MAMBO YA KUTOKUSAHAU UNAPOINGIA MSIMU MPYA WA MAISHA. DAY 1B, JANUARY 2020
Пікірлер: 244
@emmanuelshuza7583 жыл бұрын
Ushuhuda wangu mwalimu wangu. Namshukuru Mungu ni miaka imepita nikiwa katika maombi yangu binafsi kwaajili ya muujiza, katika kuugua kwangu moyoni mwangu ndipo nikasikia unao mkutano pale jangwani,na nilisikia ndani yangu kuwaambia ndugu zangu kuwa leo mwalimu wangu Roho wa Bwana atamtumia kunisimamisha ili aniombee muujiza niliomuomba Mungu,nami nilipofika nilikaa upande wa waimbaji pastor safari na karibu na John lissu ndipo Neno la Bwana likakufikia ndani yako kusema nanukuu""kuna mtu ameomba maombi ya siku kadhaa,na kwako utakayesikia unaweza kucheka lakini kwake ni kitu muhimu sana,mtu huyu amemwambia Mungu anahitaji kuota NDEVU watu walicheka na ukaendelea kusema amekaa upande huu wa waimbaji hapa nilimtukuza Mungu kwakuwa nilifunga na Mungu alisikia kuomba kwangu ubarikiwe ndevu ni nyingi kwa sasa namtumikia Mungu kwa kuineza habari njema""
@ritanjoki74612 жыл бұрын
Amen barikiwa sana mwalimu mwakasege na nyumba yako
@hebronmalatila61864 жыл бұрын
Mwa/ Mwakasege ! Mimi HEBRON MWANJALI MALATILA , Umri 68 yrs ! Uokovu tangu 1992 , Lakini bado nashindwa kutenda mapenzi yake YESU. Ila Mungu anaachilia Ahadi zake ktk familia yangu. Shida tangu! Naomba nijue kusudi lake Mungu juu yangu! Kabla ya muda wangu wa kurudi Kwake. Natamani na mimi nìmtendee ijapo tendo moja dogo jema kwa uweza na utukufu wake nikiwa bado duniani. Chris Mwakasege ! Nisaidie kunisogeza mbele ya Yesu Mungu wetu wewe na mimi.
@olipaminga79264 жыл бұрын
Nashukuru Mungu kwa jinsi anavyokutumia mtumishi kutufundisha kumjua Mungu akulinde uendelee kutusogeza zaid na USO wa bwana.
@mintheophilussunday18134 жыл бұрын
Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state Nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2348079861301) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you ...
@محمدالقايد-د6ب3 жыл бұрын
Amen
@jumaelizabeth55324 жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe mchungaji.Mimi naitwa Elizabeth kutoka Kenya. Ila nafanya kazi nchini Saudi Arabia. Nimekua nikifuatilia mahubir yako kwa mda was mwezi sasa.nilikua nasumbuliwa n allergy kwa mda wa miaka 8.tangu nianze kuskiza mahubir yako naendelea vizur sana japo bado inanisumbua lakini sio kama zaman.mungu akubariki. naomba number ya kutuma japo sadaka kuoitia m pesa tafadhali.blessed again and again.🙏
@piussantos83504 жыл бұрын
Ubarikiwe mungu nakupenda dadangu me pia ni niko Kenya mungu ni mwema kila itwapo leo
@saitotitarakwa72674 жыл бұрын
255754211633 Diana Mwakasege. Jina La mke wake
@andrewkibwata9744 жыл бұрын
Mungu yupo nawe. Amini kwa jina la YESU KRISTO UNAPONA
@jumaelizabeth55324 жыл бұрын
@@saitotitarakwa7267 sawa
@jacklinemwita41734 жыл бұрын
Mwamiji Mungu umepona
@adelaidasote78824 жыл бұрын
Nipo bukoba nimevutiwa sana na semina zako Mtumishi was Mungu,Mungu akubariki sana ,ninaomba kuuliza kwann makanisa mengine hayasemi upendo wa Mungu wanasema sheria za kanisa inakua vigume wanna wa Mungu kusimama maana hawaelewi ubarikiwe sana unatangaza upendo wa Mungu katika maisha yetu
