REV. DR. ELIONA KIMARO: HESHIMU WATU Kwa maombi na ushauri: Mch. kiongozi: Dr. Eliona Kimaro Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053
Пікірлер: 37
@jenifamoshi1219 Жыл бұрын
Amina mtumishi wa Mungu masomo Yako yananifundisha sana na kunibariki
@enjoybenjamini4713 Жыл бұрын
Amen, barikiwa kila siku unaniongezea madini ya kupiga hatua
@Udindigwa Жыл бұрын
Kazi Ya Mungu Ni Kazi Ya Mungu Mwenyezi Mungu Asimame Nawe Uzidi Kutujenga Unamchango Mkubwa SANA Ndani Ya Tanzania Yetu na Hata Nje Ya Tanzania Yetu Baba
@kamalaeditha5864 Жыл бұрын
Amina mtumishi wa Mungu. Hakika tuheshimu watu.
@user-pe5bv2ol1i Жыл бұрын
Mungu nipe kuheshimu watu zaid 🙏🙏🙏
@janetwaithaka4169 Жыл бұрын
Well said Amen and Amen
@philisasiko684811 ай бұрын
So encouraging
@ElinaKibona-qu2op Жыл бұрын
Amen
@neemamaganga9774 Жыл бұрын
Amen.
@SARAHHALIFA-wm2kg Жыл бұрын
Hautakiwi kudharau watu maana hatima zetu Mungu kaficha Kwa watu tunaowadharau"
@eliahidinamama Жыл бұрын
Amina mtumishi somo zuri tumejengwa ktk kuheshimu watu wote tunaowajua na tusiowajua.
@FrancisMkonda-ie6zm Жыл бұрын
Ubarikiwe Mtu wa Mungu
@collinslyimo448 Жыл бұрын
Ameeen barikiwa sana mtumishi 🙏🙏❤️
@anjelalyamboko740 Жыл бұрын
Amen,mtumishi wa Mungu
@marianajoseph1892 Жыл бұрын
Kuna watu wana stutus ya chini lakini wana akiri sana kuliko wenye majina makubwa.
@MohammadAhmad-tr6gp Жыл бұрын
Amen mtumishi wa mungu, mimi nilikuwa nafanya kazi saudi Arabia, boss wangu alikuwa hazai nikamwambia atumie cloves siku saba imagine alipata mimba sai ako na mtoi.
@stellakasimba9375 Жыл бұрын
Ameeen
@ZOE-xr8up Жыл бұрын
Unatumiaje?
@redeemed5380 Жыл бұрын
Naomba na sisi tufundishe
@MohammadAhmad-tr6gp Жыл бұрын
@@redeemed5380 hii account ni ya boss Muhammed
@mimizlove6992 Жыл бұрын
Wow nimefurahia sana huu ushuhuda
@marianajoseph1892 Жыл бұрын
Mungu nipe roho ya kuheshimu watu, waniheshimuyo.
@rezegerezege691 Жыл бұрын
Mungu anipe kuwaheshimu watu.
@jessicamasepo8320 Жыл бұрын
Amina, Baba ubarikiwe.
@estharlovely6202 Жыл бұрын
Amen na ubarikiwe Mchungaji
@amosndibalema3065 Жыл бұрын
Ubarikiwe Dr.Eliona....
@RAYMONDKORNEL-gb8ty Жыл бұрын
Kweli baba mchungaji.
@furahamtweve4222 Жыл бұрын
Amina
@leahmollel6589 Жыл бұрын
🙌🙌🙌🙌
@periswangari4525 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@kirangareelitumainibk7615 Жыл бұрын
Amina mtumishi
@happyjohnson4171 Жыл бұрын
👏👏👏
@user-lj4tg8mm4r Жыл бұрын
Kweli tunazuia Baraka zetu kwa dharau. 23:27
@user-cu7bw5fm5f Жыл бұрын
Kweli baba
@odethamlyuka2552 Жыл бұрын
Kweli kabisa SEMA tupone ukweli unauma Mchungaji
@privanuskatinhila1473 Жыл бұрын
Hongera kutukunbusha majukumu na Utekelezaji majukumu yetu