Barikiwa saana mtumishi wa Mungu Ndacha hao wamefichwa ya Roho ni naomba Mungu awafunulie ya rohoni
@muznazahra45511 ай бұрын
Shukran Shekh wetu na wote walofanikishakikao hicho ,JAZAKUMULLAH KHAIR JAZAA.
@joelrotich1306 Жыл бұрын
Wonderful conversations this making me to be achristian indeed, thanks to pastor Ndacha, God leading to inspire and spiritual grew more strong, Amen..
@EvMichaelMwaura Жыл бұрын
God bless you Mwalimu Ndacha. I have come to know you lately and I love what you are doing in the body of Christ. You're a great inspiration in and to the body of Christ.
@ZenaNekesa-sx7qf Жыл бұрын
You are the false prophet that God said you will come during the end tyms
@MatanoMatandi10 ай бұрын
B4 supporting something read and understand it,cz you call your self born again Christians believing in Jesus,Most of you you're followers of Paulo and not Jesus,read warumi 11,mstari 13,Then tell me 10 countries that yesu alihubiri injili apert from israel
@JustinaMalugu-pd6kf8 ай бұрын
Mwalimu Ndacha Ubarikiwe na Songa mbele
@shabanindadaye480 Жыл бұрын
Alihmundulilahi ya Allah mubark shekhe mazing mupanuliyekifuwacak azid kuwailimisha wadjawako
@AlainKakudji9 ай бұрын
Merci cher Pasteur de Jésus-Christ nous sommes ensemble depuis D.R.Congo.
@ClassicMsisili Жыл бұрын
Alhamdoulillah im Muslim Ya barriq barik shekh mazinge
@omarizanda Жыл бұрын
Alhamdulillah, ustadh Mazinge and your colleagues spread the holy Quran and all books of God which mentioned only one God, I'm proud to be Muslim
@Andaybuidingworks10 ай бұрын
potea kabisa. 😂 uisilamu ya Muhammad
@amesaosman99075 ай бұрын
samahani unakusudia nini@@Andaybuidingworks
@SurprisedBreadLoaf-bo3ze4 ай бұрын
Kumbe wewe umepotea mzee
@ZuberiMustaf26 күн бұрын
Swa ww usiyepotea Mungu wako katairiwa 😂😂@@Andaybuidingworks
@mohabro9521 Жыл бұрын
Ustaadh mazinge MUNGU akubariki ndugu yangu akujalie kila la kheri
@naksphraits423711 ай бұрын
Mungu mgani unazungumzia?
@antonyndinga889010 ай бұрын
Hapa nimeelewa, Kuna mambo ktk roho na Kuna mambo ktk mwili. Inavyoonekana wakristo wanajua katika mwili na roho lakini waislamu wanajua ktk mwili
@fimboyamusadavy1808 ай бұрын
Asanti sana mwalimu Ndacha
@dankonkwibe2032 Жыл бұрын
Ndacha iam a congolese but you are contribute in the body Of Christ. IAM learned more in your teaching may dear Pastor and your Paulo Who read the books, i love you so much
@sammagesa81842 жыл бұрын
Ndacha kiboko ya mazinge..... ....alaf mazinge huna hoja ila unapiga kelele tu.... Pastor ndacha Mungu akubariki sana....
Anashinda akibweka na hana kitu ya kusema,,kupoteza mda tungekua tunasikiza Ndacha
@adamsaid-ze1jw Жыл бұрын
Ww ujitambui mungu ana baba unajitambua nyie mungu akufananishwa na ki2 chochote jitambueni nyinyi yaan daah inalilah waina lilahi lajion
@FauziaMohammed-p4x Жыл бұрын
hahahaaa amumuezi Mazinge kiboko yao😅😅
@yassirswaleh7127 Жыл бұрын
Na unakaa unaamini mungu mfu. Mungu kafa msalabani na unakaa unapoteza mda kuabudu mungu ambae tayari alishakufa
@DrNelsonJohnMuhirwe7 ай бұрын
Nimeamini Pastor Ndacha Amebarikiwa na MUNGU Amepewa Hakili na Elimu ya kutosha Mungu Akubariki Pastor japokuwa wa islama nivichwangumu hawa sikie
@xaliimacabdullahi-lb8iz Жыл бұрын
MashaAllah ustadh Mazinge,,, wafunze Hawa waliopotea,,,
@SurprisedBreadLoaf-bo3ze4 ай бұрын
Mzee umepotea
@FaithDoha Жыл бұрын
Tangu nianze kufwatilia maandiko haya na mafundisho haya akika nimejua ukiwa katika roho mtakatifu ndio utaelewa walakini kaa hauna roho mtakatifu uwezi elewa thanks mr Ndacha
@JustinaMalugu-pd6kf8 ай бұрын
mtumishi songa mbele
@Dominant978 ай бұрын
Hakika
@SurprisedBreadLoaf-bo3ze4 ай бұрын
I love christianity
@yassirswaleh71273 ай бұрын
Mungu anaomba msaada
@assanisadiradja5130Ай бұрын
Mungu ni roho. Ukitaka kumuelewa inakubidi uwe mu roho apana mu mwili. Yohana 4:23-24.
