REV. DR. ELIONA KIMARO: KANISA LA KWANZA

  Рет қаралды 885

Rev. Dr. Eliona Kimaro

Rev. Dr. Eliona Kimaro

7 ай бұрын

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH - IBADA YA MORNING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING - 15/11/2023.**"
"KICHWA CHA SOMO: KUSUDI LA KUWEPO"
"A SENSE OF PURPOSE"
NENO KUU
UNAFANYA NINI HAPA?
WHAT ARE YOU DOING HERE?
NYI - KYIKYI UWUTA IHA?
1 Wafalme 19 : 9
UNAFANYA NINI HAPA?
NENDA KWENYE KIWANGO CHAKO
FROM TEST TO TESTIMONY
( KANISA LA KWANZA )

Matendo 12 : 1 - 17
1 Panapo majira yale yale Herode mfalme akanyosha mikono yake kuwatenda mabaya baadhi ya watu wa kanisa.
2 Akamwua Yakobo, ndugu yake Yohana, kwa upanga.
3 Na akiona ya kuwa imewapendeza Wayahudi akaendelea akamshika na Petro. Siku hizo zilikuwa siku za mikate isiyochachwa.
4 Alipokwisha kumkamata, akamweka gerezani akamtia mikononi mwa vikosi vinne vya askari wanne wanne, wamlinde, akitaka baada ya Pasaka kumtoa na kumweka mbele ya watu.
5 Basi Petro akalindwa gerezani, nalo kanisa likamwomba Mungu kwa juhudi kwa ajili yake.
6 Hata wakati Herode alipotaka kumtoa, usiku ule ule Petro alikuwa analala katikati ya askari wawili, amefungwa minyororo miwili; walinzi mbele ya mlango wakailinda gereza.
7 Mara malaika wa Bwana akasimama karibu naye, nuru ikamulika mle chumbani, akampiga Petro ubavuni, akamwamsha, akisema, Ondoka upesi. Minyororo yake ikamwanguka mikononi.
8 Malaika akamwambia, Jifunge, kavae viatu vyako. Akafanya hivyo. Kisha akamwambia, Jivike nguo yako, ukanifuate.
9 Akatoka nje, akamfuata; wala hakujua ya kuwa ni kweli yaliyofanywa na malaika; bali alidhani kwamba anaona maono.
10 Na walipopita lindo la kwanza na la pili, wakaja hata mlango wa chuma wa kuingilia mjini, ukawafungukia wenyewe. Wakatoka nje, wakapita katika njia moja; mara malaika akamwacha.
11 Hata Petro alipopata fahamu akasema, Sasa nimejua yakini ya kuwa Bwana amempeleka malaika wake na kunitoa katika mkono wa Herode na katika kutazamia kote kwa taifa la Wayahudi.
12 Na alipokuwa akifikiri haya akafika nyumbani kwa Mariamu, mamaye Yohana, ambaye jina lake la pili ni Marko; na watu wengi walikuwa wamekutana humo wakiomba.
13 Naye alipobisha kilango cha lango, kijakazi, jina lake Roda, akaja kusikiliza.
14 Alipoitambua sauti ya Petro, hakukifungua lango, kwa ajili ya furaha, bali alipiga mbio, akaingia ndani akawaambia kwamba Petro anasimama mbele ya lango.
15 Wakamwambia, Una wazimu. Lakini yeye akakaza sana, akasema ya kwamba ndivyo hivyo. Wakanena, Ni malaika wake.
16 Petro akafuliza kugonga, hata walipokwisha kumfungulia wakamwona, wakastaajabu.
17 Naye akawapungia mkono wanyamaze, akawaeleza jinsi Bwana alivyomtoa katika gereza. Akasema, Kampasheni Yakobo na wale ndugu habari hizi. Akaondoka, akaenda mahali pengine.
Mhubiri : Rev. Dkt. Eliona Kimaro
Kwa maombi na ushauri :
Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053

Пікірлер: 1
@josephlukumaya4223
@josephlukumaya4223 7 ай бұрын
Amen
Hofu ya Mabadiliko | Fear of Change | Rev. Dr. Eliona Kimaro
45:04
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 5 М.
REV. DR. ELIONA KIMARO: MANENO MABAYA
37:35
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 1,5 М.
Я нашел кто меня пранкует!
00:51
Аришнев
Рет қаралды 4,2 МЛН
That's how money comes into our family
00:14
Mamasoboliha
Рет қаралды 9 МЛН
Did you believe it was real? #tiktok
00:25
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 52 МЛН
REV. DR. ELIONA KIMARO: CHAGUA UZIMA NA MEMA AU MAUTI NA MABAYA
53:53
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 6 М.
Namna ya Kushinda hofu na Hatia Maishani Seh. I
43:09
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 53 М.
Kisa cha Mke na Mume kugawa kitanda wasigusane : Askofu Malekana
25:04
Gangana Info Channel
Рет қаралды 36 М.
Ushuhuda wa mama kifaru akisimulia Rev.Dr.Eliona Kimaro
17:16
KKKT - DMP Usharika Wa Mbezi Beach
Рет қаралды 314 М.
Kwanini Umezaliwa
59:32
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 68 М.
Я нашел кто меня пранкует!
00:51
Аришнев
Рет қаралды 4,2 МЛН