Mwanzo Mwisho Lissu Afunguka Kilichotokea Mbeya

  Рет қаралды 44,290

The Chanzo

The Chanzo

Күн бұрын

Пікірлер: 95
@shakiru-y7g
@shakiru-y7g 2 ай бұрын
msajili aisajili polisi tuijue kuwa nao ni chama cha siasa,polisi mmezidi.
@AyubuMwambola-j3k
@AyubuMwambola-j3k 2 ай бұрын
Mipango ya Tulia ,Sasa dada huyo mbona ana roho mbaya ya kuzimu,alafu anajifanya ameokoka,huyo ni jehanamu TU,
@KuzenzaSangija
@KuzenzaSangija 2 ай бұрын
Asante sana kiongozi Kwa taarifa Kwa uma wa wa Tanzania Kwa dhuluma ya haki ya kiasili na kikatiba iliyofanywa na PT.
@isackmachiyanshoka6754
@isackmachiyanshoka6754 2 ай бұрын
Dah amakweli CHADEMA, mmefanyiwa ukatili, polen sana, nalaani kitendo hiki.
@eliasharun3273
@eliasharun3273 2 ай бұрын
Huyo aliyekuja kufanya fujo,Chadema mshitakini mahakamani yeye Binafsi
@IssaAlly-lp4uf
@IssaAlly-lp4uf 2 ай бұрын
Poleni sana ila matendo yao yoooote Allah anayaona
@adeltuszakumuha9618
@adeltuszakumuha9618 2 ай бұрын
Kuna ujinga mwingi unaendelea nchini kwetu.
@leothardngonya4842
@leothardngonya4842 2 ай бұрын
Sasa unangoja nini? Na wewe leta ujinga wako ukione cha moto. Mnamtetea Mm Belgiji!!!!
@MasumbukoZuhumpa
@MasumbukoZuhumpa 2 ай бұрын
Poleni sana
@RutinikiGosbert
@RutinikiGosbert 2 ай бұрын
Msajili tafazari sana tusajilie polisi kama chama cha upinzani tunaomba sana
@LwitikoLubalile
@LwitikoLubalile 2 ай бұрын
Kiongozi sugu au mbilinyi mungu akuponye Alaska uludi kwenye kazi zako za kichama na kitaifa
@mst1studio270
@mst1studio270 2 ай бұрын
Mbona sioni Star tv? Itv? Au Kwanini huwa hawahudulii vikao vya Chadema?
@alphoncekagezi4950
@alphoncekagezi4950 2 ай бұрын
Kura 1 aliyokosa mgombea kanda ya mbeya inaweza kulipwa na adhabu ambazo hazikuwahi kuwako duniani .
@shakiru-y7g
@shakiru-y7g 2 ай бұрын
polisi waliofanya kamatakamata Mbeya ni magaidi,wafunguliwe kesi ya kimataifa na wakafungwe geleza la Gwantanamo,sio polisi hao ,hilo jina la usalama wa Taifa lifutwe,hawa ni wahasi wa polisi.
@AlfredAlfred-yd2mg
@AlfredAlfred-yd2mg 2 ай бұрын
Mungu atakupa njia lisu pigania haki hata manabii walipata. Vikwazo
@SleepyBacon-hy2lv
@SleepyBacon-hy2lv 2 ай бұрын
heshima kwako prof Tundu Lossy...uwezo wako na akili zako tunachukua za mama plus majaliwa na bado hazitimiii..shikamoo kwako🌹🌹🌹
@MelchizedekMajimbe
@MelchizedekMajimbe 2 ай бұрын
Sihami Tanzania maana Ni nchi isio jaliiii haki kabisa 😂😂😂😂😂😂
@fabianmihafu697
@fabianmihafu697 2 ай бұрын
Inaonekana ma RPC na Ma RCO hawakuwa na shida, ni huyu kiongozi wa operation ndiye ayeamuru unyanyasaji huo. Anyway yana mwisho. Poleni sana wahanga
@chaleschales7024
@chaleschales7024 2 ай бұрын
Ipo siku atayajibu haya cdm mungu awasaidie
@MubaKamlete
@MubaKamlete 2 ай бұрын
Poleni sana mungu ibariki Tanganyika
@AbdallaMwagora-sm1rj
@AbdallaMwagora-sm1rj 2 ай бұрын
UVCCM NA BAVICHA WANATOFAUTI GANI WOTE NI WATANZANIA WAZALENDO WENYE HAKI YA KUJUA HATMA YA TAIFA LAO KIUCHUMI,KIDEMOKRASIA ,NA KISIASA PIA ,LKN MBONA POLICE INAGAWANYA WATU KWA KUWABAGUA?
