Daaaah huyu ng'ombe wa Maria huyu nae 😔😔 love is blind
@redlicesam5923 Жыл бұрын
Huyu Tom anatia Hasira Sana aisee....Dalili zooootee kua Maria ni GOLD DIGGER na HANA MAPENZI Kwake zipo wazi lakin jamaa jingaa sana halishtuki....Kuna wakati unaweza kumuonea huruma Tom ila hapohapo anakupa hasira saana...Ni kweli hua TUNAPENDA ila Tom amekua ZUZU...!!!
@emachrissdalah8602 Жыл бұрын
Huyo Tom anaboa amekua kipofu kwa Maria Sasa Ni too much!
@christinaalloyce5316 Жыл бұрын
Yaani Maria ananifanya nisiienjoy simlizi hafai kabisa na Thom ndi hata hazinduki usingizini
@rehemamuharami8345 Жыл бұрын
Hii story taaamu mnoooo....ila Thom anazngua mnooo yaaaani jnga kwel☹️
@agathakalulu1056 Жыл бұрын
Huyo Tom anaboa na huyo shetani wake maria..bwege kweli kweli
@winfridasanyenge6510 Жыл бұрын
Nimesoma comments kabla sijasikiliza naona itaniboa ngoja nisubili mwisho
@badriyahadam7008 Жыл бұрын
Yaan huyo maria nataman ningekuwa namjua ningemtia vibao kama buku hiv 🤣🤣🤣🤣
@mamananga2849 Жыл бұрын
🤣🤣🤣
@asmahassan5661 Жыл бұрын
Hunishnd mm
@ibrahimkhalifa7023 Жыл бұрын
😁
@missmwayway4704 Жыл бұрын
Yn hii story imenichosha mapema kwa ajili ya Maria tu na Thom mjinga kweli ww
@neemasamson314 Жыл бұрын
Yaani mi mwenyewe sina hamu kabisa na hii story nimechoka haswa
@badriyahadam7008 Жыл бұрын
Yaan huyu tom n fungu la kukosa hasa yaan anamng'ang'ania nn huyo maria anamuacha Linda mwenye mapenzi ya dhati yaan jinsi linda alivyo n wife material kabisa yaan
@shamsakarimu6276 Жыл бұрын
Yaani huyo maria ananikera Sana sijui yupoje bora awena rinda tuu
@thumnathumna5946 Жыл бұрын
Sitor ya tom niliifuraiya mwanzo cku zinavyozidi ananiuzi uyu tom. Ni wa ajabu sana.
@mwamwajaonline1881 Жыл бұрын
Unachelewa sana kuipandisha huku mjini Yutyubu
@jennipeter5078 Жыл бұрын
Yaan wanaume ndivyo walivyo Kama ajakupenda ajakupenda tu mioyo yao ni ya ajabu sana ndo tatizo lao
@asiamwakyembe4190 Жыл бұрын
Yaan hapo ndo kunautofaut kat ya mwanamke na mwanaume mwanamke hata akipend vp mahal awez acha sehem yenye care nzur Alf ela iwe inamwagwa ten aweee anaish kote kote
@fredmwankaja9323 Жыл бұрын
Nimejifunza kwenye mapenz hasa kwa wanaume, experience mhimu sana..! Yaan kuachwa na kuacha iwe sehem ya maisha kabla hujakutana na yule wa maisha yako, huu uzwazwa wa tomas usijirudie kwa mwengne..!
@asmahassan5661 Жыл бұрын
Yaan had naboeka
@asmahassan5661 Жыл бұрын
Hajiongez hata ngoj tuon mwsho wak amaliiw pes zake na maria ningekuw mm ndo mma wa Lind namfukuz kaz ale jeur yke😂😂😂
@tumpeernest9690 Жыл бұрын
Vero u a the best
@jacksonamon5650 Жыл бұрын
Sijui mwisho itakuaje
@asaliyamahusiano7661 Жыл бұрын
JAMANI KWANI LAZIMA KUWA NA MAHUSIANO!?!?! WANAWAKE TUACHE KUFANYA MAHUSIANO KAMA NDIYO OXYGEN MAISGHANI. ALINDA ALIPASWA KUPONA NAFSI NA KUWA AMEJENGA RESISTANT TO MAHUSUANO. KWAMBA HATA AKIACHWA TENA AWEZE KUHIMILI
@halimaramadhani3528 Жыл бұрын
Yaan uyu tom Kama zamwamwa
@mayhamid6320 Жыл бұрын
Asante davero
@pendondossy4181 Жыл бұрын
Duuuuuhh jmn Linda maskini
@neemamwita9733 Жыл бұрын
Inavyo elekea Mary anatembea na baba mtu
@ibrahimkhalifa7023 Жыл бұрын
😂
@ruqayaissa990Ай бұрын
Hata mm Nawaza ivo
@winfridasanyenge6510 Жыл бұрын
Nimesoma comments kabla sijasikiliza naona itaniboa ngoja nisubili mwisho