Team Rk Hongereni Sana ❤❤❤❤❤ Nawapenda Sana Gutoka Burund 🇧🇮 ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
@SamilBucha12 күн бұрын
Mamb
@NajmaSaid-sb2lh19 күн бұрын
Wakwanza leo kutoka kenya like zangu nipeni kazi nzuli ❤❤❤❤ RK nakupenda Sana
@Monjeraamili18 күн бұрын
Mh najima
@Lyrac9119 күн бұрын
Wa kwanza from kenya , kama kawaida R.K weka LoVe❤
@judithpendo998519 күн бұрын
Ulikua wategea Siri ya huba ukiwa wapi jmn n wajifunza nn Niko Riyadh 🇰🇪🇸🇦🥰 team fulus hoyeee nawapenda saaana watu wangu show love with like 🤌🤌👌🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@FeddiK-m3k19 күн бұрын
Mi Niko dammam timu kubusi oyeeeee🇧🇮
@alexmangi633919 күн бұрын
Sasawa team strong
@ElizabethRodgers-lm9xs19 күн бұрын
Kenya 🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
@user-io5xg6mt8g19 күн бұрын
😂😂😂😂😂❤❤❤❤nakupenda sn dadaangu tukiwa sote Riyadh 🎉🎉🎉🎉🎉
@judithpendo998519 күн бұрын
@@user-io5xg6mt8g nkupenda pia
@Brownlecovalfilms19 күн бұрын
Wa kwanza Léo kutoka Congo BROWN LE COVAL liké zangu ❤❤❤❤❤🇨🇩🇨🇩
@SufianAbdallah-p2m18 күн бұрын
Hayo ndo madhara ya kutunga story isiyo na mwisho... Series mmeianza vizuri lakin matokeo yake mnashindwa kuiendeleza... Mnatumia mda mwingi kushauriana kuhusu episode inauyofuata.. Kama imewashinda basi mnicheki niwape muendelezo uliosimama. Siri ya huba ni series nzuri Sana binafsi naipenda Toka moyoni , tatizo mnatumia muda mrefu kuiachia. Mnazingua sana kiukweli... RK brother nakukubari Sana but unataka kunipoteza fans wako. 💕💕💕💕
@FelixIbraimo19 күн бұрын
Mm wakwanza kutoka Mozambique naomba like ata tanto jamani
@Millicentnabangi19 күн бұрын
Sawatumekupa na pia wewe utu follow
@MasaAlbalushi-b2v19 күн бұрын
Tunaomba mtowe nyimbo ya Siri yahuba ninzur sana tafadhali
@SabrinaRamadhan-s9u18 күн бұрын
Nice nakupenda rk
@DenisPeter-bb3qz19 күн бұрын
Hii inaitwa WAR OF LOVE kaz safiiiiiiiiiiii RESPECT Rk group 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@ChadrackIrankunda-d6n19 күн бұрын
❤❤❤ mbona ndogo sana jamani ongeza dakika tulikuwa tumeisubili kwa mda nipo Bujumbura burundi
@user-yw9tb6vl9g19 күн бұрын
Hongereni sana kwa movie zenu nzuri🎉🎉🎉
@AbdulrazaqueNfaumeAli19 күн бұрын
Duuuh kazi mzuli asante sana ila sema RK nawe daah 🎉🎉🎉🎉🎉
@AminaKhalfani-ib7sh19 күн бұрын
Tulikuwa online Kila ck kungoja Siri yahuba gonga like
@evarlyne25419 күн бұрын
Mnipee likes ata tano tu from Kenya love you guys team R.K🎉
@user-qy7ik5fo6n19 күн бұрын
Amen 🤲🙏
@evarlyne25411 күн бұрын
@@user-qy7ik5fo6n 🙏🙏🙏
@Josy-cs9mf19 күн бұрын
Kama mnakubali rk gongeni like twende mbele❤❤❤❤
@Hadijawashuma19 күн бұрын
Wakwanza Leo naombeni like Zang kwa rk wanao mkubali gong like
@EzekielGabriel-n3m19 күн бұрын