@shakiru-y7g
@shakiru-y7g 2 ай бұрын
pole sana
@felistersnjani6252
@felistersnjani6252 2 ай бұрын
Your freedom is coming
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh 2 ай бұрын
Pole I sana msikate tamaa jihadharini na fitina za mtandao I ccm wanataka mhame chadema kuwebi makinibsana
@SichivulaGevasi
@SichivulaGevasi 2 ай бұрын
Poleni sana
@shakiru-y7g
@shakiru-y7g 2 ай бұрын
wananchi tukiwakataa polisi ,sidhani hata kama mitaani watapita,labda watakuwa wa ofisini tu,nchi yetu hila za maagizo ya juu yanaumiza raia,hakutatawalika kama hali ni hii.
@dittosanga3358
@dittosanga3358 2 ай бұрын
Poleni sana wanachama wa M4C
@leothardngonya4842
@leothardngonya4842 2 ай бұрын
Nenda kwenu.
@daviddsouza735
@daviddsouza735 2 ай бұрын
Kwenye giza - nikimaanisha kwamba elimu yetu ya uraia na mengineyo ni mdogo kwa jumla - mambo mengi yanaweza kuharibika. Pole kwa wote walioumiwza na kikosi kilichotakiwa kuwalinda.
@MasumbukoZuhumpa
@MasumbukoZuhumpa 2 ай бұрын
MUNGU ni mwema, ipo ck tutafika
@SeverineMubezi
@SeverineMubezi 2 ай бұрын
Zidi kuwa jasiri ili kutetea haki ya wanyonge
@suzanaherman
@suzanaherman 2 ай бұрын
Uko vzur
@gililwise
@gililwise 2 ай бұрын
Nimekuelewa kiongozi number hao waliozuia ni vilaza walifeli shule maana hawajui sheria wanakurupuka tu.wachukuliwe hatua kwa kukurupuka Wakefield jela
@godfreykahabi1964
@godfreykahabi1964 2 ай бұрын
Rais halali wa mioyo ya watanzania mhe Tundu Antipas Mugwahi Lissu
@DivNg27
@DivNg27 2 ай бұрын
Kiukweli kabisa hawezi kua Rais wetu,labda kazi nyingne...Rais anaeunga mkono Ushoga hapana,hatumtaki.
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 2 ай бұрын
​@@DivNg27 aliyewaambieni fanyaneni ninyi kwa ninyi wenye misuli kumbe alikuwa Lissu?😂😂😂
@ProsperReuben-fg6uh
@ProsperReuben-fg6uh 2 ай бұрын
V​@@DivNg27mbona tunaongozwa na yule aliyesema wakubwa wafanyane ila watoto hapana huyo hukumsikia?
@RutinikiGosbert
@RutinikiGosbert 2 ай бұрын
​@@DivNg27wewe ndo shoga
@sylvesterlombe6366
@sylvesterlombe6366 2 ай бұрын
In Zambia opposition party leaders are arrested quite frequently but they are never beaten
@HadijaSelemn
@HadijaSelemn 2 ай бұрын
Yuko vzr😅
@momylaviel
@momylaviel 2 ай бұрын
Nchiii hiiii😢😢
@Eliaskasanya-hm5yk
@Eliaskasanya-hm5yk 2 ай бұрын
Kama ilikuwa ni maadhimisho ya siku vijana dukiaji ninyi viongozi wa kitaifa mlifuata nn . Mngewaacha vijana waongee mambo yao na ninyi kama mlikuwa na nia ya kufanya mkutano na maandamano mngepanga siku nyingine. Mlijitakia wenyewe huo mvutano
@giftotaru5808
@giftotaru5808 2 ай бұрын
Bnafc mimi ccm lkn kilichofanyika nimekilaaani haswa Mungu mtakatifu aliejuu akasema nakutoa majibu juu ya wote waloshiriki huu unyama wa namna hii. Tanzania 🇹🇿 wte ni wamoja haki zote zinapiganiwa niza watanzania wte sion sababu yakutiana vilema wakati wote ss tunapita tutakufa na kila kitu kitabakia
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 2 ай бұрын
Kumeanza kuchangamka sasa uchaguzi wa serikali za mitaa
@AthumaniMikindo
@AthumaniMikindo 2 ай бұрын
