Rich Mavoko - My G (Lyrics Video)

  Рет қаралды 395,721

Billionea Kid

Billionea Kid

Күн бұрын

Пікірлер: 1 900
@BillioneaKid
@BillioneaKid 5 ай бұрын
Thank you for watching,Let's chat!!😊
@santosthegenius1516
@santosthegenius1516 5 ай бұрын
The waiting it's over MY G 🔥 🔥
@KelvinEmersonSteven
@KelvinEmersonSteven 5 ай бұрын
Rich Mavocal Rudi kwenye ule mziki wako uliokua unafanya mara ya kwanza huku unazidi kupotea zaidi tu kaka .Nitafute nitakushauri vizuri kuhusu game yako ili urudi kwenye position uliyokuwepo awali cause your so talented brother
@ambroceharouna1612
@ambroceharouna1612 5 ай бұрын
My G
@ambroceharouna1612
@ambroceharouna1612 5 ай бұрын
@@KelvinEmersonSteven we jamaa unachekesha walionuna😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 we mwenyewe yako yanakushinda utamshauri Nini mavoko mziki Kwan kaanza leo
@youngsachafurniture5482
@youngsachafurniture5482 5 ай бұрын
Why ufanyi interview???
@protasmerikiory3855
@protasmerikiory3855 5 ай бұрын
Kama unaamini movoko nikichwa cha mziki bongo tupia like wananguuuu,,,,big up to uu broo #mavoko
@DavidMatenga
@DavidMatenga 5 ай бұрын
Ukukwetu portugal tunamukubali 100% mavoko❤
@protasmerikiory3855
@protasmerikiory3855 5 ай бұрын
@@DavidMatenga tuko pamoja sanaa..
@Laikipianbandit031
@Laikipianbandit031 5 ай бұрын
hii sio HIT bali ni CLASSIC TUNE,,,kama unakubaliana nami nipe like,KEkekekeke
@JacksonMtatina
@JacksonMtatina 4 ай бұрын
kama unamkubali richi mavok gonga like apa chin
@kakajaymedia
@kakajaymedia 5 ай бұрын
Tanzania 🇹🇿 nataka comments zenu tafdhari support from Kenya 🇰🇪 hii nyimbo kali sana
@saidizuberiissa7286
@saidizuberiissa7286 5 ай бұрын
🎉🎉
@NelsonLonkelo
@NelsonLonkelo 4 ай бұрын
Mavoko huwa ni muuaji kwenye kila ngoma all the days, ❤
@PetitBurundi
@PetitBurundi 4 ай бұрын
Jama nampenda sana rakini sikuhizi anafanya mziki haufiki mbali 😢😢pia wew kama unampenda usipite bila ku like hiyi comment 🙏🙏✊🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@petermbogo2254
@petermbogo2254 5 ай бұрын
Kiwa wamkubali Mavoko basi mpe likes zake hapa🎉🎉🎉Goma kali
@EditorTheTarminator
@EditorTheTarminator 5 ай бұрын
My favourite artist mavokoo🎉
@manethjunior3782
@manethjunior3782 4 ай бұрын
Mimi naamini mavoko asingeenda WCB angekuwa msanii mkubwa sana Leo hii
@BARAKAJOSEPH-j4u
@BARAKAJOSEPH-j4u 4 ай бұрын
Alishatoka long
@laare
@laare 5 ай бұрын
Rich man karundi na ubaya wagapi wanamkubali huyu mwamba mwoto🔥 sana piga like tukisonga
@symorplatinumz4073
@symorplatinumz4073 4 ай бұрын
Namkubali.....ngoma Ni moto sana
@samirmswahili
@samirmswahili 5 ай бұрын
Hii kwa wale wote wanaoamini kama tukijitahid ipo siku na sisi tutafungua mageti 🙌🏾🙏🏼
@VannicsStannics
@VannicsStannics 5 ай бұрын
kenya na tanzania ni madugu ebu kama wewe nimtanznia mnipee likes za billioneab kid
@Florisvevotz
@Florisvevotz 5 ай бұрын
Wakwanza Leo nipeni ata like 100❤❤❤ kutoka Congo
@jikonasheriazetv9378
@jikonasheriazetv9378 4 ай бұрын
Yaani Watanzania 🇹🇿 hamtaki kulike comment yangu ju I'm from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪.... Anyway kama waikubali hii song warukaje bila like.. let's show love guys ❤️❤️❤️
@tumainicharo4207
@tumainicharo4207 4 ай бұрын
Mpeni Rich Mavoko likes zake. Kama nzuri nzuri.
