NYUMBANI KWA DIVA THE BAWSE AONYESHA MAWIGI YAKE/MIWANI ZAIDI YA MIA /BAFUNI KAMA CHUMBANI

  Рет қаралды 109,736

ZamaradiTV

ZamaradiTV

9 ай бұрын

Usisahau ku"SUBSCRIBE" KZbin channel yetu kwa videos nyinginezo
#zamaraditv #mambonimengi

Пікірлер: 333
@colethamkasa5821
@colethamkasa5821 9 ай бұрын
diva kwako ni kuzuri bhana,kwa wanaoponda achen wivu,kupangilia pangilien nyie ukute wengine wapo room moja kila kitu kipo umo afu mko kuponda😀,iyo ni apartment bhana
@faidhacute
@faidhacute 9 ай бұрын
Nakupenda diva wangu❤❤❤❤ mdhungu yaan diva ni mimi kabsa i love it❤❤
@mkasihamad7225
@mkasihamad7225 8 ай бұрын
Yani comment nyingi ni za makasiriko 😂😂😂😂si mtafute pesa jamani kaah❤❤❤ati nyumba ya kawaida. Wee uko nayo😂😂😂😂😂😂
@vero57
@vero57 9 ай бұрын
Miwani ya jua mpaka ndani ya nyumba khaaa!! We dada wee!!!😂😂
@estermahenge-ks3dr
@estermahenge-ks3dr 9 ай бұрын
ana haibu sana kwaiyo ana jifichia miwani😂
@mweshaosako2011
@mweshaosako2011 9 ай бұрын
The end of this interview is the best of the year. He summarized the whole relationship struggles, we are treating each other according to our past traumas, and fear which is not okay and uncontrollable. In fact everyone is playing defensive. Anaensikiliza anajifunza, anae ona anatamani” this Guy is a brain. Much love to you
@sharaharith7953
@sharaharith7953 9 ай бұрын
Nahis Diva you are impressed with this man's confidence
@faidhacute
@faidhacute 9 ай бұрын
Kama una akili timamu huwezi kukoment ujinga but mutafute pesa tuache makasiriko ambayo hayatokusaidia chochote😂
@khadijaramadhani5562
@khadijaramadhani5562 9 ай бұрын
Umeona eeeh! Tutafute pesa aiseee
@zulekhasaud483
@zulekhasaud483 8 ай бұрын
Kweri kabisa
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 8 ай бұрын
😅😅😅Haswaa
@HusseinAhmada-ir6ne
@HusseinAhmada-ir6ne 7 ай бұрын
😅Vc. 😅😅'😅'c😅😊 be😅 by😊 na😊
@user-xs6vo1ur7w
@user-xs6vo1ur7w 8 ай бұрын
Hongera kwa,saleh anaweza kukiendesha kipindi
@marciawambui1965
@marciawambui1965 23 күн бұрын
This girl is funny,she loves herself. But i can tell she has a good heart. you have a beautiful home diva
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 9 ай бұрын
mume anajisikia vibaya kwa sifa za mkewe yaani anamshangaa anavojisifia
@sarahkeivaly3351
@sarahkeivaly3351 8 ай бұрын
Muacheni mdada wa watu aishi maisha yake
@user-yq4sn6cq1l
@user-yq4sn6cq1l 9 ай бұрын
Mbona mnamukera jamani muwaceni Diva na mambo yake kwanini munaroho mbaya
@yustamshana-sx8dy
@yustamshana-sx8dy 9 ай бұрын
Mhh hayo mawig sio classic 😊
@faridahalil4456
@faridahalil4456 5 ай бұрын
Naona uislam bado hajakuwa nao vizuri nashangaa mumewe hamkatazi asiwe akivaa mawigi 24-7, inambidi avae" hijab"
@Neema92
@Neema92 9 ай бұрын
Watu acheni wivu jamani ndani kwake kuzuri kajitahidi na nyie weken magheto yenu hapa kama hatujakimbiana.
