RIPOTI YA LEO FRANK VOLUME 15 FNL

  Рет қаралды 11,734

SHARE & HEAL

SHARE & HEAL

Күн бұрын

Пікірлер: 87
@mariamjackobo6219
@mariamjackobo6219 Жыл бұрын
Waooo jamani mungu akisema ndiyo hakuna wakupinga Leo Frank anaucheka mda ulio pita anaufurahia muda wa bwana wao mungu amenifurahisha waoooo nice kuna watu wanajibiwa hapa hapa duniani hakika mwafurani umepewa pigo mwanamke mpumbavu.
@mamaroyi417
@mamaroyi417 Жыл бұрын
Frank anapenda sauti 🤣🤣🤣🤣
@hopejohnson7352
@hopejohnson7352 Жыл бұрын
Yaan nilichogundua hyu mwanamke hakumpenda Frank ila alifata pesa mbona wakat Hana kitu alimkataa amejua amepata anataka kurud Tena ila sisi wanawake mungu atusamehe Sana👏👏
@joymumena2287
@joymumena2287 Жыл бұрын
Ningeumia sana km Frank angemrudia huyo mwanake.
@estherkihinga4456
@estherkihinga4456 Жыл бұрын
Nilitamani amuoe yule Dada aliemshauli kulima wakati ule
@khadijanzunda854
@khadijanzunda854 Жыл бұрын
Ninapitia wakati kama alio pitia frank nanimejifunza kitu Asante dada Veronica
@shaluuanthony1836
@shaluuanthony1836 Жыл бұрын
Nmejifunza tu tusifunge ndoa mapema kabla ya kufahamiana vizuri ndio kilichomponza Frank
@shedrackdamian2870
@shedrackdamian2870 Жыл бұрын
Mungu ni mwama sana
@rachelalinda7007
@rachelalinda7007 Жыл бұрын
Mi nimejifunza wokovu ni wa mtu binafsi usiseme fulani kaokoka Mungu anayechunguza moyo ndiye anayejua . Yeremia 17:9-10
@hawasaid5286
@hawasaid5286 Жыл бұрын
Frank ktk wanaume 1000 wewe ni mumber 1 sijawahi kusikia simulizi kama hii, kumvumilia mwanamke kiasi hicho kweli wewe ni mume mwema. mimi kama mimi nimejitahidi ktk maisha yangu kuwa mwanamke bora rakini imeshindikana. watu walio bora wana taabika sana hapa duniani ila waovu ndo wanaishi maisha wanayoyataka....ngoja nimalize kusikilaza kwanza mpk mwisho......
@mariamsaronga8195
@mariamsaronga8195 Жыл бұрын
Frank ni mfano mkubwa wa kuigwa kwa wengine. Simulizi hii ina sisimua unaweza kudhani ni story tu ila ina mafunzo.makubwa mno. Nimeona faida ya msimamo hata ktk imani gani. Na uvumilivu na utulivu unalipa sana.Niamini Mungu yupo na wenye kusubiri. Hongera Frank na Mungu azidi kukubariki.
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 Жыл бұрын
Hongera sana frenk kwa maamuzi uliyoyafanya yakumuacha uyo malaya wa mchungaji bg up
@vinnahjasson5546
@vinnahjasson5546 Жыл бұрын
Sanaaa, ningeumia kama angemsamehe na kuishi nae
@johnbenben
@johnbenben Жыл бұрын
Yaani frank Huyo ndio mungu tunaye muabud umefanya vizur kuachan nae wewe mwanaum huteteleki mama ngonyan mbeya isyes
@jaydenbedas5729
@jaydenbedas5729 Жыл бұрын
Naanza kuvuta picha mapito ya emanueli mbasha na flora mbasha
@nolimittvonline6822
@nolimittvonline6822 Жыл бұрын
Asntee nilipitia maguma magonjwa na kukosa kazi Toyote kwa yote hatukuvunjika moyo asntee mungu tunaendelea
@crownprince399
@crownprince399 Жыл бұрын
Mbona naumia mimi moyoni jamani namuonea huruma jamani😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@neymseluka2077
@neymseluka2077 Жыл бұрын
Wapandao kwa machozi watavuna kwa kelele za furaha,tumtumaini MUNGU
@francisthomas6406
@francisthomas6406 Жыл бұрын
Dada Veronika tunashukuru sana kwan tunajifunza mengi kupitia ww tunamshukulu mungu pia kwaajiri yako mungu akupe afya namaisha maref
@vinnahjasson5546
@vinnahjasson5546 Жыл бұрын
Dear neno Mungu haliandikwi kwa herufi ndogo, ni jina kubwa sana hilo
@immaculatakadyanji5927
@immaculatakadyanji5927 Жыл бұрын
Afadhali nilijua atamrudia yule mwanamke.
