RIPOTI YA LEO FRANK VOLUME 14

  Рет қаралды 10,217

SHARE & HEAL

SHARE & HEAL

Күн бұрын

Пікірлер: 72
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 9 ай бұрын
Kaka fank kuna majanamke yna nuksi ukiwainguza ktk maisha yk yna chafuwa kila kitu mm nakusahur uyo mwnamke achana nae
@satwanthoogan6429
@satwanthoogan6429 Жыл бұрын
Safi Sanaaa Frank!👍🏻Umechukuwa uamuzi mzuri Sanaaaaa....Umenifurahisha Kweli!❤😉
@wanzigyamusa9885
@wanzigyamusa9885 Жыл бұрын
Hiyo nzuri kwa huo msimamo ila hongera Sana kwa kuwa na uvumilivu kwa mapito yako
@fatumakyengya45
@fatumakyengya45 8 ай бұрын
Simulizi inamafunzo makubwa sanaaa hiii
@priscasanga8244
@priscasanga8244 Жыл бұрын
Pole san frank,maisha hayakamiliki bila mtu kupitia changamoto hayo ndiyo yanaitwa maisha na watu bt hongera san san kwa ushindi Mungu ni mwema kakaaangu
@innocentjoachim1747
@innocentjoachim1747 Жыл бұрын
Ila haya maisha ya mume na mke nintatizooo🤭 hasa karne hii Mungu tusaidie 😥😥😥
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 Жыл бұрын
yaani shetani mjanja mno..ameingia kiakili kweli kwenye ndoa hii jmni..kweli jmni Mungu Utukumbuke. sasa dada wa watu kapoteza ndoa halafu ndoa nzima imevurugwa na kitu kinachoonekana kama malaika kumbe mwee jmni. kusudi la Mungu tena sijui limeenda wapi jamni dada anaimba kweli sasa sauti inayomtukuza Mungu ikazimwa shetani kwake mission accomplished. shindwa Ibillisi wewe
@nolimittvonline6822
@nolimittvonline6822 Жыл бұрын
Frenk umeamua vizul sanaaaa 🔥🔥🔥🔥 muache aone joto ya jiwe maisha hyaa
@francisthomas6406
@francisthomas6406 Жыл бұрын
Tunaweza sifia simuriz nzuri sana tena sana lakini vp kama angesimuria mtu mwingine mm naamin isinge noga kama ya Dada veronika
@mariamjackobo6219
@mariamjackobo6219 Жыл бұрын
Jamani frank waooo huo ndiyo uwanaume unaosikia safi sana ungemzabua hata kofi la uso, huyo Dada ni ajenti washetani akome kabisa huyo pepo ashindwe.
@carolinetalam5832
@carolinetalam5832 Жыл бұрын
Usimdharau mtu kwani hujui kesho yake tuned 254
@angelmpeli2784
@angelmpeli2784 Жыл бұрын
Frank ume onyesha ushujaa hongera sana ume nigundisha kitu kikubwa sana kwenye ndoa yangu 🙏barikiwa Sasa dada Veronica Kwa simulizi una tufungua sana ktk maisha yetu
@fallymetoo191
@fallymetoo191 Жыл бұрын
Yees! I'm no.1 thanks Sis.Vero kwa muendelezo 🙏🏻
@glorysaimon347
@glorysaimon347 Жыл бұрын
Franc Mimi wallah naenda kumwambia mama umeenda kuonana na huyo mwanamke🤣
@ftimaramadan4748
@ftimaramadan4748 Жыл бұрын
😀😀😀 wacha roho mbya utamuuwa mama ujutie
@merrythadeo5318
@merrythadeo5318 Жыл бұрын
🤣🤣🤣acha umbea
@reginaedward4645
@reginaedward4645 Жыл бұрын
😀
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 9 ай бұрын
Kaka fank usifikili kila mrokole ndo binty katulia yn hao ndo washenzi vibaya mno wnaliwa na hao hao baba wachungaji na niwajeuri vibaya mno
@dafrosamsonge2007
@dafrosamsonge2007 Жыл бұрын
Dada Hana hofu na Mungu alijiona yeye ndo yeye Hana ata kauli za kuomba msamaha eti hujanimisss pumbavu kbs, hawa wachache. Ndo wanatuponza wadada wote tuonekane wabaya
@miriamisrael8408
@miriamisrael8408 10 ай бұрын
Frank njo t kwangu mnyakyusa😅 achna n hao wana kondoo nmsikiliz mchgk kulko mume
@sophiebanga9533
