasi
Music Directed:Apostle Sephone Sospeter
Vocal Arranged by Sir Jimmy Kimtuo
First Keys: Sephone Sospeter
Auxillary: Augustino Kindole
Third Keys: John Ntete
Forth Keys: Samweli Sospeter
Drums: Baraka Ngowi
Percussion: Pastor David Sulwimba
Bass Guitar: Emmanuel Mtika
Sollo Guitar: Hagai
Second Sollo Guitar: Erick Chitungo
Saxophonist: Dickson Maige
Back Vacals From BMCC PRAISE TEAM
Translated to English by Mr&Mrs Pst.James Kalekwa
*Audio Captured and Mastered: Choose Record #SamMboya
*Video Captured and Mastered by Sylvester #Syber
Lights By Nyakolo Stage and Lighting Com. #DavidSengati
Sound By #SoundSolution Moses Edard
#BoazDanken .
more of Boaz Danken
• Boaz Danken at Rhema F...
• SIFA ZIVUME -Boaz Dank...
• Boaz Danken-JEHOVAH MW...
• SIJAONA MWINGINE- Boaz...
• Boaz Danken-JEHOVAH MW...
• Boaz Danken-UJULIKANE ...
• MUNGU KAMA WEWE HAYUPO...
• JE WEWE MUNGU USHINDWE...
• YESU NI BWANA- Boaz Da...
• Boaz Danken-Sifa Kwa M...
• Boaz Danken_ WAKUFANANA
• MFANYIENI BWANA SHANGW...
• Boaz Danken_ROHO MTAKA...
• BWANA WEWE NI MWEMA- B...
• YOUR WILL BE DONE- Boa...
• JEMEDARI WA VITA- Boaz...
• BOAZ DANKEN-MWANGALIE ...
• Boaz Danken - Wanadamu...
• UNAWEZA MFINYANZI Boaz...
• Boaz & Pastor Iman Dan...
• Amen Amen -Boaz Danken...
• BOAZ DANKEN - UONGEZEK...

Пікірлер: 2 200
@paschalkiniofficial123
@paschalkiniofficial123 2 жыл бұрын
Kama umekuwa wa kwanza kumwambia YESU KRISTO aongezeke pita na like Moja tu pamoja na kutazama pia wimbo huu MUNGU atasema nawe jambo hapo
@GraceN7215
@GraceN7215 2 жыл бұрын
It's our church Atheme.
@emanuelbarnabas7906
@emanuelbarnabas7906 2 жыл бұрын
Uoengezeke
@rebecachristian5207
@rebecachristian5207 2 жыл бұрын
Uongezeke sana Yesu
@onesmomachende301
@onesmomachende301 Жыл бұрын
Mungu akiongezeka maisha yetu yanakwenda na huduma zinainuliwa sana
@onesmomachende301
@onesmomachende301 Жыл бұрын
That's good kiburi ni chanzo cha kukataliwa na mungu
@carolinewangari4940
@carolinewangari4940 4 ай бұрын
I used to worship to this song in 2022 early morning, as i peeled potatoes with no prospects of a better job, come 2023 God gave me a visa, i’m now working abroad, All Glory to God. Mimi nipungue , wewe uongezeke
@julianakitinde4805
@julianakitinde4805 4 ай бұрын
Congratulations dear
@maureenjagona8138
@maureenjagona8138 3 ай бұрын
Mungu wetu yu mwema
@annieannie693
@annieannie693 2 ай бұрын
Amen 🙏
@ChosenLeen
@ChosenLeen 2 ай бұрын
Glory to God. I tap to that grace of a job
@H_Magut
@H_Magut 2 ай бұрын
God is faithful
@NuruBeth-hu1ym
@NuruBeth-hu1ym Ай бұрын
Ongezeka kweny afya yangu ongezeka kweny maisha yangu ongezeka kweny kaz yangu ongezek kweny uzao wangu ongezeka kwenye familia yangu ongezeka hata kwa tanzania nzima bwana
@sarimmjengwa7461
@sarimmjengwa7461 10 ай бұрын
Ongezeka kwenye maisha yangu yesu, ongezeka kwenye Tumbo langu la uzazi, Ongezeka kwenye biashara zangu, ongezeka kwenye kazi zangu, Ongezeka kwenye ndoa yangu yesu, Ongezeka kwenye kila hitaji la moyo wangu Mungu wangu 😭
@eliadenis2358
@eliadenis2358 6 ай бұрын
Amen
@user-mj7ft5ku1z
@user-mj7ft5ku1z 6 ай бұрын
May God fulfill your heart desires
