Bwana wetu Yesu Kristo akusaidie mtumishi ulie towa fundisho baada ya Pastor Dickson, licha ya kwamba hauku jitambulisha kwa majina, ila tu nimeshukuru kwa fundisho lako, Wewe na Dickson muko sawa sawa kimafundisho Amena
@RonikeLushiya3 күн бұрын
Kwa maana umetowa mfano kuhusu roho mtakatifu, mitume kila mmoja wao walijazwa roho, Je zilikua roho ngapi? Pili Yesu alimkuta paulo akiwa anaenda Damaski kwa kauli ya kuwaua waaminio wa Yesu Kristo, Je alikua nani kipindi hicho Kwa maana alijitambulisha kwamba mimi ni Yesu unaye nitesa... Naomba maelezo juu ya mambo hayo
@AbinaelMomanyi6 күн бұрын
Mwalimu Dickson mafunzo yako yanafaa ni mazuri naomba tu wafunuliwe macho wajifunze wala s kupinga
@RonikeLushiya3 күн бұрын
PASTOR DICKSON BWANA WETU YESU KRISTO AWE NAWE... AMENA
@GLOBALADVENTMINISTRIES-p8l6 күн бұрын
Huyu dickson anajitafsiria ameachana na tafsiri iliyopo kwenye maandiko..hii ayubu 33:4 inasema "roho👉 ya👈 Mungu 👉imeniumba👈 anabadilisha akasema "wa" "ameniumba" balaa sana hajui ngeli..
@GLOBALADVENTMINISTRIES-p8l6 күн бұрын
Kwani lugha ya mwanadamu kwa Biblia ni gani na lugha ya Mungu kwa Bibkia ni gani? Na tunafaa kuelewa gani? Ya Mungu ama ya mwanadamu?
@Erickabunyi5 күн бұрын
Dickson unanena roho ya pumzi?ambayo iko na kila mtu?ama gani.