@ibrahimfarha3853 Жыл бұрын
Alhamdullillah kwa neemah ya u Islam ......Allah awahifadhi wahadhiri wetu
@MesaidiBambaulo10 ай бұрын
Amiin
@theheraldbroadcastingnetwo483616 күн бұрын
😢 waislamu hawana roho....faida iko wapi,kwa kuhelewa maadiko
@GameChumaTz Жыл бұрын
Akupe maisha marefu shekh wetu mazinge
@maymunamakungu6265 Жыл бұрын
Amin yarabb
@africanking9004 Жыл бұрын
may God bless you ndacha for unvailing the gospel to them
@EvaristeMigalos-z3j5 ай бұрын
Hakika wew ni mtumishi wa Mungu Mungu akulzidishie hekima na maarifa
@nsubiraphael8514 Жыл бұрын
Dacha ubarikiwe ubarikiwe,unalifahamu neno la mungu,wafundishe
@emmahosoro87642 жыл бұрын
Nashukuru sana pst ndacha mungu akusidizie neema.allready waisilamu wamekubali kuwa yesu ni mwana wangu kutoka kwa kitabu cha yohana 3:16
@michaelbaton77112 жыл бұрын
kwa kifupi tu huyu mzee anaonesha jinsi alivyo amua mwenyewe kuhungana na shetani kumpinga yesu
@samwelrobeth77632 жыл бұрын
@@michaelbaton7711 Yani Hawa JAMAA Wana roho ya mpinga kristo ndani yao hata na wao bila kujua Kama Wana roho ya mpinga kristo ,na Ile roho huwapofusha fikra wajione Wana elim ya dini na kadharika Ila Ni wapinga kristo,Ila hatuna la kuwalaum maana walitabiriwa na lazima walitimize hilo ili andko litimie,na sisi ni wajib wetu kuwahubilia ili wasije wapoteza wengine
@countercheck8872 жыл бұрын
God bless you abundantly Pst Ndacha. Hawa makafiri wanamkana Yesu hadharani buy try to misinterpret the Bible verses. Reciting Koran or Reciting the Bible is totally different from reading the Bible and having the Revelation of the Bible.
@JamaliZidadu-jd1nl Жыл бұрын
Ishu ni kwamba yesu ni mtot wa mungu ila sio mungu na kutumia jina la mungu haimaanishi kua ni mungu saw
@khermisybonaya37412 жыл бұрын
Allah ampe Umri Mrefu wenye kheri hyo Mzee wetu *Mazinge* na ajaalie wawe wengi mfano wake🤲 khusuusan katka sisi vijana, ama kwa ndugu zetu ktka ubinadamu Allah awape hidaya ya kumtambua na kumuabudu yy🤲
@jamesombaso94932 жыл бұрын
Yaaani bado mnaami uongo
@scofiotdangote75762 жыл бұрын
Amin
@joasgeorge37102 жыл бұрын
Kwa lipi mwaminini Yesu acheni Ujinga Hali mkijua Maalifa Yesu ni Mungu
@arabicgrammarchannel1162 Жыл бұрын
Dini ya uislamu ni dini ya ukweli
@yassirswaleh7127 Жыл бұрын
@@joasgeorge3710 hatuabudu mungu aliyetahiriwa
@shanxander47218 ай бұрын
je suis ravi de joie de pouvoir retrouve cette chaine
@evanskhaoya566 Жыл бұрын
i love this, may ALLAH BLESS YOU ALL
@MensonSichinga-rs3mg10 ай бұрын
Habari uko nampenda sana unavyofundisha wa isilamu mungu akuongezee roho ili wa mujue yesu
@annendegwa23752 жыл бұрын
I'm happy to see you standing firm ndacha for christ.they want it to look like campaign, but you make them understand in a polite way.God bless you.
@Hussayn21 Жыл бұрын
Soma kitabu na uchukue Maandiko na Ukajifanyie utafiti wala sio Ushabiki, Ndacha Kaongea nini! Acha ushafiki! Ndacha hana jipya mungu yupi ywa tahiriwa wewe vipi. Majidiliano kusudi yake ni kuelimishwa chukueni maandiko
@mabascorcarpitow1819 Жыл бұрын
Do your research from what ndacha said,on both religions....you'll find that on Muslim side is actually not true and he doesn't finish the verses
@yesuanikumbukejanuary8363 Жыл бұрын
Yupo vizuri saana .