@lucygaitho2203
@lucygaitho2203 4 ай бұрын
Amen
@irenekubai8975
@irenekubai8975 9 ай бұрын
My 7yrs boy taught me this worship 😢😢😢😢 ,he could sing and cry 😢😭 mimi ni pungue wewe uongezeke ... bless my son ooh lord
@edrinahalukwe3049
@edrinahalukwe3049 7 ай бұрын
Awesome 👍
@abrahama9803
@abrahama9803 6 ай бұрын
Glory to God
@maureenjagona8138
@maureenjagona8138 3 ай бұрын
Your boy is filled with the Holy Spirit
@rachelmwakajila145
@rachelmwakajila145 2 ай бұрын
OOOhhh cant hold my tears God bless your SON
@irenekubai8975
@irenekubai8975 2 ай бұрын
And since then I love the song we worship together in the morning morning before he goes to school. May the Lord bless you as he bless me and my son
@eunicembatia6804
@eunicembatia6804 2 ай бұрын
Mimi nipungue, yesu uongezeke sana katika ndoa yangu ongezeka katika familia yangu ongezeka katika kazi yangu, ongezeka nyumbani kwangu yesu
@geraldndibinze6837
@geraldndibinze6837 8 күн бұрын
Hisia zile zile kila ninaposikia huu wimbo nyakati tofauti tofauti na mahali tofauti tofauti, hakika mm nipungue wewe uinuliwe. Barikiwa nyote mnao muamini bwana yesu 🙏
@Aisha-cn8vi
@Aisha-cn8vi Жыл бұрын
Mimi nipungue bwana wewe huongezeke 🙏 bwana ninyenyekeshe bwana uongezeke kila eneo la maisha yangu yesu uongezeke nyumbani kwangu ondoa kiburi ndani yangu eeeh mungu wangu mimi nipungue wewe uinuliwe bwana 🙏
@user-qr2hk8sb6u
@user-qr2hk8sb6u Ай бұрын
Asante Mungu wangu kwa zawadi ya uhai uliyonipatia mpaka sasa hivi, nakushuru kwa mambo makubwa na mengi uliyonitendea katika maisha yangu. Nakuja mbele zako eee Mungu wangu nakuomba mimi nipungue katika kazi yangu, afya yangu na maisha yangu kwa ujumla wewe uongezekee eee Mungu wangu mwaka huu 2024 ukapate kuwa mwaka wa shuhuda nije niwashuhudie watu wengi katika page hii jinsi ulivyoongezeka katika maisha yangu 🥰🥳🙏🙌
@Princess_636
@Princess_636 7 күн бұрын
Mimi nipungue ,wewe uongezeke😭😭🙏🙏Lord please ongezeka katika nyumba yangu ,ndoa yangu,kazini pangu,kwa watoto wangu ,ongezeka kwa mapato yangu, kwa familia yangu ,kwa amani yangu,😭🙏🙏🙏
@mercychepkemoi-do2cy
@mercychepkemoi-do2cy 3 ай бұрын
God take the lead,, Ongezeka yesu kwa maisha yangu ❤️🙏😓
@Kelvinhazard
@Kelvinhazard 3 ай бұрын
ongezeka kwa life yangu Mungu mm nipungue ww uinuliwe sana
@yusuphotieno9837
@yusuphotieno9837 2 жыл бұрын
What a powerful song, how many of you have been blessed by this song. Tujuane kwa Kweli.
@joanharold9055
@joanharold9055 2 жыл бұрын
Song of the day, uongezeka sanaa...mimi nipungue wewe uongezeke..
@victorshirima7668
@victorshirima7668 2 жыл бұрын
@@joanharold9055 z
@victorshirima7668
@victorshirima7668 2 жыл бұрын
@@joanharold9055 wz,,,,,,,zzzzzzzzzzz,,z,,,,,,zzzz
@victorshirima7668
@victorshirima7668 2 жыл бұрын
@@joanharold9055 a
@rosemassawani4850
@rosemassawani4850 2 жыл бұрын
👆
@mariapiangeze5902
@mariapiangeze5902 16 күн бұрын
Huu wimbo nausikiliza kila siku. Yesu uongezeke saaana kila sehemu ya maisha yangu, mimi nipungue
@maryMunyithya-xh4dc
@maryMunyithya-xh4dc 3 ай бұрын
Mimi na watoto wangu tupungue wewe uogezeke Yesu🙏🙏🙏uogezeke sana katika masha yetu Bwana...
