Mch Moses Magembe - VITA KATI YA MWILI NA ROHO | IBADA JUMAPILI MCHANA

  Рет қаралды 15,570

Rev Moses MagembeTv

Rev Moses MagembeTv

Күн бұрын

Пікірлер: 43
@patchomwamba9529
@patchomwamba9529 Ай бұрын
Nakuelewa sana baba unainjili ya moja Kwa moja sio yakubembeleza nakupenda baba Mungu akupe maisha marefu
@patchomwamba9529
@patchomwamba9529 Ай бұрын
Asante sana mchungaji wangu Mungu akubariki sana hakika nimefunguliwa🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼 nashukuru Mungu sana
@ivonaevarista4654
@ivonaevarista4654 2 ай бұрын
Asanteeeee Bwana Yesu Kristo kwa uponyaji,ukamzidishie neema na amani mtumishi wako
@SaidAliSaid-r1s
@SaidAliSaid-r1s 2 ай бұрын
Asante sana Mungu akupenda mrefu uendelee kutufudisha imani ya kanisa mana mafundisho yana nifungua kiimani
@akonkwabisimwa4270
@akonkwabisimwa4270 2 ай бұрын
MUNGU awabariki daima baba Mchungaji tumewafuata mzuri kabisa tukiwa na Biblia mikononi
@feliciansamson15
@feliciansamson15 Ай бұрын
Mungu wetu ni mkumbwa na akubariki sana kwa neno
@MaryVicent-p6y
@MaryVicent-p6y Ай бұрын
God bless you pastor
@SelemanMathias-ol8om
@SelemanMathias-ol8om Ай бұрын
Ubarikiwe sana baba yangu 🔥🔥
@EdwardChitama
@EdwardChitama 2 ай бұрын
Asante mungu kwakutupa mtumishi wako anatuponya Kila paitwapo Leo TU nafunguliwa maana mafundisho kama Aya adim sana kupata
@PeggyNgomba
@PeggyNgomba Ай бұрын
Watching from Malawi though communication is a problem but I'm following the preaching
@JeniferMassawe-i4e
@JeniferMassawe-i4e Ай бұрын
Ubarikiw san mchungaj nimejifunz vit ving❤
@eliphaznkurunziza7405
@eliphaznkurunziza7405 2 ай бұрын
Elimu unaotupa ni kweli Mungu atuongoze tupate kushinda mwili
@patchomwamba9529
@patchomwamba9529 Ай бұрын
Watu wa majumba sita mkishindwa kuitumia hiyo Neema aliyo wapa Mungu hooooooo Kwa pasta magembe mtajutia
@FlorahMuhonja
@FlorahMuhonja Ай бұрын
Mungu akupe nguvu uenderee kuponya mwioyo zilizo Zama kwenye dhambi
@patchomwamba9529
@patchomwamba9529 Ай бұрын
Mchungaji magembe napenda sana mafundisho yake anatufundisha kujitegemea
@liberathmashuwe
@liberathmashuwe 2 ай бұрын
Ubarikiwe baba Kilindi tumesikia Neno la Bwana .
@michaeljamesngunda5677
@michaeljamesngunda5677 Ай бұрын
Good, you are my role model
@yustinalegembo901
@yustinalegembo901 2 ай бұрын
Amen, Mungu tuokoe
@AlexEdward-xw4zm
@AlexEdward-xw4zm Ай бұрын
Aminaa
@JohnAsn-f6u
@JohnAsn-f6u Ай бұрын
Ubarikiwe baba
@emmanuelrweikiza6117
@emmanuelrweikiza6117 2 ай бұрын
Barikiwa sana mchungaji kwa ujumbe umesema ilio kweli na Mungu akutunze uendelee kutufundisha vijana na kanisa maana hali si nzuri hata kidogo
@LIKIMONMSWIMA-c9o
@LIKIMONMSWIMA-c9o 2 ай бұрын
Ubarikiwe baba.
@giselyamalingo6233
@giselyamalingo6233 25 күн бұрын
Shalom ,naomba kujua kama AABI imeanza kufanya kazi
@wanyemalusao4525
@wanyemalusao4525 2 ай бұрын
Ubarikiwe BABA Mtumishi kwa NENO
