Kamanda upo vizuri lakini sijui mnakwama wapi mpaka watu wanawafikilia vibaya.
@raheemabeid19653 ай бұрын
Hakika leo umejibu na kulezea mambo vizuri sana naimani jamii ya Tanzania leo imekuelewa sana na umeifanya heshima ya jeshi letu la polisi kuwa juu zaidi ya jana hongera sana Afande Murilo jumanne Murilo kwa kuongea mambo makubwa na kuufanya umma wa Tanzania kuelewa kuhusu masuala ya utekaji na mauwaji hapa nchini.
@bishopprofvictorchisanga20093 ай бұрын
SIYO KWELI.
@Commentsplus3 ай бұрын
@@bishopprofvictorchisanga2009 kivip
@djhdscratchmaster41103 ай бұрын
Umeelewa nini tuambie kwa kifupi
@matiredms9173 ай бұрын
Akili ndogo kuweza kubaini ubabaishaji wa Bwana Muliro.
@venancemango98483 ай бұрын
Sure kujitokeza kwenye kongamano na kutoa ufafanuzi ni jambo kubwa sana, mtu anataluma yake na anajua namna ya kuwakilisha , ninampongeza kwa ufafanuz wake
@IssaAziz-u4j2 ай бұрын
Afande vzr sn asant
@AziziSwalehe-zk9hx3 ай бұрын
Hatukuelewii
@zachariabakila55283 ай бұрын
Good speech kamanda 👏👏
@MusaMwimbi3 ай бұрын
We muongo
@MarksevenTz3 ай бұрын
JITU ZIMA LINAZOMEWA.....NI AIBUUUUU SANAAAAA.
@HansiAll3 ай бұрын
Uko vizurrr learned
@allyjuma25743 ай бұрын
Muliro anajua mpaka anakera
@Hemedally-o9x3 ай бұрын
Asante kamanda na wote wlio kuelezwa kua wametekwa wote wafatilie na tumechoka na maandamano yasio na msingi kaza buti kamanda
@aloyceponela32493 ай бұрын
Kamanda upo vinzur sana kwa kujibu maswali ya wana nchi
@Mussapeter-ct1fu3 ай бұрын
heshima inajengwa sio kulazimisha watu kwamba lazima uheshimu
@kashuradiocles10683 ай бұрын
Nimefurahi kazomewaaa
@CharlesElias-zh5hz3 ай бұрын
So kweli Mulilo. Kes ya Lisu sstv kamera nan anitoa. Mpaka Sasa nan kakamatwa
@billgussy60993 ай бұрын
Uchungizi wa kimataifa ni muhimu na lazima mpende msipende kesi inaiva kuna watu nawaona the Hague
@TrustElbashil3 ай бұрын
Huyo mulilo ni miongoni mwa watekaji nimhusika ndio maana anashindwa kujibu
@ngessisseya97603 ай бұрын
Alikuteka
@MiriamAbdallah3 ай бұрын
@@ngessisseya9760hao ni manyumbu mi watekaji jeshi la police
@Commentsplus3 ай бұрын
Weee ilikuwaje
@SmilingCityMap-xb9md3 ай бұрын
Sasa walimuokoa sativa inamaana walipambana na hao watekaji wakamuokoa mikononi mwao je baada ya kumuokoa watekaji walikimbia au walikamatwa?
@SmilingCityMap-xb9md3 ай бұрын
Police wetu mnafanya kazi nzuli sana tangu uhulu wetu mmetulinda sana lakini kwa hao wasiojulikana kweli wanawatia doa sana sana hivyo mungu awasaidie kuliondoa doa hilo bila hivyo hamtaaminika
@bonifacerobert29603 ай бұрын
Mimi najua na nina hakika unaongea ukijua huongei ukweli. Pkpk iliibwa kwangu kwa kijana wangu. Tulifanya jitihada binafsi hadi mtuhumiwa akajulikana alipo. Alipokamatwa polisi wakawa wanakula kotekote hadi tukakata tamaa.
@LeilaKanyinyi3 ай бұрын
Waislam wenzangu acheni ubaguzin mbna wengi wao mna egemea upande mmoja kumbukeni utawala huu utakwisha hauta kaa milee
@AziziSwalehe-zk9hx3 ай бұрын
Kamanda achia ngaz unakul mshara wet buree
@Commentsplus3 ай бұрын
Kivip
@RaibebeBebe3 ай бұрын
Hamumlindi MTU mnalinda CCM na maslah yenu
@jumajukikoti81333 ай бұрын
Hueleweki kamanda
@godwinpatrick77473 ай бұрын
Utaelewaje Sasa nawew umesoma ufundi haàaaahaaaaa
@MiriamAbdallah3 ай бұрын
Watanganyika tushaamka cha upumbavu we muliro kwendaaaaaaaaaaa
@alexandermanase89563 ай бұрын
Mara nyingi viongozi wa ngaz za juu mko vizuri sana, Huwa mnaangushwa na wachini yeenu,,,, piga kazi Afande Mulilo, ila usisahau kuwapitia mara Kwa mara wa chin yako.