@juddygichungwa8011
@juddygichungwa8011 2 ай бұрын
Mmmmmh
@user-mp1ep1en5q
@user-mp1ep1en5q Ай бұрын
Nakumbuka baba yangu wa kiroh wa dodom mch chares zakayo alikua anaupend❤❤ Kama ukiusikiliza unaongezeka kiroho kama mimi tuzidi kumwamini yey ktk maisha yetu🙏🙏🙏.
@thevacwar
@thevacwar 3 ай бұрын
UONGEZEKE YESU MIMI NIPUNGUE 😭😭🙌🙌ntarudi ni kushudie UKUU WAKO MUNGU
@FAVOR_HIM
@FAVOR_HIM Ай бұрын
2024 I don't understand the language but I picked YESU🇺🇬🇺🇬🙌🙌🙌🧎🧎
@user-ij1pn6ol2t
@user-ij1pn6ol2t 2 ай бұрын
Uongezeke Yesu, mimi nipungue katika ndoa yangu na kila kitu wewe uinuliwe sana.🙏🙏🙏🙏
@ERASMUSRUBUNGA
@ERASMUSRUBUNGA 11 күн бұрын
naomba uongezeke kwenye maisha na ndoto zangu, ongezeka kwenye maisha na mipango mizuri ya wazazi wangu, amina
@awardenock7173
@awardenock7173 Жыл бұрын
Mimi nipunguee ondoa kiburi ndani yangu ondoaa asira ondoa majivuno uinuriwe sana yesu🙏🙏
@everlineandega2109
@everlineandega2109 2 ай бұрын
Husan hasira
@margietopiko
@margietopiko 7 ай бұрын
Aigh kila dakika nipungue yesu uongezeke kabisa Dunia yote ijue Jina lako
@peresiphilemon366
@peresiphilemon366 9 күн бұрын
Nahitaji kupungua mbele za Mungu wangu hata km niinuke kiuchumi kias gani bado nahitaj unyenyekevu mbele zako Yesu😢😢😢😢
@HARIETEAKINYI-dw5if
@HARIETEAKINYI-dw5if 3 ай бұрын
Uongezeke maishani mwangu ,isiwe ni mimi naonekana ila weee tu Yesu.
@annetsaleh3000
@annetsaleh3000 Жыл бұрын
Uongezeke kwa maisha yangu mimi nipungue Yesu maana wewe ni kila kitu kwa Maisha yangu
@user-nj5hy5jo1p
@user-nj5hy5jo1p 9 ай бұрын
Kweli Mimi nipugue Yesu aogezeke na kuinuliwa juu sana
@catherinegatheru1978
@catherinegatheru1978 3 ай бұрын
Hallelujah!!! Yes, Lord...may I decrease and you increase in my life.
@worshiplibrary7157
@worshiplibrary7157 Жыл бұрын
I'm a muslim, I'm always amazed by how my christian friends worshipping God by singing this song. Now literally crying while watching this video. It's so pure and heartwarming. May peace be upon you❤..
@antonykomba6631
@antonykomba6631 Жыл бұрын
It's not through your self conscious that prompted you to comment in that fashion. But it's the holy spirit that guided you to do so, and quite frankly I've a Muslim friend and co worker and God whom you call Allah used her in multiple ways so that I can learn to pray three times a day and even more times if possible, and it's possible. May God bless you
@carolinemugambi4923
@carolinemugambi4923 Жыл бұрын
Hallelujah,do not let religion blind you please follow the voice of the most high God,we are living in the end of days,where it's not about any religion but the true worshippers who will accept Jesus the Messiah,the Bible says Rom 10:13 whoever calls on the name of the lord shall be saved!
@rozynjiru969
@rozynjiru969 Жыл бұрын
God loves you
@sylviaisutsa9732
@sylviaisutsa9732 Жыл бұрын
@worship library,it's all about God! He is calling on you to accept Him as your Saviour and friend! If you believe with your HEART and confess with your MOUTH that Jesus CHRIST is Lord,you are saved!