@ArcadiusAndove-sp5dy Жыл бұрын
My God bless you mtumishi ndacha watoe kwenye upovu huo wajue akuna lisilo wesekana kwa mungu
@mohamedyeslam5194 Жыл бұрын
Mashallah sheikh Mazinge
@yohanakiyumbi4795 Жыл бұрын
Hongera Saana,,, Excellent,,, Fantastic,,, glorious Pastor Ndacha hakika Unasoma Mnoo Biblia kisha unajua sn kuelezea kwa kina kbs kuhusu Yesu Kristo Pamoja na Dini yote ya Kikristo.... najivunia Saana kuwa Mkristo naipenda sn Dini yangu Milele Daima 🙏🙏🙏🙏
@California9451 Жыл бұрын
Umeona eeh, yani ana roho mtakatifu
@bullermgana213 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/govSYmWOiq2eY9k
@saphinalutaha9077 Жыл бұрын
Hakuna ktu apo
@ShabaniSechambo-lk3jb Жыл бұрын
Pole kama ww nimkristo,imeandikwa amepotea yoyote amtegemeae mtu kama mungu wake.
@bigmanfish6346 Жыл бұрын
Bro read bible carefully. You are at wrong
@mutulaObedi9 ай бұрын
Mweshimiwa MZEE ndacha ubarikiwe na Mungu wahubiri hao wa mujuwe Yesu kwamba Neno la Mungu tena alikuwa Mungu nayote imefanyika kwa Neno' ila wa eslamu Wana maneno ila hawana Neno ' njo mana hupuruka puruka tu.
@saphinalutaha9077 Жыл бұрын
Mungu ampe afya njema maznge❤❤❤❤❤
@NxhfiNtjfif5 ай бұрын
Allahumma Amiiyn
@NxhfiNtjfif5 ай бұрын
Mazinge, Allah akupe umri mreefu wenye kheri na Baraka
@barakaelias11162 жыл бұрын
Mtumish NDASHA Mungu akupe nguvu ya kuendelea kuutetea UKRISTO.
@Hussayn21 Жыл бұрын
Soma kitabu na uchukue Maandiko na Ukajifanyie utafiti wala sio Ushabiki, Ndacha Kaongea nini! Acha ushafiki
@nzizajovinpaul4955 Жыл бұрын
Utukufu na heshima bwana Yesu kristo nizako Milele na Milele Amen.
@mohamedyeslam5194 Жыл бұрын
Hana lolote huyo ndacha,Mazinge ndio kiboko Yao,Allah Ampe sheikh mazinge Umbri mrefu
@FrancisRobert-q5u6 ай бұрын
Safi sana kazi njema mtumishi wa Mungu ndacha
@samhansie39642 жыл бұрын
Barikiwa sanaaaa mwalim ndacha Mungu akuweke sanaa kwa ajili yetuu 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
@justinmguluka43852 жыл бұрын
Safi
@VigardSakani8 ай бұрын
Barikiwa pastor
@yusuphlule52542 жыл бұрын
Daah! Kwakweli uislamu Ni msiba! Hivi haya Ni majibu ya swali aliloulizwa kweli? Asante yeah kwa kutufunulia haya.
@legend9805 Жыл бұрын
Wewe ndio una msiba pole sanaa. Yesu anaomba msaada kwa mungu alafu awe mungu loo
@RIO-jf9mo Жыл бұрын
@@legend9805 Aliomba msaada wapi..!?
@legend9805 Жыл бұрын
@@RIO-jf9mo nenda kasome bibilia vizuri yesu aliomba mungu amnyanyuwe juu
@RIO-jf9mo Жыл бұрын
@@legend9805 hasa si alikuwa binadamu ...hasa ngoja nikuulize MUNGU ana uwezo wa kufanya lolote na anajua mbele kutafanyika nini ...hasa mbona asizuie hicho kitu kufanyika ingali ana uwezo ....jiulize ...wewe ...sababu ni kuwa yesu alifanyika mwili na ilimpasa afanye yote kufundisha watu kama nyinyi ....alikua na uwezo wa kufanya lolote ila alifwata utaratibu tu Kama binadamu ili mumuelwe ...
@legend9805 Жыл бұрын
@@RIO-jf9mo yesu alizaliwa sasa mungu gani yuwazaliwa na binadamu
@AristoteNkurunziza2 ай бұрын
Barikiwa parto wafunze waamini Bwana Yesu
@mwazanialiishehe17842 жыл бұрын
Yohane 1 1 Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. 2 Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.
@robertmnyanyika5252 жыл бұрын
Ndacha ubarikiwe sana uwanja ni wako na Roho mtakatifu fanyeni yenu hapo Naona hawana jipya hao nikweli lazima tuwafahamishe kwa lazima huyu Yesu
@ZainabuMwambashi Жыл бұрын
Allha akulinde shehe wetu wewe ndacha kubali yesu sio Mungu
@whitetigerprincy588210 ай бұрын
hupo gizani
@LuisFaustinoLuis7 ай бұрын
Nakukubali sana ndacha mungu akubaliki sana amina
@yusuphlule52542 жыл бұрын
Poleni Sana ndugu zetu waislamu kwa Hilo giza lililowafunika kwakweli MUNGU AWASAIDIE KWAKWELI MAANA BAADA YA YOTE KUNA HUKUMU MBAYA SANA ,NA KWAKEJELI MLIZONAZO!