Mbona wao ccm walifanya Kule Zanzibar Ninani Aliwazuwiya Ama Akinya Bata kaharisha Akinya kuku kanya Wache upumbavu hii nchi Sio ya ccm kama wanavyozani hiyapa nchi Niyawatanzania Alafu awapolisi hawa Wache kuchegamia upande mmoja
@josephmkinga9509
@josephmkinga9509 2 ай бұрын
lissu Mungu akuongoze akupe nguvu zaid na msaada wa pekee cc tumechoka chama cha bunge la ndio bandali kuuzwa ndiooo wamasai kondolewa wao ndiooo hayana huruma hata kidogo yanashindana kwa vioyoyoz2 na mav8 ya dpwd
@emanuelymichael9759
@emanuelymichael9759 2 ай бұрын
Wala nchi ni ccm wanajikusanyia pesa na kuficha nchi za nje tunaachiwa umasikini. Mabadiliko lazima "lissu ww mkorofi unamwita mwenzio shost😂😂😂"
@dittosanga3358
@dittosanga3358 2 ай бұрын
Chukua piacha hapo hao viongozi wakubwa je?raia huku mtaani ipoje
@gilbertalkado8105
@gilbertalkado8105 Ай бұрын
EeMungu ingilia,kati kuliokoa,Taifa,hili'lililo vamiwa,najinamizi la hofu kwa watawala wa nchi hii kwani hikikinacho tokea ni,uthibitisho kwamba wanazima juhudi za watu wanao tetea maslahi ya Nchi na kutaka wao waachwe waendelee kudhurum haki za watu
@JamesMwandoje
@JamesMwandoje 2 ай бұрын
CCM juuu....🎉🎉🎉😂😂😂
@BlessMwangosi-mz8dw
@BlessMwangosi-mz8dw 2 ай бұрын
Njamazatulia
@WillisonMkumbo
@WillisonMkumbo 2 ай бұрын
We lissu utaja kufa,punguza uhuni imesha zeeka
@FilbertKalembe-fy4oq
@FilbertKalembe-fy4oq 2 ай бұрын
Lisu hiz tabu zote sasa za nini achana na siasa watanzania siyo watu maisha yetu ni magumu lakini hatutaki kuelewa kwamba upinzani umetuondolea tongotongo machoni
@RajabuLanda
@RajabuLanda 2 ай бұрын
Eti ccm itajenga nnchi kutuweka mambumbucha watanzania
@AbuuAli-nf4fb
@AbuuAli-nf4fb 2 ай бұрын
Lissu Hana tafauti na migunamiguna WA Kenya yeye hukimbilia ujerumani na miguna anakikia norway
@driss4957
@driss4957 2 ай бұрын
DHULMA INAENDA NA SHETANI HAKI NI YA MUNGU....TUTAONA MSHINDI NANI...HAKI INA TABIA YA KUCHELEWA TY...NA IKIFIKA HUDUMU MILELE..
@FrankasamisyeMwaiswasu
@FrankasamisyeMwaiswasu 2 ай бұрын
Ccm wanafanya unyama sana na polisi wao
@asajileraphael1951
@asajileraphael1951 2 ай бұрын
Moto umewaka
@HemedKiama
@HemedKiama 2 ай бұрын
Hahaaa😂!..Mh lisu mwanaume akishakua shosti hafai kabisa!.
@AyubuMwambola-j3k
@AyubuMwambola-j3k 2 ай бұрын
Mungu awakumbuke kujitolea kuikomboa Tanzania kwenye utawala wa mkoloni CCM na viongozi wake,wanajifanya ni wa milele ,Kwa ukatili huo watalipa mbele za mungu
@HemedKiama
@HemedKiama 2 ай бұрын
Mungu akupe maisha Lissu chadema ije itawale nchi hii,ccm hovyo kabisa Kila ushenzi ni wao,kuteka,kutesa,kuua,wizi,dhuluma Kila aina ya ushetani,mkafie mbali!..
@paulmathias6328
@paulmathias6328 2 ай бұрын
Hiiiiiii imesha kuwa shida
@willymkapa-fb6bj
@willymkapa-fb6bj 2 ай бұрын
😢
@IssaAlly-lp4uf
@IssaAlly-lp4uf 2 ай бұрын
Nawao wataenda pigwa na Allah makaburini kwao bado mda mchachetu
@AlfredAlfred-yd2mg
@AlfredAlfred-yd2mg 2 ай бұрын
Polisi mshafanya mengi kutetea ccm ahsant mliopata kikokotoo !!
@shakiru-y7g
@shakiru-y7g 2 ай бұрын
Hatutapiga kura hadi haki zote ziwepo.katiba sio ya kubembeleza ni ya lazima.
@JuliasMwita-c2l
@JuliasMwita-c2l 2 ай бұрын
Tuone hao watu wanachukuliwa hatua mahakamani mheshimiwa.
