Hujambo Ken,kazi yako ni nzuri,kongole.Ningependa kuuliza,je ni lazina pia niwe na official stamped plan ili kujenga semi permanent house?Na pia roofing ya semi permanent unashauri kutumia frame upi,4*2 or 3*2 or 2*2
@michaelnamai21406 күн бұрын
@@SILASWANYONYI-of3ff semi permanent inajengwa tu bila stamped plan
@michaelnamai21406 күн бұрын
@@SILASWANYONYI-of3ff na pia permanent hutegemea na area yenye uko