Mch Moses Magembe - KITABU CHA UFUNUO NA KUTIMIA KWAKE

  Рет қаралды 14,055

Rev Moses MagembeTv

Rev Moses MagembeTv

Күн бұрын

Ibada ya Jumapili asubuhi katika kanisa la Gospel Campaign Centre TAG Majumbasita Ukonga - Dar es salaam chini ya Mch Moses Magembe.
Ujumbe: KITABU CHA UFUNUO NA KUTIMIA KWAKE
Andiko: UFUNUO WA YOHANA 1:7
Mnenaji: MCH MOSES MAGEMBE
Tarehe: 20.08.2023

Пікірлер: 31
@NganireMusabyi
@NganireMusabyi 5 ай бұрын
Naomba kuja nami kujifunzi kbs. Niko Rwanda
@mariethaenock3888
@mariethaenock3888 10 ай бұрын
AMENI UBARIKIWE SANA MTUMISHI WA BWANA KITABU HIKI YESU ATUPE NEEMA YAKUKIELEWA NA KUYATENDEA KAZI TUNAYO YASIKIA 👂👂,,JESUS IS COMING SOON OOH JESUS HELP US TO COME INTO UR PRECENCE 🙏
@EdsonBandiko
@EdsonBandiko Жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe, naitwa Edson William Bandiko napenda kutoa shukrani kwa vipindi vingi vinavyotolewa kupitia You tube. Napenda nielendelee kujifunza zaidi kupitia vitabu vinavyoandaliwa na Mtumishi wa Mungu ikiwa ni sehemu ya kukuwa kimaandiko na kuweza kuchanganua kwa baadhi ya maandiko ambayo kwa muktadha wa ufafanuzi niweza kuelewa zaidi. Amina mbarikiwe kwa kazi ya Bwana
@jastinemwambi2307
@jastinemwambi2307 Жыл бұрын
Baba Mchungaji Mungu azidi kukutenda mema zaidi na zaidi
@clinton3168
@clinton3168 Жыл бұрын
MUNGUUU AMTUNZE MZEE WETU AMBAYE TUNAMJITAJI. MOSES MAGEMBE BABA YETU MUNGUU ATUTUNZIE HUYU PASTOR SANAA NI FAIDA KWANGU SANA
@husseinjohn532
@husseinjohn532 Жыл бұрын
Baba yangu MUNGU akuongezehe wingi wamiaka una nibariki sana hacha huyu MUNGU wambinguni akulinde na akubariki amen
@catherinenestory9514
@catherinenestory9514 Жыл бұрын
🎉🎉Baba Mungu akubariki sana nafata nyao zako mzee wangu
@MichaelSaimon-r3w
@MichaelSaimon-r3w Жыл бұрын
Mungu awabariki sana watumishi
@PatsonKibandja
@PatsonKibandja Жыл бұрын
Mungu a tendenawewe
@ev.billcarlospaissene9604
@ev.billcarlospaissene9604 Жыл бұрын
Naiona katika Mozambique-Nampula Mungu Akibariki Baba Yetu
@mashughulikaguo-di5mu
@mashughulikaguo-di5mu 4 ай бұрын
Asanteni wote
@rosemaryernest9861
@rosemaryernest9861 Жыл бұрын
Time for revival is now😇
@isayamalale9833
@isayamalale9833 Жыл бұрын
Sawa Baba tunakuelewa sana
@gatunzifelix8291
@gatunzifelix8291 10 ай бұрын
Mzee Rev. Moses Magembe ubarikiwe sana. Team ya sound system fanya kazi vyema, maana ina kaa iko poor Kabisa.
@rerisamba
@rerisamba Жыл бұрын
Wow what a blessed family God thanks for this man of yours
@elieabambwaeca5448
@elieabambwaeca5448 Жыл бұрын
MUNGU mkuu akuongeze miaka ya kuishi. DUNIA bado inahaja nawe.
@mack_B.
@mack_B. Жыл бұрын
Wow jmn nyie rahaa wanasema et urithi wa maana ni elimu aweee hauzidi huu jmn urithi wamaana ni Yesu na mbingu mwanangu jiandae ntajutahid kukuachia upako wa kweli
@muzaliwaprosper3596
@muzaliwaprosper3596 Жыл бұрын
Akisanti Rév Moses Magembe kwa Maono hayo roho Mutakatifu ameweka ndani yako
@gaspalcharles4865
@gaspalcharles4865 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu
@MussaParmwat
@MussaParmwat Жыл бұрын
Amen amen 💖
@denisbongore3098
@denisbongore3098 Жыл бұрын
Tuko tayar Mtumishi wa Mungu
@GadsonMichael
@GadsonMichael Жыл бұрын
Asante mutumishi
@EdsonBandiko
@EdsonBandiko Жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe... naitwa Edson William napatikana Dodoma naomba utaratibu wa kupata cha kitabu cha Uamsho na Matengenezo, Kitabu cha Somo la Siku za Mwisho na nk
@elisha5693
@elisha5693 Жыл бұрын
Nataka nidownload lkn mmeifungia
@LaurentEmmanuel-zb3cd
@LaurentEmmanuel-zb3cd Жыл бұрын
🙏
@catherinenestory9514
@catherinenestory9514 Жыл бұрын
Mimi nitatoa Baba angu
@sylviaswai5102
@sylviaswai5102 Жыл бұрын
Amen
@meshackkazimil6837
@meshackkazimil6837 Жыл бұрын
Wakati wa utawala wa YESU duniani,je wale waliotwaliwa watashuka au watabakia hewani au utukufuni?
@MussaParmwat
@MussaParmwat Жыл бұрын
Nawafuatilia nikiwa loliondo
@muzaliwaprosper3596
@muzaliwaprosper3596 Жыл бұрын
Kipimo sanifu ca wokovu ni utakatifu
Mch Moses Magembe - KUKUA KWA MKRISTO  | SEMINA YA WIKI LA IDARA YA VIJANA SIKU 04
1:24:06
Which One Is The Best - From Small To Giant #katebrush #shorts
00:17
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 15 МЛН
iPhone or Chocolate??
00:16
Hungry FAM
Рет қаралды 48 МЛН
Tazama Chief Odemba Akimhoji  Maswali Magumu Kamanda Muliro
28:34
Mch Moses Magembe - KITABU CHA DANIEL
2:49:00
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 30 М.
Kitabu Cha MATENDO YA  MITUME kinazungumzia nini?
34:21
Injili Tv
Рет қаралды 740
The Story Book:Ukweli Wote Kuhusu PEPONI.
48:39
Wasafi Media
Рет қаралды 665 М.
Moses Kulola parle fin de temps
6:03
La Sentinelle _ RTVS
Рет қаралды 8 М.
MAOMBI YA KUOMBA KAMA UMEPOTEZA NGUVU ZA KUOMBA - Innocent Morris
42:03
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 44 М.
Mch Moses Magembe - VITA KATI YA MWILI NA ROHO | IBADA JUMAPILI MCHANA
2:55:58