@emmanuelsiriatv74614 жыл бұрын
Nasi tumefahamu PENDO alilonalo MUNGU kwetu sisi na kuliamini, MUNGU ni pendo.Barikiwe sana mtumishi wa Mungu, Mungu azidi kukuinua kwa viwango vya juu
@onesmokway29903 жыл бұрын
Mungu wangu akubariki sana mwalim mwakasenge, nakuelewa Sana mafundisho yako toka utoto wangu nakufwatilia Sana nilikuja nyumbani kwako mwaka 2016 nikamsalimia mama yako mzazi alinipokea kijana niliemkuta nyumbani nazani ilikuwa likizo ya shule sikumbuki ninani lakini nazani sio marehem Joshua , wakati huo sikuwa namjua Joshua nilikuja kumjua alipofariki ,namama yako mzazi niliumia Sana alipofariki mwaka uliofwata baada yakuigia pale ndani tukasalimiana badae nikarudy mbea mjini , Mimi natoka Kilimanjaro mbea nilifwata maisha tu
@asnathlaizer60843 жыл бұрын
Amen Hakika Yesu Ananipnd nimetiwa nguvu sana na kuzidi kuona kusonga mbele Be blessed
@apostledavidisimon81794 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu kwa neno la Mungu. Umepanda mbegu. Yesu ataikuza.
@mintheophilussunday18134 жыл бұрын
Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state Nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2348079861301) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you .
@happytimpiyian13474 жыл бұрын
Mungu ni mwema na kila amwaminie ameokoka asant yesu kwa ulizi wako kwangu na nguvu umelinda family yangu 🙏🙏🙏 barikiwa sana mwalimu
@hebronmalatila61864 жыл бұрын
Upendo wa Mungu kwa mtu ni kubwa ! Kuliko Uzinzi au Uaji wako. Mungu ana wapenda hao zaidi yawaliyookoka. Huyu ndiyo Mungu aliye na mimi kabla sijakuwa ktk tumbo la mama yangu.
@costamwasala47364 жыл бұрын
Niko Mbogwe Geita naendelea kufuatilia semina hii kupitia KZbin. Mungu akutie nguvu mwalimu Christopher Mwakasege.
@pendokitomary36984 жыл бұрын
Nimebarikiwa na hya maombi sitabaki nilivyo YESU akubariki sana baba
@lightnessmabeche14613 жыл бұрын
Ubarike mtumishi wa baba mungu azidi kukupa neema na rehema katika maisha yako
@nshokanobruno3720Ай бұрын
Mungu akuzidishiye maisha mwalimu. Ni Romain Baba kutoka kongo bukavu
@sedekiabilijite55164 жыл бұрын
Amen Mwalimu napenda sana masomo yako sana , Mungu anisaidie nikue kiroho ndio hamu yangu na shauku yangu
@kondamurhabazi58322 жыл бұрын
Tunabarikiwa sana na neno la Mungu, neno la uzima kutoka kwa baba Mwalimu. Wewe ni baraka kwa dunia muzima.
@jescajohn76173 жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏 office za huduma za manna kwa Arusha zipo maeneo Gani msaada tafadhali
@salomembugi13123 жыл бұрын
Asante Mungu wetu kwa ajili ya mtumishi wako huyu ,zidi kumtunza Mungu wangu azidi kutufundisha juu ya upendo wako Baba
@catherinekangero56773 жыл бұрын
Asante Roho Mtakatifu..❤️ ubarikiwe baba Mungu wa mbinguni akuwe kwa ajili yetu
@cmyg37633 жыл бұрын
Nabarikiwa na kufunguliwa katika mafundisho haya, Mungu akubariki mtumishi
@marymushi70052 жыл бұрын
Ameeeeeeen Halellujah. Yesu ni Bwana na mwokozi wa maisha yangu.