@aclinekindiye5249
@aclinekindiye5249 Жыл бұрын
Mungu mwema sana na hakika hadhihakiwi. Hongera sana Frank kwa uamuzi mzuri
@zainabumbondei8635
@zainabumbondei8635 Жыл бұрын
Hongera sana Frank yaani haya maisha unakutana na mtu ambae unajua nimtu sahihi kumbe anakua hajamaliza mambo yake nimeyapitia haya lakini siku zote mwisho wake wanarudi kuanza kubembeleza aisee hapana nibaki tu singo kwakweli
@joanithacleophac4008
@joanithacleophac4008 Жыл бұрын
Jmn mungu anawez kukupitish ktk jambo Fran ngumu huku akiw anakuandalia mengine mema,na huyo mwanamke mungu amsamehe hakujua alitendalo,alikua mmoja wa miongon mwa wanawake wapumbavu.mungu amsamehe saan.
@zainabumbondei8635
@zainabumbondei8635 Жыл бұрын
@@joanithacleophac4008 kwakweli
@furahasadala1280
@furahasadala1280 Жыл бұрын
Asante frenk,unanisababisha niione kesho yangu ya ushindi.
@elizabethlucky8200
@elizabethlucky8200 Жыл бұрын
Frank huyo hafai tena kwa maisha yako.Muombe MUNGU atakupa mke mwingine
@thumnathumna5946
@thumnathumna5946 Жыл бұрын
Kwangu ilikuwa tofauti.upe so ilitawala kwenye ndoa yangu tukiwa kwenye mapori magumu kiuchumi..Mungu alivyoleta baraka upendo ujao soka yakabaki mateso Bayo yameniachia majereha moyoni..tangu apo sijawahi kuamini mwanaume akiiniambia ananipenda. Mapenzi EB niache kwanza niisake rial tu maisha yaende.
@ireneherman76
@ireneherman76 Жыл бұрын
Frank onger sanaa kw Mamuz mazur ya Kuachia n kuendelea n Maish hakika Nimejifunza🥰
@neemaneema9969
@neemaneema9969 Жыл бұрын
Hongera Sanaa Kaka angu FRANK, Hongera kwa Ushindi
@dynamo_vv6184
@dynamo_vv6184 Жыл бұрын
Mkasa huu unafanana na historia yangu Kwa kiasi kukubwa. Vero Asante
@givenmacha514
@givenmacha514 Жыл бұрын
Oooooh! Mungu wangu! Hii story ni yangu. Nimejifunza sana! Usiote kilichodondoka
@neemamkami2029
@neemamkami2029 Жыл бұрын
Hii imenikumbusha mbali dah 😌 kuna mtu nilimvumilia sanaa shida zote nilizivumilia alipo pata pesa akaenda kuowa mwingine 🤦🏽 ila nashukulu mungu kilicho mpata 😆🤣 mungu ndio anajua
@zakiaahmad3059
@zakiaahmad3059 Жыл бұрын
Kilimpata nin😂😀
@neemamkami2029
@neemamkami2029 Жыл бұрын
@@zakiaahmad3059 mungu aliamua kumfundisha kwamba ukipata usisahau uliko toka saivi ana hali mbaya 🤣🤣kapauka
@neemamkami2029
@neemamkami2029 Жыл бұрын
@@zakiaahmad3059 na mke kamkimbia alipo taka kuludi huku nikampa block 😆😆😆
@aminaalmazrui9785
@aminaalmazrui9785 Жыл бұрын
@@neemamkami2029 hahahahahah
@vumi8371
@vumi8371 Жыл бұрын
😂😂😂🤣
@fallymetoo191
@fallymetoo191 Жыл бұрын
AAwww! I'm no.1 thanks Sis.Vero kwa muendelezo pamoja sana 🙏🏻❤
@mwashabanirashidimitumba7788
@mwashabanirashidimitumba7788 Жыл бұрын
Nilitamani kujua kuusu huyo mchungaji ,je aliwai kukutana nae tena frenk kumuambia jinsi alivyomtenganisha namkewe?
