Please SUBSCRIBE to Robert Tv Tanzania official KZbin channel, Anointed Man Of God Pastor Robert Raphael: / @roberttvtanzania #RobertTv #RobertRaphael #PastorRobertRaphael
Пікірлер: 109
@carolkaveke799624 күн бұрын
Amen,Yesu atusaidie tuweze kufahamu uwezo wa maombi ya usiku
@josephatnkoleki4911 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana na maombi na saa wanane chetani ni uongo sana siku yake imeeneya tu mungu atusaidiya ni mimi Joséphine na toka Texas amen
@etoelena24103 жыл бұрын
Tunashukuru sana mtumishi wa Mungu kwamafundisho
@wemamanikana97916 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana mtumishi wa Mungu, somo hili la usiku wa manane limenifungua, kuanzia sasa ikifika saa nane usiku naanza maombi, na tangu nianze kuomba usiku wa manane najiona mabadiriko ndani yangu
@enockmagezi61522 жыл бұрын
Thank you our pastor for preaching the word of God truly
@GladnessNgowi Жыл бұрын
AMEN hili ndio neno kanyaga tuende
@yuwenisilwamba23833 жыл бұрын
Hongera ewe Mtumishi was Mungu kuihubiri kweli wewe no pacha Zackar kakobe hakika
@FailaMwangaza-x5s3 күн бұрын
Amen amena
@stellamarismbweli77373 жыл бұрын
Power of mid night is wonderful
@geofreylucas94694 жыл бұрын
Amina mchungaji we ni wa Mungu kweli neno lako ni la kweli na uzima
@beatricenjoki17483 жыл бұрын
Amina mchungaji
@nezerinejuma5510 Жыл бұрын
Amen 🙏🏾
@junefother78904 жыл бұрын
Naelewa mafundisho from burundi 😭🇧🇮😭🇧🇮😭😭😭
@crasecrace83734 жыл бұрын
Amen amen tuko pamoja usiku yamanan amen.
@zebedayojeremiamachumu66033 жыл бұрын
Mungu akubariki Mtumishi kwa ujumbe mzuri
@monalisamkollo7675 жыл бұрын
Mungu naomba unipe roho yamaombi hasa usiku wa manane
@funenigogo39374 жыл бұрын
Mchungaji Robert Raphael, Mimi Jonathan Katana naendelea kubarikiwa na Beans unapoendelea kuhubiri, Naina watu wakishuhudia ubonyaji ,Naomba Mungu uniombee ugonjwa nillionao Mungu aniponye ,. Naamini ukinimbea Mungu ataniponya Amina Mimi Jonathan Katana Kilifi Pwani Kenya Amina Mungu akubarika Amina
@estherwanjiru52713 жыл бұрын
May God feel you with his holy blood and strength so that to put down evil spirits that have no path in God's people,you have a wonderful word,may he also you as his vessel to give the true word Abt him,my first day to watch this challenging testimony and may fire spread in evils in Jesus name
@estherwanjiru52713 жыл бұрын
Remember me in prayers and my family thus I also have seen no need of using water,oil but only prayers in God who saves,fire,fire upon evils and may the holy spirit be in me and my family devil has no way,
@estherwanjiru52713 жыл бұрын
Pastor God bless you a ubundantly,and have faith in him who gives you power and trust in him always
@estherwanjiru52713 жыл бұрын
God is so merciful to those loves him and loves him
@marthabruno23576 жыл бұрын
Mungu ni mwema xn somo la Leo limegusa maisha yangu yan kam ulikuepo uwa naota ndoto mbaya xn Mungu nitazame kwajicho lako la uruma,barikiw xn mchungaji.
@THEWORLD-om1bo3 жыл бұрын
hili somo... nimebarikiwa sana...
@jacklinemagaga10563 жыл бұрын
AMEN ln the Mighty name of Jesus Christ Amen..Be Blessed
@slizanya5 жыл бұрын
Hii maombi imenifaidi sana tangu nianze kuomba usiku wa manane.
@petronianahimana72823 жыл бұрын
Amen Amen
@petronianahimana72823 жыл бұрын
🙏🙏👏👏❤❤✋
@joybek16144 жыл бұрын
Ahsante YESU
@dorcassamson14344 жыл бұрын
Yesu akulinde mtumishi
@asneth11876 жыл бұрын
Alleluyah Alleluyah praise God BWANA nizidishie Neema ya kuomba usiku wa MANANE Amina barikiwa mtumishi wa mungu am watching you from Saudi Arabia Alleluyah nimebarikiwa mtumishi b blessed indeed
@uwimanafuraha96086 жыл бұрын
Asneth 11 munguakubariki mucungaji nimefanikiwa kwa huduma yako mungu atusaidie tupate nguvu iri tuamke kwakuomba saa yamanane
@marympemba88435 жыл бұрын
Asante mchungaji, mungu akubariki sana kwa somo la usiku wa manage.umenisaidia sana , na tuko pamoja kwenye maombi hayo
@jasonandjesuschrist41724 жыл бұрын
Amen bwana Yesu kristo umwema ❣️🙏
@halisiaisaya78325 жыл бұрын
Shuka Baba useme nami usku huu.
