NAMNA YA KUFANYA KAZI NA ROHO MTAKATIFU PART 2

  Рет қаралды 91,537

Reality of Christ Church

Reality of Christ Church

Күн бұрын

Пікірлер: 117
@starluzenja9861
@starluzenja9861 3 жыл бұрын
Watanzania you guys are blessed to have such a man of God.I pray nipate chance kufika huko.Napenda sana anavyofunza.Asante Mungu kwa mtumishi wako
@catherinejacob3407
@catherinejacob3407 3 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu.... Baba yangu Napendaga mafundishk yako.. Nabarikiwa Sana .
@joycejoseph3665
@joycejoseph3665 3 жыл бұрын
Asante mtumishi wa Mungu aliye juu zaidi. Nimesikiliza mafunzo juu ya Roho mtakatifu nikiwa Kenya na chaajabu na kushangaza nilicheka mpaka maumivu yakifua niliyekuanao yakaondoka. Nilikua na matatizo ya nyumbani lakini baada ya hicho kicheko nikasikia mwepesi na mwenye furaha sana mpaka hata sikumbuki kama nilikua na matatizo tena. Mtumishi wa Mungu, Mungu akubariki sana maana kuazia Leo nimejua roho mtakatifu anafanya kazi kweli na yupo sio story.
@emmymatigula4870
@emmymatigula4870 3 жыл бұрын
Kwangu ni mapya Na mimi napokea "The joy of the LORD let it be permanent in me in JESUS'S NAME" Asante kwa haya mafundisho mpakwa mafuta wa MUNGU ALIYEHAI.
@jacklinemulinge3841
@jacklinemulinge3841 Жыл бұрын
Juzi nlikuwa naomba mungu anipe amani na furaha nlikuwa down sasa gafla nkaanza kucheka nlicheka peke yangu nkachoka akika mungu ni mwaminifu nampenda sana
@liliankeyabaraka8195
@liliankeyabaraka8195 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌 Asante yesu kristo Amen nimepokea Roho ya kucheka🙏🙏
@obedimunguachiza8434
@obedimunguachiza8434 2 жыл бұрын
Naendelea kukufuata mtumishi hakika nimebarikiwa kwa somo hili nzuri, ubarikiwe.
@ChristianEkofo-es8br
@ChristianEkofo-es8br 5 ай бұрын
Asante baba iyiinani lenga 💯 Mungu akubariki sanatenasana. From nakivale refuge settlement Uganda
@Neema-nx1qk
@Neema-nx1qk Жыл бұрын
Amina, mungu akupe maisha marefu , kupitia wewe tukombolewe
@timothymwambingu9260
@timothymwambingu9260 2 жыл бұрын
Naitwa Timothy watching from Saudi Arebia Riyadh city.. Am Kenyan.... Ubarikiwe mtumishi... & Glory be to God.. Nimecheka sana.. Amen.
@MwaduduFatma
@MwaduduFatma Жыл бұрын
Asante Mtumishi wa Mungu kwa mafundisho ubarikiwe Sana ua nafarijika nkiskia mahubiri yako...nakupenda tu bure
@AdelaKauki
@AdelaKauki 9 ай бұрын
Asante Mungu,mtumishi,ubarikiwe.
@evainnocent9520
@evainnocent9520 4 жыл бұрын
Hill somo ni lakipekee sana nimebadilika nimejifinza mengi nimeshangaa nimejikuta nacheka huku nanena nilikua nahuzun lakin sasa naninaendelea kucheka tu. Mungu akubariki Mchungaji
@happymichael6209
@happymichael6209 3 жыл бұрын
daaah...Barikiwa sana baba kwa mafundisho mazuri.. kiukweli yananibariki sana na ninashauku sana moyoni mwangu ROHO MTAKATIFU azidi kujifunua kitofauti kila leo...ubarikiwe sana baba
@oliversebastian3808
@oliversebastian3808 3 жыл бұрын
Amen, Barikiwa Sana mtumishi kuna mahali unanivusha
@janemwakanyamale6170
@janemwakanyamale6170 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi nimeelewa vizuri sana nipo malawi lilongwe
@eunicemukare995
@eunicemukare995 2 жыл бұрын
nimebariwa sana Mtumishi mungu akubariki
@nduwayodismas1519
@nduwayodismas1519 5 жыл бұрын
mchungaji kweli tunabarikiwa sana na semina zako ubarikiwe sana
@TheAngelofGod-b1q
@TheAngelofGod-b1q 11 ай бұрын
I really love this especially the way you here the holy spirit
@rosemerycharles
@rosemerycharles 10 ай бұрын
amen.,. ubarikiwe na BWANA nabarikiwa na mafundisho yako pastor..... I really appreciate you
@lukaantony5360
@lukaantony5360 3 жыл бұрын
Namshukuru Mungu kwa neema yaka ambayo nime ipata kupitia mt.wake namshukuru Roho Mtakatifu nime jazwa nae pia nime jifunza sana kitu kikubwa kupitia somo la leo Mungu andelee kuku tumia baba Mchungaji ili tuendelee kufundishwa
@judiththomas3165
@judiththomas3165 3 жыл бұрын
Pastor, mungu akubariki kwa hayo mafunzo. Ni.ependezwa sana na uhusiano wa roho mtakatifu.
@magrethfuka5366
@magrethfuka5366 5 жыл бұрын
Aisee nimemshangaa Mungu nimemaliza kusikiliza nani nimejazwa kicheko nimecheka sana Oooh Haleluya
@jenifauroki9140
@jenifauroki9140 5 жыл бұрын
nashukuru Mungu xana nimesikiliza nimejazwa nimecheka xana
@rithamaloowexxxxxxxxx944
@rithamaloowexxxxxxxxx944 2 жыл бұрын
Ubarkiwe Sana Mtumishi wa MUNGU nmejfunza vtu vingi
@michaelmzena229
@michaelmzena229 2 жыл бұрын
Amen..Asante Roho Mtakatifu kwa kujidhiirisha ndani yangu..Hakika wewe ni Bwana..Asante Baba kwa kunipa kicheko cha milele❤️am so happy
@dokasimwamlima3550
@dokasimwamlima3550 2 жыл бұрын
🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝 Amen ameni mungu akupe maisha malef Sana hakika kila nikifuatilia mafundisho yako huwa sitoki bure naamini maisha yangu yamefunguliwa Asante Sana mungu kwakunipa nguvu na amani katika roho mtakatifu kupitia mtumishi wako ameni ameeeeeen
@jacklinemulinge3841
@jacklinemulinge3841 Жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi mafunzo yako mazuri.
@wilbard3692
@wilbard3692 5 жыл бұрын
Barikiwa mchungajii Neno la Mungu ni Taa neno la Mungu ni upanga pia ni motoo hakika roho mtakatifu ni Mungu
@davidlaurent1880
@davidlaurent1880 Жыл бұрын
Yaani huyu mtumishi hata kama kichwa kilikuwa kimejaa maji machafu yanatoka unamwelewa Kwa ufupi japo nipo mkoa wa mbali amefanyika kuwa baba kwangu wa kiroho coz namwelewa sana Mungu ampe miaka isiyo hesabika
@eutropiangido9684
@eutropiangido9684 4 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu asante kwa somo hili muhimu. Nalisikiliza baada ya mwaka mmoja lakini nimepata point nyingi. Approach yako na sauti yako vinanifanya niweze kuelewa. Ubarikiwe sana na Mungu aendelee kukuza huduma yako. Amina
@graciousmedia8235
@graciousmedia8235 3 жыл бұрын
Napokea kwa lmani. Roho mtakatifu anajjfunua ndani yangu
@michaelmzena229
@michaelmzena229 2 жыл бұрын
Amen
@asifiwemjujulu8884
@asifiwemjujulu8884 3 жыл бұрын
I'm blessed hata Mimi nimecheka 2021
@kambalesimisimardochee2338
@kambalesimisimardochee2338 2 жыл бұрын
Asante kwa kwa mafundisho
@pastorfenutahfavour3850
@pastorfenutahfavour3850 Жыл бұрын
I love this man of God- has become a blessing to me in a great way.
@bembelanyeke7934
@bembelanyeke7934 3 жыл бұрын
Ameeen nmebarikiwaa na kuhudumiwaa Sanaa.... Furaha hii idumuu ndan ya MOYO wangu....🙏🙏🙏
@Jastus100
@Jastus100 Жыл бұрын
Nimebarikiwa
@JoyceAvua-v9i
@JoyceAvua-v9i 7 ай бұрын
Amen 🙏 thank you so much 🥰
@annaraphael6613
@annaraphael6613 5 жыл бұрын
ubalikuwe sana mtumishi. umenivushe sehemu moja kwenda nyingine.
@nginamugwe8093
@nginamugwe8093 5 жыл бұрын
On a seriously note ..sijawahi sikia mafundisho mengine kama yale nasikia Reality of Christ mmekuwa baraka kwangu.. all of you Three God bless you
@olivakavishe6285
@olivakavishe6285 3 жыл бұрын
Amen
@josephmburu83
@josephmburu83 2 жыл бұрын
00
@mhamdahmd7758
@mhamdahmd7758 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mngu
@frankasimbile2045
@frankasimbile2045 3 жыл бұрын
Somo zuri sana
@angeljoseph4666
@angeljoseph4666 3 жыл бұрын
Amen 🙏🙏,Roho mtakatifu naomba unijaze upako wa kicheko ndan yangu Amen 🙏🙏
@marryhewasi3070
@marryhewasi3070 2 жыл бұрын
Baba Mimi nataka kusikia sauti yamungu ndani yangu
@esaiehakizimana5783
@esaiehakizimana5783 2 жыл бұрын
Haleluya Haleluya Haleluya Amen lmani musingi wa maisha yetu
@agreymfugale1216
@agreymfugale1216 3 жыл бұрын
Ameni, barikiwa sana kwa somo zuri
@jescakerubo3953
@jescakerubo3953 3 жыл бұрын
Asante mtumishi wa mungu akuzidishie milele
@neemamushi3083
@neemamushi3083 4 жыл бұрын
Somo zuriiii haswa ubarikiwe
@jacklinevenant1129
@jacklinevenant1129 Жыл бұрын
Ameeen🙏🏻🙏🏻
@suzanlemau744
@suzanlemau744 5 жыл бұрын
Asante Yesu kwa kunijaz kicheko💞💞
@godfreykapufy386
@godfreykapufy386 Жыл бұрын
I really appreciate, stay blessed man of God.
@rahabusibakwe933
@rahabusibakwe933 2 жыл бұрын
Sifa ,Utukufu ni Kwa Bwana
@muinjilistdeborahcharles4457
@muinjilistdeborahcharles4457 2 жыл бұрын
Ubarikiwe bishop
@clemencelubungo2883
@clemencelubungo2883 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mchungaji. Umenibariki kwa haya mafundisho
@petermunuo1657
@petermunuo1657 3 жыл бұрын
Amen mtumishi
@clementemmanuelmanu1610
@clementemmanuelmanu1610 5 жыл бұрын
ASANTE SANA DAD, NIMEJENGWA KWA UPYA KATIKA ENEO LA KUFANYA KAZI NA ROHO MTAKATIFU, USINIPITE MWOKOZI....
@Godisgreat20243
@Godisgreat20243 3 жыл бұрын
Asante Mchungaji kwa mafundisho mazuri sana!
@anagracepaul2837
@anagracepaul2837 3 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana mtumishi kwa mafundisho mazuri
@johnmwangi4179
@johnmwangi4179 Жыл бұрын
The teachings are very helpful to me in my spiritual life. God bless you man of God.
@feny4781
@feny4781 5 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi kwa neno hili.
@irenemshiu5441
@irenemshiu5441 4 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi...nimecheka sana leo wakati naangalia kipindi hiki..asante roho mtakatifu kwa uaminifu.
@moureenthoya2976
@moureenthoya2976 2 жыл бұрын
Be blessed man of God
@florenceflorence1170
@florenceflorence1170 3 жыл бұрын
Amen,tangu nizaliwe sijai ona miungiza Kama hii ya furaha , God bless you pastor
@nanikarato7179
@nanikarato7179 3 жыл бұрын
Mchungaji naomba punguza maneno ya Kiingereza
@mackmillan9040
@mackmillan9040 4 жыл бұрын
Mungu wambinguni Akubariki sana
@thomasgervas8280
@thomasgervas8280 Жыл бұрын
Amina
@charityfaustine319
@charityfaustine319 Жыл бұрын
No wonder I have heard the Holy Spirit talking through you.🙏
@flobad.mhubiri
@flobad.mhubiri 6 ай бұрын
Baba Amina.
@janewangeci7862
@janewangeci7862 3 жыл бұрын
Thanks 4 the revelation
@patricklaiton8939
@patricklaiton8939 5 жыл бұрын
Natafuta kila siku injili inayo mfunua roho mtakatifu........moyo wangu umeshukuru.........umetupa maarifa yote hakika atuta angamia
@michaelmzena229
@michaelmzena229 2 жыл бұрын
Amen
@jeremiaisowe4443
@jeremiaisowe4443 3 жыл бұрын
Amen mchungaji
@erickinvestments1144
@erickinvestments1144 3 жыл бұрын
This is Very helpful
@peterkihongosi1966
@peterkihongosi1966 5 жыл бұрын
Kweli kabisa kunachangamoto kwenyekusikia sauti na kutumiwa na Roho mtakatifu
@castokyando
@castokyando Жыл бұрын
NIMECHEKA SANA MUNGU AKUBARIKI MTUMISHI NA HUDUMA YAKO AMINA
@halisiaisaya7832
@halisiaisaya7832 4 жыл бұрын
Du huyu kaka hanaimba vizuri sna.
@charityfaustine319
@charityfaustine319 Жыл бұрын
Blessed after 4 years
@lilianmollel5355
@lilianmollel5355 4 жыл бұрын
I'm blessed. God bless you man of God
@veronicamhanga2548
@veronicamhanga2548 3 жыл бұрын
Asante yesu, kwamaana unafanya yale uyatakayo kwa, watoto wako,.
@sporaedward5665
@sporaedward5665 5 жыл бұрын
Haaaaa Roho Mtakatifu ni kweli Halisi Nina shuhuda
@paulmwangi294
@paulmwangi294 2 жыл бұрын
I am nothing without the holyspirit
@Miriam84Akizimana
@Miriam84Akizimana 2 жыл бұрын
Glory to God 😍🙏
@emmanuelwith1812
@emmanuelwith1812 2 жыл бұрын
Glory to God 🙏🙏
@dominicisalikho3953
@dominicisalikho3953 2 жыл бұрын
MAFUNDISH MAZURI KABISA;ASANTE MUNGU AKUBARIKI
@paulmwangi294
@paulmwangi294 2 жыл бұрын
Amen hallelujah
@noorlenetv
@noorlenetv 3 жыл бұрын
Glory TO God!
@mbulambayo3606
@mbulambayo3606 3 жыл бұрын
5000000ⁿ000ⁿ0ⁿ€
@kalidjokitokololoofficielt3500
@kalidjokitokololoofficielt3500 4 жыл бұрын
Asante sana Amen 🙏
@bertherlugenji2603
@bertherlugenji2603 5 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana Mtumishi. Wakati naendelea kusikiliza napata msukumo wa kuomba wakati nahitaji kukusikiliza mpaka mwisho, je huyu ni roho mtakatifu pia?Mungu akubariki sana
@meliusjonh4561
@meliusjonh4561 2 жыл бұрын
Asante
@eugenielumanya940
@eugenielumanya940 5 жыл бұрын
Amena sana baba.
@mchjohnmasegese8193
@mchjohnmasegese8193 5 жыл бұрын
Nipo IRINGA ila nimesikiliza NENO Hili nimeshangaa sana jinsi Roho alivyo nihudumia.
@veilamoshi9302
@veilamoshi9302 3 жыл бұрын
Asannteee hahaaaa
@annaanthony2850
@annaanthony2850 Жыл бұрын
@happymollel9205
@happymollel9205 3 жыл бұрын
Usinipite Mokozi unazuru wengine namimi usinipite.
@josephinekanthi1426
@josephinekanthi1426 3 жыл бұрын
Naomba numba yako Paster niko kenya Nairobi
@gradypeter7123
@gradypeter7123 4 жыл бұрын
Yaani baba nimeota nashauri mno watu,maana nimepitia magumu mno.
@naanely2247
@naanely2247 3 жыл бұрын
🙏🙏
@mwitowainjili7225
@mwitowainjili7225 2 жыл бұрын
Swali ndoa takatifu ni ipi, je kabla ya kuokoka tulipofunga ndoa, au ile wakati meokoka wote?
@chidavunabintu7208
@chidavunabintu7208 5 жыл бұрын
Amen
@feny4781
@feny4781 5 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi. Nimebarikiwa na neno hili la mafundisho kwa roho mtakatifu.
@jonathanimuli203
@jonathanimuli203 2 жыл бұрын
Ameni mungu akupe maisha marefu mutu WA mungu ili ukuza vipawa hata Kenya pia vipatikani
@patricklaiton8939
@patricklaiton8939 5 жыл бұрын
Nipo Mwanza buzuruga nakupata.......december nakuja dar kanisa lipo wap?
@happyjordan7838
@happyjordan7838 3 жыл бұрын
Ameni
@InChrist2024
@InChrist2024 3 жыл бұрын
And that altar is so glorious, Am learning, being edified and enjoying at the same time.Thankyou sweet Spirit of the Living GOD!
@gooddeeds162
@gooddeeds162 2 жыл бұрын
Kanisa lipo Sinza Mori mkabara na ofisi za Tamwa, Karibu sana mtumishi wa Mungu 😊
@marryhewasi3070
@marryhewasi3070 2 жыл бұрын
Glory to God🙏🙏🙏🙏
@emilykona1436
@emilykona1436 5 жыл бұрын
Amen Amen
@farajamkuchu8458
@farajamkuchu8458 4 жыл бұрын
Amen Amen Amen
NAMNA YA KUFANYA KAZI NA ROHO MTAKATIFU PART 3 - MIN SUNBELLA KYANDO
1:54:09
Reality of Christ Church
Рет қаралды 31 М.
NAMNA YA KUFANYA KAZI NA ROHO MTAKATIFU PART 1
1:42:28
Reality of Christ Church
Рет қаралды 131 М.
UFC 287 : Перейра VS Адесанья 2
6:02
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 486 М.
Почему Катар богатый? #shorts
0:45
Послезавтра
Рет қаралды 2 МЛН
Непосредственно Каха: сумка
0:53
К-Media
Рет қаралды 12 МЛН
번쩍번쩍 거리는 입
0:32
승비니 Seungbini
Рет қаралды 182 МЛН
MAISHA YAKO NI MATOKEO YA UFUNUO ULIONAO
1:09:32
Reality of Christ Church
Рет қаралды 106 М.
TAARIFA YA HABARI - AZAM TV - 27/12/2024
UTV Tanzania
Рет қаралды 88
Mambo 2 ya Kufanya 2024 ili Uchumbiwe
6:03
Pastor Msafiri
Рет қаралды 485
JINSI YA KUPANGA RATIBA YA KUOMBA- Innocent Morris
1:02:19
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 33 М.
ROHO MTAKATIFU(SEHEMU YA KWANZA) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:27:16
Reality of Christ Church
Рет қаралды 72 М.
🔴HABARI YA SAA MBILI KAMILI DISEMBA 27, 2024
ITV Tanzania
Рет қаралды 1,5 М.
ROHO MTAKATIFU NA NGUVU ZAKE - Pastor Sunbella Kyando
1:30:43
Reality of Christ Church
Рет қаралды 31 М.
UFC 287 : Перейра VS Адесанья 2
6:02
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 486 М.