@tusubilegemtafya55324 жыл бұрын
Kiukweli nikisikiliza mafundisho yako Mungu huwa ananivusha sehemu...Mungu aendelee kukutumia babngu
@hebronmalatila61864 жыл бұрын
Mungu ! Amenifunulia kwamba: yupo palipo na Yesu , Roho wake na mtu aliyezaliwa × 2 ktk roho na moto. Ndo Mungu ameagiza tusiache kukusanyika , maana Mungu anapendezwa zaidi palipo 2 au 3. Fellowship yake Mungu ipo palipo Yesu na Roho mtakatifu au palipo Yesu , Roho na mtu aliyeokoka.
@floridawenceslaus4983 жыл бұрын
Mwalimu na Diana Mwakasege Mungu awabariki mnoo mnoo
@celinameshackcelina46164 жыл бұрын
Napenda sana mahubiri yako mungu akubalik baba
@upendoeliudi51964 жыл бұрын
Aminaa barikiwa sana Mungu akutunze mwalim Christopher mwakasege
@elizabethngasa26763 жыл бұрын
Amen, Pendo la Mungu nilaajabu. Mungu akubariki mwl
@tusekelegejohn57194 жыл бұрын
Liinuliwe na kutukuzwa Mungu uliyehai ktk kriso Yesu amina.
@faiyamulishidi92243 жыл бұрын
Mungu wangu akubariki na azidi kukupaka mafuta ya Roho mtakatifu na ailinde familia yako na hila zote za mwovu kwa Jina la Yesu
@glorylameck44824 жыл бұрын
MUNGU ANANIPENDA... HAKUNA KITAKACHO NITENGA NA UPENDO WA MUNGU 🙏
@kelvingoodluck83794 жыл бұрын
Mbarikiwe sana sana,MUNGU na awaongezee mafunuo kwa Roho wake
@mintheophilussunday18134 жыл бұрын
Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state Nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2348079861301) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you .
@MarthaAlly-y7s3 ай бұрын
Mungu nakuomba ubadilishe historia ya maisha yangu
@fridamamy23504 жыл бұрын
My spiritual father may God bless u Baba yangu,ahsante kwa kunifundisha .kuna siku ulitufundisha somo LA Baba yetu alie mbinguni Limenifungua nasasa hivi nimechukua hatua nimeanza kuujenga ufalme wa Mungu mahali ninapoka.ubarikiwe sasa Baba yangu.
@graceshoo65474 жыл бұрын
Glory to God.
@clintonnjiku36164 жыл бұрын
Ombi langu naomba mungu ambadilishe mumeewangu antoe kàtika kund baya
@denismwambilinge45314 жыл бұрын
MUNGU akusaidie katika JINA LA YESU
@stephanomkanyipelele10463 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu Sana unasimama ktk kweli kutusaidia kweli huu ndyo with kweli umepewa bule unatoa Bure ungekuwa mpigaji pesa ungepiga kwelikwel kwa kuwa tunakuamin
@SistaSelemani8 ай бұрын
Baba Asante maneno mazuri naomba NAMI maombi
@happinesfesto91714 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana mchungaji nabarikiwa sn na kipindi chako Amen.
