Resty your amazing woman and we love you from kenya sweet love darling
@Zainablicious3 жыл бұрын
Oh yes we do ❤
@alsam48813 жыл бұрын
Msiwadanganye watu kwa kufanya biashara na kuwalia pesa zao,Hakuna dawa ya kupunguza tumbo wala unene, dawa sahihi ni mazowezi na kula chakula sahihi na kufuata kanuni za Afya .
@mamoridan46753 жыл бұрын
Acha izo ni kwamba izo dawa hazifanyi kazi. Acha kujitetea 🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️
@Bintimrembo-y1v3 жыл бұрын
Mwenye mjengo ni baba Hailey na kesha uza mjengo 😁
@dottocharles16363 жыл бұрын
Nitaipataje Mimi hiyo chai nataka nipunguze tumbo
@lightnessseifu59838 ай бұрын
Naomba nomber yako
@agneslubea61933 жыл бұрын
We naweee mtangazi jieshimu ....Kila mda mwili mwili mwacheni dada wa watu kheeee...si yeye. Na maisha yake jamani ..mwacheni aji feel na mwili wake,
@jeanmugisha93772 жыл бұрын
Lakini Wasafi wanalipa au wanakaa bure au wanalipa acheni ujinga
@samiamsuya91593 жыл бұрын
Eti ali ni blok kisa nilimwambia ukweli
@bongelabwana75233 жыл бұрын
14.00
@mamoridan46753 жыл бұрын
You try tooo hard resty hauko natural kabisa 🙄🙄😏😏🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️
@nurukhalifa94133 жыл бұрын
Saut yako ipi kuna wakat unaongea sawa kuna wakat unaongea reeee reee raaaaa raaaaa