PART 1: DIVA afunguka NIMERUDIANA na MUME WANGU/Nilipitia MATESO/Ameomba Msamaha/Tuko na Amani sasa

  Рет қаралды 32,948

Rick Media

Rick Media

Күн бұрын

Пікірлер: 265
@zayanazayana5518
@zayanazayana5518 Жыл бұрын
Mtangazaji jifunze kukaa vizuri , katika meeting watu wengi wanakutazama Huo ni mkao wa nyumbani kwako sio hadharani
@MwamvuaKing
@MwamvuaKing Жыл бұрын
Safi.adabu hy
@AishaHaji-jn7sg
@AishaHaji-jn7sg Жыл бұрын
Sasa baba mkwe wako kulazwa hio inahusu nini jaman😂🤣🤣😂😂😂😂ka fala Yaan aonekane Kama yeye anajali sana Sasa baba wa mtu kuumwa inahusiana nini
@pendomagere2900
@pendomagere2900 Жыл бұрын
Abdul anamtumia Diva kujisafisha...kama kweli mganga kaomba msamaha yeye ndio angepaswa kuongea na kuomba msamaha...Diva akishamsafisha mganga atapigwa cha mbavu ataenda dondondokea Somalia. Nipo hapa nimekaaa.
@faidhacute
@faidhacute Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 Жыл бұрын
😂😂hakika tuombe uzima tutayaona na kuyackia 😂
@lydi791
@lydi791 Жыл бұрын
🤣🤣🤣
@Farhiaomar2
@Farhiaomar2 Жыл бұрын
Ebu kooma Somalia
@rahmarajabu2585
@rahmarajabu2585 Жыл бұрын
Yajayo yanafurahisha 😂😂😂
@vinnahjasson5546
@vinnahjasson5546 Жыл бұрын
Baada ya aibu yote ile ulomchafua Abdullazacq na kupost every times had mange kukutetea, had watu kukwambia kaa kimya inatosha usipost tena, bado umemsamehe baada ya mateso yote ulokua unasema unateswa, ama umerogwa wew?!!!
@stellanchagwa5297
@stellanchagwa5297 Жыл бұрын
Huyu dada hajitambui hata kidogo Dha!!!!😂😂😂
@lydi791
@lydi791 Жыл бұрын
Mumuelewe siyo Diva originaux🤣🤣
@AfricaQueen
@AfricaQueen Жыл бұрын
Chizi huyu Na chezea mganga wewe Na bado atadataaaa😏ulimuacha wazi mganga Na kumsema mabaya utakuwa msukule sasa🤔
@robsonwisdom1994
@robsonwisdom1994 Жыл бұрын
Hii inchi inaviumbe wa hovyo sana aliandika walaka lkn Leo wako wote usiamini kitu chochote Hadi aposti milladAyo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@amoonatnzani9834
@amoonatnzani9834 Жыл бұрын
Ahahahaaaaaaa hatari sana
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr Жыл бұрын
Huyu hulipuka ndio shida yake zamani nilikua ivyo hata ndoa yangu ya kwanza ilivunjika kwa sababu izo but now I'm strong
@psj1564
@psj1564 Жыл бұрын
Ndimans unahambiwa ugomvi wamume ns mke uingiliwi wdndmaliza wenyewe chumbani
@lililili5621
@lililili5621 Жыл бұрын
Unaweza muona mtu ni mjanja kumbe ni jinga jinga la mwisho🙌🙌🙌
@lydi791
@lydi791 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@HildaMrema-p5w
@HildaMrema-p5w Жыл бұрын
😂😂😂😂
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@musnamohamed4199
@musnamohamed4199 10 ай бұрын
Huyu anatafuta kuongerewa tu