@user-vv1te9fu8q
@user-vv1te9fu8q 9 ай бұрын
Hana kitu hata kimoja cha kwake hapo parm village kila kitu unak8kuta humohumo ukishindwa kodi unabeba begi lako unasepa
@Neema92
@Neema92 9 ай бұрын
@@user-vv1te9fu8q Duhh! Hatari 😂😂🏃🏃
@jasminshemsanga8727
@jasminshemsanga8727 8 ай бұрын
Tinted hd ndan kwan hy diva uwa kipofu au😮😮 miwan hd anaboah alf tabia ya kugombana kidogo na mumeo kututangazia mitandaon sio vzr unamdharirisha mwenzio alf bd mpo wote
@husnarashid7849
@husnarashid7849 9 ай бұрын
Hakuna binadam aliyekamiloka kila mtu na madhaifu yake kuna watu humu wanatukana tu sababu hawampendi ila wanakoishi kama stool yaani 😂😂😂😂😂 mimi cpendi ila anakaa pazuri acheni unafiki
@safiyanirram-pf3sv
@safiyanirram-pf3sv 9 ай бұрын
Sema kwa kawaida sana tu sema anavyo jishauwa ss maana akustui na mumewe wa wote😂😂
@rukiayasuleyman2900
@rukiayasuleyman2900 3 ай бұрын
Diva Masha Allah! Allah akuhifadhi pamoja na mume wako! Nakupenda sana❤
@ZolufaMas-ie4un
@ZolufaMas-ie4un 5 ай бұрын
WOW pazur sana hongera diva 🎉🎉
@keyla3641
@keyla3641 9 ай бұрын
Diva sasa kila unakohamia unahojiwa kaa kimya ufanye mambo yako
@user-pg3pu4jk9f
@user-pg3pu4jk9f 9 ай бұрын
Abduli hajapenda hizo sifa jamani
@nuruosward8161
@nuruosward8161 8 ай бұрын
Ndiyo lkn yeye analelewa na diva hana ata chake kitu hapo zaid ya maneno ya janja janja sema diva hapo sipo kbsaaaaaa
@sophsoph4740
@sophsoph4740 8 ай бұрын
Kbs hapend
@khamoshmikidadi618
@khamoshmikidadi618 9 ай бұрын
Icho kizungu mda wote cha nin 😏hatufaham😅 eti napenda kupika lkn kwny friza hamna kitu😅😅😅
@user-qs7lj7kj1k
@user-qs7lj7kj1k 9 ай бұрын
Diva akigombana na muganga wake wanahama nyumba ingine🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂mbona mawigi😂😂😂sasa 2023 bado wamama watu wazima wanaringia mawigi😂😂😂😂😂
@cyahmkanile8587
@cyahmkanile8587 8 ай бұрын
For real can inspire sana❤
@bintqassimidarous1636
@bintqassimidarous1636 9 ай бұрын
Ulivo huna adabu na ndoa ukigombana na mumeo unakimbilia mitandaoni kumchafua mumeo kwa sifa chafu hata kama anamakosa hupaswi kuja mitandaoni kumchafua wakati hujiwezi kwa uyo bwana huwezi kukaa nae mbali kwanini umchafue mumeo mpuuzi wee huna lolote kazi kujisifu tu maisha
@flackomasterbaddest4155
@flackomasterbaddest4155 9 ай бұрын
Olewa na ww
@sharifabahar9905
@sharifabahar9905 9 ай бұрын
​@@flackomasterbaddest4155😂😂😂😂😂😂 wabongo kwani majibu uwa mnakuwa nakitabu
@chany9950
@chany9950 9 ай бұрын
Safi👍🏽👍🏽👍🏽👍🏽👊🏾👊🏾👊🏾👊🏾
@Daniella249
@Daniella249 9 ай бұрын
Mm mwnywe nashangaa kumbe wako pamoja xx mdomo ule wote ulikua wann Ila wanawake Sisi 😂😂
@sakinaomary7207
@sakinaomary7207 9 ай бұрын
ile ilikuwa kiki
@estermahenge-ks3dr
@estermahenge-ks3dr 9 ай бұрын
ila diva kiboko😂😂😂😂😂😂🙌🏻tambo nyingi
@bintqassimidarous1636
@bintqassimidarous1636 9 ай бұрын
Vioo vya Balkon pia vichafuuuu sijui usafi gani unazungumzia unapenda uonekane unamaisha mazuri hunaga kazi kujikweza tu unapenda sifaaa
@ramlaramadhan4206
@ramlaramadhan4206 8 ай бұрын
Mtangazaji hta hpti kzi kubwa yakuulza, diva ywajbu yote bila kuulzw... Its like she waited patiently for this interview au ye ndo altka awe interviewed?! 😊
@salhawaziri1668
@salhawaziri1668 9 ай бұрын
Huyu ni too materialistic yan kila Saa when we moved out when we moved out vitu vingi vimearibika khaaa mfuniko an kisoda Mume na mke wote wehu
