RIPOTI YA LEO RASHIDA VOLUME 04

  Рет қаралды 8,353

SHARE & HEAL

SHARE & HEAL

Жыл бұрын

Пікірлер: 43
@mayhamid6320
@mayhamid6320 Жыл бұрын
Yaani sitaki kukosaa hizi simulizi hakika najifunzaa mengi mno asante davero
@shaluuanthony1836
@shaluuanthony1836 Жыл бұрын
Nngempata mm huyo kaka ningejenga ningefanya biashara ata siku naachwa nna vitu vyangu vingi
@rosemarykaige6886
@rosemarykaige6886 Жыл бұрын
Da Vero dodoma mtandao hausomi kabisa
@janethkomba4485
@janethkomba4485 Жыл бұрын
Pole Sanaaa,Mimi saiz Naheshimu sanaa ndoto baada yakunitokea kwer,nasio mara moja,kalibu awamu 3,
@khorima
@khorima Жыл бұрын
Dah Maisha kweli ni safari ndefu sana
@rosenanyaro319
@rosenanyaro319 Жыл бұрын
Duuuuh Pole Yako Uko na bahati mbaya mno Jmn
@shamirasongati3906
@shamirasongati3906 Жыл бұрын
Sema rashida kujiongeza ulikuwa mzito sana,mtu umejuana nae siku 2 tu unauza na kila kitu chako kwa ushauri wake❌❗
@suzanrichardmhamba
@suzanrichardmhamba Жыл бұрын
Mawifi nao wabaya Sana wanakupa moyo wkt wanajua kila kitu kuhusu ndugu yao
@shamirasongati3906
@shamirasongati3906 Жыл бұрын
Yaan wanavokufariji😀
@suzanrichardmhamba
@suzanrichardmhamba Жыл бұрын
Mmmmmmh Maskini Rashida hapo utakua unarudishwa Tanzania kijanja ushatumika sana now kakuchoka Wanaume hawa 🙌🙌🙌🙌🙌🙌 Rashida mpk Mungu anakuonyesha kupitia ndoto Bado hukujiongeza kichwani uwe na tahadhari nae 😭😭😭😭😭😭😭😭Wanaume hawa hataki tena urudi Ulaya daaaah!
@janejoseph6420
@janejoseph6420 Жыл бұрын
Suzana dah msg yako dear, akuna kitu kinaumiza mwanaume anakutumia alafu anakupa majibu ya ajabu More than pain 😭
@suzanrichardmhamba
@suzanrichardmhamba Жыл бұрын
@@janejoseph6420 unaweza kuwa chizi kbs inauma mnoo
@aj-gw1rl
@aj-gw1rl Жыл бұрын
Dah jamani rashida pole. Huyu mwanaume katili sana kamwachisha kazi na kuuza vitu vyote🥹
@jacklinegodifrey8607
@jacklinegodifrey8607 Жыл бұрын
Najifunza sana kupitia hizi story
@ftimaramadan4748
@ftimaramadan4748 Жыл бұрын
Kumbe si wote walio soma wana akili sasa ushaambiwa ufungue biashara lakin hujiongezi na pia mwaka mzima una fanya kazi unje tz hata kujenga kibada cha room mbili umeshindwa sasa hiyo kazi ulifanyia ya nn ya zawadi tu kwa ndugu na marafiki akaut iko 000 😀😀😀pole daa kuwa uyaone si maembe na machungwa ni maisha 😀😀😀
@suzanmwaseba997
@suzanmwaseba997 Жыл бұрын
MIMI ALINIKERA TU KUUZA VITU VYAKE
@shaluuanthony1836
@shaluuanthony1836 Жыл бұрын
Yaan
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 Жыл бұрын
Akili wanazo ila mahusiano hayana uwiyano naelimu mwanamke nimtu wakuaminishwa tu naanaamini bila kufikiria
@fatumakyengya45
@fatumakyengya45 4 ай бұрын
Yaniii kuuza mpka nyumba daa!!
@fatumakyengya45
@fatumakyengya45 4 ай бұрын
Mmmmh rashida kuuza kila kitu hapo ndipo ulipo feli ,,
@carolinetalam5832
@carolinetalam5832 Жыл бұрын
