Part 5: LAVALAVA Atoa ya MOYONI "MZUNGU wangu ALITOA MIMBA/Alitaka NIACHE Kazi zangu"

  Рет қаралды 10,925

Rick Media

Rick Media

Ай бұрын

Kutoka WCB Mwanamuziki Lavalava ameiambia Rick Media kuwa anahisi Mzungu wake alitoa ujauzito wake. Lakini Pia Lavalava anasema kuwa n i changamoto sana ku date na Wanzungu kutoka na namna ambayo wanataka kukuendesha kwenye mahusiano
_________________________________________________________________________________
Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu kwa ku-subscribe KZbin channel ya RICK MEDIA. Tufuatilie kupitia Instagram, Facebook na Twitter kwa jina la @rickmediatz
_________________________________________________________________________________
Contact Us Now +255 742 447 854 | Normal Calls & WhatsApp
#Lavalava

Пікірлер: 26
@ShadreckDreck
@ShadreckDreck Ай бұрын
Lava lava unahongeya point kuhusu kutokubadilika kisa u star na kutokumuzoweya Boss
@zainabramadhani9838
@zainabramadhani9838 Ай бұрын
Wazungu wakiona huna muelekeo au huna vision kuzaa kwao mwiko
@lightnessmussa5934
@lightnessmussa5934 28 күн бұрын
so wazungu tyu hata hiz kima nyeusi
@malkavoice2570
@malkavoice2570 Ай бұрын
Hii kubwa sana hii lkn msingeuliza isingesikika
@thekartelAfrican
@thekartelAfrican 12 күн бұрын
Tukumbukwe nasi kama wasanii wadogo 🎉tutafutwe
@ShadreckDreck
@ShadreckDreck Ай бұрын
Uyo Dada Namkubali saana Anajuwa kuhoji
@NdakhiSusu-qz9md
@NdakhiSusu-qz9md Ай бұрын
Ninja,🔥🔥🔥
@African-x1o
@African-x1o Ай бұрын
🎉🎉❤ love from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿. Maji maji
@RickMediatanzania
@RickMediatanzania Ай бұрын
One loveee
@newzon5300
@newzon5300 Ай бұрын
Lava lava unafeliii sanaaaa
@omanoman2044
@omanoman2044 Ай бұрын
Umesom din na uko hapo et mke wangu duuh
@hezronjoseph405
@hezronjoseph405 Ай бұрын
Party 5 nimeondoka na short cheses😂😂😂
@chizashungu8364
@chizashungu8364 Ай бұрын
Nice one Mr love bite.
@user-tg2rt5mg5w
@user-tg2rt5mg5w Ай бұрын
Simba ☠️ 🇱🇷
@saidrashid4191
@saidrashid4191 Ай бұрын
BIG SHOUT OUT BROTHER @lavalava
@richkaja3317
@richkaja3317 Ай бұрын
Fanya official sema umarioo rahaa sanaa
@reginamluviji9405
@reginamluviji9405 Ай бұрын
MBONA Njombe vijijini jamn Lavalava hahahhaha
@salimjumaa8180
@salimjumaa8180 Ай бұрын
Hyu dda namuelewaga mno, sema ndio kma hvyo
@RickMediatanzania
@RickMediatanzania Ай бұрын
Ndio kama nini wacha tamaa😂😂😂😂😂. Ongea vizuri na watu jimbo lipo wazi hili
@salimjumaa8180
@salimjumaa8180 Ай бұрын
@@RickMediatanzania tamaa vp wkt moyo wngu ushampenda🤣
@rehemayona2223
@rehemayona2223 Ай бұрын
Tatizo nyota kaka una nyota😂
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 Ай бұрын
Rick media huyu mwanadada ndiyo shemeji!?
@RickMediatanzania
@RickMediatanzania Ай бұрын
Amna bhna😂😂😂😂😂
@Rogersmgimba
@Rogersmgimba Ай бұрын
Kwann njombe😂
@Lassana755
@Lassana755 Ай бұрын
mzungu hazai ovyo
@ISSASHABANI-sw7lx
@ISSASHABANI-sw7lx Ай бұрын
Muongo wewe wazungu kibao wauni wanaishi nao kishahili swahili akafu freshi tu wewe ulikuwa mshamba wa madem wa kizungu jinga kabisa pambaaafu 😅😅😅
Идеально повторил? Хотите вторую часть?
00:13
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 3,2 МЛН
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 24 МЛН
1,000 Diamonds! (Funny Minecraft Animation) #shorts #cartoon
00:31
toonz CRAFT
Рет қаралды 38 МЛН
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 7 МЛН
NDARO STEVE WE NI TAPELI   MSIKILIZE MANENOYAKE
14:35
Steve Mweusi
Рет қаралды 49 М.
LIVE MAHABA YA MWIJAKU AKIMSHAWISHI SNURA AMUOE MKE WA PILI
14:05
Millard Ayo
Рет қаралды 175 М.
BEHIND THE GRAM DIVA & SHEIKH - EPISODE 4
36:03
ZamaradiTV
Рет қаралды 27 М.
MAGIC DRINK TRICK TUTORIAL 😱😳
0:20
Milaad K
Рет қаралды 59 МЛН
Они так быстро убрались!
1:00
Аришнев
Рет қаралды 1,3 МЛН
ХОТЕЛ ПОТОПИТЬ ДЖЕКА, НО НЕ ВЫШЛО
0:51
Tasty Series
Рет қаралды 1 МЛН
@juanchinbrodie #comedia #humor #juffec #felipecharry #amigos
0:15
Felipe Charry
Рет қаралды 6 МЛН