@funenigogo39374 жыл бұрын
Mchungaji Robert Raphael navutiwa na mahubiri yako unapohubiri watu waliorogwa na wachawi wakiponywa, na Mimi niombee Mungu aniponye ugonjwa nillionao hats nimeandikiwa kwenda upasuaji 8/,,9/2020 Niombee muujiza was Mungu uonekane Mimi Jonathan Katana nikiwa Kilifi Pwani Kenya Mungu akubarika Amina
@marympemba88434 жыл бұрын
Tunakusikia vizuri mchungaji huku 🇺🇸
@janetkistaojanetkistao90805 жыл бұрын
ubarikiwe mtumishi kuamka usiku wa manane niko pamoja nanyi huko
@alphoncinamarealle12776 жыл бұрын
Tuamke USIKU WA MANANE!.Barikiwa Mtumishi!!!
@queennosh35634 жыл бұрын
U bless my night mtumishi
@hashajuma16432 жыл бұрын
Ameeeeen
@MartineNyirahabimana7 ай бұрын
Umeniweka nguvu yaku mshinda shetani
@conniesilayo2506 жыл бұрын
Amina mtumishi wangu Ubarikiwe kwa Masomo Mazur Yamei gusa sana
@imaculatajohn70405 жыл бұрын
God is good
@vv22485 жыл бұрын
Amen jina la bwana litikkuztwe
@sophiemwero91535 жыл бұрын
AMINA......Asante Mtumishi Kwa Somo Lako..... Barikiwa Zaid
@junefother78904 жыл бұрын
Usiku wamanane asante baba nimurundi 😭😭😭
@mwajumaahmed18186 жыл бұрын
Ahsante Mchungaji nabarikiwa Sana na Maombi yako hakika mungu anaweza
@bryanfelix37716 жыл бұрын
Ameen mungu akubariki mtumishi tuko pamoja kwenye maombi
@erickkimario61804 жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe somo zuri sana,kanisa hili liko wap na linaitwaje ?!!
@RobertTvTanzania4 жыл бұрын
Karagwe kagera
@faidaimmaculee286 жыл бұрын
Muchungaji mungu azidikukumininiya mafuta mabichi nawalewaosema eti unatimikanashetani washindwe kwajina layesu
@kennethogonda43705 жыл бұрын
Hawajui wao ndo wanatumiwa na Shetani.
@jumamwita33195 жыл бұрын
Ujumbe nzuri
@victoriasimon1853 жыл бұрын
Amen🙏🙏🙏
@desirec2826 жыл бұрын
Amen,tumebarikiwa sana pastor
@puritygakii29116 жыл бұрын
Amen ...hapa nimesoma kitu
@folekagohjl26905 жыл бұрын
Amen amen God is Glory
@jumamwita33195 жыл бұрын
Ubarikiwe Mtumishi ,hio Huduma ulioipata kutoka kwa bishop kakobe itunze yaani hata unavyoongea na kufundisha kakobe pure
@lucyjeremiah8776 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana baba
@waithirahnaomy15736 жыл бұрын
Amen.. Mungu akubarikii
@samsommanyenye86796 жыл бұрын
Naomi Kamau
@tantinemwemendi87904 жыл бұрын
Amen
@elisaalbert32016 жыл бұрын
barikiwa sana baba
@davidkinwasi80786 жыл бұрын
yes,I understanding. Amen
@sabinaboas67605 жыл бұрын
Exactly Papa
@carolnyakanokenya34946 жыл бұрын
Amina mungu akubariki kwa mafunzo manzuri mtumishi wamungu
@teddujoackim39526 жыл бұрын
Mtumishi Huduma yako imenibariki mungu akutumie zaidi
@rehemaabbas58346 жыл бұрын
ubalikewe sana mtumishi mungu kukubali uendelee kuitangaza ijili
@nasrimama66976 жыл бұрын
amen baba ubarikiwe
@happinessamani49745 жыл бұрын
Happiness amani amina mungu akubariki sana Mchungaji karibu singida Mtumishi wa mungu tunaomba sana uje singida
@metrocustomet1485 жыл бұрын
Mungu asifiwe sbb umewavikawamamajinsiipasavyo.