@sophiebanga9533 Жыл бұрын
Well done Frank doe your decision
@ireneherman76
@ireneherman76 Жыл бұрын
Frank onger sna Usirud nyuma Uyo shetan ndo mwenyew hakun mwingin Ukoo Mungu akuongoze
@samludo5435
@samludo5435 Жыл бұрын
Kuna mda wanawake hawaelewekag nn wanataka unaeza mwonyesha love ya maana lakn akakuona kama jambaz! afu akatokea jambaz na tapel wa mapenz yey ndo akamuona dhahabu uyo. Akshaumizwa ndo anakukumbuka shuka wakat kumeshakucha.
@Deedlr4767
@Deedlr4767 Жыл бұрын
Ata wanaume
@ireneherman76
@ireneherman76 Жыл бұрын
😂😂😂🙌
@samludo5435
@samludo5435 Жыл бұрын
@@Deedlr4767 sis kupenda ni mala chache sna mala nyngi tunataman ila tukikamatka aaaa huwa tunapendaa haswaaaaa ukpata bahat ya kupendwa na mwanaume ata kama yuko normally kmaisha we pendeka utakuja nishukuru badae.
@samludo5435
@samludo5435 Жыл бұрын
@@ireneherman76 hahaha ha anachekaaaaaa etyiii! Kachekaaaaaaaa!
@mariumpeter6147
@mariumpeter6147 Жыл бұрын
Hata nyie kuna baadhi yenu huwa hawajui wanataka nini
@neemaneema9969
@neemaneema9969 Жыл бұрын
Pole Frank kwa Changamoto ulizopitia na Hongera kwa Ushindi
@runigangwamizungo7647
@runigangwamizungo7647 Жыл бұрын
Wanawake wengi wa siku hizi ni pasua kichwa
@aminanasoro4778
@aminanasoro4778 Жыл бұрын
Hy mwananke Ana gundu kwa ruga nyingine an mkoc Ila hajijui,kaka yng Frank ucmkaribishe Tena Hy shetan ktk maisha yk na nakusih endelea kum2mikia mung ktk hlhl kanisa lako na mckilize sana mama yk na Hy mtumish wk kwn wao wanamcha kwel mung
@zumajacobo9048
@zumajacobo9048 Жыл бұрын
Uyo mwanamke afai kabisa kondoo aliye jivifasha ngozi ya chui
@samludo5435
@samludo5435 Жыл бұрын
Kama atamsamehe uyoo mniiite nyau mekaaa paleee....
@ireneherman76
@ireneherman76 Жыл бұрын
😂😂😂🙌
@pricillahningah5582
@pricillahningah5582 Жыл бұрын
😂😂😂😂🤭
@mlisa_jonsoni
@mlisa_jonsoni Жыл бұрын
Unatuelimisha Sana dada @velonika Katika Maisha yetu pamoja na family zetu🙏
@zilipaerasto3276
@zilipaerasto3276 Жыл бұрын
Dah! Hat km me ni mwanamke Kwa maisha ya frank nisingempa hata sekunde ya kumsikiliza
@jovithasosthenes3745
@jovithasosthenes3745 Жыл бұрын
Ndomana watu wanaamn bora umchukue Malaya umrekebshe uoe kuliko kuoa mwanamke wa kanisani au kijijin
@neemamalaki8512
@neemamalaki8512 Жыл бұрын
Yaani huyo mwanamke ni pepo.asingetakiwa kupewa nafasi hata kidogo akaendelee na mchungaji mwanamke mpumbavu huyo.
@gradnesmaiko
@gradnesmaiko Жыл бұрын
Aswaa aenderehe na huyo mchungaji feki
@pendojohnson8470
@pendojohnson8470 Жыл бұрын
Never ever ... Umenikosha frank
@aysherbuhet3875
@aysherbuhet3875 Жыл бұрын
Huyo dada ndo alikua na nyota mbaya kwenye maisha ya frank Yaan alikua na nyota mvurugo😅
@ftimaramadan4748
@ftimaramadan4748 Жыл бұрын
😀😀😀
@elizabethjackson8723
@elizabethjackson8723 Жыл бұрын
Pole sana Frank hakika hakuna marefu yasio kuna mwisho nimejifunza kitu kikubwa sana (ila dada Veronica sisi huku kwetu Dodoma hatukupati vizuri umekua ukiskilachi sana tunaomba mrekebishe mitambo huko sisi tuaumia
@YasintaGawasike-dk7uo
@YasintaGawasike-dk7uo Жыл бұрын
Hahahahahah
@babymgalula482
@babymgalula482 Жыл бұрын
Good boy 👍
@hijamwinyi3233
@hijamwinyi3233 Жыл бұрын
Huyo mwanamke asimlaumu shetani wakati yy ndo ibilisi shetani kiumbe ukimrudia tu nuksi zitaanza hana imani hana adabu pia