Amen
@derelmusyoka225319 күн бұрын
Karibu tuisahau Rk congrats 🎉
@lucinahmoranga235819 күн бұрын
Haki😢❤
@MubaMudy-o2f19 күн бұрын
Da a ah rk sema unakaa sana kutuma sir yahuba
@MaryianKea19 күн бұрын
For sure mnaboo ju mnaenda adi mnasahau kuwa kuna series mnacheza😢😢
@AyishaAyisha-k9r19 күн бұрын
Mimi wakwanza kutoka Burundi naomba hata like 10tu
@Benlee270918 күн бұрын
❤ nakopa nimekupa
@SamilBucha12 күн бұрын
Mamb
@SamilBucha12 күн бұрын
Vp
@AyishaAyisha-k9r12 күн бұрын
@@SamilBucha safi
@LewisHamiltonGLD19 күн бұрын
Irine pongezi sanaaaaaaaa kwa kumkataa benlee maana anapenda sanaaa kuchezea hizia za watu 🎉🎉🎉🎉
@Benlee270918 күн бұрын
Nyambichwa wewe 😂😂😂😂
@johnsonpractesh281019 күн бұрын
RK ameamuwa kutu rudiya sisi tena 😂😂❤❤❤❤
@Uwanza-tech19 күн бұрын
Rk jitahidi angalau kwa wiki unapost episode moja tulisha miss Siri ya huba naombeni like Kama una ikubali move hii❤
@SalamaFrancis-yg7sr19 күн бұрын
Yani mwezi mmoja episode 1
@carlosroomd19 күн бұрын
Berlin nipe like zangu nakukubar sana I'm from moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🕶️☠️🎉
@Benlee270918 күн бұрын
❤❤❤❤
@IgnaseTalaboe18 күн бұрын
Tunawapenda sana kwakazi yenu nzuri ila mnachelewa
@user-nz9zb7gu7t19 күн бұрын
Wana chelewa sana alafu dakika ndogo,Ila kazi nzuri🎉🎉🎉🎉
@ZawadiMohamedi-vr2de19 күн бұрын
Watu wamechukia rk hawatakiii kuangaliaaa mwez ndio mnatoa movie khaaà
@user-np5ig4ye7e19 күн бұрын
Wakwaza Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🥰🥰🥰nipeni lake
@manwalimshali298619 күн бұрын
Mnachelewesha Saana Hadi nmesahau majina ya Warembo wa Benri Mpenda Chupi 😅😅
@Benlee270918 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@MaryClement-gq3se19 күн бұрын
Hii move inachelewa sana mpk nasahau
@MemoryKamutandi19 күн бұрын
Tunawapenda sana ila munacherewacha sana mupaka tuwasahau from south Africa ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@SamilBucha12 күн бұрын
Mamb
@justinzongwejzl765419 күн бұрын
RK tu m'as trop manqué 🎉 nipeni like svp Depuis RDC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@Zenabeby19 күн бұрын
Rk amenbamba apo Kwa Hhhm kazi ipo 😂😂😂😂
@justinzongwejzl765419 күн бұрын
Thank you so much likes
@justinzongwejzl765419 күн бұрын
@@Zenabeby please send me even in English or french
@StevenMakanja18 күн бұрын
Japokuwa mnachelewesha ila kazi yenu ipo Vizuri sana ila sema mwe mnajitahidi kuwahi kutoa mwendelezo❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@BINTmohammed-fu9gp19 күн бұрын
mnajua vijana na mnajua tena...much love from Kenya 🇰🇪
@ShawalTitus-s9e19 күн бұрын
🇰🇪🇰🇪Tulikuwa tumengoja sana msigawie tena much love ❤❤❤ wakenye mko wapi
@joashmutoto726019 күн бұрын
tuko mtaani tu
