😂😂😂Vile nilisubiri hii simulizi Mungu tu anajua tujue mwisho wawabaya wetu REYANA hii vita utashinda tu team REYANA kueni tutiane moyo😢❤❤
@TegemeaMwasaga5 ай бұрын
Asante anko
@Khijratkhijrat-eq1px5 ай бұрын
Yan acha tyu
@TeklaNdekeja5 ай бұрын
❤❤❤
@SoomaAsd-ml1ou5 ай бұрын
Niko haba kujua hatima ya rehana wetu ila tutashinda wabaya wetu
@aminaathuman49195 ай бұрын
Wasema polepole😂😂
@ZabibuHassan-ci5vz5 ай бұрын
Wa kwanza jmn nmewai ila msisahau mm n yule ambae sipendi ku comment kwasabab hamnipi likes 😅😅
@TeklaNdekeja5 ай бұрын
👏👏🌹🏃
@NaomyBernard5 ай бұрын
Jaman naombeni like nimekuwa wamwish😢
@LyidiaSilayo5 ай бұрын
Weeee❤❤🎉🎉 mwacheni mungu aitwe mungu maana anajua kugawa dozi Kwa kipimo jmn wazazi wenzangu tujifunze jinsi ya kulea watoto wetu sababu tukipandacho ndicho tutakachokivuna Vanessa kudharau maskini kaishia Kwa mganga wa kienyeji mama yake kaishia gerezani wkt yeye alitaka riyana aishiye gerezani maisha yake yote badala yake imemgeukia hakika mungu fundi❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@Lucy-vp8pm5 ай бұрын
😂😂😂😂😂nmecheka adi machozi yamentoka yaani venesa vishindo na uspeshali wote alio kua nao ameingia kwa muganga wale wamecheka kama mm like hapa
@Babyfaty-m3y5 ай бұрын
Me nimecheka kwa tabitha njins alivo ibiwa mwnasesere wake na njins anko jay ivo anavosimulia🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@TeklaNdekeja5 ай бұрын
Mwishowa ubaya niaibu, uliyo yatafuta kwa mganga yakikurudia mtakabana natabitha ngoja tingatinga awakomeshe😂 reyana sema ukweli ote maana ukwel humuweka mtu huru🙏🙏❤
@agnesagnes52885 ай бұрын
❤❤❤❤
@TeklaNdekeja5 ай бұрын
@@agnesagnes5288 mbona sikuoni kw wakat kpenzi
@VicentMwamba5 ай бұрын
❤❤❤🎉
@RahelIbrahim-id2liАй бұрын
Kweli aseme tu ukweli
@PhoebeWafula-d6c5 ай бұрын
Malipo ni hapa hapa duniyani atimaye reyana mungu Ana mulipiya malipo nihapa hapa duniyani nice story ankojoy mapesa we lve you ❤❤❤❤
@Lucy-vp8pm5 ай бұрын
Venesa na kiburi chake hatawahi olewa na mwana mme yeyote labda afanye ndoa na kiburi chake wale wana amini alili anabaki na reyana gonga like hapa wapenzi wenzangu wa ankoj
@TeklaNdekeja5 ай бұрын
😂😂😂 nyie laana hii Vanessa Kawa make wamuganga najina achunywi😂😂😂 nimecheka ad machoz😅😭
@YASINTARINGO5 ай бұрын
Yani acha tuuuu😮😂
@SusanNeema-re3hr5 ай бұрын
Venesa jamani heri shetani ananafu
@TeklaNdekeja5 ай бұрын
@@SusanNeema-re3hr acha! Mungu humlipa kla mtu sawa namtendo yake kaishia kuchekecha UNGA wa mizizi😂😂
@SusanNeema-re3hr5 ай бұрын
@@TeklaNdekeja hki utajiona wapitia mangu hata kuaza kukata tamaa, kumbe mungu amekupagia mema mbeleni ...