@cabylake23202 жыл бұрын
Wewe ndo mungu awaongoze wa kristo wote
@rahel6725 Жыл бұрын
Niwashindani aki Kama mishipa imgn umesomewa ukweli lkn we bado wakosa kuamini
@yasinrock1635 Жыл бұрын
Naww pole sana kwakuwa aujui
@naataliagrande2787 Жыл бұрын
Ww hujielewii, mungu ni mmoja tu hata mseme vipi
@naataliagrande2787 Жыл бұрын
Bibilia imeandikwa tu, zengine ni za uongoo oooo 😂
@IsaacNzai-e7s10 ай бұрын
Ndacha Mungu akuzidishie maarifa na hekima
@elienew3788 Жыл бұрын
Kila.goti litapigwa mbele zake Yesu kristo nakila.ulimi utakiri yakua Yesu ni Bwana ameen👏👏
@khadijaali1656 Жыл бұрын
Yesu ni mtume naye ni Nabii Issa sasa kma unamkana Allah ww kana tu ila huo ndo ukwel na utabaki kuwa ukweli acheni uzushi huo
@SurprisedBreadLoaf-bo3ze4 ай бұрын
Kila ulimi utakiri ya kuwa yesu ndiye mungu
@jonathanharabandi2707 Жыл бұрын
Mwalimu Ndacha Mungu akubariki sana kabisa . Mupange mutafute connection ya wacunganji wa huku kwetu Burundi muje guhubili injili ya bwana wetu wa mbinguni ! Iri wa Islamu wakubari kubatizwa .
@janenjenga56392 жыл бұрын
Mwalimu Ndacha barikiweni na team yako kwa kazi mzuri mnafanya kufundisha na kuelimisha watu.
@akbarbigirimana62802 жыл бұрын
Nyinyi ndo hamunaga ubongo kweli yani mungu wenu kazaliwa
@akbarbigirimana62802 жыл бұрын
Yani mungu wenu anawajombo mashangazi wababu ujinga kweli kisha wewe ninani yake
@GanstanSimidi11 ай бұрын
Very true Mr. Ndacha. Now I know why JESUS the desiples that better you who understand these revelations, others will just look without understanding. JESUS IS LORD
@mustafarashid248410 ай бұрын
Jesus sio Lord Wacha kupotezwa na ndacha sasa nani alikua Mungu wa Mariam kabla amzae Yesu,munakufuru lakin mtajibiwa inshallah.
@ahmedalfan8075 Жыл бұрын
I proud to be a Muslim. God bless every Muslim 🙏
@SundayChilango-wg1tp Жыл бұрын
Mungu akusadie uweze kupata ufunuo ndio utajuwa ukweli
@ahmedalfan8075 Жыл бұрын
@@SundayChilango-wg1tp wew ndio upate ufunuo sio mim
@yohanakiyumbi4795 Жыл бұрын
Kwanini unajivunia kuwa Muislamu?.... toa Sababu 20 nzito kutetea hoja yako
@FathiaAhmed-px2lm Жыл бұрын
Mazinge amepata kipaji kotka kwa Allah ndiooooooo ndiooooooo ndiooooooo mazinge hooyyyyyye 🙏🙏🙏🕋🕋🕋✋♥️🌹🇰🇪👌👌👌👌👌💪 Islam 🙏🙏🙏 mazinge kiboko yenu mutake musitake Love you mazinge hooyyyyyye
@mwanahija968 Жыл бұрын
@@FathiaAhmed-px2lm hoyeeeeeeeeeeeeeeee muslim hoyeeeeeeeeee hoyeeeeee
@jaybosire639011 ай бұрын
Spiritual matters is so deep for Muslims to understand. But I thank God for Ndacha is planting the seed for God to make it grow. For sure those Muslims attending this God will visit them secretly and turn their hearts.
@sharonkerubo90302 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana mtumishi Wa Mungu Ndacha
@milikaekal86232 жыл бұрын
Ubarikiwe sanaa mtumishi wa mungu helewa hawa watu niwapinga kristo
@AkonkwaProductions Жыл бұрын
Pasteur Francis ndacha soit béni abondamment par notre seigneur et Dieu Jésus Christ
@georgelugaliki13072 жыл бұрын
Blessed be the Name of Jehovah. I have learned alot. Bible explaining its self
@bigmanfish6346 Жыл бұрын
You’ve not learnt anything. No verse in the whole bible that Jesus was Christian or entered a church or asked you to be Christians. Uongo mtupu kwendeni zenu
@omwangegriffins7000 Жыл бұрын
@@bigmanfish6346makasiriko ya nini? Pingana ukitumia hoja 😅
@bigmanfish6346 Жыл бұрын
@@ARUWAAHMADA-jz9ms Aruwa uko wapi
@bigmanfish6346 Жыл бұрын
@@ARUWAAHMADA-jz9ms aruwa uko wapi? Nipe number yako
@fredouma359 Жыл бұрын
Even Quran speaks of Deity of Jesus...But some have refused to listen.Boundless idiocy.
