BABA nabarikiwa sana na mafundisho ambayo MUNGU ameweka ndani yako...MUNGU azidi kukuinua zaid na zaid
@MargaretVihenda-c4h7 ай бұрын
Hallelujah 🙏
@EK-kp2np2 жыл бұрын
Zaburi 105:4 Mtafuteni Bwana na Nguvu zake,utafuteni uso wake siku zote🤲
@agnesndetaramo72092 жыл бұрын
Ameeen Ameeen Ameeen 🙏🙏🙏
@rezegerezege6912 жыл бұрын
Pole sana Daddy Mungu Akulinde Daddy.
@blandinanoah4614 ай бұрын
AMINA 🙏
@mariomdegela6046 Жыл бұрын
Ameeeeeniii
@roseshirima93652 жыл бұрын
Mungu ni mweza wa vyote
@rosesalimu2950 Жыл бұрын
Amen baba
@alysaimxxxon8632 жыл бұрын
Mungu nibariki kupitia madhabahu haya utende miujiza katika maisha yangu
@francjose95963 ай бұрын
🙏🏽
@mary3714-hss2 жыл бұрын
Mungu akuzidishe mchungaji sasa na hata milele,kama alivyo mchungaji wao ndivyo walivyo na kondoo zake,Nami natangaza neno la Mungu kwa nafasi niliyonayo mpaka wanamtafuta Mungu aliye hai
@bethwinfred44002 ай бұрын
❤ amen
@RoseKway-x8t2 ай бұрын
Amina mchungaji
@salmakadiba5322 жыл бұрын
Nakukubali sana mchungaji mungu aendelee kukuinua uwe waviwa go vya juu
@paskalimayunga28642 жыл бұрын
Hahahahaaaaaaa! Baba mchungaji Umenifanya Nimecheka kwa sauti mpaka baba Mwenye nyumba kagundua nipo Ndani.endelea kubarikiwa.
@rufeyakassim9774 Жыл бұрын
Amen Amen Mungu ukumbuke pia kuna watu wanataka nishindwe sasa Nakutaka wewe na nguvu zako 🙏🙏😇💯 wasubir mpka waliwe na mchwa🙏
@beatricepallangyo28212 жыл бұрын
Asante sana Baba yangu.., Ubarikiwe sana Baba Mchungaji!!!!!!!