@AdoAshu80
@AdoAshu80 9 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@patriciapastory324
@patriciapastory324 8 ай бұрын
😂😂😂😂 this made me laugh so hard
@queenandchill91
@queenandchill91 9 ай бұрын
Nyumba kama pamepigwa bomu 💣
@Official83640
@Official83640 9 ай бұрын
Huyu ana ubalozi wakutangaza apartment za watu eeh sijui yy atajenga lini ili azidi kuringa maana hajiamini ht uso wake kutwa miwani km mchomea mageti
@user-qs7lj7kj1k
@user-qs7lj7kj1k 9 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@yusraramadhan8203
@yusraramadhan8203 9 ай бұрын
Beautiful!😊
@HappyAlex-ei6vz
@HappyAlex-ei6vz 5 ай бұрын
Dada hongera umejipata😊😊🎉
@aminakasim1198
@aminakasim1198 9 ай бұрын
Wiki vyombo vipome zani😢aibu
@user-wh4xi2yi3w
@user-wh4xi2yi3w 8 ай бұрын
Mungu akutunze diva
@latifahkarim9774
@latifahkarim9774 9 ай бұрын
Salehe kakuta wenyeji washakula
@AdoAshu80
@AdoAshu80 9 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@msafirlaizer2368
@msafirlaizer2368 9 ай бұрын
Huyu mzee Abdul ni Sheikh tu kwenye Camera, behind the scenes ni Mfirahuni.. Ooooh my goodness 😢 #FreeDivasMind 🌟
@user-up1tb7sj2f
@user-up1tb7sj2f 8 ай бұрын
Unamaanisha nn😮😮😮
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 7 ай бұрын
Umeshawahi kufiraini naeee au
@Teddy_jones
@Teddy_jones 7 ай бұрын
Sjuw kwa nn wanampaka make up ya njano jmn make up zinaharibu sana şura see her face having rashes naturally is very cute tho
@MalangaMartin
@MalangaMartin 4 күн бұрын
Good diva ♥️
@user-vv1te9fu8q
@user-vv1te9fu8q 9 ай бұрын
Minywele mpaka ndani miwani mbona hauko comfotable na mijakert mwanamke ndani vaa dira mwili uwe mwepesi umejijaza mikorokoro kibao
@Zainab_salat
@Zainab_salat 6 ай бұрын
Hata mume akivunua dira mara moja😂😂😂😂😂anagusa
@user-sv3jd8in7o
@user-sv3jd8in7o 9 ай бұрын
Miguuu jmn si nyweusi 😂 au
@yustamshana-sx8dy
@yustamshana-sx8dy 9 ай бұрын
Miwani kama James Bond!
@lightnessabdallah2340
@lightnessabdallah2340 9 ай бұрын
😂😂😂😂
@omytifa6403
@omytifa6403 9 ай бұрын
Shekh Abdul kasinywaa
@user-fy9pw2zr8l
@user-fy9pw2zr8l 9 ай бұрын
eti miwani jamani 😂😂😂😂 njo mali zake ama sijui wengine wanawake jamani
@RahmaAwadh-ul9yu
@RahmaAwadh-ul9yu 9 ай бұрын
Mradi wanapendana ,Wana enjoy maisha yao basi tuwaombee wakae pamoja wafike mbali,Nawapenda jamani
@chidymsaficlassic_tz2593
@chidymsaficlassic_tz2593 7 ай бұрын
Abdul kaongea point sana nimependa
@faridapandu7579
@faridapandu7579 6 ай бұрын
Sasa huyu salehe yeye Hana kwake😂😂😂 hatuoneshi kwake
@nasrinasra5472
@nasrinasra5472 5 ай бұрын
Tumewaza wotee😅😅
@user-hn8un5fz2n
@user-hn8un5fz2n 8 күн бұрын
Yeye zamu yake ifike
@user-ct3ty7xk5z
@user-ct3ty7xk5z 4 ай бұрын
Uwalete waingizaji hawa grace mapunda, (odama Jennifer kiyaka,welu sengo,Mimi mars,JB,getruda mwita,riyama ally,Irene paul,mayasa mrisho,ray kigosi,Stanley msungu,hemedy,Luka wa jua Kali, nitafurah sana nikiwaona hawa
@maryandason1815
@maryandason1815 9 ай бұрын
Aisee at isha mashauz ajamfikiaa kwa mashauz hyoo mwingerezaa ingekuwa kwa mashauz hayo unaingia mbingun dada ungeshika no moja 😂😂😂punguza bas kujifnya muingereza
@user-vv1te9fu8q
@user-vv1te9fu8q 9 ай бұрын