@RitaannyManegabe5 ай бұрын
Maraheyo sijachelewa nimewayi ❤❤❤❤🎉🎉 Anko jay Asante sana kwa kutufikishiya mwisho simulizi REYANA
@SofiaKhamis-ol1bn5 ай бұрын
Olivia alimlea vibaya mwanae sai hana hata adabu kwa mzazi wake 😂😂😂😂🎉🎉🎉
@lilianeerica33185 ай бұрын
Yani ni Aibu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@MoshiMoshi-qy8dq5 ай бұрын
Jaman tunao taman Reyana asamehewe haraka gongen like hapo❤❤
@LizaLiza-v2m5 ай бұрын
Niko na wewe kpz
@Anethmbalale5 ай бұрын
Thank you anko ,,,,Nimekua wa kwanza leo like zen naomben
@HusnaAthumani-yr3kp5 ай бұрын
Jamn nmewah leo naombeni like zenu jmn😊😅❤🎉🎉🎉
@Khijratkhijrat-eq1px5 ай бұрын
Ndo ulizo fata hapa
@HusnaAthumani-yr3kp5 ай бұрын
Me nmefata simulizi za anko jay Wal Co like saw dad angu@@Khijratkhijrat-eq1px
@TeklaNdekeja5 ай бұрын
❤❤ ankojy asnte kuileta sehem hii nilisubili san, mungu akupe faraja binti reyana na mwanao alie tumboni umlee nakumpa upendo ote🙏🙏 utashinda yote kwa jina la yesu nakuombea🙏🙏🌹🌹🌹🏃
@maseleenaesleen81495 ай бұрын
Amen swthrt ❤❤🙏
@hdhjdh7755 ай бұрын
Amen 🙏
@hdhjdh7755 ай бұрын
Amen 🙏
@SmAlbovi5 ай бұрын
Keep hi ll lmk I'll k@@maseleenaesleen8149
@SusanNeema-re3hr5 ай бұрын
❤❤🙏🙏
@RoseMbuya-cn5dg5 ай бұрын
Simulizi tamu wadau munaonaje simulizi ya reyana like zangu ziko wapi❤🎉🎉
@RahelIbrahim-id2liАй бұрын
Iko poa sana
@AngellaNdambuki5 ай бұрын
Haya sasa reyana atatoboa kwenye mahusiano kweli😢😢😢
@YasintaHongela-j4s5 ай бұрын
Asante sana Ankoj hii burudani na funzo halisi ila nijuavyo Mimi mapenzi ni hisia TU na haijalishi niini kitasimama mbele ya wahusikakama yapo yapo tu
@Polite9015 ай бұрын
Mungu akikuoangia baraka na neema mwanadamu hata afanye nn hawezi kupangua
@TeklaNdekeja5 ай бұрын
Amen🙏
@avelinabaluhya28045 ай бұрын
Hakika
@سيدا-ص1ز9 күн бұрын
@@avelinabaluhya2804kweli kabisa
@RakaPk5 ай бұрын
Oh nilikuwa na isubili ii mh acha niketi sasa wanaviporo wenzangu mambo ni 🔥🔥 Asante sana anko wetu mungu akubaliki ❤❤
@khadijahamisi65585 ай бұрын
Hatimaeeee🔥🔥🔥🔥asantee anko j allah azid kukuweka inshaallah🤲🤲❤❤❤❤❤🥰🥰😍
@happinessgerald259129 күн бұрын
Kwakweli❤😊
@MargaretMuguti5 ай бұрын
Nahitaji likes zaidi kwa kuwa miongoni wa mia😂😂😂😂
@johniphilipo5 ай бұрын
Wakati mwingine ukweli unamufanya mtu awe huru.Jifunzeni kuwa wakeri.Nimeipenda sana❤
@TeklaNdekeja5 ай бұрын
Hakka
@RahelIbrahim-id2liАй бұрын
Kweli ,ukweli unampa mtu kuwa huru
@lilianmwanthi96485 ай бұрын
Number 3😂😂😂😂nipeni like jamani ,,bona mie nalike zenu
@samychance5 ай бұрын
Ngoja tu leo niwape hi❤. Miss you family 🎉❤❤
@salmakim5575 ай бұрын
Hongera Anko Jay kwa kazi nzuri. Haya tumalize sasa Binti Reyana
@TeklaNdekeja5 ай бұрын
Vanesa my wa tingatnga uwiiii, nyodo namatusi shilaa, ohooo!! yamewarudia matendo yenu, mama na mwana😂😂😂😂
@NajimRajabu5 ай бұрын
Pole sana reyana pole sana jamani
@aumuelly29095 ай бұрын
Ahsante bwana anko Jay simulizi ❤❤❤wewe ni mungwanasana ukitutaja mashabiki tunafurahika
@sephrinewarenga27455 ай бұрын
Kazi nzuri kaka,listening from Kenya much love.