@palokuthereza2555
@palokuthereza2555 2 ай бұрын
April walimpiga dogo huko Kilimanjaro nilijua kafa wakamsweka kwenye ligari Lina tinted jeupe tulitafuta mwisho tukamkuta Boma Wilaya ya hai nikajua kafa tumemtafuta masaa 6 tunaoga matusi tu mwisho wakagundua Mi siwaogopi wakanifukuza Thanks to RPC wa Kilimanjaro wakamtoa dogo Imagine hujuani na watu dogo angekufa maana nae aliwapa mitama 😅😅maana aliona anaonewa all in All nchi inatisha
@IsaacPhilemon-mt7bk
@IsaacPhilemon-mt7bk 2 ай бұрын
Uzuri wa Tundukisu ni mkweli,check anavoongea ukweli kuhusu barua alizoandikiwa.Hongera sana Antipass Lissu.
@shakiru-y7g
@shakiru-y7g 2 ай бұрын
Hao ni wauwaji kama wauwaji wengine,tukio hilo linashabiliana na mauaji.
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 2 ай бұрын
Ndio kamanda ao mapolisi wafungweee jelaa
@rachelstephen3009
@rachelstephen3009 2 ай бұрын
Uonevu uwoo
@johnbundala7596
@johnbundala7596 2 ай бұрын
Dah huyu kantimbo mbarikiwa kashamtaja saaana.
@dostovan5142
@dostovan5142 2 ай бұрын
Pilisi = chama cha siasa
@evelina9621
@evelina9621 2 ай бұрын
Lusu.poleni.sana.mu ngu.awe.na nyi.siku.zote.vyama.hass.chadema
@shakiru-y7g
@shakiru-y7g 2 ай бұрын
mimi sina chama hila uonevu kama mtanzania siupendi,tuko kwenye zama za kishetani.
@philemornmutta1597
@philemornmutta1597 2 ай бұрын
Hivi polis ni chama kipi cha siasa?
@QwakuHangu
@QwakuHangu 2 ай бұрын
Hivi hiki chama msemaji ninani?maana huku mbowe huku lisu Yan sielewi
@IsayaSosolo-nx8zk
@IsayaSosolo-nx8zk 2 ай бұрын
Mama yako anaweza kutufaa kuwa msemaji na atakacho kitaka atapewa!
@Iddi-xw7vw
@Iddi-xw7vw 2 ай бұрын
Mnambwela. kaka.
@othmarluwawilo8308
@othmarluwawilo8308 2 ай бұрын
Idhini ya Samia mkuu wa majeshi, ya kuruhusu uovu huu wa matumizi makubwa ya rasilimali fedha na vyombo vya usafiri, ilikuwa akili? Au tunaongozwa na mamluki.
@JosephatJoseph-eo8xj
@JosephatJoseph-eo8xj 2 ай бұрын
Turuhusu wakipate
@JosephatJoseph-eo8xj
@JosephatJoseph-eo8xj 2 ай бұрын
Tuvipige
@LwitikoLubalile
@LwitikoLubalile 2 ай бұрын
Viongzi wangu mungu awape maisha marefu kwa kile kilichokwenda kutokea kwenye sherehe ya vijana dunia
@IssaIra-j9u
@IssaIra-j9u 2 ай бұрын
Msikubali uwonevu , fanyeni ,tukio moja Dunia , ijue, Hivi mpaka lini,😢😢
@AziCure
@AziCure 2 ай бұрын
WASAKATONGE😅😅
@QwakuHangu
@QwakuHangu 2 ай бұрын
Darasa Gani usiku kucha?
@emmanuelqaday6949
@emmanuelqaday6949 2 ай бұрын
Bingwa wa kulalamika
@askarikanzu1054
@askarikanzu1054 2 ай бұрын
Umekipta ulichokuwa unakitafuta.
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 2 ай бұрын
We mginga Bado ww sasa kupigwa nalaiyaaa
@MkuyuAnderson
@MkuyuAnderson 2 ай бұрын
Wee mjinga xana kupigwa kwake kwako fulaha
@JosephatJoseph-eo8xj
@JosephatJoseph-eo8xj 2 ай бұрын
Mbwa
Wait for the last one 🤣🤣 #shorts #minecraft
00:28
Cosmo Guy
Рет қаралды 13 МЛН
Как не носить с собой вещи
00:31
Miracle
Рет қаралды 1,8 МЛН
Elza love to eat chiken🍗⚡ #dog #pets
00:17
ElzaDog
Рет қаралды 9 МЛН
This dad wins Halloween! 🎃💀
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 23 МЛН
SABABU SAKATA LA DKT TULIA ACKSON, SIYO WA KWANZA KUSHUTUMIWA
13:22
TAMKO KALI LA LISSU BAADA YA POLISI KUZINGIRA OFISI YA CHADEMA MBEYA
8:59
Wait for the last one 🤣🤣 #shorts #minecraft
00:28
Cosmo Guy
Рет қаралды 13 МЛН