@mwatimehassan4969
@mwatimehassan4969 Жыл бұрын
Bora alivyokuwa hakupata nae mtt
@mayhamid6320
@mayhamid6320 Жыл бұрын
Asante davero kwa mwendelezo hakika nimejifunza kitu
@farajamsigwa4002
@farajamsigwa4002 Жыл бұрын
Barikiwa sanaaaa kaka frenk ❤❤
@francymutua7022
@francymutua7022 Жыл бұрын
Hongera uliita vikao hakusikiliza
@hijamwinyi3233
@hijamwinyi3233 Жыл бұрын
Polee frank mungu atakupa mke mwema mke ndio raha ya dunia
@samwelsanga5339
@samwelsanga5339 Жыл бұрын
Hapo sawa napenda mwanaume mwenye msimamo n kwamb ukipendwa pendeka
@mariantundu2395
@mariantundu2395 Жыл бұрын
Asingepigwa kibuti na mtumishi na asingeinuka kiuchumi frank asingerudi kuomba samahani. Amerudi sababu Hana mwelekeo Tena
@nancygitonga3282
@nancygitonga3282 Жыл бұрын
Frank hongera sana kaka, you are a gentleman
@minahzaveri2817
@minahzaveri2817 Жыл бұрын
🙏story Ni nzur na imenifundish kit kikubwa San asant Veronika
@Lailal-bg8di
@Lailal-bg8di Жыл бұрын
Oyooo 🌚jamani 📢
@zuhuranadahhinda1366
@zuhuranadahhinda1366 Жыл бұрын
Jomoon hongera saaana frank nimefurahi nimejifunza saaaana
@catherinedamasi2735
@catherinedamasi2735 Жыл бұрын
Tunashukuru sana dada Veronica kwa hadithi yako
@hijamwinyi3233
@hijamwinyi3233 Жыл бұрын
Mwanamke muflis hana imani
@vee4296
@vee4296 Жыл бұрын
Asante kwa simulizi, nimejifunzA
@joycelaizer4600
@joycelaizer4600 Жыл бұрын
Frank kama unasoma sms yangu nitafute
@omanlove3968
@omanlove3968 Жыл бұрын
Ameona maisha yamekua mazuri anataka kurudi
@ashelizakaria6306
@ashelizakaria6306 Жыл бұрын
Kwa kweli inafudisha sanatu
@victoriaboymanda4268
@victoriaboymanda4268 Жыл бұрын
Dada wengine bana...aende kwa pastor wk huko
@aidankaguo
@aidankaguo Жыл бұрын
Unajua sana dada angu
@pendojohnson8470
@pendojohnson8470 Жыл бұрын
Pesa sio kila kitu ila ikikosekana kila kitu kinabadilika
@hijamwinyi3233
@hijamwinyi3233 Жыл бұрын
Bora ulivomuacha hakuna afae akarudi ni da hija nairobi
@beatriceonesmo
@beatriceonesmo Жыл бұрын
Frenk naomba namba zako me nipo hapa mke mwema
@YasintaGawasike-dk7uo
@YasintaGawasike-dk7uo Жыл бұрын
Hahahahahah
@bhokemasyaga6244
@bhokemasyaga6244 Жыл бұрын
Nzur Na Ina mafunzo mazur sana
@johsmoker
@johsmoker Жыл бұрын
Pamoja Sana kaka
@maryumamapunda7199
@maryumamapunda7199 Жыл бұрын
Asante sana 🙏🙏
@sultanaswaleh8892
@sultanaswaleh8892 Жыл бұрын
Powaa! ❤❤❤🇰🇪dadaa
@gracengurunguru8964
@gracengurunguru8964 Жыл бұрын
Daaa inaumiza
@sefaniapeter1254
@sefaniapeter1254 Жыл бұрын
wachungaji nao saa zingine huwa wanakoseaga mtu anakutukania mpaka mzazi ambae ni Mungu wa pili hizo baraka utapataje?