@estherkyalo4259
@estherkyalo4259 Жыл бұрын
Amen
@winmoi2019
@winmoi2019 2 жыл бұрын
My God and My King 😭 This two words has changed my life forever mimi nipungue, Wewe uongezeke Yesu My key word Uongezeke SANA😢😭😭 🙌How many are in repeat mode??
@manasemoses6922
@manasemoses6922 2 жыл бұрын
No day can pass without listening to this song like word of God
@mikemnmacharia1675
@mikemnmacharia1675 2 жыл бұрын
Amen, mimi nipungue wewe uongezeke sana
@eunicejuma544
@eunicejuma544 2 жыл бұрын
Sang it whole day
@mebykilembe2596
@mebykilembe2596 2 жыл бұрын
Hakuna kama yesu
@Masha4458
@Masha4458 2 жыл бұрын
Hi Joni O
@purposeinChrist
@purposeinChrist 2 жыл бұрын
John 3;30- "He must increase, I must decrease."
@user-fk2tm4to9f
@user-fk2tm4to9f 2 ай бұрын
Mimi nipungue wewe uongezeke kwenye uduma yangu, familial yangu, uzao yangu, biashara yangu
@waceranjoki6217
@waceranjoki6217 11 ай бұрын
❤ Mimi ni pungue, wewe uongozeke Mimi ni pungue, wewe uongozeke Uongozeke Yesu, uongozeke sana Mimi ni pungue, wewe uongozeke Uongozeke Yesu, uongozeke sana Mimi ni pungue, wewe uongozeke Mimi ni pungue, wewe uongozeke Uongozeke Yesu, uongozeke sana Mimi ni pungue, wewe uongozeke Uongozeke Yesu, uongozeke sana Mimi nipungue, wewe uongezeke Mimi ni pungue, wewe uinuliwe Mimi ni pungue, wewe uinuliwe Uinuliwe Yesu, uinuliwe sana Mimi ni pungue, wewe uinuliwe Uinuliwe Yesu, uinuliwe sana Mimi ni pungue, wewe uinuliwe Uabudiwe Yesu, uabudiwe sana Mimi ni pungue, wewe uabudiwe Uabudiwe Yesu, uabudiwe sana Mimi ni pungue, wewe uabudiwe Uabudiwe Yesu, uabudiwe sana Mimi ni pungue, wewe uabudiwe Uongozeke Yesu, uongozeke sana Mimi ni pungue, wewe uongozeke Uongozeke Yesu, uongozeke sana Mimi ni pungue, wewe uongozeke
@user-jn9bb7eq4g
@user-jn9bb7eq4g 11 ай бұрын
Nakiri Mungu wewe ni mkuu,nitapungua,ninyenyekee,niogope ili wewe UONGEZEKE
@yovinliam6323
@yovinliam6323 Жыл бұрын
I heard this song yesterday for the first ..it got me into a moment of thinking about my relationship with God and for the first time in this year am going to church..God bless you
@gracenaswa
@gracenaswa 9 ай бұрын
God bless you and never look back again!
@elizabethwamwea1249
@elizabethwamwea1249 2 жыл бұрын
Mimi ni Pungue wewe Uongezeke... Because without you Lord we are nothing
@lornaolonde3688
@lornaolonde3688 3 ай бұрын
Mungu anifunze kupungua ili Yesu aongezeke katika familia yangu, katika kazi yangu, katika watoto wangu na katika yote ninayoyafanya. Hallelujah
@bahatisanga9053
@bahatisanga9053 2 жыл бұрын
Ondoa kiburi nipe kunyenyekea Yesu, such a blessed song🙌
@emanuelavaleriani8646
@emanuelavaleriani8646 3 ай бұрын
Yesu nipungue wewe ongezeke katika maisha yangu.
@jemimamichael5426
@jemimamichael5426 Жыл бұрын
Mimi nipungue ,, ww uongezeke Uongezeke YESU
@PTNTVNEWS
@PTNTVNEWS 2 жыл бұрын
Naomba mimi nipungue Eh Mungu wangu ili Wewe uongezeke sana. Shukrani Kwa wimbo huu mtumishi Mungu Na kunemeshee zaidi katika huduma.