@judithpendo9985
@judithpendo9985 5 ай бұрын
Mob love from 🇰🇪🇸🇦🥰🥰 tatizo unakawia saaana mtu wangu ila twakukubali saaana io song n Kali saaana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️♥️♥️♥️♥️
@SamwelEmanuel-v8h
@SamwelEmanuel-v8h 5 ай бұрын
My G wimbo wa taifa, sijaona msaani zaidi ya mavoko Tanzania nikiona Ngoma yake mpya Nafurahia sana GOD BLESS
@dullymxodoki9162
@dullymxodoki9162 5 ай бұрын
Daaaaah kaka apa umekaa umeandika maisha tunayoishi sisi mitaani
@Ak.chidagaya.comedy
@Ak.chidagaya.comedy 4 ай бұрын
Kama we ni fan wa mavoko kutoka 254🇰🇪 gonga 👍 hapa...
@Zakhy-q1l
@Zakhy-q1l 5 ай бұрын
Mziki halisi huu nakukubali kinyama mwanangu 👆
@QuilinChriss
@QuilinChriss 5 ай бұрын
Fundi mes ngoma kali sana
@MaxMalipo-fw4pt
@MaxMalipo-fw4pt 5 ай бұрын
Mess wa bongo flavor haujawahi kosea gonga like kama unamkubali uyu mess
@Thearifs254
@Thearifs254 5 ай бұрын
Deadly sana⚡ Remix na Konde boy pia itaweza sana. Showing love from Kenya
@bonelesskenya
@bonelesskenya 5 ай бұрын
Kenyas tuna like hapa🇰🇪
@DennohMacharia-mu3hb
@DennohMacharia-mu3hb 5 ай бұрын
Mavoko my star mwabieni huyo msafi hazicheze na jembe litamulima isay ni dedo from kasey geng love bongo music from kenya
@cheafroby_tz
@cheafroby_tz 5 ай бұрын
Bilionea kid makombeee yakoo.. kazaaa Kaka aaangu unawezaaaa aminii..
@rajabomary5280
@rajabomary5280 4 ай бұрын
Jamaa anajua ngoma imetulia sana🔥🔥🔥🔥
@fadjunior1994
@fadjunior1994 5 ай бұрын
My G nyimbo kali sana kama unamkubali rich mavoko gonga like❤
@IbrahimMkwama-m3n
@IbrahimMkwama-m3n 5 ай бұрын
Hii nyimbo vdmet haipo dah
@MasanjaSamweli-b3r
@MasanjaSamweli-b3r 4 ай бұрын
Kama unaamini kuna kuanguka na kuinuka afu unasonga mbele kama mavoko NIPE LIKE
@hassanqaydarez
@hassanqaydarez 2 ай бұрын
Hii nyimbo ni nzuri sana 🔥mi ni fan mkubwa from MOMBASA, KENYA
@Officialswala
@Officialswala 5 ай бұрын
Mess from Africa 🇹🇿 🇹🇿 kama wewe ni shabiki wa muziki muzuri gonga like 👍
@sadunabdallah7303
@sadunabdallah7303 5 ай бұрын
Nakubali jamaa anajuwa sanaa❤❤❤
@BabazBalozi
@BabazBalozi 5 ай бұрын
Nakukubali My G Tuhustle Walidhani Ndio Hatutaendelea..👊🏼👊🏼
@salimramadhani740
@salimramadhani740 5 ай бұрын
Number one beautiful thanks you very Good from Burundi 🇧🇮 Lives in cape Town ❤❤❤❤
@NabilHamza-mj9xo
@NabilHamza-mj9xo 5 ай бұрын
Tunahitaji madude kama haya mwanangu tena back to back ......wanao tupo ...........goma kali sana mpaka trending 1 number...