@jacklinemasanja5246
@jacklinemasanja5246 Жыл бұрын
Good story,
@salumumpapaya3310
@salumumpapaya3310 Жыл бұрын
Wanaume tujalibu kutafuta pesa
@carolinetalam5832
@carolinetalam5832 Жыл бұрын
Subira huvuta heri thanks Veronica 😊 for the interesting stories tuned 🇰🇪
@complex7582
@complex7582 Жыл бұрын
Carolina hujambo
@carolinetalam5832
@carolinetalam5832 Жыл бұрын
@@complex7582 sijambo vipi wewe
@carenmaira7458
@carenmaira7458 Жыл бұрын
Saa
@wanzigyamusa9885
@wanzigyamusa9885 Жыл бұрын
Daaah nimejifunza mengi
@hariethmngandile1956
@hariethmngandile1956 Жыл бұрын
Mungu aliruhusu haya kutokea mapema ili Frank apate kujidhihurisha kwa machoni. Ashukuriwe Mungu kwa kumfunulia Frank haya mapema.
@totooz5853
@totooz5853 Жыл бұрын
I was waiting for u .frank🤣🤣nimewaiii
@YasintaGawasike-dk7uo
@YasintaGawasike-dk7uo Жыл бұрын
Hahahahahah
@totooz5853
@totooz5853 Жыл бұрын
Sauti wauting amna ni kwangu tuu ama ni sote.?
@Deedlr4767
@Deedlr4767 Жыл бұрын
Ipo😊😂
@totooz5853
@totooz5853 Жыл бұрын
@@Deedlr4767 😂😂😂eeh
@happinesskaaya5913
@happinesskaaya5913 Жыл бұрын
Achana naye huyo si mwanamke alikuumiza sana.
@lightnessmsangi3148
@lightnessmsangi3148 Жыл бұрын
Iko poa kabisa pande hizi
RIPOTI YA LEO  MUSSA VOLUME 10
39:51
SHARE & HEAL
Рет қаралды 9 М.
RIPOTI YA LEO  MUSSA VOLUME 08
44:09
SHARE & HEAL
Рет қаралды 11 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 18 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 17 МЛН
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 682 М.
RIPOTI YA LEO  MOHAMED VOLUME  09
42:54
SHARE & HEAL
Рет қаралды 13 М.
RIPOTI YA LEO  TABU VOLUME 04
41:16
SHARE & HEAL
Рет қаралды 10 М.
RIPOTI YA LEO  MUSSA VOLUME 01
42:10
SHARE & HEAL
Рет қаралды 15 М.
RIPOTI YA LEO  MUSSA VOLUME 02
42:10
SHARE & HEAL
Рет қаралды 11 М.
RIPOTI YA LEO  MUSSA VOLUME 03
40:59
SHARE & HEAL
Рет қаралды 12 М.
RIPOTI YA LEO  MUSSA VOLUME 04
41:40
SHARE & HEAL
Рет қаралды 12 М.
RIPOTI YA LEO  MUSSA VOLUME 08
44:06
SHARE & HEAL
Рет қаралды 9 М.
RIPOTI YA LEO  TABU VOLUME 01
48:18
SHARE & HEAL
Рет қаралды 11 М.
Veronica frank  ULIPONITOA Official Audio
3:00
SHARE & HEAL
Рет қаралды 3,9 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 18 МЛН