Wazazi wananianzuli kutushauli kuoa au kuolewa ,wengi wanayakuta majanga kama haya ya Mussa
@jacklinegodifrey86079 ай бұрын
😂😂😂😂😂 dah nacheka kama mazuri, ila niliwahi kusikia mtu anasema mwanaume akibahatika kuoa mwanamke bikra atakuwa anaheshimika mwanzo ila cku huyo mwanamke akianza kuchepuka mume lazima ulie kilio cha mbwa, maana mke ataanza kutafuta radha tofautitofaut na yamumewe, so wanaume bora muhangaike tu nasisi tuliobaki😂😂
@rosemilingi78609 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@user-jg9sf9hi5f9 ай бұрын
😂😂😂😂😂 umeonaa eee
@omarykitua38439 ай бұрын
Nimecheka kwa nguvu sana😂😂😂
@marthakitinusa96969 ай бұрын
Hahaaaaa
@theresachuwa75339 ай бұрын
😂😂😂😂
@user-jm7ee4dc1j9 ай бұрын
❤❤❤❤ naendelea kjifuza maisha. Ya mahusiano
@JulliethMhando-me6hq9 ай бұрын
Uko vizuri Dada nakupenda Sana niite jullieth mhando kutoka morogoro kihonda azimio mguru wa ndege
@teddysisty3209 ай бұрын
Mungu akutanishagi watu wwma pamoj I wish nipate mwanaume aliyetulia kama mm
@Nobody202225 ай бұрын
Da vero unajuwa😊
@itz_Ri.P9 ай бұрын
Niite Veronica nimecheka sana Leo love
@zahrababygarl15689 ай бұрын
Wanawake kama hawa ndio wanafanya watu wa singida tuonekane ni malaya 😢 we dada ni mshenzi sana
@user-cl3wz2fs6y9 ай бұрын
Yaaan😢😢
@JudithGeorge-mw7fe9 ай бұрын
Ni kweliii
@PricillahNingah9 ай бұрын
😂
@user-hu7ju4ct1p6 ай бұрын
Kabisa singida na kondoa ndo sifa wanatupa za umalaya
@happinesskamera-41979 ай бұрын
Mapenzi nayaogopa sanaaa .... kweli tunakutana na mambo makubwa na magumu Mungu tusaidie🙏
@eveliynejoseph79449 ай бұрын
Acha tu
@rosemilingi78609 ай бұрын
Sana lkn kwa mwenzetu amezingua kwakweli unaoata mwanaume wa hvy unashindwa kuwa na adabu
@ataamansi89419 ай бұрын
Ifm mwisho Mbagala, hazisikiki maeneo ya mikoani kwa ukawaida, bado wanajitafuta uwezo huo bado sana tena sana, si Dodoma tu hata Arusha hawasikiki tena nizaidi ya miezi kadha radio 📻 hawapo hewani, wametoweka MITAMBO ya kubabaishababaisha mpaka wapate maokoto na sio rahisi kwa sasa kumiliki mitambo si kucheza drafti kama kusukuma kete yahitaji mipango (Looo kukurupuka)🏃🙀🤔
@ZainabuAlly-wh7th9 ай бұрын
Wa kwanza like zangu jamani ❤️🔥❤️🔥
@noelkalinga9 ай бұрын
🎉
@saidindope46179 ай бұрын
Dada veronica tuko pamoja nisome kama Saidi ndope mpiga picha wa yombo kilakala
@dottobatho16199 ай бұрын
Daaaaaah nahisi huruma kwa musaa😢😢😢
@BiteBeneth9 ай бұрын
Warembo watawaua sura ngumu tuko hapa atuna mambo mengi😂😂😂😂
@user-zo7uy5hc3p9 ай бұрын
Hivi ni mimi tuu ndo nimecheka kwa sauti au na nyie wezangu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@satwanthoogan64299 ай бұрын
My dear,unachelewa kutuwekea simulizi..nowdays!😢 ila sio shida tuko pamoja sanaaa!❤👍🏻
@zahrababygarl15689 ай бұрын
Mtafute musa akusimulie mpenzi kama uko na haraka 😂
@user-it5ej8eq6m9 ай бұрын
@@zahrababygarl1568😊😊😊
@berthasamuel45079 ай бұрын
Nakupenda veronica all the way from tabora
@neemajoseph62049 ай бұрын
jmn huyo kaka pole
@gracesongelael6319 ай бұрын
Wanawake wa dizain hii ndo wanatufanya sisi watu wa singida tuonekane malaya,we dada nyoko sana.umeniboa sana na umenichafulia CV
@lynepeter70409 ай бұрын
bora utoke na kada nyingine lakini siyo IT guy 😂😂😂
@dayana5513story9 ай бұрын
Wanaume endeleeni kuchagua waremmbo
@user-mx8dr6zt2g8 ай бұрын
Hiyo ndio singida girl usipime
@MuhimuAtoshea-mb9um9 ай бұрын
Duh nimecheka kweli km mazuri
@GODFREY-je9xq9 ай бұрын
Hatutaki kushauliwa kwenye mausiano ,yatukuta majanga kila siku na bado tumeshupaza shinto shetani hausiki hapa
@user-vv5uj6fo5r9 ай бұрын
Unaweza da vero❤❤❤
@restutapatrick46959 ай бұрын
Kipaji unacho da Vero unavyo simulia Kama nakaona ka dogo kanavyotapa tapa nmecheka vby..