@Makondetv
@Makondetv 5 ай бұрын
Very good My brother mavoko I'm from Mozambique 🇲🇿
@AshrafuMzagu
@AshrafuMzagu 5 ай бұрын
My G, Ngoma Kali mkubwa mkubwa tu👍
@Mwanatanga
@Mwanatanga 5 ай бұрын
Dude kaliiiiiiiiii🎉🎉
@MO_KAJU
@MO_KAJU 5 ай бұрын
Walume ndago ndo sisi OG🔥🔥
@tonnyscott6943
@tonnyscott6943 4 ай бұрын
This song is so motivational 👊🏾🙏🏾 my G we gonna make it one day all my G
@vansclassic2131
@vansclassic2131 5 ай бұрын
Yani from Wcb hii ni kali brow .yani umetisha brow nyayo za pacha wangu goma moja la kiuni sana umetisha mavoko mau yakobro ......❤❤❤❤❤
@AgripaMwangobola-il3bz
@AgripaMwangobola-il3bz 5 ай бұрын
Kaz nzur
@RamaMohamed-oi9ff
@RamaMohamed-oi9ff 4 ай бұрын
Welcome back Rich Mavoko....we miss you, Thanks for returning back to the industry....Kama wamkubali kurudi tena nipe likes zenu🎉🎉🎉🎉🎉
@njetiipaul5904
@njetiipaul5904 5 ай бұрын
Umetisha bad man
@user-Zadig
@user-Zadig 5 ай бұрын
Kituikyo nikipata apa kwetu Lubumbashi DRC 🇨🇩 likes zangu mnipe km anakulika mavoko vite vite mes biens
@kiluza_Fanani
@kiluza_Fanani 5 ай бұрын
Hongera kaka kazi kali sana
@princederoo5361
@princederoo5361 5 ай бұрын
Huyu jamaa ata akabaniwa vipi ila bado atakuwa msanii wangu bora 🔥🔥🔥 big up brother mavoko ✌🏾 najichanga siku ni moja tutaonana tu🇰🇪
@BimkubwaMohd-ef6hr
@BimkubwaMohd-ef6hr 5 ай бұрын
Mavoko uo. Muonekano wako wa sas. Ni kistar zaid. Sas. Unaend kujkwamua na mukosi Big up. Broo
@maclasmacharia
@maclasmacharia 4 ай бұрын
Asanteh sana mungu mwamba karundi?
@jongosalehe1036
@jongosalehe1036 4 ай бұрын
Congratulations sana Rich Mavoko safi sana ubarikiwe sana congratulations
@ananiasjustice6840
@ananiasjustice6840 5 ай бұрын
Umenifurahisha tu ulivotutambua wazee Wa kubeti 😅
@pahides-pro4989
@pahides-pro4989 3 ай бұрын
Un jeune talentueux ❤
@fidelisjeremias3145
@fidelisjeremias3145 5 ай бұрын
Umeuwaaaaaaa kakaaaaaaaa Moro mojaa iyoooooo naomba like za kutoshaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@josephsayguran1349
@josephsayguran1349 5 ай бұрын
Huyu hapa fundi ninayemjua kwa uandishi
@MargaretKache
@MargaretKache 2 ай бұрын
Rich It's Awesome that umerudi kwa game ❤wee n star asikwambia mtu kitu❤️💯From Kenya we Love you out here keep it up 😢❤❤❤❤
@ProtusKalipuka
@ProtusKalipuka 5 ай бұрын
Daaaah mavoko kaka we ni dhahabu ila daaah sijui saiv kwann mzik hufany sana
@enzhotaylor9224
@enzhotaylor9224 5 ай бұрын
This is Huge Billionea Kid Keep pushing G🎉🎉🎉🎉
@richardrichope3528
@richardrichope3528 5 ай бұрын
Sijui kwa nini Rich Mavoko sio super star 🌟 yani sielewi Au mwambino anamuroga ??