@amonkaranja2695
@amonkaranja2695 Жыл бұрын
😭🙌2023 sisi tupungue Yesu uongezeke sana, mapenzi yako yatimie duniani kama vile mbinguni, amina 🙏🙏
@peternjuguna3475
@peternjuguna3475 Жыл бұрын
I was going thro divorce proceedings,last year#22,, Hii wimbo iliponya moyo wangu
@wafabian8116
@wafabian8116 Жыл бұрын
Glory to GOD
@carolinenjeri7788
@carolinenjeri7788 2 ай бұрын
May God restore what is lost
@joycemajura1604
@joycemajura1604 Ай бұрын
Ameen Mungu azidi kukupigania.
@clemencewakesho1312
@clemencewakesho1312 Жыл бұрын
Uongezeke Yesu,nipingue...ondoa kiburi na kujiinua ndani yangu Bwana, nipingue uongezeke kwangu Yesu.
@elisha63
@elisha63 Жыл бұрын
Huu wimbo hujirudia kichwan kwang usku na mchana
@gloryvictor7013
@gloryvictor7013 6 ай бұрын
Mimi nipungue wewe Uongezeee kwenye maisha yangu yesu🙏🙏🙏🙏
@Don_TitoJr
@Don_TitoJr 8 ай бұрын
R.I.P to my friend and brother-in-Christ Daniel. This was his favorite song. Till we meet again my friend, God be with you in the next Life. ❤
@user-fk2tm4to9f
@user-fk2tm4to9f 2 ай бұрын
Uongezeke kwenye inchi yetu, uzima wangu, maishani mwangu❤
@RobinsonMukanzi
@RobinsonMukanzi 3 ай бұрын
Ondoa kiburi ndani yangu
@gomarakimwanzaro9903
@gomarakimwanzaro9903 9 ай бұрын
Ongezeka YESU kwa maisha yangu siwezi bila wewe napungua wewe uongezeke
@user-cl1ov3ng9w
@user-cl1ov3ng9w 9 ай бұрын
Mimi nipunguwe wewe uongezeke it's my special prayer request 🙏 I believe my manifestations will come to pass🙏.
@MICHAELODUOR-li4bi
@MICHAELODUOR-li4bi 3 ай бұрын
Wacha nipungue yesu, wewe uongezeke na kuinuliwa🎉
@shirokimani1924
@shirokimani1924 2 ай бұрын
Mimi nipungue yesu wangu,,wewe uongezeke..wewe uonekane heri. Nisionekane mimi..Asante Yesu maanake wewe si kama binadamu ,utukufu wote ni wako❤️❤️🙏
@faithmbolu2891
@faithmbolu2891 11 ай бұрын
7/7/23 first time hearing this song. God may you increase as I decrease. Uongezeke sana yesu. God take the lead.
@esther9892
@esther9892 2 жыл бұрын
Si nyimbo ya kawaida, ila ni maombi, ubarikiwe saaana mutumishi wa Mungu. Ombi langu siku moja, tuonane Mbinguni !❤️
@christinasingano942
@christinasingano942 Жыл бұрын
Amen amen barikiwa sana mtumishi wa mungu,
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 Жыл бұрын
Nyimbo zikiwa nyingi. Lkn ikiw moja ni wimbo.
@corneliuskataba7989
@corneliuskataba7989 Жыл бұрын
@@christinasingano942 Praise God
@derickcowly6681
@derickcowly6681 Жыл бұрын
Amina Hallelujah Hossana
@majaliwahassan8007
@majaliwahassan8007 Жыл бұрын
Oooh haleluyah barikiwa mpendwa
@MICHAELODUOR-li4bi
@MICHAELODUOR-li4bi 3 ай бұрын
May you Lord have mercy and goodness in all my work, learnings and my life situations😢
@preciousm2449
@preciousm2449 4 ай бұрын
I woke up with this song in mind as part of my prayer during my fast and It's my desire that he, Ebenezer, indeed increases in my life as everything else submits to his authority.
@josephkimaro9300
@josephkimaro9300 Жыл бұрын
Mimi nipungue wewe uongezeke 2023 tell GOD to increase you to decrease.....👏
@MagrethLucas-zl4ls
@MagrethLucas-zl4ls 9 ай бұрын
Barikiwa mtumishi...Mimi nipungue YESU wewe uwongezeke YESU
@esthergicero3559
@esthergicero3559 18 күн бұрын
My heart is heavy...I open my mouth and can't pray...I know your plans over my life are greater than I can imagine... please heal my heart....take my pain God
@eddieoronde8454
@eddieoronde8454 18 күн бұрын
May you receive healing in the mighty name of Jesus Christ Amen
@irenejames3459
@irenejames3459 Жыл бұрын
Uongezeke yesu mwaka huu 2023 katika maisha yangu 🙌 nipungue Mimi wewe uongezeke yesu
@actsmale3404
@actsmale3404 2 жыл бұрын
This song made me get born again
@rodahjerop4582
@rodahjerop4582 2 жыл бұрын
Wow welcome aboard. Jesus is real. Trust Him; He never fails
@margaretkamau8102
@margaretkamau8102 2 жыл бұрын
Wow!! Glory to God
@Wakio231
@Wakio231 2 жыл бұрын
Oh wow, welcome to the family.