Kafumaniwa kakutwa na mivyombo kibao hata kusafisha meza kashindwa mtu kaondoka ana siku nne sijui tano mivyombo ipo juu ya meza ya kulia na uache uongo kupika hujui tena ulisema mwenyewe usijisahaulishe
@vinnahjasson5546
@vinnahjasson5546 8 ай бұрын
Kasema anapenda kupika
@Onlyserialsaga
@Onlyserialsaga 8 ай бұрын
😂😂😂😂ila diva Ila nampenda ivyoivyo😂😂😂😁
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 8 ай бұрын
Mashallah ila Sofa zijazipenda 😜😜😜😜kama. Magoxi 😅😅
@ummySheikh72
@ummySheikh72 9 ай бұрын
Hana Raha. Mumewe unamuona anajilazimisha tu mambo ya ma show off
@aminakawawa5800
@aminakawawa5800 6 ай бұрын
Diva msafi mashallah
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 8 ай бұрын
Miwani ya jua mpka ndani jamani.😂😂😂 Miwani yenyewe kama wachomelea mageti.
@hannansaidahmed1943
@hannansaidahmed1943 9 ай бұрын
Hujui kupangilia nyumba bado makorokoro yamejaa mezani pangilia vizur
@zabubamudy126
@zabubamudy126 9 ай бұрын
mhh kuwa mpole
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 9 ай бұрын
Umaskini ndio unao waua mapema.tafuteni pesa jamani mfano mimi hapa naangalia for fun siwezi ponda chochote nina kila kitu maishani watu maskini kazi sana
@AtufenaValentino
@AtufenaValentino 6 күн бұрын
kukwambia alikua n wageni
@victoriamuyanzi3862
@victoriamuyanzi3862 8 ай бұрын
Kila saa ooh vitu vilharbika wen we were moving out...nini bana ww😂😂
@aminamwinyi7927
@aminamwinyi7927 6 ай бұрын
😂😂😂
@mariamibrahim6738
@mariamibrahim6738 8 ай бұрын
Napenda mnavyo ishii ila diva uwe npikia mumeo dda
@GloriaMillinga
@GloriaMillinga 7 ай бұрын
Apartment hiyo kila kitu unakuta ndani😂😂 ukitaka kuhama unatoka na mabegi yako tu
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 9 ай бұрын
Tuliozoea kuangalia majumba ya waarabu hapo kwa diva tunaona kama stoo, tunashangaa akijisifia halafu nyumba ya kupanga
@chaucassim4123
@chaucassim4123 8 ай бұрын
Yani. We acha. Yani Ana taka taka. Sisi. Tunaofanya. Kazi Oman. Tunaonana. Anatuchefua. Tu Bora ata angejenga
@venusbby
@venusbby 8 ай бұрын
Sasa majumba ya waarabu si yatuwashe’ni?
@FatmaMwinyi-jt2rr
@FatmaMwinyi-jt2rr 8 ай бұрын
Watanzania bhana kwakuwasifia mataifa mengine yetu yanatushinda muache amsifie achokuwa nacho unataka afake au
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 8 ай бұрын
@@FatmaMwinyi-jt2rr hatutaki majigambo
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 8 ай бұрын
Kiukweli pazuri atakama kapanga then mabye anajenga kidogo kidogo nyumba ya maana wengine hawawezi kukaa uswazi atakam wanajenga
@lovenessoscar4102
@lovenessoscar4102 9 ай бұрын
Hamna wigi ya maana hapo hata moja😂😂😂😂😂😂
@dork8749
@dork8749 8 ай бұрын
Kawaida sana yani
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 8 ай бұрын
Halafu diva wala haringi sana yupo kawaida tu me naona mchesh
@victoriarichard8761
@victoriarichard8761 5 ай бұрын
Haringi ila sema ana uhaya mwingi hata kama kitu hajaulizwa anajieleza sana kama kujihami vile
@SululuZungu-kx8ws
@SululuZungu-kx8ws 6 ай бұрын
Sasa kingeredha chann mawani za nn daa alf umeolew na mislmu hiv mpo serias au 🤔
@NanaNana-oe5ft
@NanaNana-oe5ft 9 ай бұрын
Sasa uyu diva nikipofu sijawahi kuona Hana miwani hata nyumban miwani
@fatumamohamed2229
@fatumamohamed2229 9 ай бұрын
😂😂😂😂 miwani ya jua ndani au mi sijaelewa?