@JonathanSendihi-p2k
@JonathanSendihi-p2k 5 ай бұрын
My King 👑👑 is back
@MTALIITV
@MTALIITV 5 ай бұрын
Huyu ndie Badman Richard ❤❤🎉🎉🎉🔥💯
@lidancerchris
@lidancerchris 5 ай бұрын
Mtu wamaana kabisa #MyG⛽🔥🚬
@stephanomnyonaki1724
@stephanomnyonaki1724 5 ай бұрын
Nyimbo kali sana kaka kaza humo humo
@BigBlack-my3tj
@BigBlack-my3tj 5 ай бұрын
Big up my favorite aristist. I'm from Congo
@kidafrica_25
@kidafrica_25 5 ай бұрын
Messi naona umekuja kubadilisha mziki wako Sawa mzee 🙌🙌🙌🙌
@AfizoBrave
@AfizoBrave 5 ай бұрын
My brother.. rich..
@amosafrica2350
@amosafrica2350 5 ай бұрын
Kwa bahati mbaya bongo tunashoboka na tungo za ujinga ujinga. Ila huu sasa ndo unapaswa kuwa mziki unatrend mitaani na kwenye media zote za mjini. Hujawahi niangusha Mavoko
@KirimiJustoo-hs8kl
@KirimiJustoo-hs8kl 5 ай бұрын
❤❤❤nakubali mkuu❤❤
@alexelieza8802
@alexelieza8802 5 ай бұрын
Uyu mwana nawaombeni jaman tumpeni sapoti wadau mwamba anajua Sana🙏
@ndegeofficial9928
@ndegeofficial9928 5 ай бұрын
Yap jamaa ameridi kwenyeziki wake
@alexelieza8802
@alexelieza8802 5 ай бұрын
@@ndegeofficial9928 uyu jamaa sio poa aisee ni kwikwi
@beatusharald56
@beatusharald56 5 ай бұрын
Kweli
@kombobalozi9058
@kombobalozi9058 4 ай бұрын
oya piga remix na chid benzi hili bonge la ngoma
@dariusmghanga
@dariusmghanga 5 ай бұрын
My g richmavoko me hupenda ngomaa zako ata kama mambo hayakuendei poa but trust the process
@usatoenglandvegas4046
@usatoenglandvegas4046 5 ай бұрын
Mwamba legendary tuomba ngoma kila sio kimya kaka🎉🎉
@alexelieza8802
@alexelieza8802 5 ай бұрын
Nisame Tu ukwel rich mavoko bado ni msanii wangu Bora kwangu, japo na maneno ya apa na pale lkn we unakipaji kikubwa🎉
@Sisopotashiumz
@Sisopotashiumz 3 ай бұрын
Hii ngoma kali kweli
@shellahbouy
@shellahbouy 5 ай бұрын
Mavoko achilia songs nyingi ili kurudisha mafans ...we miss u
@hamtony_9680
@hamtony_9680 5 ай бұрын
King is back 🚀🚀👑
@hemarokcrown.
@hemarokcrown. 5 ай бұрын
Mbongee la mziki ❤❤❤❤❤
@Pacifique.0
@Pacifique.0 3 ай бұрын
Tokoos 🇨🇩
@balabaigadol22
@balabaigadol22 5 ай бұрын
Billionea kid ni noma sana Moro town stand up
@bakarimakomola
@bakarimakomola 5 ай бұрын
Mwana hii ndo ngoma itakayokurudisha kwenye game..... Good job 👍
@abubakarimsere
@abubakarimsere 5 ай бұрын
Bongo fleva hii hapa gonga like kama unakubali
@utamumusic4412
@utamumusic4412 4 ай бұрын
Hiii ngoma kubwa sana mwanang mwavoko Big yes hujui kukosea
@CHIDY_ACTOR
@CHIDY_ACTOR 5 ай бұрын
Bonge la ngoma aisee 🇹🇿 tuko na international musicians💪
@zubedamussa9968
@zubedamussa9968 5 ай бұрын
Nakukubali San mungu akusimamie
@MageriMageri
@MageriMageri 5 ай бұрын
Mungu awe nawe mavoko weka like kama umekubali hii ngoma
@donaldmaganga4469
@donaldmaganga4469 5 ай бұрын
Congratulation🎉🎉 my G
@abdulazyzmaxoud6458