@coxdenis6866
@coxdenis6866 11 күн бұрын
Ameeeeen ameeeeen
@SaidAliSaid-r1s
@SaidAliSaid-r1s 2 ай бұрын
Mafundisho yako ya leo yamenifungua mana nilikua nateswa sana natama.ya mwili Mungu nimwema
@JofreyMsigwa-ok7hv
@JofreyMsigwa-ok7hv 8 күн бұрын
Ukikaa na huyu Mzee n lazima unyooke we n mkali wa kweli na injili yake n yakweli ya MUNGU 🙏
@FrpBypass-cq5br
@FrpBypass-cq5br Ай бұрын
Kumbe ulafi nao ni uasherati 🙆🙆
@SelemaniMwilongo
@SelemaniMwilongo 2 ай бұрын
Amina
@JohnAsn-f6u
@JohnAsn-f6u Ай бұрын
Naomba kueleweshwa, kushiriki Arobaini haitakiwi..?
@WalterMwanga-ft8zr
@WalterMwanga-ft8zr 2 ай бұрын
Amen
@FarijiEdson
@FarijiEdson 2 ай бұрын
Amina sana
@jesusnetworkministry
@jesusnetworkministry 2 ай бұрын
hahahaha hata mimi nilifikiria Tanga Babu yangu🎉🎉🎉
@josephnyamhanga8791
@josephnyamhanga8791 Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@yudaseleman8320
@yudaseleman8320 2 ай бұрын
😂😂et nlikosea tu pumbafu😂😂
@peterchristopher5459
@peterchristopher5459 2 ай бұрын
💯🙏
@IpyanaAlex-y6y
@IpyanaAlex-y6y Ай бұрын
Nahitaji hio link ili nijifunze
@Luhumbika
@Luhumbika 2 ай бұрын
Nakula chuma hii
@FarijiEdson
@FarijiEdson 2 ай бұрын
Nguo zinaongea kwamba wewe ni mtu wa namna gani Mzinzi, mlevi, shoga,mnvutaji n.k
@amoss.tz1
@amoss.tz1 2 ай бұрын
Amen
@amoss.tz1
@amoss.tz1 2 ай бұрын
Amen
@DENYSDIZO
@DENYSDIZO Ай бұрын
Amém
@JumaKamanija
@JumaKamanija 15 күн бұрын
Amen
Mch Moses Magembe - ISHARA ZA KURUDI KWA YESU | IBADA YA JUMAPILI MCHANA.
2:31:19
Mch Moses Magembe - KUGEUZWA KUWA MTU MWINGINE
2:15:16
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 28 М.
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 17 МЛН
How To Choose Mac N Cheese Date Night.. 🧀
00:58
Jojo Sim
Рет қаралды 111 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН
Players push long pins through a cardboard box attempting to pop the balloon!
00:31
Mch Moses Magembe  - FALME KUU DUNIANI | MLOWO 05
2:44:08
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 10 М.
ALHAMISI YA KUFUNGULIWA NA ROHO ZA MAJINI MAHABA | 04 04 2024 | FULL VIDEO  HD
1:33:01
Mch Moses Magembe - KUJITOA KUWA DHABIHU ILIYO HAI | IBADA JUMAPILI MCHANA
3:06:45
MUNGU ATAINGILIA KATI MAMBO YAKO? | PR.DAVID MMBAGA -
1:23:37
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 84 М.
Mch Moses Magembe - ROHO MTAKATIFU NA MUAMINI | Siku ya 06 Asubuhi
2:41:27
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 7 М.
2 - "KESHENI MAANA HAMWIJUI SIKU WALA SAA" || Mwl Christopher Mwakasege |
2:47:19
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 34 М.
Mch Moses Magembe - DHAMBI YA ULIMI | IBADA YA JUMAPILI
2:18:54
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 16 М.
KESHO ILIYOBEBA KESHO YA WENGINE.Mwl Emilian Katubayemo
57:26
Mwl Emilian Katubayemo
Рет қаралды 1,7 М.
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 17 МЛН