@emilyachieng2077
@emilyachieng2077 2 жыл бұрын
Welcome you are safe
@wafabian8116
@wafabian8116 Жыл бұрын
Hallelujah
@JamesKagure-zy7yn
@JamesKagure-zy7yn 13 күн бұрын
MIMI NIPUNGUE WEWE UONGEZEKE YESU KWA MAISHA YANGU🙌🙌🙌🙌
@listerkemuntomiroro6934
@listerkemuntomiroro6934 Жыл бұрын
2023 bado napungua ili uongeze...I decrease Lord that you may increase
@hellenmollel6679
@hellenmollel6679 Жыл бұрын
Tuliopita Tena kuutizama Kwa mwaka 2023 njoo tumuambie Yesu aongezeke zaidi na zaidi
@allanchris4771
@allanchris4771 3 ай бұрын
Uongezeke Yesu katika familia yangu🙏🏽
@user-hc3fw1dt7i
@user-hc3fw1dt7i 4 ай бұрын
Mimi nipungue wewe Uongezeke, nani amekuja Tena 2024❤❤
@marionchao
@marionchao 9 ай бұрын
Kweli Mimi nipugue Yesu uongezeke na kuinuliwa Juu sana🙏🙏nipee Neema yakunyenyekea
@michaelamimo2685
@michaelamimo2685 2 жыл бұрын
Mimi nipungue,wewe uongezeke yeah❤.nipe roho ya kunyenyekea mungu Wangu😢😭😭😭😭
@terryannewambua8588
@terryannewambua8588 2 жыл бұрын
Prayer of humility,nami nipungue milele naye Kristo aongezeke Milele AMEN
@Deborah-ex9fv
@Deborah-ex9fv 3 ай бұрын
Mungu ongezeka katika maisha yangu 😭😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏
@newwineskin5494
@newwineskin5494 17 сағат бұрын
Kweli ondoa kiburi ndani yangu, UONGEZEKE NA UABUDIWE,TUNAKUINUA MWENYE ENZI.🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾❤❤❤❤🎉🎉🎉. Minister Boaz,more baraka,mpako kwako.❤
@neemagerald3170
@neemagerald3170 2 жыл бұрын
Mungu kanifundisha Jambo kupitia wimbo huu ... glory to God....Madhaifu yangu yapungue yeye aongezeke ..yeye nimkuu kuliko changamoto zangu, mawazo yangu yapungue ili uhalisia wake uongezeke ndani yangu nimeuelewa kutoka mbali..... mmmh
@everlyngarugi8594
@everlyngarugi8594 Жыл бұрын
Ameeeen
@johnsteven7757
@johnsteven7757 Жыл бұрын
Amen
@AudiStephanie
@AudiStephanie Жыл бұрын
After Rhema Feast I kept singing this song. It's so powerful!
@pearlnyaosi7356
@pearlnyaosi7356 Жыл бұрын
Absolutely!
@elilentikamau8752
@elilentikamau8752 Жыл бұрын
Ata mimi nko hapa after hearing his songs in Rhema Feast
@suratdevelopers1150
@suratdevelopers1150 Жыл бұрын
You my twin.
@jackychela4638
@jackychela4638 Жыл бұрын
Me too👌😭🙏powerful
@simonkiura2795
@simonkiura2795 Жыл бұрын
@@she4873 aaq red dtff
@coreenmabonga7684
@coreenmabonga7684 2 ай бұрын
Mimi nipungue wewe uongezeke bwana kwq maisha yangu.😭😭😭😭😭😭 feeling hopeless strengthen me ooh Lord
@misskarun2548
@misskarun2548 11 ай бұрын
saw stories za WaKavinye jana and❤❤
@johnoduor8816
@johnoduor8816 2 жыл бұрын
“Mimi nipungue wewe uongezeke.” Scripture songs hit differently. Can’t get enough of this song.