@ucjvvjcjjvih9934
@ucjvvjcjjvih9934 Жыл бұрын
❤DIVA mm nililipigania sana urudi kwa mmeo musameheane sabab mlipendezana sana
@mejumaamwachirero7324
@mejumaamwachirero7324 Жыл бұрын
Right decision Diva .hata awe mbaya bora unaemjua.utapata solutions on how to bundle him
@nurdinmkwachu28
@nurdinmkwachu28 Жыл бұрын
Uchawi upo wanao kubalina nami basi waje wa comment hapa wanipe saport jaman
@bellogregory7175
@bellogregory7175 Жыл бұрын
Kweli kwa hil naungan na wewe 😂
@MaryamSimai-b9f
@MaryamSimai-b9f Ай бұрын
Sana
@ScolaRobert-qk7gc
@ScolaRobert-qk7gc Жыл бұрын
Mh diva anayumba sana
@AishaHaji-jn7sg
@AishaHaji-jn7sg Жыл бұрын
Kwa maisha gani…?yakutembeza kibakuli kuomba achangiwe hela😂😂😂😂😂😂😂😂nyooo
@SamuDshira-xm9yn
@SamuDshira-xm9yn Жыл бұрын
Huyu dada ni mshenzi sana.hafai hata kwa mboga😮😮
@LindaMbilinyi-p8s
@LindaMbilinyi-p8s Жыл бұрын
Mmh kosa Mali upate akil,aliandika waraka wa Vita Leo yupo nae vitan😅😅😅😅😅kwel tuwe na akiba ya maneno
@furahasarakikya3223
@furahasarakikya3223 Жыл бұрын
In short diva unayumba, nikama huna maamuzi na maisha yako. Mganga ndiy mwamuzi, hula la kufanya dada umekwama . Ww ndiy ulitangazia watu unaolewa, ukatangazia watu umeachika, sasa unatangaza umemsamehe. Sasa unaongea Nini hapo.
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 Жыл бұрын
Hana akil huyu dada km alijua mumewe ni binadamu na watarudiana why alimuanika vile mm naona km kajidhalilisha yy
@moudys
@moudys Жыл бұрын
Mambo ya wanandoa yawache
@queenmilan2024
@queenmilan2024 Жыл бұрын
yani ni 0 brain na zezeta number moja Tanzania
@pendo8082
@pendo8082 Жыл бұрын
Jinga sana diva
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 Жыл бұрын
@@moudys umeelewa point yangu au unakurupka tu km mkojo wa asubuh 🤣🤣🤣
@vinnahjasson5546
@vinnahjasson5546 Жыл бұрын
Kajidhalilisha sanaa
@majomamajoma8776
@majomamajoma8776 Жыл бұрын
Ndoa haitaki ujuaji hongera sana lkn acha maisha ta mtandaoni
@LindaMbilinyi-p8s
@LindaMbilinyi-p8s Жыл бұрын
Kanaongea Sana kuliko anayemuhoji😂😂😂😂😂😂
@drbennykingofficial
@drbennykingofficial Жыл бұрын
soon nataka inteview rick dr benny apa nawakubali sana
@ramadhaniseifuledi513
@ramadhaniseifuledi513 Жыл бұрын
I like
@ramadhanyusuf2401
@ramadhanyusuf2401 Жыл бұрын
The cheapest woman ever...kumbe kiingereza nyingi sio hekima😅
@AzaShamba
@AzaShamba Жыл бұрын
Hyu diva yuko ka zari. MISIFA KA YTE😂😂😂😂😂HASARA. UTAPIGWA KITU CHA KITAKATIFU SUBIRI NMEKAA PALE.HILI LILOPITA NI TRELA😂😂😂😂😂nmekaa pale
@sophiahmedza929
@sophiahmedza929 Жыл бұрын
Nauliza ule mama mboge mweupe na tajiri waliachana😂😂😂😂😂😂😂
@beatricejohn1659
@beatricejohn1659 Жыл бұрын
Kweli uchawi upo
@nanceaidan6622