@AishaAljadidi5 ай бұрын
Wakwaza leo jaman❤❤❤
@queenqueen-en1ds5 ай бұрын
Jamani kweli mnyonge hana hakim duniani mungu amsaidie
@nuriatqueen55755 ай бұрын
sijacelewa👩💻🇬🇧🎉 sana leo jamani like please 🧡🧡✨️✨️🔥🔥
@TyT-h5l5 ай бұрын
Venessa anaroho mbaya kweli aaah 😮
@GloriaMduma5 ай бұрын
Anko j unajua siku hizi na nenepa kisa simulizi jmn umetupendelea mno❤❤❤
@MwajumaToh5 ай бұрын
Jamani anko unanichekesha sauti ya mfanyakazi unaipatia 🎉🎉🎉🎉🎉
WOW Asante shukrani anko jay hatimae umeachia mzigo tulikuwa tumeimiss sana
@usterbae5 ай бұрын
Asante ankojay kwa kazi nzuri may God bless you🙏❤
@MariamMarisa-k8x5 ай бұрын
Ila hiz simuliz zinazoanzia na binti zinakuaga 🔥
@ZaiZainabu-o4p5 ай бұрын
Nilikua nasubir kwaham ancojey mung akupe umli mlefu asante sana ❤🎉
@JacquelineClement-c9d5 ай бұрын
Sijachelewa sana Asante sana anko jay ❤❤ nilikuwa nasubiri kwa hamu
@Fatmamakame-q5w5 ай бұрын
Wao nipeni like zenu apa sijachelewa🎉❤❤😊
@priscillahsirya65445 ай бұрын
Asante kwamwendelezo anko wetu wapendwa ❤❤❤❤❤❤❤
@HemedBaruan5 ай бұрын
Acha tumalizie man tulikuwa tunaisubir asant Ankojay mungu akuweke tu na akupe afya
@UmayyaNkya-ze3ri5 ай бұрын
Tuseme kweli huyu anko mapesa ana saut nzur 🤔😇😇😋😋cpati picha akimpigiaga simu bebi wake😅😅sema tulio single tunateseka hapa natamani saut ya mwamba flan hivi oooh naota kumbe 😯🚶♀️🚶♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
@ankojay_5 ай бұрын
😂😂😂😂
@AfrahAfrah-o4o5 ай бұрын
Wee umemupenda anko J Ee
@Babyfaty-m3y5 ай бұрын
We anko jay hujamsikia alipo sema bora uwe na mwnme kma alivn anawez kukupmbania kuliko yy mwenye saut ya gentlemen lkn kupambna hawez🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Jamani hakika MUNGU❤sio mwanadam nimeipenda sana vanesa😂😂 mama manyanga pole sana😅😅
@marryofficial91435 ай бұрын
Wa mwisho tukutane hapaa😊😊
@LizaLiza-v2m5 ай бұрын
Waooo namie ni 63 mungu mwema ngoja niskie ila ndoa tunao na tunatamba nayo haili ni wetu
@dianandabirorere63655 ай бұрын
Barikiw Anko wetu 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@hdhjdh7755 ай бұрын
🤣🤣😂😂😂😂ila Anko wafanyakazi vile sauti zao kwer daaah 😂😂😂😂
@FadhilaJumanne-l8k5 ай бұрын
Kweli hii imetulia ubarikiwe pia ankojey 🎉🎉🎉🎉
@fatimafoaani22635 ай бұрын
Nice story be blessed my wetu kipenzi ❤❤❤🎉🎉🎉
@RahmaNiyonkuru5 ай бұрын
Wow asnte maana nilikuwa nime isubiri iyi ❤
@NurahMummy5 ай бұрын
REYANA INA TOSHAA😭😭☹️😭😭nmelia vyakutoshaa SAbra wa Abdallah maua yake jamani