@abdulazyzmaxoud6458 5 ай бұрын
wa kwanza kuview naombeni like zanguuu
@abdulomary3517
@abdulomary3517 5 ай бұрын
unajua sana kaka
@mrsmadam9886
@mrsmadam9886 5 ай бұрын
Kama uko hapa baada ya kuona RANGE weka like hapa
@HusseinKibwana-y7f
@HusseinKibwana-y7f 4 ай бұрын
Ulijuaje
@PaschalHose
@PaschalHose 4 ай бұрын
🎉 music bhn ni talent ya mtu
@gattyjones7891
@gattyjones7891 4 ай бұрын
Range ndio imenileta huku kumber ni serious
@kakozimakongo8875
@kakozimakongo8875 5 ай бұрын
Zidisha juudi ndo kitu muimu sana leo ume nikumbusha aponyuma ndo inavyi takiwa kufanyakazi nzuri kama izi siyo kukalia kulaumiana 👊🏿🙏🙏🔥🔥🔥🔥
@HakizimanaMaria
@HakizimanaMaria 5 ай бұрын
Gonga like kama ulikuwa umemiss rich mavoko
@Ngosha_The_Don-kf4do
@Ngosha_The_Don-kf4do 4 ай бұрын
Kalii sanaa bloody,nko 001 Kenya....My G
@chenge3223
@chenge3223 5 ай бұрын
oyaaa kuna huyu mwamba na konde boy miaka buku
@monella7535
@monella7535 4 ай бұрын
Ya moto sanaaaa..... creativity 100%
@GUMBOGAN
@GUMBOGAN 5 ай бұрын
Ningeomba ufanye rmx n kontawa 🎉❤
@alexelieza8802
@alexelieza8802 5 ай бұрын
Oya umejuaje mwana, itakuwa ni balaaa
@GUMBOGAN
@GUMBOGAN 4 ай бұрын
Huyu mwamba mkali sana
@comedy7937
@comedy7937 4 ай бұрын
Yani Richard mavoko unajua sijui kwanini ulienda wasafi dah ila usijali mungu wao ndio mungu wetu one day trending
@kipukatz
@kipukatz 5 ай бұрын
My G🔥🔥🔥
@Endrickmoriss
@Endrickmoriss 5 ай бұрын
nakukubal sanaaa ludi kweny game mashabiki zako tulikumisss🎉🎉🎉
@official_vanchaz
@official_vanchaz 5 ай бұрын
Oya mwanetu Rich, drop madude Team kiba tupo tutakusupport hadi mwisho
@muzimademunga31
@muzimademunga31 5 ай бұрын
Merci sana
@kidrizhandysuguofficial1280
@kidrizhandysuguofficial1280 5 ай бұрын
Nipe like kama unampenda rich mavoko🥰💙
@karimutovuge7941
@karimutovuge7941 5 ай бұрын
Baba hataree tupu hii ngoma
Rich Mavoko Feat Cippy & DJ ODG - Baluza(Official Dance Video)
3:42
Rich Mavoko Feat. @chinokidd - Kill My Self (Official Music Video)
3:17
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 102 МЛН
CAN YOU DO THIS ?
00:23
STORROR
Рет қаралды 43 МЛН
How I Turned a Lolipop Into A New One 🤯🍭
00:19
Wian
Рет қаралды 13 МЛН
Professor Jay feat Alikiba - CALLING (Official Music Video)
4:26
ProfessorJay
Рет қаралды 847 М.
Vanillah feat Roma - Never Mind (Official Audio)
3:19
Vanillah
Рет қаралды 262 М.
Rich Mavoko - Miss You (Official Video)
2:56
Billionea Kid
Рет қаралды 224 М.
Nay Wa Mitego - Wapi Huko (Official Music Video Lyrics)
3:31
Mr Nay
Рет қаралды 1,2 МЛН
Kontawa feat Nay wa Mitego : Champion (Official Video)
3:28
kontawa
Рет қаралды 3,9 МЛН
Chino kidd ft Rich Mavoko - Mwakitale (Official Music Video)
3:33
Chino Kidd
Рет қаралды 1,1 МЛН
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 102 МЛН