@FathiaAhmed-px2lm Жыл бұрын
Wewe ukirsto siyoo dini momepoteya tena mjinga wamwisho pote falaa you natena hujui me ni nani usicheze na me unaganyaga damu mbaya nitakueka jela maishsa mpaka my saini yangu shemon you me ni🇰🇪💪💪🤛🤛👊👊👊
Hivyo Kwa akili ya Mazinge kipofu akisema kuku ni gari kipofu anauwezo kuliko mwenye macho. Yaani kipofu akisema Yesu ni nabii na mwenye macho aseme ni Mwana wa Mungu Mazinge ataegemea upande wa kipofu....balaa sana.
@benardpaul59712 жыл бұрын
you've made my day, nikama mtu akuambie I heard a voice na mwingine aseme i had a dream, utaamini nani...
@benedictfabian42092 жыл бұрын
Aah! Tusimlaumu sana. Ni vile upeo wake umeishia.
@yassirswaleh7127 Жыл бұрын
Shida mungu wenu katahiriwa ,hatuwezi abudu mtu aliyetahiriwa kama sisi
@daudilangat6123 Жыл бұрын
Ndacha mwalimu wa ulimwengu kuelekeza watu wote kwa yesu kristo😅😅😅😅😅
@cabrandybebz2468 Жыл бұрын
Mashallah Allah akubarik shekh mazinge
@DanielApologeticsSwahili Жыл бұрын
Yesu ndiye Mfalme mkuu. Mbarikiwe wote!!!
@reginakarambu89022 жыл бұрын
Barikiwa mwalimu dacha Ata Mimi ninatamani sana kujua mengi kuhusu bibilia
@ahmedysalah2957 Жыл бұрын
Anawapoteza ndacha hamsikii hamuoni yesu sio mungu,yesu anasema na uzima wamilele ndio huu wakujue mungu wa pekee wa kweli,acheni kupotezwa kuweni waislamu mpate salama
@audifansisafari558711 ай бұрын
YESU KRISTO ni MUNGU
@vascoaloycekihwele9724 Жыл бұрын
Ndacha unapoteza mda na mazinge... (1 Corinthians 2:11) Maana ni nani katika binadamu ayajuaye mambo ya binadamu ila roho ya binadamu iliyo ndani yake? Vivyo hivyo na mambo ya Mungu hakuna ayafahamuye ila Roho wa Mung. (1 Corinthians 2:12) Lakini sisi hatukuipokea roho ya dunia, bali Roho atokaye kwa Mungu, makusudi tupate kuyajua tuliyokirimiwa na MUNGU. So mazinge ni wale wayahudi unategemea aelewe vip ingawaje Iko clear?
@SophiaMsigwa-lc3km Жыл бұрын
Mungu akuzidishe ndacha Kwa kazi nzuri ya Mungu🎉❤
@prosperniyongere74802 жыл бұрын
Bwana muchristo achana na huyu muislamu yeye anamujuwa Yesu kimwili tu. Na ukisema Roho Mtakatifu kwao unakuwa umegonga mwambwa.
@adamsaid-ze1jw Жыл бұрын
Ww ujitambui Amin mungu anakufa na Amin yesu mungu mbwa ww
@MichaelAbel-s4r7 ай бұрын
Yesu ni Mungu, Yesu ni Mwana wa Mungu Yoh 1:18, Isay 9:6.Amen
@barakacharo5967 Жыл бұрын
Ndacha amemchapa mazinge vizuri sana ,ingili inaendelea mbele amen 👏🙏🙏
@mwanahija968 Жыл бұрын
Amemchapa na nini nyinyi mtoni direct yesu io sku ataingia peponi bila kuwangalia
@saphinalutaha9077 Жыл бұрын
Hawez kumshnda maznge kwa hoja
@AnuarMakame-iy2gy Жыл бұрын
Siku ambayo nabii issa ataingia peponi naziona vile sura za wale walowakimwita mungu watakavyofedheheka mbele ya Allah 🤣😂😂😂😂
@jofreykabobe Жыл бұрын
@@AnuarMakame-iy2gy Nyie waabudu mashetani na majini na wapinga kristo pepo mtaisikia tu kama ndugu zenu wayahudi waliomkataa Yesu
@AristoteNkurunziza2 ай бұрын
Unasemakweli ,banacapwasanaaa king is Yesu ❤
@francojuma5762 Жыл бұрын
Good teaching thumbs up
@antonynjenga93512 жыл бұрын
Jesus the Lord and king all praises and worship onto him
@bigmanfish6346 Жыл бұрын
Jesus told you to worship God. But you worship him instead. Jesus prayed in the mosques but you pray in churches. Jesus took oblution before prayers but you don’t and instead pray with shoes on
@olengonelson74532 жыл бұрын
Yani Mazinge na uzee huu wote na ufahamu wote bado haikubli kweli mradi awadanganye wafwasi vipofu wa uislamu. Hoja potovu hazina msingi. MWONGO SANA HUYU MZEE.
