Narudia huu ujumbe mara nyingi naupenda sana kama ninavyoupenda ujumbe wa moyo wa mwanadamu
@lubungaetienealmasi10592 жыл бұрын
Amen nakupata kutoka Canada 🇨🇦
@akonkwabisimwa42702 жыл бұрын
MUNGU na akupe maisha marefu
@WalterMwanga-ft8zrАй бұрын
Ameni baba
@nanueltv282 жыл бұрын
Baba unawatoto huku unatulea Mungu azidi kukutunza na kukuweka na kukubariki na kukutumia zaidi ya hapo Maana Bwana wetu Yesu Kristo Alie Mungu mkuu. Amekuweka kwa nyakati hizi ili tupate kuokolewa na kuliokoa taifa letu
@janenonge83202 жыл бұрын
Baba mchungaji Mwenyezi Mungu azidi kukutia nguvu Injili iendelee kila kona
@honorinanoamba36022 жыл бұрын
Amen
@joackimmbonde41252 жыл бұрын
Amina
@wilsonmichael11562 жыл бұрын
Amen, naomba mtuwekee mikesha yote kwenye TV online na Mungu awabariki.
@janenonge83202 жыл бұрын
Ameen Amen am happy for you my young sister Judith Nonge. GOD is really good.
@erickswai4402 жыл бұрын
Hakika mungu ni mwema
@clinton31682 жыл бұрын
Ni Mara ya 3 nairudia na nairudia tena na tena ili NITOA MAAMUZI KAMA NIKUOTEA NIPOTEE NA KAMA NIKUOKOKA NIOKOKE