@boneyme94333 ай бұрын
SAFI
@mariaanthoniangowi93763 ай бұрын
Mlilo mogopeni Mungu,laana hizo zitawapata watoto wako
@OswardMandikilo3 ай бұрын
Ww mohamed ni mbwa koko
@matiredms9173 ай бұрын
Mna vifaa vya kukandamiza wananchi ambao wanatumia haki zao za msingi na za kikatiba. Muliro ndiye akiwa RPC Dodoma aliwatishia wananchi waliotaka kuandamana kisheria kuwa kukijaribu wataona cha mtema kuni. Huyu ni blood thirst police tyrant.
@manfred..233 ай бұрын
Jeshini wanafundishwa uvumilivu, kwa hiyo kuzomewa sio heshima kwa huyu afande wetu, ila hongera kwa kuonesha kuwa na uvumilivu, safi sana
@bertinkimati26743 ай бұрын
Hii salamu ya mama Samia "Jamhuri ya muungano wa Tanzania _Kazi iendelee" inabidi mama Samia aongeze neno njema ili jibu liwe "Kazi njema iendelee" hapo italeta maana ukisema tu Kazi iendelee hata hii tabia ya kuteka watu inaonekana ni mwendelezo wa kazi za magufuli
Muhusika alietekwa sio biblical wala msahafu ! Mulilo yupo fresh na ni kiboko ya watu wabaya !
@allynassoro84483 ай бұрын
Kamanfa we muongo sana una mjibu ya kuwadanganya watanzania huoni aibu mtu mzimaa unasema uongo sana huna point ya ukweli
@billgussy60993 ай бұрын
Kitendo cha kuogopa vyombo vya kimataifa kuchunguza kina thibitisha serikali inahusika.
@MoEd-k8w3 ай бұрын
Asikali wataendelea kuonekana wababaishaji kwasababu ya watu walio nyuma ya mambo wanayofanya hasa wanasiasa
@mzeke-r9h3 ай бұрын
Kwa askari wajitahisi kusoma.,,bado tunaendeshwa kikoloni...........mabadiliko lazima .
@OswardMandikilo3 ай бұрын
Wanao msifia mrilo sio raia ni mapolisi, maana jamaa kaongea siasa,na uongo, hana aibu.
@kunpeter40713 ай бұрын
Hapana ndugu yangu hata mimi mtu wa kawaida nmemwelewa, mzee kaweza ku handle heated argument ndio pongezi zake zimetoka apo, japo sio kwa majibu tulio yahitaji wengi lakin kajibu vzur, he tried to be so professional and he is professional indeed, sema taasisi zetu zingekuwa huru mtu kam huyu angekuwa wa msaada mkubwa sana kwa taifa kwa nafasi yake, ila ndio hivyo na yey lazima afumbie macho uovu sometimes since he is working in a very corrupt system.
@blessjo16783 ай бұрын
Kwanini vituo vyenu vya polisi havina Camera,ili tuwe tunaona wanaoingia,jinsi mnavyowafanyia washutumiwa....na mbona nyinyi ni watumishi wa umma kama wengine,lakini nyie mkienda ofisi za umma mnataka customer care sana ila nyie hamna customer care,au mmesomea ukatili na CHUKI na roho mbaya,maana hata mtu hamjajua anakosa au hana kosa mnamwingiza kwa ukali kituoni,mda mwingine kwa kipigo,na lugha chafu ,hayo mamlaka mnayatoa wapi? Misingi ya kisheria ifatwe vipi wakati mko na mlengwa wa upande mmoja,mnalinda maboss zenu tu Raia sidhani kama mnatujali
@mariaanthoniangowi93763 ай бұрын
Wewe una jing'ata ng'ata tulilo
@Moosamly3 ай бұрын
AvuLiwe CHEO
@nestor3843 ай бұрын
Kama haya ndiyo majibu rasmi tuko pabaya sana tena sana! We are unfortunate
@natressvayinga5183 ай бұрын
RAIS wa TLS, big up. you are the one I know, you're the president of TLS . Jambo hili ni kubwa na gumu, na si tu Kwa TLS, Bali Kwa Serikali na Kwa umma. Sis watazamaji tunaelewa na kupima kiundani Kila neno. Kizazi hiki si kizazi Cha Wajinga
@amosethantheking88153 ай бұрын
"Sisi ndo tulimuokoa" the floor "hapana! hapana! uongo! uongo! Kwanini hapo amebishwa?