@nanceaidan6622 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@Boaz22
@Boaz22 Жыл бұрын
Mi hua najiuliza diva angekuaga mzuri kama Rihanna hivi tungepumua kweli??😂😂mi nashindwaga kuelewa wanaomsifia hili limama, very sad😢
@lilianestephanie7881
@lilianestephanie7881 Жыл бұрын
Muache dada wa watu
@mwanaidytaifa3329
@mwanaidytaifa3329 Жыл бұрын
Aisee kuna watu tunapaswa kuwaonea huruma baada ya kuwaonea wivu. @diva
@sophiahmedza929
@sophiahmedza929 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@zamalisaide3209
@zamalisaide3209 Жыл бұрын
😂😂 kweli zamwamwa
@AkizimanaZuwena
@AkizimanaZuwena Жыл бұрын
Ila Diva 😂😂😂😂😂 mwenyewe anakiona mjinga haswa
@shamsakhalfan-db4wb
@shamsakhalfan-db4wb Жыл бұрын
Nakusaport diva hilo ni kweli
@fatmahamis2154
@fatmahamis2154 Жыл бұрын
Mungu anisamehe bule huyu dada hana akili timamu leo hii anaongea utumbo wakati alisema anajuta kuolewa Allah akusamehe bule
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 Жыл бұрын
La kumlaumu huyu ni kila ugomvi KULETA mitandaoni masuala ya ndoa kweli unafanyiwa machafu lakini alietendewa akiombwa msamaha si sawa na aliekaa pembeni ndo maana haitakiwi kukaa na ndugu pamoja si vizuri,nyie mtamaliza Ila ndugu hawataelewa
@ashurakiswamba7085
@ashurakiswamba7085 Жыл бұрын
Wala Allah asimsamehe mwehuu huyu.mjinga Liache lirogwe
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr Жыл бұрын
Nimefurahi kurudi kwenye ndoa yako huko ndio kukua hongera sana
@Zainab_salat
@Zainab_salat Жыл бұрын
Angenyamaza na kutoandika mapito yake ya ndoa
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr Жыл бұрын
@@Zainab_salat hapo ndipo wanawake wengi hukosea hilo sio kuandika tuu hata kusimulia kila mtu ni kujushusha ww mke hasa mnapopata na kurudiana aibu kwa mke
@marykyas446
@marykyas446 Жыл бұрын
Yaan ndiyo maana napendaga kukaa kimyaaa
@vinnahjasson5546
@vinnahjasson5546 Жыл бұрын
Umeona eeh
@hamissahassan2831
@hamissahassan2831 Жыл бұрын
Hichi ki dada zijawahi kuki penda yani sikipendi SIKIPENDI haswa
@kellyclassic7515
@kellyclassic7515 Жыл бұрын
diva punguza kujielezea sana
@samsunggalax8258
@samsunggalax8258 Жыл бұрын
Mashallah ana beautiful eye's 😍
@SavanahGemimah
@SavanahGemimah Жыл бұрын
Lenses hiyo macho gani kafaa lenses
@samsunggalax8258
@samsunggalax8258 Жыл бұрын
@@SavanahGemimah is long the lens is in her eyes means is her eyes there is not any problem
@SavanahGemimah
@SavanahGemimah Жыл бұрын
@@samsunggalax8258 pia nywele zake mke WA sheikh😂😂😂😂
@geoufo2858
@geoufo2858 Жыл бұрын
Mamaee muuni anaroga vbaya mnno yangu uyu jamaa ni mchawi Lily Wala cio fake wallah 🤣
@sarahkimaro75