@shopshopt6701
@shopshopt6701 2 жыл бұрын
Ameeeeni
@JohnsonOmondi-bm5ro
@JohnsonOmondi-bm5ro 2 ай бұрын
Naomba kunyenyekea miguuni pako MUNGU wakati wote.
@user-rf2dz6ri1j
@user-rf2dz6ri1j 2 ай бұрын
Ongezeka kwa maisha yangu na ndoa yangu mungu wangu, akuna kama wewe baba ongezeka yesu,,,,
@FatmaHamad-hs3tj
@FatmaHamad-hs3tj Ай бұрын
Ongezeka yesu mm nipungue.. thank you lord for your mercy and love to your children
@loighamasuru6504
@loighamasuru6504 2 жыл бұрын
I heard it on Rauka it's a blessing song may I decrease so that u may Increase..may I be of less important and u more more important...it's caming from the book of John :3;30 may God bless you all
@mercynaserian2742
@mercynaserian2742 Жыл бұрын
In my Life Lord Mimi nipungue -- Wewe Unongezeke Yesu Mimi nipungue --Wewe Unongezeke Yesu Mimi nipungue --Wewe Unongezeke Yesu Mimi nipungue --Wewe Unongezeke Yesu Oooooh this my National Anthem back in Kenya 🇰🇪 More Grace Man of God and Mercies of God as you bless many people soul's 🙏
@lamechnyabaro1380
@lamechnyabaro1380 8 ай бұрын
Amen
@Misskiptoo
@Misskiptoo Жыл бұрын
This song is just it. God let me decrease so you increase. This is my prayer Lord on May 29th 2023
@shiikamau403
@shiikamau403 10 сағат бұрын
My 9yr old daughter has introduced this masterpiece to me today n its on repeat mode.....Blessings to this young generation 🙏🙏🙏
@luciamwakisambwe4039
@luciamwakisambwe4039 Жыл бұрын
Hakika Mungu aongezeke kwangu
@user-iz2fk5bw3z
@user-iz2fk5bw3z 10 ай бұрын
Huwa nabarikiwa sana na wimbo huu... Mungu akulinde brother Boaz.
@user-yf8bb7vj6r
@user-yf8bb7vj6r 5 ай бұрын
🙌 mtumishi P. Mimi ni punguwe yesu ongezeka katika moyo wangu.ni zidi kukutumikia wewe.
@faymso9749
@faymso9749 Жыл бұрын
Very powerful song Mimi ni pungue yesu uongezeke
@winifridalaswai1921
@winifridalaswai1921 2 жыл бұрын
HALELUUUUUUUUYA nitokomee kabisaaaaa 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭YESU ONEKANA KILA MAHALI 🙏😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😪
@johnndimbo5897
@johnndimbo5897 2 жыл бұрын
To be humble is my prayer too so that Jesus will be exalted.
@mtindoelias8888
@mtindoelias8888 2 жыл бұрын
Ainuliwe zaidi YESU Kaka Boaz Danken Mungu amekuamini na kukutambulisha. Ubarikiwe sana brother 🙏🙏🙏🇹🇿
@EmmanuelZenda-ji5gc
@EmmanuelZenda-ji5gc 19 күн бұрын
Being in hard times lately no job,no direction but in him I believe.Mimi nipungue,wewe uongezeke!
@josephinegodfrey1032
@josephinegodfrey1032 2 жыл бұрын
Atukuzwe Bwana akupaye maono ya kuandika nyimbo hizi hakika ni baraka sana kuwa nawe katika dunia ya leo mtumishi
@faustmboi
@faustmboi 2 жыл бұрын
Truly God is real. I encountered The holy Ghost through this very worship song. Since then it has been the ringtone in my mind. I just burst and shout "Uongezeke yesu". Somebody shout AMEN!
@gooddeeds162
@gooddeeds162 2 жыл бұрын
Ameeeeeeeeeen!🙌🏿
@fransiscanekesa9346
@fransiscanekesa9346 2 жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙌
@raphaelyaa4995
@raphaelyaa4995 2 жыл бұрын
Prayers and worshiping songa
@raphaelnzuki2343
@raphaelnzuki2343 2 жыл бұрын
Amen...Hallelujah...wacha aongezeke katika huduma
@winniendungu8418
@winniendungu8418 2 жыл бұрын
Amen
@jenipheretenyi7922
@jenipheretenyi7922 Жыл бұрын
I am listening to this waiting for surgery and just praying to God to come through for me and minister to my surgical team.