@benedictfabian42092 жыл бұрын
Anaujua vizuri ukweli. Sema ujeuri tu.
@yohanakiyumbi4795 Жыл бұрын
Tumsifu Yesu Kristo kila Wakati Wapendwa 🙏🙏🙏🙏🙏
@Hussayn21 Жыл бұрын
Goa has no clan
@yohanakiyumbi4795 Жыл бұрын
@@Hussayn21 ndio Mwenyezi Mungu hana ukoo...lkn je unamfahamu Yesu Kristo ktk Roho na Mwili,,, au unamjua ktk Mwili tu?
@jesselingzzy6537 Жыл бұрын
Sasa Yesu na Mungu nan wakupewa sifa?
@yohanakiyumbi4795 Жыл бұрын
@@jesselingzzy6537 Yesu na Mungu ni huyo huyo...kwa Sababu kabla Duniani haijaumbwa Yesu alikuwepo toka Zamani Mnoo alikuwa Roho,,, ila baadae kbs Yesu Kristo alivyokuja Duniani alizaliwa na bikira Maria (Mariam) hapo alikuwa Mwili ndio Maana alikuwa amekuja km umbo la binadamu
@yohanakiyumbi4795 Жыл бұрын
@@jesselingzzy6537 kwa Kifupi ni Kwamba kuna Mungu Mmoja tu ila amegawanyika Ktk nafsi 3... 1.Mungu Baba,,, 2.Mungu Mwana,, 3.Mungu Roho Mtakatifu ...hapo Sijui umeelewa Vzr au
@kilondajohn2 жыл бұрын
Ndasha nalikua muslum kuanzia APA n'a amini Christ kuwa mungu
@orotancnelly3047 Жыл бұрын
Ubarikiwe
@Jpn_Studios Жыл бұрын
POINT
@nininahazwedonavine3349 Жыл бұрын
Amina ubarikiwe
@wamorire2043 Жыл бұрын
@@nininahazwedonavine3349ACHA uongo
@HamadizoMadizo Жыл бұрын
Una akili ww sio muislamu ww unatuzuga tu
@khalidabu52592 жыл бұрын
Mwalimu ndacha akuna need ya mafundisho na watu kama awa awajui yesu alikuja nduniani kimwili
@salimumbonyumukiza70322 жыл бұрын
Ndacha wewe wacha uwongo tafazari mimi sizani uwongo wako kama wewe nimu somwi kwel dacha wewe muzehe mazinge muna fikiri wewe una jarimbu kweli hawuna elimu
@filexbenefits56122 жыл бұрын
@@salimumbonyumukiza7032 mambo ya roho ayaitaji Elimu, soma hadi ulaya but you will never find spiritual teaching, it need prayerful and much committed man to God, tafuteni kwanza ufalme wa mbingu na mengine mtapewa.
@filexbenefits56122 жыл бұрын
Soma quran au biblia, not in vein to do this
@yassirswaleh7127 Жыл бұрын
@@filexbenefits5612 hatuwezi abudu mungu aliyetahiriwa
@suzanaagustinookelo4953 Жыл бұрын
@@salimumbonyumukiza7032we ndio ujui kusoma (musomwii) ndio nini!!!?
@kharifa-kf7nn Жыл бұрын
Toa Iman yako pendeni sikiliza kwa umakini maandiko ...mada nyingine aiitaj maandiko ni uelewa wako tyu utapata majibu ..jiulize sifa za mungu then fikiria matendo ya uyo issa ibn Mariam utapat jibu kamili
mazingee Noma Sanaa Allahamdulliha Allah akupe umri ameen
@erickmaisha47732 жыл бұрын
Nguvu ya ndugu zenu majini hazitoboi injili ya yesu
@erickmaisha47732 жыл бұрын
Jini ni mwislamu mbona unamkataa na kasilimu🤣🤣🤣
@scofiotdangote75762 жыл бұрын
Ameen
@ramadhanmahongole92932 жыл бұрын
@@tatujuma8781 waislamu na mashetwani ni baba mmoja na mama mmoja wanasali wote misikitini🤣🤣🤣
@omaryissa25622 жыл бұрын
@@ramadhanmahongole9293 acha kushadadia vitu usivyo na elimu navyo
@LuisFaustinoLuis7 ай бұрын
Nakukubali sana ndacha.
