GHOROFA ANALOISHI ASHABOKO/ ANA NYUMBA MBILI/ MOJA NIMEPANGISHA / MUME WANGU ALIFARIKI.

  Рет қаралды 115,391

ZamaradiTV

ZamaradiTV

5 ай бұрын

Usisahau ku"SUBSCRIBE" KZbin channel yetu kwa videos nyinginezo
#zamaraditv #mambonimengi

Пікірлер: 270
@Juke995
@Juke995
Asha hadi raha kuongea nae hapo kasahau kam ni interview 😂 dah napenda sana kuona wasanii wazaman wakiishi maisha mazuri kiukwel wameteseka sana 😢hata kama kapanga ila haombi ombi anapata kodi ndo maisha hata ulaya watu wanapanga apartment wananunua nyumba wanapangisha maisha yanasonga
@nurubinjubeir
@nurubinjubeir
Hii nyumba inaoshesha ndio kwanza imemalizika ujenzi na iko mikononi mwa madalali bado haiĵapata mpangaji ila asha book kakodi kwa masaa tu ya intavuu😂😂😂😂
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174
Ila mshauri asher uwashaji wake wa gas ni hatari.yaani antifungal ndio anaanda kiberiti ni hatar saana.alitakiwa kuwasha kiberiti kwanza.
@NataliaKenny-vb6os
@NataliaKenny-vb6os
Kama Umeona asha boko anakakumfanana kajara macho 😂gonga like
@GraceSichinga-bm4fh
@GraceSichinga-bm4fh
Salehe ilki kipindi kinakufaaa 😂yan umesomea kwel kwel endelea kutupa raha next time nenda kwa riyama ali au kwa vyone cherry aka monalisa❤
@JennyJma
@JennyJma
Kumbe miriam amour ni mdogo wako ndio najua leo ila mmefanana kidogo sema wewe mrefu Miriam mfupi 😀
@mamasalhat
@mamasalhat Күн бұрын
Miriam kumbe mdogo wake asha boko uwi asante hiki kipindi nimejua nisiyo yajua😂😂
@Nasmaabdala-oz2su
@Nasmaabdala-oz2su 4 сағат бұрын
Wewe asha wewe mbona unafuta iyo sahani unaisha na maji nakupakulia hapo hapo taiford tupu
@rahmasuleiman9334
@rahmasuleiman9334
Yaani hapo kwa misosi Saleh ndo mwake lazima ale 😂😂😂😂😂
@GiftAbduly
@GiftAbduly
Mashallah asha boko ni mcheshi sna ❤
@bitishoriziki1113
@bitishoriziki1113
Wow that's awesome you're so much better ☺️😎 ooyy kutu letea mishe mishe za abari huko ulipo 🎉❤🎉❤😊 amen amen 🥰🥰
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241
Salehe asante sana kwa kipiindi..unapomaliza na kumuaga interviewee kaa pembeni na utoe summary ya mahojiano ndo ufunge kipindi au sio
@salmaseif-rq9ux
@salmaseif-rq9ux
Jmn nampenda asha Boko Allah amueke nikimuona tu naskia Raha ❤❤
@clovicemusobozi3891
@clovicemusobozi3891
Mashaa Allah love you Asha Boko ❤️❤️❤️❤️
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241
napenda sana hapa anapokaa..simple and so nice!
@shukranjulius9526
@shukranjulius9526
Mashaallah mkongwe Dada asha❤❤❤
@Chettymlambalipsi-lb9km
@Chettymlambalipsi-lb9km
Mimi sipendi kuangalia bongo movies but nikiona muvi alocheza huyu mama lazima niangalie nampenda sana ashaboko❤❤❤
@FedFox-fl5pw
@FedFox-fl5pw
Nimeipenda hiyo ayaa umeme umerudi am tz from wsuzlendi
@BeullahBujah-lk3sx
@BeullahBujah-lk3sx
Wabongo mpk mmuchunguze mtu!! ya nn? Kuwe kwake kusiwe hallelujah!!
@alimanana7564
@alimanana7564
Mama kipunje nakupenda sana ❤
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 6 МЛН
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 7 МЛН
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 56 МЛН
SUPERWOMAN 🕰️ TIME
2:14
Mclasway
Рет қаралды 158
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 6 МЛН