@JosephNyanda-n9o19 күн бұрын
Nilikuwa nasubiri kwa hamu sana ❤❤❤ Siri ya huba
@khamisbakar830219 күн бұрын
asanteni kwa kazi mzuri kaeni tena mwezi au mwaka mutoe tena kipande chengine kama munatoaa dozi ya dawa za kichocho
@marthawawuda991519 күн бұрын
😂
@user-ho9dl8hy5v19 күн бұрын
😅😅😅😅😅
@mwanavitahassan939917 күн бұрын
😂😂😂😂
@mwanavitahassan939917 күн бұрын
Yani comment zote ila hii imenivunja mbavu😂😂😂😂😂😂😂😂❤
@fatumakassim6411 күн бұрын
😂😂😂😂😂dawa yanini 😂😂😂😂😂
@MatildaMtsonga19 күн бұрын
Love you team Rk ❤ watching from Kenya nipeni likes zangu
@razesdragon19 күн бұрын
Leo wakwanza kutoka Congo 🇨🇩 like zangu jaman 🙏🎉🎉
@Kmpshowpatient19 күн бұрын
Tu es content maintenant je te donne un j'aime 😅
@razesdragon19 күн бұрын
@@Kmpshowpatient waouh je suis un peu content parceque mon frère de la nation 🇨🇩 tu es là 🙏🤜🤛
RK unapigiwa simu Na ailini unaminya simu haya demu anachukuliwa na Doct na wewe Doct unamzalau mkeo haya kashapata wakumuliwadha😂😂 hiii move inamafunzo mazuri sana❤❤❤❤❤❤❤
@TajielRichard-jn6sp18 күн бұрын
🏴🇻🇺🇬🇧🇺🇦🇺🇾🇻🇳
@JacksonFaustine-be1gk19 күн бұрын
Kaka Kaz inachelewa sana
@donihamisihamis19 күн бұрын
Leo wa kwanza naombeni like zangu 👍
@BoudahB-sat19 күн бұрын
Wakwanza kuona 💚🍉
@ImaniGervase-z1t19 күн бұрын
Nani kaikubali hiii nyimbo 9:33 au nimeipenda mm2
@joanitainancioestevao398719 күн бұрын
Mm naikubali sana
@PreciousAmina19 күн бұрын
Nmewai toka Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 team Rk gonga like tukisonga
@SamouOman19 күн бұрын
jaman kumbe mpo nilimisahau niliwamis san haswa Rk nakupenda
@Nedyjr19 күн бұрын
Leo nimekuwa wa kwanza jwman likeeeee na mm😅
@MadinahAheebwa19 күн бұрын
Hello guys thanks for uploading 🎉🎉🎉🎉
@lucinahmoranga235819 күн бұрын
Miss you guys ❤❤nani anapenda siri y huba gonga likes
@MirajiMajii17 күн бұрын
Naikubali saàana hii movie ya RK team ❤❤❤❤ like zangu please
@user-nj1jz8lu4p19 күн бұрын
RK big up sana hila jitaidi usikae sana mpaka tu asahau jaman
@user-tg4sb2zo3i19 күн бұрын
I LIKE IYO 👍 ♥ ❤ KAZ NZURI JAPOKUWA NI MDA HONGEREN SANA RK UNAJUA SNA BENLL NAWE HONGERA❤❤❤
@Benlee270918 күн бұрын
Asante
@yule_be19 күн бұрын
Aaah mnazngua movie mpka tunaisahau
@user-su1nb7yy1i19 күн бұрын
RK je t'aime trop tokea Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🥰 Love 🥰❤
@evansoburchy500019 күн бұрын
Ila next msichelewe Kazi safi
@LoiceKatana-ci1tx19 күн бұрын
Kazi nzuri nawapenda nyote Rk na team yako🎉🎉🎉🎉❤
@RoziPeter19 күн бұрын
Jamn mnachelewesha sana mpak mnaboa
@JuliusTivave19 күн бұрын
Good Ila mnazingua kinoma
@LampardShungujohn18 күн бұрын
Ebu tuna omba ile nyimbo ya Siri ya huba👉🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🙏
@emmanuelmutisya389919 күн бұрын