@betteyandrew2912 жыл бұрын
Yesu ni yeye yule Jana na milele
@IsayaRubida Жыл бұрын
We ndacha,Safi Sana,kwanza unaroho wa mungu pili unamjua yesu vizr Sana,alafu unajiamini Kama yesu,shetani hakubabaishi hata kidogo wape injili hao Hadi waseme ndioo.wanakubali sema wakaidi tuu.
@yassirkhamis-kx1xk Жыл бұрын
Laailaaha illallah muhammadurrasuulullah
@SamuelmuneneMuthoni6 ай бұрын
May God protect you Ndacha mtumishi wa mungu ambaye n mmoja wa wale pia nami tutamaliza hii huduma
@sallumkiranzunguye2242 Жыл бұрын
Yesu ni Mungu kweli kweli.
@IbrahimMwinyi Жыл бұрын
Mungu alotahiriwq
@IbrahimMwinyi Жыл бұрын
Mungu alotahiriwa
@liliankagea33182 жыл бұрын
May God bless you ndacha with more wisdom for transforming Muslim to Christianity, and May God help them to understand the Bible
@morriswambugu82922 жыл бұрын
Mungu akubariki Ndacha,Hoja zako nzito sana. Halafu siri ya kuweka mafungu mingi hivo kwa kichwa ni gani?
@sawetito222 жыл бұрын
Kafiri ndacha
@walugoivan2 жыл бұрын
Mwalimu ndacha mungu akupe Barack
@filexbenefits56122 жыл бұрын
Kafiri utasema tu lakini ukweli ndio mchugu, utameza tu
@BahatiKazibake Жыл бұрын
Ndugu Ndasha Mungu yu Pamoja nawe Atakupa nguvu.waislam hao, siku zote wako ki mwili.
@passlinemedia66572 жыл бұрын
Ndacha May God bless you,you are making many Muslims to understand about Jesus christ
@yohanakiyumbi4795 Жыл бұрын
Hakika Yesu Kristo ni Mwana wa Mungu (nafsi ya 2) lkn Pia ni Mungu 😃😃👏👏👏👏👏👏👏
@YusraSubet Жыл бұрын
Kwaio mungu wapo wangapi kama yesu ni mwana wa mungu na yy pia ni mungu inamana yeye na bake wore ni mungu
@yohanakiyumbi4795 Жыл бұрын
@@YusraSubet Mwenyezi Mungu ni Mmoja tu ila amegawanyika Ktk nafsi 3 za Utatu Mtakatifu.... 1.Mungu Baba,,, 2.Mungu Mwana (Yesu Kristo),,, 3.Mungu Roho Mtakatifu
@yohanakiyumbi4795 Жыл бұрын
@@YusraSubet ukimzungumzia Yesu Kristo ni Mungu huyohuyo ila iko hv "Kabla Dunia na Ulimwengu Mzima kuumbwa Yesu Kristo alikuwepo toka Zamani Mnoo hapo ndipo tunamfahamu Yesu Kristo kiroho,,, ila baada ya dhambi kukithiri Duniani Mwenyezi Mungu (Mungu Baba) akamtuma Mwanae wa Pekee aje Duniani na azaliwe na bikira Maria (Mariam) ili aje kueneza Neno la Mungu na Ufalme wa Mungu Duniani,,, Pia aje ateswe Msalabani ili tusamehewe dhambi zetu
@yohanakiyumbi4795 Жыл бұрын
@@YusraSubet Sasa Swali liko hv "ni jinsi Mwenyezi Mungu anakuwa kiroho na baadae anakuwa kimwili hapo ni Siri ya Mwenyezi Mungu Mwenyewe Maana yeye ndiyo Muumba wa Mbingu,, na Ulimwengu Mzima
@asadinawess2814 Жыл бұрын
Hivi Mnaelewa Mnachokiongea, Kwanza Neno maana Yesu alikuwepo Kabla ya Mungu, Halafu akaja Kwa Mungu, Halafu akazaliwa kwa Uchi wa Mwanaadamu, dah! He u kuweni na Akili japo kidogo, 😂😂😂, Mara ni Mwana Wa Mungu, Mara ni Nafsi 3 za Mungu, huyo Mungu Mwenye Drama zote hizo, 😅😅
@alicekatsutsu63452 жыл бұрын
Pogezi sana mwalimu dacha yaani majibu na mwawali yanatokana na bibilia ,nitabaki kuwa muamini wamwenyezi mungu ambaye ndiye mungu,musabato
@TinaSyokau10 ай бұрын
Hamuwezi elewa kwa kuwa yessu ni roho na aliongea akiwa rohoni. Nyinyi waislamu mko tu kwa mwili. Kama baba zenu walimpinga sembuze nyinyi. Dacha achana nao hao wasindani. Waache waamini vile watakavyo amini. Walimkufuru. Wanafikiria ki mwili
@majaliwamsigwa62062 жыл бұрын
Mazinge amkili tu Yesu mwana wa Mungu,ili am tangaze Duniani pote,hana vigezo vya kupinga habari za Yesu
@sirajiatibu32322 жыл бұрын
Jesus is not a son of God but Marry Luke 1:29:30&31
@khadijaally-fv7bh Жыл бұрын
ALLAH Akubariki sana ALLAH Akuhifadhi ustadhi mazinge
@amissaamani32102 жыл бұрын
Assalamu aleikumu Warahmatulahi wabarakatu shukurani Allah kwa kutuleteya Mazinge wa Tanzanie kwa mada hii🙏 Mimi ni Burundais ni mefurahi sana Allah aku afya njema aku zidishiye mumbri murefu uwa fundishe dini ya kweli Ndini ya ukweli ni uwi silamu peke .