@Ruby.Com7610
@Ruby.Com7610 14 күн бұрын
Nifunze kunyenyekea.. Ondoa kiburi ndani yangu YESU!!!😢😢😢.
@marthanjeri9472
@marthanjeri9472 9 ай бұрын
🙌🙌 WEWE UONGEZEKE SANA.
@OfficialMarjorieDSI
@OfficialMarjorieDSI Жыл бұрын
Such a powerful worship song... A prayer from the depths of my heart... Mimi nipungue, Wewe Uongezeke Yesu in my life now and forevermore I surrender 🙏... Wewe uonekane katika maisha yangu, mimi nipungue 🙏🙏🙏
@annointamani3285
@annointamani3285 2 жыл бұрын
Hallelujah, Mimi nipungue wewe Yesu uongezeke, Wimbo huu ufike kwa wote walio kusudiwa dunia nzima ili kuimarisha mwili wa kristo.
@joycekashaija9232
@joycekashaija9232 Жыл бұрын
uongezeke Yesu kwenye mioyo ya watu,kisha sisi.tupungue.maisha hayana maana bila wewe.Thank you my father.
@catherinekitunga512
@catherinekitunga512 Жыл бұрын
Mimi nipugue yesu uongezeke
@essycikushow5776
@essycikushow5776 2 ай бұрын
Uongezeke Yesu Uongeze sana, mm nipungue wewe uongezeke.
@abrahama9803
@abrahama9803 6 ай бұрын
This song blessed me today 26th Nov 2023. God bless you sir. Kindly add the lyrics in the description section to help us sing along better
@BrotherHoodMentality
@BrotherHoodMentality 2 жыл бұрын
NIPUNGUE KABISAAAAA BWANA, WEWE UONGEZEKEE MAISHANI MWANGU 🙌🏾🙌🏾💯❤️❤️
Они убрались очень быстро!
00:40
Аришнев
Рет қаралды 3,4 МЛН
I CAN’T BELIEVE I LOST 😱
00:46
Topper Guild
Рет қаралды 20 МЛН
Её Старший Брат Настоящий Джентельмен ❤️
00:18
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 8 МЛН
Climbing to 18M Subscribers 🎉
00:32
Matt Larose
Рет қаралды 33 МЛН
Best of Israel Mbonyi songs 2024,  Nina siri, sikiliza dunia, Ntaamini and more
52:13
DEEP KENYAN POWERFUL WORSHIP
Рет қаралды 196 М.
Boaz Danken  -Haufananishwi/Unafanya Mambo (Official video) #GodisReal
14:58
MAOMBI YANGU Bella Kombo cover YAFIKE KWAKO AND HIYO DAMU, DAMU TAKATIFU WORSHIP BY DANYBLESS
25:33
Israel Mbonyi - Nitaamini
12:58
Israel Mbonyi
Рет қаралды 20 МЛН
YALE USIYOYAWEZA BWANA ANAWEZA, ALIPO BWANA, ZUNGUMZA NAMI BWANA AND BILA WEWE YESU SIWEZI
34:14
HEAVEN SOUND ONLINE TV KENYA[MinisterDANYBLESS]
Рет қаралды 4,3 МЛН
ҮЗДІКСІЗ КҮТКЕНІМ
2:58
Sanzhar - Topic
Рет қаралды 2,9 МЛН
Dildora Niyozova - Bala-bala (Official Music Video)
4:37
Dildora Niyozova
Рет қаралды 6 МЛН
Say mo & QAISAR & ESKARA ЖАҢА ХИТ
2:23
Ескара Бейбітов
Рет қаралды 132 М.
Saǵynamyn
2:13
Қанат Ерлан - Topic
Рет қаралды 2 МЛН
6ELLUCCI - KOBELEK | ПРЕМЬЕРА (ТЕКСТ)
4:12
6ELLUCCI
Рет қаралды 371 М.
DAKELOT - ROZALINA [M/V]
3:15
DAKELOT
Рет қаралды 240 М.
BABYMONSTER - 'LIKE THAT' EXCLUSIVE PERFORMANCE VIDEO
2:58
BABYMONSTER
Рет қаралды 72 МЛН