@sarahkimaro75 Жыл бұрын
😅😅😅hatarii
@zeshsulesh6084
@zeshsulesh6084 Жыл бұрын
Mganga ashamfunga hakuna mahali ataenda
@omanmct135
@omanmct135 Жыл бұрын
Aaallahmdulilah
@saudashani5981
@saudashani5981 Жыл бұрын
Bola nimpende mama yanguuuu
@azzahavyarimana2613
@azzahavyarimana2613 Жыл бұрын
Bora ni enjoy
@danielimeshack3712
@danielimeshack3712 Жыл бұрын
Kiendacho kwa mganga hakirudi 😂😂😂
@muna1165
@muna1165 Жыл бұрын
Tatizo nikwamba umeolewa na mganga😂😂😂😂😂unaanzaje kutoka hapo labda yeye aamue kukuwacha yeye una chezea mganga weweee😂😂😂😂
@vinnahjasson5546
@vinnahjasson5546 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@reaganevral5258
@reaganevral5258 Жыл бұрын
Utaliya tena kesho...siya ona batu bapumbavu kama wana wake wa TZ... kumhuka kajala 😂
@MaryamSimai-b9f
@MaryamSimai-b9f Ай бұрын
Wana visa hawa
@wardawarda6535
@wardawarda6535 Жыл бұрын
Kwel Diva hii sio akili yako umekuwa bwege hv ..umerudiana na Yule bwege..Diva limenishuka shuuu shost..ulivoachana nae nililia sana choon kwakukuonea huruma na yale magazet yako ulotupostia ...loool Dunia simama nishuke mie 😅😅😂😂
@Shuu.A
@Shuu.A Жыл бұрын
WARDA niache 😂😂😂😂
@wardawarda6535
@wardawarda6535 Жыл бұрын
@@Shuu.A 🤣🤣🤣🤣katuweza mwanamke huyu
@wardawarda6535
@wardawarda6535 Жыл бұрын
😄 🤣 😂
@KhadijaAbdallah-kn3ii
@KhadijaAbdallah-kn3ii Жыл бұрын
Kwa mume yule.utarudia tena Interview
@ShangweSylus-nf6we
@ShangweSylus-nf6we Жыл бұрын
Ulijua kutununulisha bando we dada, kha mapenzi shikamoo sana, hii inatufundisha tukome mufuatilia maisha ya watu😂
@chihungotisho1642
@chihungotisho1642 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@vinnahjasson5546
@vinnahjasson5546 Жыл бұрын
😂😂😂 me nimemdharau kabisaaa maana nilikua nanunua bando ili niangalie post zake
@RayaAbdalla-h2c
@RayaAbdalla-h2c Жыл бұрын
Limwili kubwa akili ziroooooo😅😅😅😅😅
@niomy4310
@niomy4310 Жыл бұрын
Fundisho:msiingilie vya watu wawili wanao lala shuka moja
@GubraCity-dm5sx
@GubraCity-dm5sx Жыл бұрын
Wambea wameumbuka
@sifatiiman
@sifatiiman Жыл бұрын
aliyaleta mwenyewe yeye ndio kiazi na sura lake lilivyopana afu akili hana 😂😂
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 Жыл бұрын
​@@sifatiimanndo nashanga mie km.sio yy kuyaleta mitandaon nani angejua 😂😂atupishe huko na ipo ck wataachana kweli tuombe uzima 😂
@ashurakiswamba7085
@ashurakiswamba7085 Жыл бұрын
Sasa diva mdomo woteee na maneno yoteee. Na nilikuambia utarudiiii bakisha maneno huyo amekurogaaaa mpkkkaaaa
@ashurakiswamba7085
@ashurakiswamba7085 Жыл бұрын
Mmmmmmmmmmmmmmmmmjingaaaaaa huyoooo mumeeeeee basssssss.ujanjaaaa mwingiiiii mbeleeee kizaaaaa. Mara katembea na jimama mara shangazi mara sijui nanii..umeshanasaaaa kwenye tunduuuu .utumiweees tuuu ndugu yanguuu.poleeeeee sanaaaa.ujanjaaa umekwishaaaa