@kautharsalat6449
@kautharsalat6449 9 ай бұрын
Huyu dada alisema mume wangu anapenda wanawake mbona leo yuko naye 😂😂😂😂
@user-ky9dp3hm6v
@user-ky9dp3hm6v 8 ай бұрын
Me nashangaa kwanza cwaliachanaga na mumewe anapenda majimama
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 7 ай бұрын
Chezeaa aya za Allah ww
@thelyrics5165
@thelyrics5165 9 ай бұрын
achen wivu mbona kaongea vizur t
@bennamush4616
@bennamush4616 7 ай бұрын
Jiamini dada miwani ya mpaka nyumban
@user-ky7mz7qh1o
@user-ky7mz7qh1o 5 ай бұрын
Jamaaa tapeli diva analipa kodi
@aishamuly466
@aishamuly466 7 ай бұрын
Tanga tujuaneeee ❤❤😂😂
@lulugora2712
@lulugora2712 9 ай бұрын
Allah akusaidie upone unachougua it's sad
@BerthaModest
@BerthaModest 9 ай бұрын
😅😅afya ya akil sio
@jesterfredrick9497
@jesterfredrick9497 9 ай бұрын
​@@BerthaModest😂😂😂😂😂😂😂😂
@MuniraShughuli-kc7vj
@MuniraShughuli-kc7vj 9 ай бұрын
Janaba halitoki mwilini ww mwehu unasuka Rasta Astaghafirullah mke WA Sheikh duh🤔mambo gani haya Allah awaongozee
@ukuvukiland2387
@ukuvukiland2387 9 ай бұрын
Mtoe sadaka jamani hata kama hamuamini mungu ...msiishie majivuno,ungekua na mtoto wewe demu sijui ingekuaje lakini Sisi wanaume wenye malezi ya kweli kwa watoto hatudekezi watoto,kwa sababu ya maisha ya baadaye tunapenda watoto wajue ups and down,hata ukiwaachia Mali watazitunza..
@sabihasalim942
@sabihasalim942 9 ай бұрын
Sio kupenda kwake kutokuwa na watoto it's Allah plan....shida iko wapi.
@saumbliz8983
@saumbliz8983 6 ай бұрын
Sasa Kuna binadamu asie amini mungu
@AmusedAstronomicalModel-lq3yu
@AmusedAstronomicalModel-lq3yu 6 ай бұрын
Kafanana na marehemu Defao
@chany9950
@chany9950 9 ай бұрын
Bio vichafuuuu toka
@user-qm9np2uf9m
@user-qm9np2uf9m 6 ай бұрын
Hasara kitanda chamumeo unawaeka watangazaji
@user-oj9ek2qj3x
@user-oj9ek2qj3x 7 ай бұрын
Kuswaliii n rastaa jamaniiiii😮😮😮😮
@user-vv1te9fu8q
@user-vv1te9fu8q 9 ай бұрын
Mwanamme hajapenda kabisa
@SarahKussa-rv5rc
@SarahKussa-rv5rc 9 ай бұрын
Kumbe hata ww umeona nikajua mimi tu
@user-vv1te9fu8q
@user-vv1te9fu8q 8 ай бұрын
@@SarahKussa-rv5rc ujue nini huyu mwanamme anaona vile vitu vyote anavyoongea mke wake pale ni vya uongo ndio mana anaona haya anatamani amwambie huyo muandishi aondoke lkn anashindwa
@SarahKussa-rv5rc
@SarahKussa-rv5rc 8 ай бұрын
Kweli kabisa
@SarahKussa-rv5rc
@SarahKussa-rv5rc 8 ай бұрын
@@user-vv1te9fu8q kweli kabisa ndio waache kuoa wanawake wa mitandaoni
@FatumaSalimu-pn4vo
@FatumaSalimu-pn4vo 8 ай бұрын
Yani mm nikioana gana hivi nakuwa nahasla sana yakutafuta pesa napenda sana maisha haya jamani
@saidtembele3070
@saidtembele3070 7 ай бұрын
Allah akutilie wepesi na yawe ya kheri kwako wakati mwingine Allah hatupi tunachomuomba kwa kutuepusha na shari fulani
@husnamusa3178
@husnamusa3178 7 ай бұрын
Huyu nae anakera mamiwani hadi ndani ya nn sasa ndo mn mange anakuchamba sana hlf kingereza kiiiiingiii
@bennamush4616
@bennamush4616 7 ай бұрын
Hajiamini mamiwani mpaka nyumban masweta ya kofia na upo ndan way
@davinaheven4794
@davinaheven4794 9 ай бұрын
Yaani mashauzi yoote kaishia kwa Mganga.
