Kanisa sio jumba la makumbusho la watakatifu, kanisa ni hospitali. Kuna Daktari, wagonjwa, magonjwa, duka la dawa za bure. Kuna uponyaji wa kiroho.
Пікірлер: 6
@Antelius-ew6it6 күн бұрын
Asante padre Kamugisha
@KarimAthumani-vj4pf19 күн бұрын
Asante sana padre Dr faustine kamugisha nimekuwa mfuasi wako toka mwaka 208 kupitia makala zako kwenye gazeti la jamhuri,, asante sana baba, mpaka leo baba bado najitahidi sana kuyaishi kwa vitendo yale yote niliyo jifunza kwako..... Lakini baba