@zawadichalale4047
@zawadichalale4047 Жыл бұрын
Haya jamani bado Dulla na Zaylissa🧍
@cdeleo9336
@cdeleo9336 Жыл бұрын
Tabia ni kama ngozi hata ufanyaje atakupiga tukio kubwa kuzidi hilo
@tushuhassan3809
@tushuhassan3809 Жыл бұрын
Chezea falaki wewe 😂😂😂😂 Diva azungushi apindui anekua mjinga 😂😂😂
@mereyamhomesmariamhomes3464
@mereyamhomesmariamhomes3464 Жыл бұрын
😂😂😂
@leaherasto929
@leaherasto929 Жыл бұрын
Unarogwa mpaka unarogwa tena kumuacha mganga huwezi anakuvuta tu namadawa yake
@MadinaAbduKyabazinga
@MadinaAbduKyabazinga Жыл бұрын
Diva afai kuhojiwa ajatulia
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 Жыл бұрын
Ndiooo maanaaa sitaki wifi wala shemeji nyumbani kwangu wanashida ya kaka yao pakumpataaa watajuaa waoo shezi hao
@sifatiiman
@sifatiiman Жыл бұрын
huna akili wewe
@AshuraHamisi-i3i
@AshuraHamisi-i3i Жыл бұрын
Media ni kubwa lakini mwandishi hana maswali ya maana,,yani hakukuwa na sababu ya interview,sijaona cha maana kilichofamya amfanyie interview diva,Waandishi jifunzeni namna ya kuhoji celebrities
@Chrishenryson-beats
@Chrishenryson-beats Жыл бұрын
Wanaboa maswali ya kimbea tu na yanahusu mahusiano tu. Media za bongo shida zinafata mkombo wakati hawafanyi cha maana sjui kwa nini hawaangaliagi ma enterview ya mbele
@AshuraHamisi-i3i
@AshuraHamisi-i3i Жыл бұрын
@@Chrishenryson-beats wanazingua,,eti anaswali tahajud,kwa ayo mawigi,mikucha,kope,anashika vipi udhu ukaswii mpka aweze kuswali,hata kipofu angeuliza ila swali,ila mwandishi kakaza na tu na mambo yasioeleweka,yan amna cha maana alichohoji
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 Жыл бұрын
Tabia ya mwanaume haibadilishwi utajuta kurudiana na huyo jamaa
@m___ck799
@m___ck799 Жыл бұрын
Tusubirie season 2😂
@pendo8082
@pendo8082 Жыл бұрын
Ipo siku atapigwa tukio moja huyu
@Sage-o4q
@Sage-o4q Жыл бұрын
U understand wori am talking Rait here...🤣🤣🤣🤣🤣🤣 diva bhana.
@serianjamal8254
@serianjamal8254 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@keifatuke99
@keifatuke99 Жыл бұрын
AKILI ZA DIVA
@wisemelodytz589
@wisemelodytz589 Жыл бұрын
Diva hafai kuombwa hata ushauri wa kununua vitumbua yaan hajijui
@lydi791
@lydi791 Жыл бұрын
Uyu Diva anayitaji awukumu mume wake Ila kwa yule muganga sahawu Diva wule ni mwamba🤣🤣🤣
@Mina.15
@Mina.15 Жыл бұрын
Na jimana je
@lilianestephanie7881
@lilianestephanie7881 Жыл бұрын
Mapenzi ndiyo sababu. Me hata simshangai
@rauhiyasoudy9988
@rauhiyasoudy9988 Жыл бұрын
Jamani kweli ndoa ni kuvumiliana nimefurahi kurudi kuipaambania ndoa yako wanaume ndio hao hao afadhali ya jana kuliko ya kesho