@RajabuLanda3 ай бұрын
Huuko nikupoteza kongamano na muda huyo niporcma xaxa
@MohamedAhmed-bn1th3 ай бұрын
Hongera kiongozi kwa kuwatuliza wanasheria
@LeilaKanyinyi3 ай бұрын
Hemed ally ww mbwaaaa
@ElizabethWamcha3 ай бұрын
Imbo mbo ingafuu 😢
@DAVIDJOSEPH-u8r3 ай бұрын
Hivi kama .hilo la akina soka.ilinatakiwa mda kweli. ??watu wametoa hadi no za cm zilizo waita mnataka mda ??.swala.kibao linataka mda ??.swala.la.lisu.kupigwa lisasi .mnataka tuwaamini kwamaneno hayo yakejeli
@JosephineKabuka3 ай бұрын
Kwendraaaaaaa
@bonifacejonas-y4e3 ай бұрын
mrilo uciona kama wananchi hatuna akili mlimuokoa wapi acheni jeshi la porisi limeoza
@salummohamed26893 ай бұрын
Leo ndiyo watu wameamini...........
@HasanKisome3 ай бұрын
Binafsi Nimejifunza jambo katika Hotuba hii ya Kamanda kwamba Siasa zipo Kila Mahali Kinachotakiwa ni Weledi wa kutokutoka kwenye Mstari Kimsingi Hotuba Ya Mkuu Imejikita Katika Siasa Ya Jeshi la Polisi Inaonekana Ameiva Sana Kisiasa ya Jeshi la Polisi Hata Hivyo Ni Siasa kama Siasa nyingine.
@Yussuf-b3b3 ай бұрын
Hiii 😅 wajuzi wa kuongopa na kusema uongo hata mh mbowe walim.bambikia kesi ya uongo ya ugaidi na juzi walikataza maandamano ya amani na wakasema yangehatarisha amani ya nchi TUNATAKA WACHUNGUZI WA KIMATAIFA,,MAPOLISI YA TANZANIA NI MA CCM NI MABINGWA WA KUSEMA UONGO NA KUBAMBIKIA KESI
@adilishaffy70593 ай бұрын
Mtangazaji unataka majibu unayoyataka wewe wacha ss tusikie na kujuwa ukweli
@jumajukikoti81333 ай бұрын
Usilotie aibu jeshi la polisi
@KudraWanguvu-em1xw3 ай бұрын
Camanda Jumanne uko vizuri tunaimani nawe
@FaresKweka3 ай бұрын
Naomba kufahamu, Hawa mabodigadi wanaowalinda wasanii, wanatoka kitengo kipi?
@NDEWARA3 ай бұрын
Hongera sana Muliro. Umesema ukweli mtupu. Uko vizuri sana
@romanilyimo3 ай бұрын
😂😂😂😂huoni haibu kusema hivyo😂😂😂😂
@MiriamAbdallah3 ай бұрын
Hongera ya nini au we ni mtekaji🚮💯
@MajutoElliasi3 ай бұрын
Mutasababisha watu wasiwamini kabisa inatakiwa mjisafishe
@Jafaryamily3 ай бұрын
Majibu ya waliomdhuru tundu lisu yakowapi? Majbu ya beni saanane yako wapi? Majibu ya azori gwanda yako wapi? Acha kupotosha umma sema ukweli. Sheji linatumika na serikali kukandamiza upinzani na wale wanaokwenda agenst serikali. Damu mnayoimwaga itawagharimu.
Upuuzi mtupu! Mchoma picha wa Rais yuko wapi? Soka, Mlay, Mbise, wako wapi?
@HonorataMafala3 ай бұрын
Ukimya wenu ndio unaotia shaka. Kama mnafuatilia sii mseme mmepokea taarifa na mnafuatilia? Mkifanya kimyakimya nani ataelewa?
@ponsianomwakisunga8993 ай бұрын
Muliro 🔥🔥🔥
@billgussy60993 ай бұрын
Kuna video inaonyesha Sativa alivyo patikana. Polisi hawaku mwokoa kama Muliro anavyo dai. Kitendo cha yeye kudanganya kwamba polisi walimwokoa kina zidi kuwavua nguo polisi na kuthibitisha serikali ina husika.
Ivi Apo mwabukus anategemea mazungimzo hayo yanaleta tija??