@judygathoni58614 жыл бұрын
Hallelujah hallelujah I love this be blessed sana am in Qatar
@sureodds64 жыл бұрын
Amen Amen more greetings to you all in Qatar
@sekelabenard Жыл бұрын
Mungu akulinde mtumishi mwalimu baba yetu
@brianbaraka45634 жыл бұрын
Amina Ahsante Yesu kwa kuniweka huru kupitia mtumishi wako 🙏
@محمدالقايد-د6ب3 жыл бұрын
Kwetu sote amen
@WemaSixmund2 ай бұрын
Amina mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana
@maheligati29363 жыл бұрын
Amina mtumishi wa mungu somo limenipa nguvu nimeinuka tena
@maoleminja65143 жыл бұрын
Ni salama rohoni mwangu haijalishi napitia mapito yupo Mungu aokoe
@crissalphonce11074 жыл бұрын
Libarikiwe jina lake yesu alie pendo letu sisi tusio stahili kupokea pendo lake,
@jonaselias93533 жыл бұрын
Amen mtumishi mungu atubarki enenda nami
@helmanmethod26654 жыл бұрын
asante mtumishi wa Mungu hahika nimebalikiwa.amen🙏
@pilimsangi8149 ай бұрын
Ameen🙏 upendo wa Mungu ni waajabu sana
@tamaramrema6424 жыл бұрын
Natafuta hili somo silipati (uwezo wa damu ya yesu kukomboa miguu) naomba msaada
@AnethPeace3 жыл бұрын
Bwana YESU nisaidie,🙌🙌🙌
@oscamjujulu7824 жыл бұрын
Amina, Amina MTUMISHI WA BWANA YESU KRISTO ubarikiwe sana
@emmanuelcimanuka29953 жыл бұрын
Asante kwa neno nzuri umepewa na Mungu
@GGGB20114 жыл бұрын
I really needed to hear this.... Be blessed.
@mintheophilussunday18134 жыл бұрын
Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state Nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2348079861301) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you .
@GGGB20114 жыл бұрын
Really. This is very strange. I think I should contact you
@mintheophilussunday18134 жыл бұрын
@@GGGB2011 you are welcome you need to do it before end of today
@nellumasomelu69004 жыл бұрын
Mungu ananipenda, hallelujah 😭😭 Jesus loves me
@michaelbethuel58084 жыл бұрын
God bless you my teacher
@marcomunuo29034 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu zaidi uzidi kutufundisha
@magrethwilliam47484 жыл бұрын
AMEN Mungu akubariki Mwalimu wetu
@ElizabethJumbe-ch7xn Жыл бұрын
Barikiwa sana mwalimu 🙌🙌🙌🙌🙌
@esthernaxx85082 жыл бұрын
Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu
@robertgodfrey90844 жыл бұрын
mwalimu somo hili nimelipitia leo tarehe 14/08/2020. yani mimi nimerudi duniani, siombi ,sisomi bible,,,,na nmejaribu kuomba lakini sipati amani kabsa ,na ninampenda yesu sitaki dunia iniangamize kabisa.
@robertgodfrey90844 жыл бұрын
nimerudi kwa MUNGU nina amani
@amanitv44684 жыл бұрын
Ubarikiw San maamuz mazur
@fainesimathiasi1793 жыл бұрын
Balikiwa sasa baba mchungaji Mungu akutunze
@furahabeatrice20573 жыл бұрын
Amen, ubarikiwe mtumishi wa MUNGU 🙏🙏
@silasmichael6023 жыл бұрын
napokea katika jina la kristo yesu
@amoswagaz45054 жыл бұрын
Mungu akubariki sana na kuikuza mara dufu huduma yako
@josephmshindo67964 жыл бұрын
Nabarikiwa Sanaa na mungu kupitia mwalimu
@janesemngindo48784 жыл бұрын
Semina hii nimepokea mambo makubwa katika jina la Yesu Kristo amen.
@elimekamathayo19144 жыл бұрын
Haleluya mwalimu nataman kufanyiwa Cancel naww Nina msongo wa mawazo na hofu pia naomba Sana Mungu aniondolee lkn bado
@wiliamvenance47814 жыл бұрын
Mungu ananipenda barikiwa mwl
@happymushi22194 жыл бұрын
Huyu Yesu ni mzuri mnoo- asante mwl
@gracembise9063 жыл бұрын
Asante Bwana Yesu kwakusema na mimi ...
