Mashaa Allah Tabarakallah Well spoken and greatly knowledgeable. Keep it up to educate and sensitize our respected Ulamas on Islamic finance.
@asiaiddi2539 Жыл бұрын
Nmeelewa Mungu tusaidie
@salummaalim17109 ай бұрын
Namaanisha ni tofauti na thamani Moja kama ULE MFANO wako WA mwanzo chanflde za 50 au 100 ili nikupe elfumoja sio hyo hyo nafaham WAADHIHI ili ni fedha zenye thamani tofauti SWALI langu lipo apo chini NAOMBA jibu shekh
@hassanmpemba5747 Жыл бұрын
Asalam alaikum
@KassimAlly-xp4dz Жыл бұрын
Walaikum Salam
@salummaalim17109 ай бұрын
Mm nauliza mfano naexchange fedha mtu kaja na Dola ili apate Tsh ila hii kwangu ni biashara y PESA za kigeni tofauti je nikimpa Kwa DHAMANI iliopo y KUUZA na kununua je apo ni riba shekh?
@hassanmpemba5747 Жыл бұрын
Asalam alaikum sheikh nauliza kama mtu unaweka benki na benki zinarba kama mimi nikichukuwa pesa yangu ile ile bila kuchukuwa kilicho zidi ni halali ?
@tumahamza8972 Жыл бұрын
Waaleykumu salaam warahmatullah wabarakatu. Mie sio sheikh lakini niliwahi fahamishwa swala kama hilohilo lako. Nilichoambiwa nikuwa hata ukiichukua hiyo pesa itoe sadaka japo kuwa hutapewa dhawabu. Au weka pesa yako kwenye bank sisizoweka interest.
@mamlomamlo9064 Жыл бұрын
Kuna benki nyengine zinafilisika sababu ya tuhuma mfano fdme kunapesa zetu sie wengine imepigwa stop sababu ugaidi imeturidisha nyuma sana
@Tatafati-uk8vy Жыл бұрын
Siri imefichuka na hao bemk eti yakiisilamu mnaumbuka Allah atustri na ulafi wa riba Allah atujalie riziki za halali riba mswiba wa umma sasa😢