@edmundrobert27402 жыл бұрын
Wew pole sana
@nassirmagoss3802 Жыл бұрын
Amin
@nassirmagoss3802 Жыл бұрын
Uwikrist so din ya hak
@yassirswaleh7127 Жыл бұрын
@@edmundrobert2740 hatuabudu mungu aliyetahiriwa
@FauziaMohammed-p4x Жыл бұрын
Mashaa Allah Ustadh mazinge Allah akubariki nakuaminia uko vizuri sana wape aya hao.😂
@tsumamartin68782 жыл бұрын
leo nishatambua ww Mazinge,hauna lolote na hujapitia hoja za Ndacha
@eliatindwa5562 Жыл бұрын
Pastor Ndacha keep going to tell Muslims about greatest of our lord Jesus and his powerful & authority over anything in this world. God using you to make his worship complete and everyone now understand you provided a knowledge of hidden lessons among these who need to be followers of Jesus Christ but they haven't been taught the truly but now their mind are full opened through ur lessons ❤❤❤❤for Ndacha, me +Christian+God+Jesus+Alllah+ few Muslims who get understanding of your teaching love the word of God from only the holly bible.
@IreneNduta-qp6yg Жыл бұрын
True man of God Ndacha.
@SundayChilango-wg1tp Жыл бұрын
Poleni waislam kwa kukosa ufunuo wa mungu awaoba mungu awasaidie
@maymunamakungu6265 Жыл бұрын
Polemic nyinyi wakristo kwenye finishing ndo amekumalizeni kabisa
@allychengula3511 Жыл бұрын
Ndacha kama ndacha, greater mentor
@MpokiMwambola-tn7tj Жыл бұрын
Amina mwl ndacha
@Jpn_Studios Жыл бұрын
Ndacha anapoint na anashawishi kwa maandikoo
@godfreyalex53198 ай бұрын
Wana masikio lakini hawasikii, wana macho lakini hawaoni; vinginevyo wangesikia na kuona wangelitubu na kuokoka
@erickmaisha47732 жыл бұрын
Heee this a teacher bibilia sikukuwa naijuwa lkn nimeanza kuishika Kwa sababu ya ndacha
@MasterG-dc1tx Жыл бұрын
Unajibu Kwa mwili tu jibu katika uungu waislamu mumeisha,ndacha excellents fantastic mpaka sasa hajajibu ipasavyo
@AnuarMakame-iy2gy Жыл бұрын
Wekeni siku nyengine juu ya roho ya yesu Leo mada ni uungu wa yesu😁😁😁😁
@jacksonnzai15932 жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe milele, waruke walale wamke bado Yesu ndio njia kweli na uzima. njooni kwa Yesu
@suzanaagustinookelo4953 Жыл бұрын
Amen namwamini
@adamsaid-ze1jw Жыл бұрын
Kuma ww Amin yesu mungu
@GerogeMabonga9 ай бұрын
Great job pastor
@samuelngogo55722 жыл бұрын
Hoja za Mazinge za kisanii hazina maana polen sana waislam
@Jpn_Studios Жыл бұрын
Kabisaa jamaa anapwaya ila ajabu wanamwamini hatarii
@sharifam3342 Жыл бұрын
Msaani havai kanzu huvaa nguo tight kama Ndacha
@sharifam3342 Жыл бұрын
Msaani havai kanzu huvaa nguo tight kama Ndacha
@RamadanPaul Жыл бұрын
Daaah wakrsto akili zao zimefungwa kabsa. Hapana Mungu anaestahir kuabudiwa ila mmoja, usijifanyie nguvu yoyote chin majn, wala mbingun , ila Mungu mmoja. Kumbukumbu la torat,
@mamakhadijah2352 Жыл бұрын
@@RamadanPaulbasi kwakuwa umetaja fungu la biblia kasome pia Yohana mtakatifu sura 1 mstari wa 1 hadi wa18 na Mungu akisaidie uijue huu ukweli ili kuweke huru 🙏
@wizzahgfalme38742 жыл бұрын
Mazinge kweli huna hoja.... sasa unajadili wakati Yesu alifanyika mwili, ilhali mada niya uungu wa. Yesu kweli waislamu hawamjui Yesu. abadan