@LucyMwaisunga-d2wАй бұрын
Amen Yesu anabadilisha watu
@christinelihavi40682 жыл бұрын
Upendo wa Mungu ni mkuu mno
@mwinzifrancis13514 жыл бұрын
Man of GOD...be blessed..I love ur teachings..ubarikwe daima...mungu ndie anaeweza kukulipa..sisi nikushukuru..
@brightmollel66984 жыл бұрын
Praise God. It was awesome
@marthermwakyobwe97943 жыл бұрын
Nasikia raha kwamba YESU ananiambia ananipenda.Mungu akubariki na timu yote .
@yolandaliyoya18393 жыл бұрын
AMINA,,MUNGUAKUBARIKI MWALIMU
@tusekelegejohn57194 жыл бұрын
Asante kumzaa mtoto wako huyu na kwa kumwita kwa jina lake maana kuna wazazi wanazaa lakini hawawaiti watoto wao kwa majina yao na kwa majina ya sifa liinuliwe jina utukufu na heshima vikurudie ww
@danielyfussy37114 жыл бұрын
Ubarikiwe MTumishi
@BwikemoMwamgunda4 ай бұрын
Upendo wa Mungu ni mkubwa mno
@christinamwambola93294 жыл бұрын
Amen Mwalimu Mungu akutunze ili watu wengi tuweze kujua pendo la Mungu lilivyo kubwa
@ndeshukurwakaaya43852 жыл бұрын
It is well it is well indeed with my soul, it is well well with my SOUL. ASANTE YESU. 🙏
@winniepeter30124 жыл бұрын
Asante dady, uzidi kubarikiwa
@stellakimambo59084 жыл бұрын
Mbarikiwe watumishi
@ilenestephano89353 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu🙏🙏🙏🙏
@paulosilayo86164 жыл бұрын
Asante baba kwa kuniongezea ufahau juu ya upendo 1Wakoritho 13:1......
@annapakya82034 жыл бұрын
Barikiwa mtumish wa MUNGU
@محمدالقايد-د6ب3 жыл бұрын
Mungu ananipenda Mungu ananipenda Mungu ananipenda
@emmanuelmollel70274 жыл бұрын
Ee mungu ishe milele tunakuomba uendele kutubariki kwa sikia nakupokea
@kenedimchina76644 жыл бұрын
Mungu akubarik sana ( Godbless father)
@jescarwegoshola72313 жыл бұрын
Amen, Ubarikiwe Mwl🙏
@marypaul19814 жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe mtumishi naitwa mary nipo msumbuji kupitia semina hii niliyoitizama leo tarehe 21/8nimempokea yesu maana nilirudi nyuma Noamba uniombee ili Mungu aendelee kunitunza ndani yake
@cctvtz30174 жыл бұрын
Bwana akubariki Mtumishi watoto wangu niwalevi, niko Daresalama yombo Vituka, Nami nimemtolea Mungu wangu aokowe watoto wangu ni Monica Marco, Sina raha Nami napenda Yesu na natumika nikiwa na jaribu Hilo niombee
@lucaslaizer3543 жыл бұрын
mpendwa usife moyo Mungu yu hai soma isaya 1.18.
@marcelafrancis53674 жыл бұрын
Barikiwa Mwalimu
@bershazamtumishi49504 жыл бұрын
Mungu akubaloki kwa mafundisho mazuri
@alindatheonest37344 жыл бұрын
Amen nimebarikiwa
@kaymsafi3 жыл бұрын
NEW SUBSCRIBER... I'M BLESSED
@EstaIshengoma2 ай бұрын
Mungu akubariki
@MagrethMadila-nz4vo7 ай бұрын
Ubarikiweerr
@anethmashaka68994 жыл бұрын
Amen!!! May God bless you moreee and moreeee our father
@happyflavor55494 жыл бұрын
YESU ninakupenda
@marrybarikiwasanareuben79473 жыл бұрын
Mungu naomba akubarki mtumishi naitwa marry nipo katavi mtumishi naomba uje na huku katavi tunkuhitaji maana Mambo ya Giza ni mengi njooo baba utulishe katavi