RIIPOTI YA LEO AMANDA VOLUME 08

  Рет қаралды 8,791

SHARE & HEAL

SHARE & HEAL

Жыл бұрын

Mwanafamilia wa veronicasimulizi.com, tunaendelea simulizi ya Amanda na tayari tumeshakuwekea kwenye veronicasimulizi.com, furahia kuifuatilia simulizi hii yenye mafundisho ya kutosha ukiwa popote pale kwa muda wowote. Karibu sana wewe mwanafamilia mpya, ni rahisi sana kujiunga na Veronica Simulizi Community kwa kubonyeza hapa veronicasimulizi.com itakupeleka moja kwa moja kwenye hatua za kujiunga. Asant

Пікірлер: 15
@JANUARYRMSUYA
@JANUARYRMSUYA 8 ай бұрын
Hii kesi haikuhitaji hata mganga kushinda , kwanza hakuna kesi ya mke kumuibia mume
@user-pk4gc9vb2g
@user-pk4gc9vb2g Жыл бұрын
Pole sn amanda mamaaa mungu yuko pamoja nawe
@carolinetalam5832
@carolinetalam5832 Жыл бұрын
Nahisi kwamba, huyo kijana mpangaji ni mpelelezi na ako on a mission, tuned 🇰🇪
@samwelimoshi5614
@samwelimoshi5614 Жыл бұрын
Ampeleze nn
@zainaburamadhani7495
@zainaburamadhani7495 Жыл бұрын
Pole Amanda uyo mpangaji sio mtu mzuri
@MightyLumber
@MightyLumber Жыл бұрын
Usikute huyu kijana ndiyo yule mume wa Amanda kaja kivingine kummaliza Amanda.
@sultanaswaleh7813
@sultanaswaleh7813 Жыл бұрын
Shukran
@yustoyona857
@yustoyona857 Жыл бұрын
Naona hakuna muda ulioongezeka zaidi ya matangazo na salamu🤣🤣
@jacklinemasanja5246
@jacklinemasanja5246 Жыл бұрын
​@@Shareandheal bora uwe unaangalia tuu coment aisee matangazo ni meng dadavero
@YuzoYuzo-yi4zj
@YuzoYuzo-yi4zj Жыл бұрын
Jaman amanda pole sana
@rahemarahma1256
@rahemarahma1256 Жыл бұрын
Hiyo kijana Kuna jambo Ako nalo
@bahatigeorge6155
@bahatigeorge6155 Жыл бұрын
Amanda mkasa mtamu san ngoja tuone mwisho wake ni nin
@janethkomba4485
@janethkomba4485 Жыл бұрын
mbona wewe Unachelewa kulusha ,yani nimeisubil mpka saa saa5 sijaona,nastuka saa10 hi ndonaikuta, yule mwingine mbona anawahi kurusha je inakuwaje hapo??japo story nimoja,hira rusha kwawakati binafsi nishazoea hapa kwako,nasio kungine
@jacklinemasanja5246
@jacklinemasanja5246 Жыл бұрын
Hata mimi zinanichanganya ila saivi nimeshajua za dada vero zina picha yake apo chini ila yule mwingine imeandikwa simuliz plus yule ni mwizi tuu wa story anaonekan😢
@janethkomba4485
@janethkomba4485 Жыл бұрын
@@jacklinemasanja5246 Naanawai uyooo kuriko Vero,sijajuwa inakuwaje anaaza uyo kurusha,unakaa weeeeee ndoanarusha Vero
RIPOTI YA LEO  AMANDA VOLUME 09
30:19
SHARE & HEAL
Рет қаралды 10 М.
RIPOTI YA  LEO  AMANDA VOLUME 10
32:51
SHARE & HEAL
Рет қаралды 12 М.
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 124 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 19 МЛН
Gym belt !! 😂😂  @kauermtt
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 16 МЛН
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 52 МЛН
Nightmare by Malcolm X | Malayalam explanation and Short summary |
13:48
Hotel Check-Out / Departure | HRAB1 PT4
5:27
Joyce Umandap
Рет қаралды 10 М.
Richard volume 01
25:36
SHARE & HEAL
Рет қаралды 14 М.
Ripoti ya leo Dar-Mwanza Sehemu ya  2 #simulizi #ripotiyaleo
13:21
Fahamu Plus
Рет қаралды 4,5 М.
Lecture 18 - Mahasweta Devi's Pterodactyl (I)
32:08
Postcolonial Literature
Рет қаралды 24 М.
RIPOTI YA LEO (MICHAEL SEHEMU YA 08)
27:22
Fahamu Plus
Рет қаралды 10 М.
RIPOTI YA LEO  RADHIA VOLUME 05
37:37
SHARE & HEAL
Рет қаралды 13 М.
Lecture 7 : Learning
15:56
Brief introduction to Psychology
Рет қаралды 10 М.
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 124 МЛН