@fora20099 ай бұрын
Wasingida nyokoooooo😂😂😂😂😂
@zahrababygarl15689 ай бұрын
😂😂😂anatudhalilisha huyu
@user-mx8dr6zt2g8 ай бұрын
Je kufanya ibada anaendelea
@RACHELZEPHANIA-jo4bk9 ай бұрын
Ila mecheka kama mazuri ila wanawake 🤣🤣💔
@pascalmsuya25539 ай бұрын
Da veronica dodoma hatukupat kuanzia jumatano
@DevothaKibiki-gn2ny9 ай бұрын
Yan mwanamke bikra hua hadumu kwa ndoa akichepuka tu
@vumi83719 ай бұрын
Kwani huyo mwanamke alikuwa bikra😂😂
@user-jm7ee4dc1j9 ай бұрын
Dada veronica dodoma ikishafika saa moja e fm haipatikani setini mitambo yenu
@wanyendakuta89129 ай бұрын
Nikwelii😩💔
@FatumaKazumari9 ай бұрын
Yaani D's Vero kama alikuwepo hapo Kwa kijana akibananishwa
@SamwelMaisori-zi2cv9 ай бұрын
Wa kwanza jaman nipeni maua yangu
@noelkalinga9 ай бұрын
🎉tunekupa
@anniechikasa10219 ай бұрын
Wanawake Sisi mungu anatuona
@PaulinaMhoja9 ай бұрын
Mwambie mke wa mussa akupe anayo meng
@reachelchemtai26049 ай бұрын
Haa jamani wa mama hamuna huruma kizizi kimbaya cha kishatani
@BettyGeorge-el1gb9 ай бұрын
😂😂😂 Yani mpka ucheeemee hapo badooo😂😂
@user-yp9vo4js9f9 ай бұрын
Umechapia😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣
@edwardiafrikanusi-jj5hk9 ай бұрын
Yani nihatar sana
@hamisamadimpozi59239 ай бұрын
😂😂Duuu atari jamani mmhh
@imagepower36419 ай бұрын
Umesema ni kijana mdogo 😂yawezekana ana mtambo mkubwa kuliko wewe.wanawake duh
@simonmaige77859 ай бұрын
😂😂😂😂😂 aiseee kweli
@user-zb3qs7zi7g9 ай бұрын
Dada Veronika wenzenu huku morogoro Kuna mda hatuwapati vizur
@user-it5ej8eq6m9 ай бұрын
Pole sana kaka
@salomekilavi64219 ай бұрын
Mbona hakuna sauti
@vumi83719 ай бұрын
😂😂😂mbona vimikono vidogo
@user-ob2sm3gj2q7 ай бұрын
😂😂😂
@salomekilavi64219 ай бұрын
Plz we need to hear sound
@Iragibarune1.9 ай бұрын
😂😂😂😂😂 eti vimikono vidogo
@simonmaige77859 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@JudithGeorge-mw7fe9 ай бұрын
🥲🥲🥲🥲
@NusraSaid9 ай бұрын
Wapil jamn 😅😅
@salomekilavi64219 ай бұрын
Plz sauti sauti
@rehematawalani7339 ай бұрын
HASANTEE
@maryammaryam4449 ай бұрын
😂😂😂😂
@sharurymamy52299 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@pendorobert35529 ай бұрын
Vero nawe unaboa kila saa mussa anasema kwan situnajua kama anasema
@dafrosamsonge20079 ай бұрын
punguza ukali wa maneno 😢😂 utazan unamlipa, dada producer
@faaaadam9909 ай бұрын
😂😂😂😂
@PaulinaMhoja9 ай бұрын
😂😂😂😂😂 watu mna maneno
@saidindope46179 ай бұрын
Tuko pamoja dada veronica tunajifunza mengi kwenye simulizi - Saidi ndope mpiga picha wa yombo kilakala
@saidindope46179 ай бұрын
Kweli simulizi zinafundisha mengi - Saidi ndope mpiga picha wa yombo kilakala
@zakariasamwel71459 ай бұрын
Vero jarbu kusimulia simulizi na sio kutoa ushauri...UNAUDHI