@maryandason1815
@maryandason1815 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@angelalyimo2862
@angelalyimo2862 8 ай бұрын
Mashauzi tupu
@perpetuamagesa2305
@perpetuamagesa2305 8 ай бұрын
wew shehe acha kulelew bwege wew auna ela ya kulipa kodi apo wew tafta ela kenge wew
@kingkendrickk
@kingkendrickk 2 ай бұрын
Aisee
@felisterben6716
@felisterben6716 9 ай бұрын
Kila kitu kinatoka nje jaman hahahaha
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 2 ай бұрын
Ndio maana unanenepa kula Malwettbewerb kake
@user-vv1te9fu8q
@user-vv1te9fu8q 9 ай бұрын
Kitanda kiko vuru 😂😂😂😂 daah majigambo yote yale
@jenestermerchades9111
@jenestermerchades9111 8 ай бұрын
Huku kwetu zara og elfu 40 mnapunjwaga kwa nini?😅
@rahmaomaryomary-md5ck
@rahmaomaryomary-md5ck 5 ай бұрын
Diva mama tulosomea magongomoka unatupoteza 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 9 ай бұрын
Wig je unaweza kupaka
@iyabakar3612
@iyabakar3612 7 ай бұрын
Kwann shekheee abdul asimfundikisheee wifiii diniii km yeye
@nancyg8664
@nancyg8664 8 ай бұрын
Anapenda usafi wakati likioo la jikoni lichafu🤣🤣🤣
@deboramakala3044
@deboramakala3044 9 ай бұрын
😂😂 hapo kwenye viatu Diva anamjuua Jimmy choo kweli''
@deboramakala3044
@deboramakala3044 9 ай бұрын
Eti expensive 😊
@Sarah-tq2vc
@Sarah-tq2vc 7 ай бұрын
Jaman daa miwan had ndani
@lildraco_k8977
@lildraco_k8977 9 ай бұрын
Diva ni macho magenge
@RayaAmeir
@RayaAmeir 6 ай бұрын
Diva anafunzwa mambo ya pwani na mumewe
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 8 ай бұрын
Kwa status yake wala sio mbaya anaendana na anapoishi wala sio mbaya kwake pazuri tu
@user-vx1cz3rc2u
@user-vx1cz3rc2u 5 ай бұрын
Duuuh anajielezea mwenyew an kabla mwandsh ajamaliza
@HusnaMuhammed-yx8nl
@HusnaMuhammed-yx8nl 8 ай бұрын
Mwanaume Hataki kabisa
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 36 МЛН
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 33 МЛН
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 165 МЛН
BEHIND The GRAM (MOM & DAUGHTER) Ep 1| kajala amlilia paula kuhusu Harmonize|
3:51
Feysal Daudi Films. 457k views.5hrs
Рет қаралды 14 М.
Jua kali leo Jumapili Full HD
19:27
Tamthilia Kali
Рет қаралды 8 М.
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
0:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 4,8 МЛН
我说我不是故意的,你们信吗
0:25
侠客红尘
Рет қаралды 26 МЛН
Они не знали, почему он так поступил, пока
0:39
GiGaMoN! 5 🗿 #gigachad #sigma
0:53
The Logan Chitwood
Рет қаралды 7 МЛН
Приятного аппетита 🤣
0:15
Dragon Нургелды 🐉
Рет қаралды 9 МЛН
бим бам бум💥💥 типа..
0:18
Ma1x1
Рет қаралды 2,5 МЛН