@TeklaNdekeja5 ай бұрын
Kwali😭😭🙏
@JumaMachano-vu5kk5 ай бұрын
Story zake konkii
@FatimaRamadan-s4f5 ай бұрын
Mpe mauwa yake hayo 🎉🎉🎉❤
@HajranasMwatajiri5 ай бұрын
🎉 🌼 🌸 🌻 🌹
@PilyAlly5 ай бұрын
Yani nilisubili hii k2 adinikakata tamaa asante anko mapesa mungu akuweke milele na milele 🙏
@FatimaRamadan-s4f5 ай бұрын
Amin
@TeklaNdekeja5 ай бұрын
@@FatimaRamadan-s4f amina
@susansamira81375 ай бұрын
Haya jameni tujue wabaya wa Riyana walifanikiwa au la❤❤❤
@TeklaNdekeja5 ай бұрын
Haitwi Vanessa ni achuywiii nimecheka kwa saut kuu🤣🤣🤣 aaaa,! Tingatinga wewe🔥🔥🔥🤔
@IreneFuraha-y6z5 ай бұрын
Nice simulizi kaka anko ❤❤❤
@gressigotti36535 ай бұрын
Waooh nlisubr sanaa anko maua yakoo
@Josephinemasila5 ай бұрын
Asante anko jay kwa mwendelezo,much love❤️❤️
@SaraA-r8w5 ай бұрын
Hatimae imefika tumpee maua 🎉🎉🎉 yake ankojay
@Shadia5445 ай бұрын
Hatimae finally tujuwe itakuwaje jamaniii BINTI REYANA HAYA TUJUWE MWISHO WAKEE LIKE 10 KAMA NA WEWE UNATAMANI KUJUA✌️✌️
@usterbae5 ай бұрын
Nilivyokumiss kwenye comment😂
@Shadia5445 ай бұрын
@@usterbaenimekumis pia kipenzi 😂😂😂😂
@HusnaAthumani-yr3kp5 ай бұрын
Nilijua lbd leo umechelewa kumbe uliwahi dad angu🥰🥰
@SusanNeema-re3hr5 ай бұрын
Haya yako hiyo❤🎉🎉🎉
@Shadia5445 ай бұрын
@@HusnaAthumani-yr3kpmiee humu leo nimewahi kipenzi changu 😂😂😂😂
@SophiatembaTemba4 ай бұрын
Asante Sana anko Jey ❤❤❤ Mungu akupe Maisha marefu love you my hero king of voes ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉 Kwa hakika nimejifunza mengi Sana thanks for story ❤❤❤❤❤❤❤❤
@Nuru95685 ай бұрын
Hatima imetufikia Tulisubiri sana❤Asante Anko
@FayzhF-g3z5 ай бұрын
Nilikua naisubiri kwahamu Sana ❤❤❤
@KhadijaNassor-g1q5 ай бұрын
🎉 anko jay wa moto love u like zangu jmn km mshabik na kipenz cha ank jay🥰
@AnnaFilbert-u3b5 ай бұрын
Jioni SIN iendelee J❤
@haleemahhamisi25345 ай бұрын
Nimewai mashaallh ❤❤🎉🎉🎉
@Jasmeni-ns9dg5 ай бұрын
Leo wa 2 jaman like zenu ❤🎉 00:18
@shakiramohamed88245 ай бұрын
Tulingoja sana jamani ❤❤❤❤❤❤
@DalalDalal1-x6w5 ай бұрын
Jaman asate ak j mana mpaka tumekoswa sitor tukawa tunarudia risa asate mugu akubariki
@Angle22-kk8fz5 ай бұрын
🎉1 namba one ❤❤
@prettyjenny-b2j5 ай бұрын
Yani Kila mda nilikuwa nakaa nachungulia❤❤
@FadhilunMohamed-je8en5 ай бұрын
Sawa Kaka nakuelewa sana
@qaltumsaid30955 ай бұрын
Asante sana ankoJay Kwa Kutuhitimishia fainali ya story nzuri yenye mafunzo ndani yake.....🎉❤❤ Kama ndiyo kwanza unaangalia tafadhali gonga like ili tuende sawa ✅✔️🇹🇿🇶🇦