@kamellincitizenkenya1296 жыл бұрын
AMEN TO YUO LORD AMEN
@afraal20973 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@peacesirajudin5895 жыл бұрын
To God be the glory
@sabinaboas67605 жыл бұрын
Hallelujah amen 🙏
@everlynekaiga17845 жыл бұрын
l do understand. Nimejifunza mengi kwako Pastor. nk saudi Arabia
@queennosh35634 жыл бұрын
iwish kwetu kungekua TZ ningeishi kwa hicho kizima.niko Saudis bt from kenya
@petronianahimana72823 жыл бұрын
Asante mungu baba asifiwe Amen amen
@petronianahimana72823 жыл бұрын
🙏🙏👋👋👋👋👋👋❤❤❤
@sabinaboas67605 жыл бұрын
That’s right Papa
@sabinaboas67605 жыл бұрын
Mmmmm Jesus Christ
@reginandege71965 жыл бұрын
Amina
@sabinaboas67605 жыл бұрын
That’s true true
@wemamanikana97916 жыл бұрын
Kuanzia sasa nategesha alam ya kuamka usiku wa manane ili niwe karibu na Mungu
@catherinesigfred28125 жыл бұрын
Maombi Yana lipa kwa Jina la Yesu Kristo wa Nazareth
@faidaimmaculee286 жыл бұрын
Ameeeeeeeeeeeeeeeeen
@nyabahailani31696 жыл бұрын
Tunamateso jamani" bwanayesu tusaidie jamani hii dunia ina shida sana
@mariamfritsi97616 жыл бұрын
Amen.23.09.18.
@kabangaonline45236 жыл бұрын
MUNGU AWABARIKI SANA MWENGE BALABALA YA SAMU MJOMA FGBF MAKAO MAKUU
@marympemba88435 жыл бұрын
Usiku wa manane
@gracemtweve16325 жыл бұрын
Amina
@zuhuranyenza56714 жыл бұрын
Niombeeni watu wote wa huko nipate watoto
@marympemba88434 жыл бұрын
Zuhura Nyenza mungu atakutana na hitaji lako la mtoto ninakuombea
@marympemba88434 жыл бұрын
Zuhura Nyenza chochote kikitokea ktk maombi yako usisikitike. Waangalie wacatholic, masister na mapadri hawana watoto kwa kuchagua na kwa majukumu walio nayo, lakini wana furaha kubwa, wanafanya mapenzi ya mungu hata kuhusu nia watoto yatima na kupenda watoto wote, mungu atakusaidia, kwani Unahitaji hilo nzito. Mimi najitolea kwa upendo kukuombea sana na utashinda kwenye hilo. Kumbuka usiku wa manane
@marympemba88434 жыл бұрын
Zuhura Nyenza kelele watoto , kufundisha madilisha kutuma majilani, acheni visa hayo yalitokea na police walikuja kuna shida gani? Mbona mambo madogo mnayakuza sana, jifunzeni kuachilia mambo vitu hata havina maana mmekalia kila siku, huwa mntafuta mungu kweli kwa hali hiyo, kama mmekosa mtu wa kulaumu fanyeni mengine police walikuja ni ukweli watoto wako waliacha madilisha uongo kweli umeniona Mimi nimelalamika?jamani mbona mnashida sana mioyoni mwenu?kweli hii ndio shida au mna matatizo mengine? Si muwe wazi? Acheni unafiki kutumia simu na you tube acc yangu niambie mie direct mimi nasonga mbele nimeacha mambo mmebaki na matatizo yenu msiniwekee Mimi
@judithnjunwa66685 жыл бұрын
mtumishi mbona vilemba wote
@queennosh35634 жыл бұрын
Nyumba ya mungu kila mwanamke anafaa kufunga kichwa chake akieda mbele ZA mungu
@jovinmodelin87384 жыл бұрын
Sio kweli..biblia haisemi ivyo hakuna sehemu ambayo Mungu ameweka muda maalumu wa kusema nayeye.shetani yupo kazin masaa24 na Mungu wetu yupo kazini Masaa24..wafundishe watu namna ya kuongozwa na roho mtakatifu.nitafute kwa no.0679233395..kuhusu manabii wa uongo hao kweli wapo na story zao za mafuta na maji nikama story zako za usiku wa manane😀😀😀
@salmanikata60583 жыл бұрын
Mungu akuhurumie hajakukataza kumtafuta Mungu wakati wowote Ila kasisitiza maombi ya usiku ni mazuri zaidi sababu unapata nafasi ya kuharibu mipango ya maadui sababu wao kazi zao wanazifanya usiku wa manane kipi usichokielewa hapo.