@RayaAbdalla-h2c
@RayaAbdalla-h2c Жыл бұрын
Ipo cku tunasubiri ampige kichapo Stowe mijino ya hapo mbele
@BiabaeBianca
@BiabaeBianca Жыл бұрын
Hili dem zamwamwa daaah😂😂😂
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 Жыл бұрын
Na hisi msije mitandaoni kuongeya maisha yenu
@zayanazayana5518
@zayanazayana5518 Жыл бұрын
Unapogombana na mumeo, akatokea mtu kukwambia achana nae, basi huyo si mwema wako Yanatakiwa masuluhisho
@joharijj2164
@joharijj2164 Жыл бұрын
Woi diva kasharogwa 😢sio akili zake
@teedullah5708
@teedullah5708 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@sophiahmedza929
@sophiahmedza929 Жыл бұрын
Kweli
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 Жыл бұрын
Daaaaaa yaaaaan mausiano bhana usijiroge kuingiria
@ChrisantChrisant-h2j
@ChrisantChrisant-h2j Жыл бұрын
Hii inch ngumu xn usikute mlikuwa mnatake trending na mmeipata sawa
@elizabethbwakila3982
@elizabethbwakila3982 Жыл бұрын
Chezea kutolewa maji weyeee😂😂😂
@حليمهح-ب4غ
@حليمهح-ب4غ Жыл бұрын
Muchezi wew Huna adabu kwaza
@marthagodwin9913
@marthagodwin9913 Жыл бұрын
Ukweli ni kwamba Diamond atafute mtu mwingine kwenye lavidav huyu Dada ni Teja wa Mapenzi
@vinnahjasson5546
@vinnahjasson5546 Жыл бұрын
😂😂😂
@cdeleo9336
@cdeleo9336 Жыл бұрын
Huyu dada ana mental illness na self esteem yake ipo so low 😯
@pendo8082
@pendo8082 Жыл бұрын
Kabisa Ana akili za kijinga sana km mtt anae tambaa
@btylove1870
@btylove1870 Жыл бұрын
100%
@Mina.15
@Mina.15 Жыл бұрын
Yup 😂😂😂 she scared to be alone.
@FirdausAbdullkarim-pz1fc
@FirdausAbdullkarim-pz1fc Жыл бұрын
Yaaan hili dada nipumbavu sana nahalijitambui
@RayaAbdalla-h2c
@RayaAbdalla-h2c Жыл бұрын
Yaani ayibu naona mm looh
@navanjkiba2439
@navanjkiba2439 Жыл бұрын
Chizi huyu bibi
@hosianaeliud243
@hosianaeliud243 Жыл бұрын
Sio ajitambui ila kashalogwa tena 😃😃😃ukiolewa na mganga utakuachaje? Yaaan apo kashalogwa tena labda tuu mwanaume Ndio aamue kutoka lakini sio diva...
@SalmaSalma-wz1xv
@SalmaSalma-wz1xv Жыл бұрын
Riki uyu ni mjinga sana ajafundwa ujuaji mwingi
@vinnahjasson5546
@vinnahjasson5546 Жыл бұрын
Yaan duh
@RandB_Channel
@RandB_Channel Жыл бұрын
Huyu dada apelekwe muhimbiri ju Hana hakili . Sasa sindo wewe uliandika baruwa mureeeeeefu ju yahuyo bwana yako . Jamani huyu alikuya hapa kujiteteya ss maisha yako hayatuhusu . 😃😃😃nacheka miye eti wamemusikiliya bwivu . Bwivu gani hawuna lolote . Ss macho yetu tu utapigwa utakuya lalamika tena tuko apa tena mda si murefu
@judithmkiramweni4137
@judithmkiramweni4137 Жыл бұрын
Ndugu ndio wavunja ndoa za watu no 1. Diva unayoyaongea nayajua vizuriii.