@ZawadiIddi-g3y5 ай бұрын
Tupo wote wadau 😂😂😂
@BestinaMichael5 ай бұрын
Asante anko jey hatmaye sehem ya tatu imetoka
@ZuwenaIsmail-vb4md5 ай бұрын
Jamani LAFUDHI ya tabidha mimi Hoi kwa kucheka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ila anko Jay
@victoriangasa5 ай бұрын
Ukiskia simulizi iko na mdada wa kazi lazima usikie sauti hiy kwa Anko J
@MarimGodifrey5 ай бұрын
Hatimae imetufikia episode 3ambayo ya mwisho
@AsiaNgochele-n1p5 ай бұрын
❤nilikuwa nasubri kwa hamu
@MariamJuma-o9z5 ай бұрын
Anko jay shukran sana kwa very nice nimependa sana ❤❤❤hongera kwa Sabra ya Abdallah
@BahatiKaninka5 ай бұрын
Sijui wangap but nikusikiliza tu 😂😂
@AfrahAfrah-o4o5 ай бұрын
Vanessa noma sana haa😂😅 🤲 hapo kwanza nicheke maana nikivumbi najasho
@MwanatumuJumaa-rj4fg5 ай бұрын
Sabra Abdallah. Hajawahi tuangusha .utunzi wake upo juu sana.🎉🎉🎉 yakona msimuliaji wetu Anko jay mapesa
@SafiyaAhmed-k1k5 ай бұрын
❤❤❤❤❤asantee sana anko jay kwa simulizi murwa kabisa ❤❤❤❤❤
@SubiraMustafa-zz1zh5 ай бұрын
Jamani me sitaki like Wala nini me nilikuwa naisubiri kwahamu sana 😅
@MohamedAlawi-of1on5 ай бұрын
Yaan vanesa anaroho robo mbaya kam ya mama yake ila Anko J hakuna kama wewe nakupa maua yako🌷🌷🌺🌺🌺
@DamariJohn5 ай бұрын
Hakika nimejifunza mengi kwenye hii simulizi ❤❤ Mungu awabariki Lissa na anko j🎉🎉
Hii simuliz nzur sana, siku zote mwisho wa ubaya niaibu... Hatimaye Reyana kaibuka nshindi.
@SamsonMzehe5 ай бұрын
Nimefurah wameelewana
@IRENEMENGI5 ай бұрын
Mganga tingatinga😅😅😅😅😅
@reginarichard33495 ай бұрын
Ancle asante kwa hii story nzuri sanaa 🙏 ❤❤🎉🎉 🎉
@dinahnamalwa5 ай бұрын
Olivia ukiachwa achika,,,,,na hata ukiwa king'ang'anizi Kwa Khalid utakaa naye kwasababu ya tabia yako mbaya
@ShahranjumaaRamadhan5 ай бұрын
yaan nimeisubil sana tuu
@glorygeorge63245 ай бұрын
Upendo wa anko j na mashabiki zake 😂😂😂
@Mariam55-hz8if5 ай бұрын
Dadekiii tingatinga limeshaanza kufanya kazi yake 😂😂😂😂mtakoma ubishi uchawi siyo mzuri
@avelinabaluhya28045 ай бұрын
🤣🤣🤣 hata na Tingatinga atasubiri adhabu yake toka juu🤣🤣🤣🤣🤣
@avelinabaluhya28045 ай бұрын
Hee,mchimba kisima huingia mwenyewe, 😂😂😂😂 Vanessa nyodo zote zakuwaita wasiojiweza kama takataka ameishia kwa Tingatinga bila shuruti,hujafa hujaumbika,tuishi kwa akili
@Loy-g2m5 ай бұрын
Siyo kila masikini yupo kama Tabitha,, Vanessa Mungu atakuhadhibu mbwa wewe