🙆‍♂️🙆‍♂️ wooi i can only imagine how Rashida felt huyo mkaka alikua tu player,Rashida after kuuza kila kitu then allover sadden then anaenda mute 🔇 hiyo ndoto ilikua ya ukweli lazima alikua na mwamke mwingine
@francymutua7022
@francymutua7022 Жыл бұрын
Thank u for your story it's eye opener those single mother who own property
@maryumamapunda8910
@maryumamapunda8910 Жыл бұрын
Rashida kitakukuta kitu jamani wanaume hawa
@miriamisrael8408
@miriamisrael8408 8 ай бұрын
Katika story nmesikikiza hii kubwa kuliko too much pain😢
@christinaabel4236
@christinaabel4236 Жыл бұрын
Pole dada! Ila nimeamini Sasa kweli mapenzi ni upofu!! Yaani unaenda kwa bwana unauza kila kitu chako!! Daaa! Pole Sana Rashida. Kweli umepita! Pole sana
@yaheboy6050
@yaheboy6050 Жыл бұрын
Aseeeee,,hatari
@vailetjumanne2321
@vailetjumanne2321 Жыл бұрын
Da vero naomba uniambie nikiwa niko mwanza nawasha Redio gani nipate kusikiloza simulizi
@rachelrobert2831
@rachelrobert2831 Жыл бұрын
91.3
@hasnanadhiru2168
@hasnanadhiru2168 Жыл бұрын
Efm 91.3
@immaculatakadyanji5927
@immaculatakadyanji5927 Жыл бұрын
Siku ya kuondoka rashida anabebeshwa madawa.
@zuhuranadahhinda1366
@zuhuranadahhinda1366 Жыл бұрын
Jamani 😥😥😥😥😥
@imagepower3641
@imagepower3641 Жыл бұрын
Najifunza
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 Жыл бұрын
Iyondoto inakubagua nae uwondouhalisiya polesana
@asiasingiye7357
@asiasingiye7357 Жыл бұрын
Ahsante sana da vero 🥰🥰
@neemasamson314
@neemasamson314 Жыл бұрын
Tena huyo mstarabu amekusaidia hadi umerudi nyumbani mwingine angekutelekeza ukiwa hukohuko ulaya
@vumi8371
@vumi8371 Жыл бұрын
Mmmmh 😢 😢
@margrethamsechu7088
@margrethamsechu7088 Жыл бұрын
Ngoja tusikilize
@sarahmwangamila4441
@sarahmwangamila4441 Жыл бұрын
Hatari
@ataamansi8941
@ataamansi8941 10 ай бұрын
Upumbavu mkubwa Kwanini uuze vitu vyote siungeviacha kwa wazazi wako
@thumnathumna5946
@thumnathumna5946 Жыл бұрын
Mateso bila chuki .
@margrethamsechu7088
@margrethamsechu7088 Жыл бұрын
Mambo mazito
RIPOTI YA LEO  RASHIDA VOLUME 05
25:13
SHARE & HEAL
Рет қаралды 9 М.
RIPOTI YA LEO  AGATHA VOLUME 01
27:22
SHARE & HEAL
Рет қаралды 13 М.
ВОДА В СОЛО
00:20
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 28 МЛН
Дарю Самокат Скейтеру !
00:42
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 8 МЛН
RIPOTI YA LEO  AGATHA VOLUME 02
27:58
SHARE & HEAL
Рет қаралды 11 М.
RIPOTI YA LEO  MUSSA VOLUME 01
42:10
SHARE & HEAL
Рет қаралды 15 М.
RIPOTI YA LEO  TABU VOLUME 04
41:16
SHARE & HEAL
Рет қаралды 10 М.
RIPOTI YA LEO  TABU VOLUME 01
48:18
SHARE & HEAL
Рет қаралды 11 М.
RIPOTI YA LEO  ZAMDA VOLUME 01
31:17
SHARE & HEAL
Рет қаралды 11 М.
RIPOTI YA LEO  HIDAYA VOLUME 01
39:36
SHARE & HEAL
Рет қаралды 13 М.
RIPOTI YA LEO  TABU VOLUME 05
38:50
SHARE & HEAL
Рет қаралды 11 М.
RIPOTI YA LEO  MUSSA VOLUME 08
44:09
SHARE & HEAL
Рет қаралды 11 М.
ВОДА В СОЛО
00:20
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 28 МЛН