@aginsagins-jf4vz
@aginsagins-jf4vz Жыл бұрын
😂😂😂😂nimecheka kama mazuri leo diva umevua miwani. Onyo; ukisikia wanandoa wana ugomvi kaa kimya ukiingilia ugomvi wao utaumbuka .Tunasubiri dula makabila na Lisa
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 Жыл бұрын
Uchawi is really
@rahmarajabu2585
@rahmarajabu2585 Жыл бұрын
Ila diva Hana akili hata kidogo kwanza mi sijawahi kumuelewa anaongea sanaaa halafu Hana Cha maana
@nurdinmkwachu28
@nurdinmkwachu28 Жыл бұрын
Mwenyewe abduli Alisha sema anamto vizuri sijui umenielewa hahaha
@shangwefisima3993
@shangwefisima3993 Жыл бұрын
Nimecheka Kwa sauti
@vinnahjasson5546
@vinnahjasson5546 Жыл бұрын
Me had nimeangalia mara saba saba labda ni ya kitambo
@ZaitunMgimwa
@ZaitunMgimwa Жыл бұрын
mwenyewe ndie alietutangazia siko nae sio mume wngu tena kashfa kibao mmmh kumbe wa hovyoo kumbe alikuwa anabip
@maimunaulotu2075
@maimunaulotu2075 Жыл бұрын
Huyu dada anamapepo .......anayepajua kwa mamposaaa.......lkn mpk hapaa unajua kasa huyu dada kapenda na kuacha hawez😂😂😂😂mtu ambaye kuacha hawez lazima aongeeeee snaaaaa
@aishaibrahim5607
@aishaibrahim5607 Жыл бұрын
Uyu anampendq mwanaume kuliko mwanaume ishu uyu dd qnapenda kujifnya yeye msafi san mashavu yake ss kma mashavu yngu yachini
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 Жыл бұрын
😂😂😂 jamani
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 Жыл бұрын
Sijui nacheka nini
@ismailkan2171
@ismailkan2171 Жыл бұрын
Huyu dada anajikuta malaika kinoma yan, yy hakosei then much know sana
@marym9058
@marym9058 Жыл бұрын
Ulijidhahilisha
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 Жыл бұрын
Alijizaalikishaaa sanaaa mhhh mtihan kwa kweliii
@esthermramba9395
@esthermramba9395 Жыл бұрын
Sina maoni kwako Diva
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr Жыл бұрын
Watu wengi wana asili ya shetani ukipenda kuona ndoa au mahusiano ya watu kuvunjika wahitaji DNA na ibilisi
@bhokesaid3264
@bhokesaid3264 Жыл бұрын
Ila diva hv yupo sawa yaan huwa hanaga point kwenye kuongea
@cdeleo9336
@cdeleo9336 Жыл бұрын
Wewe ulikurupuka na hiyo ndoa na itakutesa maisha
@mozuu1260
@mozuu1260 Жыл бұрын
Sawa ndo tuombavyo mrudiane mzae na watt lakinii tunaomba video yetu nlikesha sans sikuile please video yetuuu
@antidiusegbert5562
@antidiusegbert5562 Жыл бұрын
Ukiskia how fool a person can be Ndo hichi kiumbe
@aisharajimbo6784
@aisharajimbo6784 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@sophiahmedza929
@sophiahmedza929 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@nayarichard5318
@nayarichard5318 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@thumalove1886
@thumalove1886 Жыл бұрын
Wasanii huwa watafuta kiki tuu hawana jipya mikundu yao
@julianamasunga3458
@julianamasunga3458 Жыл бұрын
Diva mawazo yangu ,,,hiyo siyo ndoa kabisa niupumbavu mtupu haki ,,,dah usirundie tena mambo yako kuyaweka pampric,nakupenda jitasimini sana sana ,iangalie family yako kwa jicho la tatu alafu waonee hurumaaa
@fatmaahmed972
@fatmaahmed972 Жыл бұрын
Kisharogwa tena
@vinnahjasson5546
@vinnahjasson5546 Жыл бұрын
​@@fatmaahmed972nimesema mie😂😂😂
BIG ANNOUNCEMENT | THE WAJESUS FAMILY
47:21
THE WAJESUS FAMILY
Рет қаралды 58 М.
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 31 МЛН
MUME WA DIVA ATOA MANENO MAZITO NASEMWA VIBAYA KULIKO MEMA YANGU ...!
5:54
危险的富贵:赵薇的难言之隐
42:49
二爷故事
Рет қаралды 1,1 МЛН
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН