Nawafatilia from Nairobi Kenya nimejazwa na Roho mtakatifu na nimenena kwa lugha kwa mara ya kwanza. God is real and has no limits,just through youtube na nime experience the same power kama mtu aliyekuwepo,God bless you man of God
@dorcaskyando1562 жыл бұрын
Nimenena kwa lugha kwa mara ya kwanza , , honest distance doesn't separate us with God of reality Mimi Bado najifunza nabadilika kupitia online services Mungu awabaliki sana,
@kilimba687 Жыл бұрын
Hakika Mungu ni WA ajabu Sana sijawahi kunena kwa lugha Leo nimenena! Ahsante Mungu!
@kilimba687 Жыл бұрын
Ni Leo Tar 25/03/2023 ahsante sana Mungu!
@alextemael Жыл бұрын
Waooooo
@floramarinyo3517 Жыл бұрын
Tunajifunza sanaaa aisee mbarikiwe watumishi wa Mungu mnaotufunza
@sirielmmari3435 Жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi kwa somo hili kubwa,,kwakweli nimeongezewa viwango vikubwa
@zainabumagwira4298 Жыл бұрын
Asante baba na mm Leo nimemena nilikuwa najuaga wanaigiza🙏🙏🙏
@joviethikokugonza2793 Жыл бұрын
Ameni mtumishi nilikuwa na bubujikwa machozi
@janethfwamba85612 жыл бұрын
Ee mwenyezi mungu ninakuomba uendelee kumpa afya mtumishi aishi miaka mingi ili aendelee kutupa neno la mungu
@ostakiamgaya20452 ай бұрын
Kwa mara ya kwanza usiku wa leo kupitia ibada hii nimenena kwa lugha 🙌nashindwa kuelezea furaha niliyo kua nayo, Kiu yangu ya muda murefu hatimae nimejibiwa,Ahsante pastor kwa kunielewesha vizuri kuhusu roho mtakatifu,Mungu akubariki sana uzidi kua Baraka kwa vizazi hata vizazi. @pastor Sunbella Kyando wewe ni baraka sana.
@winfridamahali63492 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi nami nimepokea Roho mtakatifu
@maureenhaule Жыл бұрын
Naweza kujuwa kama Ninaroho mtakatifu Ndani yangu .....
@monicahmwalozi Жыл бұрын
Amen 🙏 mtumishi kiu yangu ya kujazwa na roho mtakatifu ijazwe ndani yangu 🙏🙏🙌🙌 be blessed ❤❤.
@tabithachristopher30469 күн бұрын
Asante Roho mtakatifu 🙏🙏
@kelvingeorge99192 жыл бұрын
Naomba mnisaidie muendelezo wa haya mafundisho ya Roho mtakatifu
@floramarinyo3517 Жыл бұрын
Napenda sana SoMo la roho mtakatifu
@petermunuo1657 Жыл бұрын
Amen mtumishi barikiwa sana
@mariammbwaga84632 жыл бұрын
Nakuelewa San mtumishi barikiwa na bwana
@frolidamwaikololo832 жыл бұрын
MUNGU AKUBARIKI MTUMISHI.NABARIKIWA NA MAFUNDISHO
@eastafricatarot8401 Жыл бұрын
I am a roman catholic, asante kwa ufafanuzi. You have cleared a big sintokujua in my life. I was specifically searching roho mtakatifu ni nin..
@estherernest37083 жыл бұрын
Namshukuru Mungu sikufuatilia mafundisho mubashara..lakini Leo tarehe 16 April 2021 nikiwa nje ya Tanzania ..tena kwa kupitia mtandao wa facebook..nimeweza kufuatilia mafaundisho mwanzo mwisho nakiri kujazwa Roho Mtakatifu ..nimenena kwa Lugha mpaka mtumishi alipohitimisha baraka hiyo.Praise be to God
@PendaelPhares Жыл бұрын
Barikiwa San somo zuri
@eonikeruzilo47642 жыл бұрын
Namshukur Mungu kwa Mara ya kwanza nimenena kwa lugha 26/4/22
@petersonwiliamchachapeterw61442 жыл бұрын
Mtumishi wa mungu mungu azidi kukutumia kwa viwango vikubwa nimebarikiwa Sana na somo hili la Roho mtakatifu
@maureenhaule Жыл бұрын
Kwasaababu nikama Miez miwil iv kuna Vitu nilikuwa Cvielew naweza Kukaa nikasikia saut ndani yangu ikiniamulu Nifanye kitu nanikipuuza nakuta vilevile ...... Nikawa naogopa kwa Nn inakuwa iv coz nilishaokoka nilijiweka na mbali na nguvu za giza na Mizimu. Ahsante Mtumish ww nimwalimu kila napopata kiu ya kujijuwa neno uwa nalipata kwako na leo nimepokea roho mtakatifu kwa msaasa wako🙌🙌🙌
@harryvice774 ай бұрын
Ni kweli kabisa baba mimi ananionesha matukio kabla hayajatokea
@jescaolotu19063 жыл бұрын
Namshukuru sana Mungu nmepokea hata sasa haijalishi ni neno la wakati gani lakin kitu kipya kimefanyika ndani yangu.
@kihongole87-ns1bo Жыл бұрын
Ubarikiwe
@vickiemerere40563 жыл бұрын
Namshukuru Mungu nimenena kwa Lugha na wakati huo huo roho alikuwa ananena nami kuwa vyote niache yote ninayotegemea kuyapata kwa wanadamu coz GOD will provide
@joycekiheka60712 жыл бұрын
Roho Mtakatifu Utuongoze katika kutuona Utukufu Wako.
@starluzenja98613 жыл бұрын
Napenda anavyofunza ...kwa upole na hekima
@sisterolivia98742 жыл бұрын
Asante roho mtakatifu
@peninaalex43442 жыл бұрын
Hakika nime balikiwa mungu akubaliki
@yusterlucass11 ай бұрын
Roho mtakati ishi na mm siku zote
@annaanalye37453 жыл бұрын
Bwana Yesu apewe sifa!samahani naweza pata kitabu iki cha mafundisho ya Roho mtakatifu
@frolidamwaikololo832 жыл бұрын
Halleluyah leo ni kwa mara ya kwanza nimenena kwablugha mpya
@revocatusmatiku86622 жыл бұрын
Woooooooooooow!!!! Wooooooooooe!! Leo kwa mara ya kwanza nimenena kwa lugha ndoto yangu na kiu yangu ya muda mrefu leo imetimia. Asante roho mtakatifu karibu na ukae daima kwenye maisha yangu!!!!
@marykarebeti94102 жыл бұрын
Hongera saanaaa
@yehoshafatibenardmbangiye1276 Жыл бұрын
Ameeen, Hongeraaa sanaaa rafiki
@jeenarimo1123 Жыл бұрын
P
@sallymsuya47511 ай бұрын
Nami natamani mno, Nina kiu nae san
@lucynjagi35516 ай бұрын
Mimi hunena tu kwa ndoto
@stellawilson74533 ай бұрын
Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen
@hildadastan8722 жыл бұрын
Umenibariki sana
@astridandovanga80452 жыл бұрын
Mimi leo kwa mara ya kwanza nimenena kwa lugha mpya
@michaellukoobatundi12942 жыл бұрын
GLORY TO GOD FROM BENI TOWN DRC
@jaffarijembekali26843 жыл бұрын
Mahubiri haya yananibariki sana Ubarikiwe Mch. SUNBELLA KYANDO.
@catherineakinyi63723 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana...nashukuru mungu kwa hili somo la roho mutakatifu🙏🙏🙏🙏hadi nimenena kwa lugha....nilikua nimerudi nyuma sana kimaombi...
@barakaelias89803 жыл бұрын
Natamani sana kunena kwa lugha ila nimeshindwa mtumishi
@dorcanyarangi48149 ай бұрын
Amen Amen Amen thank you God i receive it
@maureenhaule Жыл бұрын
Jaman Mm nimepoke Nimenena kwa Lugha leo
@husseinchea552410 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@everlineeva5943 жыл бұрын
Oooh yes napokea roho mtakatifu awe msaidizi wa maisha yangu am watching in 973 be blessed 🙌 mtumishi
@dinnakasika63773 жыл бұрын
Nimebarikiwa Sana kwa mafundisho haya.
@joycenuhu15663 жыл бұрын
Umenibariki sana Mtumishi kwa Neno la Mungu zuri na jema.
@devothahaule66652 жыл бұрын
Msaada wa mawasiliano
@macrinamagwizi82453 жыл бұрын
Wakati unaomba lugha imeongezeka thanks my dear lord
@priscillanyamisi18693 жыл бұрын
Namshukuru sana Mungu leo nimenena kwa Lugha Mpya na kujua zaidi juu ya Roho mtakatifu.
@lucianangwada85593 жыл бұрын
Wawooo nimebalikiwa sana na somohili nzuri nashukuru Mungu akubariki kweli kabisa nimepata uelewa mkubwa sana kuhusu somo la Rohomtakatifu byluciana iraq bagdadi 🙏🙏🙏🙏
@jaqueeen13 жыл бұрын
Leo nimeona nguvu ya Roho Mtakatifu nimeona lugha mpya kwangu na nguvu kubwa ya Mungu
@anthonymubweka71123 жыл бұрын
Lk
@mercyvictor85443 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana na Neno hili. Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu huwa unanibariki sana na Mafundisho yako
@madamleticia94 Жыл бұрын
Ameeen🎉🎉🎉🎉🎉
@everlineeva5943 жыл бұрын
Mungu akupe neema ya kuishi mtumishi uhendele kutufundisha neno la mungu Amen am blessed 🙌
@viousa2 жыл бұрын
nimejazwa leo baada ya kusikiliza
@irenelulu530 Жыл бұрын
🙌🙌🙌
@missmwayway4704 Жыл бұрын
Ameeeeeeeeeen
@tumpedaudi66812 жыл бұрын
Ahsante ROHO MTAKATIFU 🙏
@frankchuwa36573 жыл бұрын
Baba unafundisha mpaka najihic kupaaa
@noelswai26193 жыл бұрын
Ubarikiwe saana mtumishi wa Mungu kwa ujumbe mzuri 🙏🙏🙏
@elizabethjoseph42173 жыл бұрын
Nabarikiwa mno na masomo yako
@granceneema7722 жыл бұрын
Wooow Ameen
@lucymushy62053 жыл бұрын
Goooood🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙏
@erastomendamenda172 Жыл бұрын
Sawa
@bennyjohn14123 жыл бұрын
Mungu Akubariki Mtumishi
@filomenambilinyi54713 жыл бұрын
Mtumishi nimejifunza .nakukaribisha Roho mtakatifu ujae na kufurika ndani yangu.Ameeen.
@isakakilas27793 жыл бұрын
Nami namshukulu mungu nimebalikiwa sana na neno hili
@thenasharatv54593 жыл бұрын
God bless you man of Holly ghost
@angelkanoga21753 жыл бұрын
Baba daaaah nimecheka sana Mzee kaona isiwe shida 🤣🤣🤣🤣god is good.
@JoyceAvua-v9i4 ай бұрын
I'm happy for you 😊😂
@mildredwekesa58442 жыл бұрын
Ameen
@noelswai26193 жыл бұрын
Ooh hallelujah hallelujah
@AdamMdolo-cm6qi3 ай бұрын
Ameeeeee
@jerubetjoan202 жыл бұрын
Natamani kunena kwa lugha mtumishi niombee
@monicampokwa4412 жыл бұрын
Aminaaaa
@angeljoseph4666 Жыл бұрын
Asante Mungu, wakati tunaomba nimepiga sn miayo
@nuruduma49543 жыл бұрын
Amen! Nimebarikiwa!!
@petersonwiliamchachapeterw61442 жыл бұрын
Nataman kuwa na viwango vikubwa Sana vya Roho mtakatifu