Dada Vero hii story Ni nzuri na mpe pole hiyo Agatha
@zahrazahramchoma3455 Жыл бұрын
Navojua mmi kwa iimani yetu Allah kaumba Majin na watu ili wamuabudu yye2 nawala wasimshirikishe yye na chochote hivo hata majini lengo la kuumbw nihilo kma ambavyo ss tumeumbw kwa Leng hlo wema wapo na waish Ktk maisha yao na Wala hawaingilian na ss wanaish kivyao wanaabudu kma tuabudivyo ssi wanasoma nk na wamekatazw wao kuja kweny himaya zetu so watiifu wapo wanaish hvo Ila wale waovu ndoambao wanakuja kuwaingia watu miilini na kuwateza kimaraz nk unakuta mtu ameingiw na shetan akajiny kumuamlish mema Ila huyu si mwema maan wamekatazw kufaingia watu miilin kwahyo Majin hili ndo jina Lao Ila mashetwan niwale waovu wamechup mipaka had wakaitw mashetan kwahyo sio kila Jini Ni shetan ndoman hata ssi binadam Kuna watu wanamatendo ya ushetan na tunawaita hivo soz wanavuka mipaka ya Allah na malengo yawao kuumbwa kwahy kila kiumbe hapa dunian ameumbw Kwaajir ya kuabudu2 uovu Ni juu yetu wenyew si lengo lakuumbwa kwetu Tumeumbw kwa udongo wameumbw kwa Moto Ila majini sifa yao yakimaumbile niwaoga Ila ssi hatujui tu kwavile wale wamepewa uwezo wakufany vile tusivyoweza kufanya Allah ndomjuzi zaidi
@imanibakari7878 Жыл бұрын
Acha uongo wewe majini ni waasi Kama alivyo shetani na kuusu uumbaji lusifa yeye ndio aliumbwa kwa Moto na binafamu kwa udongo viumbe vingine Mungu alitamka tu vikawepo Kama vile miti wanyama na dizaini ya wadudu wote watambaao na waenda kwa miguu vyote vilitamkwa tu..usidanganye umma kwa elimu yako potovu
@foncetec Жыл бұрын
Majini ni malaika walio asi kwahiyo wasikurubuni kuwa kunawema na wabaya wale wanaupeo mkubwa wa kuweza kurubuni kwakuwa wanahitaji sana kumpoteza mwanadamu basi wanacheza mchezo kwamba wengine wajifanye wabaya na wengine wajifanye wanakuja kukutetea ila wote lao moja
@babdulla3779 Жыл бұрын
@@imanibakari7878 Kwani kuna sehemu umelazimishw uamini anachosema mwnzko
@afyatv1665 Жыл бұрын
Simulizi hii inatufunza kuwa majini wapo na baadhi ya watu wana elimu ya kuyatumia kwa faida na manufaa yao lakini wakifa ndugu zao wanaanza kuteswa na majini waliyoyaacha. Kumbuka baba wa Agatha alikuwa akiongea na jini lake na akilieleza kuwa Agatha bado mdogo. Jini likamuua baada ya kukataliwa kumuoa bintie. Lakini jini mwiishowe lilitimiza azma yake.
@naimamohamed3732 Жыл бұрын
Mamii,hilo kanisa ni lipi jmn wengine tunahitaji msaada wa kiroho🙏
@foncetec Жыл бұрын
Nimejisikia huruma ila naamini Mungu atakutana na wewe usikate tamaa endelea kuonyesha nia ndani ya moyo wako
@rejobu9723 Жыл бұрын
Veronica punguza maelezo bana
@crownprince399 Жыл бұрын
Unachelewa sana Vero 😥😥😥😥
@lazaronickson543 Жыл бұрын
umetishaaa veronica😂
@carolinetalam5832 Жыл бұрын
Mume wa Agatha eti sio kiumbe mubaya but yeye huyo kiumbe ndiye aliye muua muuza genge, imekua good ending to Agatha story mzuri sana tuned 🇰🇪 🇰🇪
@rosenanyaro319 Жыл бұрын
Da Vero kama uto jali nipaye mswasilino na Agatha please please
@rosemarykaige6886 Жыл бұрын
Yan story nzur ila huku dodoma jaman mtukumbuke mda mwingine hatuna bando inatupita
@keithnicholas4667 Жыл бұрын
love the timing………
@andresmalegesi3654 Жыл бұрын
Hv huyo alomwambiaa avuke barabara ni malaikaa au 🤔
@leoniadomnick3269 Жыл бұрын
Me mwenyewe nimehisi hivyo☺️
@jedidahbintidaudi8241 Жыл бұрын
Nahisi hata mie Andres huenda labda. ngoja tuskie atasema nani. Au Yesu Mwenyewe
@foncetec Жыл бұрын
Ndio, malaika huvaa miili na Majini pia huvaa miili kwenye kutekeleza majukumu ya duniani
@monicambuva529 Жыл бұрын
Naomba kujua mdog wake Agatha yule aliyekuwa anafanya kazi sheli ya mafuta alienda wapi?