@TrustElbashil3 ай бұрын
Mtachunguza Nini wakati mafwere mko nae niwapumbavi nyie
@zunyagapeter46473 ай бұрын
Unaushaidi ww kama ushaidi unao nenda mahakaman usikae kulalamika kwenye mitandao huyo mafwere akikushitaki utaanza kulialia acha mihemko ndg
@MiriamAbdallah3 ай бұрын
@zunyagapeter4647 unataka utekwe ukifanikiwa kuponyoka kama sativa uje utuaminishe au
@MiriamAbdallah3 ай бұрын
@@zunyagapeter4647hakuna mtu anaogopa kipotezwa tena kwenye hii nchi ni hivi mafwere ndie kiongozi wa watekaji
@MaglanMollel-t7h3 ай бұрын
Huyu ndondocha Bora angevunga ni kichefuchefu .kichwa box
@Kutaila993 ай бұрын
Mwenye kichw box anakula mshahara wemwenzetu je
@JoshuaSalimu3 ай бұрын
KWELI POLISI WAMEKUWA CHAMA CHA SIASA
@matiredms9173 ай бұрын
Na Chawa wa Mama
@dozohai47303 ай бұрын
Afande, magufuli alisema watanzania si wajinga. Unachokiongea sicho watu wanachokilalamikia
@jumajukikoti81333 ай бұрын
Ya Lissu?!
@ShamteMohmed-ed2kk3 ай бұрын
Ongera kamanda umeeleza vizuri.
@MiriamAbdallah3 ай бұрын
Wapi
@matiredms9173 ай бұрын
Hata Profesa aliyemfundisha Sheria amemwonyesha kiasi gani hajui Sheria bali jaziba na uzuzu.
@IvorMsemwa3 ай бұрын
Kifupi mllilo alikwama
@godfreylutengano93673 ай бұрын
Hongera mkuu, mimi huwa nayaelewa haya sema ya waTZ wametawaliwa na siasa uchwala
@ismaelgadiye44883 ай бұрын
Na kama hamaminiki watu wafanye nini
@LeilaKanyinyi3 ай бұрын
Hivi waislam wenzangu tumekuwa machawa kwa utawala huuu wa awammu ya 6 mbna tuna kuwa ss Kama wa toto wa ndani ya ndoa na wakristo ni watoto wa kambi?
@WillKilulya3 ай бұрын
Mbona mnyika amepotea?polisi wa Tz wako makini hao wanaoigiza cha moto watakiona.
@mtumishiwamungunelson16843 ай бұрын
Huyu ndg si akae kimya tu ana shida Gani vichwani?
@Alkebulan-Afrika3 ай бұрын
Papa Msofe alifariki lini mbona imenipita?
@ramadhankabale34313 ай бұрын
Kamanda Murilo uko vzr mnoo ktk kujieleza na hukuonyesha jazba ktk kuyajibu maswali ya waandishi wa habari pamoja na ukumbi mzima kukuzomea,lakini ulipowashushia nondo wanakongamano wameelewa kuwa kuna polisi walioenda shule,umeonyesha professionalism yako,wewe ulistahiki kabisa kuwa IGP wa polisi
@RastaSuma3 ай бұрын
No true in this world.
@MauAgent3 ай бұрын
Naona kamanda kama kanyoka hiviii
@peternyudike88193 ай бұрын
mriro msomi pia big up
@Kaankaraz3 ай бұрын
Muliro nakupongeza kwa majibu mazuri yaliyo eleweka.
@MiriamAbdallah3 ай бұрын
Muliro 🚮💯🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@izamahmasaki47953 ай бұрын
Tokea lini kesi ya ngederr akajibu tumbir , Alafu mbona viongoz wetu wengi ni waswanglishi !!! Au ndyo ukibaraka wenyewe ?😂😂
@filam.30703 ай бұрын
Hivi kwani penal code ipo kwa lugha gani?
@MohamedRashid-py7ro3 ай бұрын
Hakina Police anaeteka laiya asilimia moja ni Chadema tu
@HASSANWAZIRIGAO3 ай бұрын
MWAMBUKUSI NI KADA WA CHADEMA WALIOTIKA WITO WAMEKOSA KAZI ZA KUFANYA WAMESINDWA MAANDAMANO WAKAONA WATUMIE KONGAMANO AMTOE MNYIKA MAFCHONI
@MiriamAbdallah3 ай бұрын
Akili kisado naona wewe ni moja wa watekaji
@HASSANWAZIRIGAO3 ай бұрын
MBONA HILO KONGAMANO LINAONYESHA LIMEANDALIWA NA CHADEMA NAONA WANAZOMEA WALIKATAA MTU WA CCM ASIZUNGUMZE
@MiriamAbdallah3 ай бұрын
Hasan cku ikitokea kwako utajua machungu na subiri wananchi wataanza kuwapoteza na mapolisi na family zap kama wewe mi police au family zao