Rk be blessed so much I like you acting .be strong and continue believing in God...❤❤❤ Emmanuel from kenya
@RamadhaniMshana-gk6vm19 күн бұрын
Mko vizur tatiz mnachelew kutoa kaz
@reginaIssa-m2j18 күн бұрын
❤❤kz nzuri sana 👍 lakini mna chelewesha sana Hadi tunasahau
@mercyndoro546119 күн бұрын
Mumetuchelewesha sana
@chuvyzainab692219 күн бұрын
Much love to t RK napend San unavyokua n maesab❤❤
@CalvniHaule-gl7tp19 күн бұрын
Ongeza dakik kijana kila serios zako
@saidially589219 күн бұрын
Benlee man of the movie. Katisha sana😂😂😂😂😂
@Benlee270918 күн бұрын
Mia blood
@BrighterKimario-yh8bc19 күн бұрын
Daaah yn nimesubil had nilisahau nilpoishia
@user-hp3vn4kc4s19 күн бұрын
Kazi nzuri sana RK sema2 Unachelewesha sana Kazi🇹🇿
@SalhaSalha-pl7bv19 күн бұрын
❤❤❤ mimi wa kwanza 🎉
@FaithArtist19 күн бұрын
Kama hutojari, nilikua naomba unisaidie namba yako ya simu..... Benlee on the game😂😂😂😂😂😂😂
@Benlee270918 күн бұрын
Namba tu usijali umepata
@user-rq5df9sz5p19 күн бұрын
Msichelewashe sana movie 🎥🎥🎥
@KhamisJuma-ni1vk19 күн бұрын
Kazi, Nzuri Sana Good Job . Bt Ongezeni Mda Ata kama 30 Minutes
@OficialKanza19 күн бұрын
Me wa kwanza ❤❤❤
@ashuraally-c5d19 күн бұрын
mmekaaa kwahyo leo ndo mmejisikia kutuletea mwendaelezo mnazingua sana bhna sasa hapo ndo had tusahau tena ndo mtaleta nyngne sema nimeipenda❤❤
@user-rj8ci9hc5p19 күн бұрын
nimekuwa wa kwanza ❤❤ Nipen like zangu
@NgaboHbf19 күн бұрын
Hongera sana rk, unafanya kazi nzuri sana. Ila unachelewa sana mpaka tunasahau. Mungu akupe nguvu ujitahidi kutupa vitu kwaharaka.
@HappinessSekelwa-jl2qj19 күн бұрын
Rk naomba like yako pls
@Charlene-ij3br19 күн бұрын
RK mbona una furaicha n'a mutcheko wa Siri ya una félicitations grand 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Duh muko rada mazee but sijachelewa ivyo😂😂but lv both from 🇰🇪🇰🇪🎉🎉🎉musicheleweshe tena sanaa
@JuniorMichael-fp7gi19 күн бұрын
Tatzo mnachelewa sana kuachia
@venanceleonce651119 күн бұрын
Ngoma kali sanaaa RK ila jitahidi isichelewe sanaa
@user-hq1rn2zi8i19 күн бұрын
Rk unaudhi mashabiki yani unachelewesha
@JohnDee-q3d19 күн бұрын
Kazi nzuri👍 ila msiwe munachelewa kufuatisha episode, 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲
@RajuShabani19 күн бұрын
R k leonakuwa wakwanza
@AMMY_TONYofficial19 күн бұрын
Kazi iko p Sana na inazidi kuwa Bora kila hatua inayo futa....💥✊🏾🙌🏾
@JullianaEmmanuel-tm5xg19 күн бұрын
Yaaan dakk muongeze kdg
@user-ie7yt9db6f19 күн бұрын
Daaaah jamani nimewahi ila sikufikiria kuwa itakywa kipande kifupi mno wakati tumeisubiria kwa hamu sana ila Irene umenifurahisha sana pongezi kwko kipenzi❤❤❤❤
@Mrhailandy19 күн бұрын
😂😂 tunaoifatili huba ya siri tujuane kwa kugonga like guys