@vailethgodson3404
@vailethgodson3404 Жыл бұрын
Pole sana frank
@mosestenda254
@mosestenda254 Жыл бұрын
good job frank
@elicalyimo7225
@elicalyimo7225 Жыл бұрын
Mapito.kweli.kwel
@sefaniapeter1254
@sefaniapeter1254 Жыл бұрын
dada Vero bana eti kuna kifaa kipya
@mwashabanirashidimitumba7788
@mwashabanirashidimitumba7788 Жыл бұрын
Mie ndio hata sisemi maana sasaivi ndio nipo ktk kuipitia hii changamoto😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭. Utofaut yy Mwanaume mm mwanamke . Hiii kitu sikia2 story usiombe ukutane nayo maumivu yake hayaelezeki kabisaa 😭
@ftimaramadan4748
@ftimaramadan4748 Жыл бұрын
Tupoe sote maana hata mm niliji shukuria na kumuachia mungu maisha yangu ila niko poa ki pesa sasa yuwajileta naamua kupenda mama na wanangu tosha
@jeniphaisraeltz5569
@jeniphaisraeltz5569 Жыл бұрын
Jaman pole sana mamy Mungu akutie nguvu
@tunkuh661
@tunkuh661 Жыл бұрын
Pole sana kwa hilo jipe muda litapita na utasahau na kufurahia maisha tena
@araphamashaka9478
@araphamashaka9478 Жыл бұрын
Pole sanaaaaa😢 maskini usikate tamaa
@fatumakyengya45
@fatumakyengya45 8 ай бұрын
Pole
@dottomussa
@dottomussa Жыл бұрын
waaao frank umenifurahisha
@janethkomba4485
@janethkomba4485 Жыл бұрын
Manka kakosa sura ya haibu khaa 😏😏😏😏yani kwamatendo navibwege Alivyomfanyiya Frank Alikuwa sio wakurud nakupiga cm eti tuonane nataka kuongea nawe japo sekunde mhh 🙆kaza Frank kaa mbali nahilo jini kausha ❌
@freddokuckelmann8502
@freddokuckelmann8502 Жыл бұрын
Manka kazuia, ikaishia sehemu ya 14. Usicheze na Manka, ha ha ha
@francymutua7022
@francymutua7022 Жыл бұрын
Mimi najua mama mtu anaona mbali
@happinesskaaya5913
@happinesskaaya5913 Жыл бұрын
Achana na huyo mwanamke ana nuksi.
@babymgalula482
@babymgalula482 Жыл бұрын
Good boy 👍
@bettykihwelo
@bettykihwelo Жыл бұрын
Nimempenda bure Frank
@bolelambunda6554
@bolelambunda6554 Жыл бұрын
Safi sana
@vickiechannel8461
@vickiechannel8461 Жыл бұрын
Wow
@vee4296
@vee4296 Жыл бұрын
Frank ungemnasa mabao uyo shetan
@angelmpeli2784
@angelmpeli2784 Жыл бұрын
Frank 👍
@pendojohnson8470
@pendojohnson8470 Жыл бұрын
Never ever ... Umenikosha frank
@francymutua7022
@francymutua7022 Жыл бұрын
Mimi najua mama mtu anaona mbali
RIPOTI YA LEO  FRANK VOLUME 15 FNL
27:28
SHARE & HEAL
Рет қаралды 12 М.
RIPOTI YA LEO  FRANK VOLUME 05
28:18
SHARE & HEAL
Рет қаралды 10 М.
Это было очень близко...
00:10
Аришнев
Рет қаралды 3,6 МЛН
"كان عليّ أكل بقايا الطعام قبل هذا اليوم 🥹"
00:40
Holly Wolly Bow Arabic
Рет қаралды 5 МЛН
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 31 МЛН
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,9 МЛН
RIPOTI YA LEO  NAOMI VOLUME 01
26:41
SHARE & HEAL
Рет қаралды 12 М.
RIPOTI YA LEO  MUSSA VOLUME 01
42:10
SHARE & HEAL
Рет қаралды 15 М.
RIPOTI YA LEO  HAMISA VOLUME 01
29:41
SHARE & HEAL
Рет қаралды 10 М.
Veronica Frank - Deborah - 1
33:59
SHARE & HEAL
Рет қаралды 20 М.
RIPOTI YA LEO  JAMES VOLUME 01
48:04
SHARE & HEAL
Рет қаралды 18 М.
RIPOTI YA LEO  AGATHA VOLUME 01
27:22
SHARE & HEAL
Рет қаралды 13 М.
#STORY RIPOTI YA LEO (RUTH SEHEMU YA 01)
22:17
Fahamu Plus
Рет қаралды 8 М.
Это было очень близко...
00:10
Аришнев
Рет қаралды 3,6 МЛН