ROHO YA MAUTI NA UHARIBIFU (III) - PASTOR SUNBELLA KYANDO

  Рет қаралды 12,343

Reality of Christ Church

Reality of Christ Church

3 жыл бұрын

Roho ya uharibifu unapoiona kwako mara nyingi huwa haijaanzia kwako tu,ukichunguza vizuri utakuja kugundua kuwa ni shida pia ambayo ipo katika familia/ukoo uliotoka.Na uharibifu unapomaliza kazi yake humwachia mauti naye kuingia na kufanya kazi yake pia.Roho ya mauti huwa sio lazima iue kila kitu chako ila huwa inahusika zaidi na vitu ambavyo ukivikosa vitakutesa na kukusumbua sana.
Somo hili litakufungua sana ufahamu wako na itakuwa rahisi kujua ni wapi ambapo kuna uharibifu kwenye maisha yako ili uweze kuwahi kuuondoa kabla mauti haijafika.
UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
Like our Facebook: / therealityof. .
Follow our Instagram: / realityofch. .
Subscribe our KZbin: kzbin.info/door/67L...

Пікірлер: 25
@highonebalo8289
@highonebalo8289 Жыл бұрын
I really love Jehovah God for this. Sunbella man of God😭!! You are the gift of the church. Nimekusikiliza sana lakini nimeshikwa na neno moja tu; nikasikia uhai uliposema "as Long as una sauti ya Mungu kwenye hilo jambo"!😭😭😭 Nimepokea nguvu ya kutoboa!!! Amen amen amen man of God! I love the gift of knowledge you are given. Kisasi hakitakuona kamwe in Jesus great Name!
@GemaLucas-mz2bn
@GemaLucas-mz2bn 4 ай бұрын
Kwa kweli tunamwihitaji Roho Mt sana sanaaaaa.......,
@violaphillip8820
@violaphillip8820 3 жыл бұрын
Asemacho mtumishi roho ya mauti ni Nyoka, mimi ni shahidi na nina ushuhuda katika hilo, Tumsikilize na tujifunze vizuri itatusaidia.
@veronikaaugustino2258
@veronikaaugustino2258 3 жыл бұрын
Asante baba tuko pamoja kutoka Tbr MUNGU Asante kwa kunipa BABA wa kiroo aliyebeba NENO lako kwangu MUNGU umlinde nakumpa umri mrefu tusimic NENO lako AMINA
@linmoses7871
@linmoses7871 2 жыл бұрын
amen. Ubarikiwe sana. All the from Denmark
@namsifujoackim5511
@namsifujoackim5511 3 жыл бұрын
Nabarkiwa Sanaa na muhubiri huyuu mungu aseme nae sawasawaa
@petermunuo1657
@petermunuo1657 2 жыл бұрын
Amen mtumishi
@christinesavai884
@christinesavai884 2 жыл бұрын
Amen
@deusdedit789
@deusdedit789 2 жыл бұрын
Glory to God yote yamekwisha
@bonfacemzungu4206
@bonfacemzungu4206 Жыл бұрын
Amina naeza pata aje namba ya Mtumishi kuongea na yy directly
@veronikaaugustino2258
@veronikaaugustino2258 3 жыл бұрын
Asante kwa makofi wote wanafamily Reality Nawapenda
@milinithomas8622
@milinithomas8622 3 жыл бұрын
Thank you Jesus,to you only be all the glory. I’m alive today because YOU live in me.👏🤩
@newhopeonline5818
@newhopeonline5818 5 ай бұрын
Kumbe wakati mwingine ndani ya fadhiri Kuna mauti imejificha
@eutropiangido9684
@eutropiangido9684 3 жыл бұрын
Asante sana mtumishi na huduma ya Reality of Christ nimeanza hii series jana. Imenibariki mno. Mungu anayeishi asiwapungukie
@ryeidaupendo4834
@ryeidaupendo4834 3 жыл бұрын
Mbarikiweee sana Mtumishi,nipo Bukoba,Mungu ni mwema
@annandossi1022
@annandossi1022 3 жыл бұрын
Asante sana Mtumishi
@gomarakimwanzaro9903
@gomarakimwanzaro9903 3 жыл бұрын
Amen nakupata nikiwa oman
@newhopeonline5818
@newhopeonline5818 5 ай бұрын
Naomba nisaidiwe namba ya huyu mtumishi wa MUNGU
@catherineakinyi6372
@catherineakinyi6372 3 жыл бұрын
AMEN AMEN 🙏🙏🙏🙏am very blessed....Thank you men of God 🙏🙏🙏
@neemakimaro3470
@neemakimaro3470 3 жыл бұрын
🙏🏾
@ryeidaupendo4834
@ryeidaupendo4834 3 жыл бұрын
Iyo imenigusa jmn
@El9a
@El9a 3 жыл бұрын
Hospitalini wanaweza wakawa wema mgonjwa anahisi baridi wakamtibu kwa urafiki (wakawasha moto kutuliza baridi) kumbe ni mazingira ya nyoka kummaliza mtu ... Somo linanibariki...
@makanijosephine6443
@makanijosephine6443 2 жыл бұрын
mtumishi ubarikiwe sana , uharibifu wangu ni kwamba nimeng'oa meno 11, na mengine manne yameoza nina imani this is not normal nilikua nachukulia kawaida but uharibifu umefikia mauti natamani siku moja nije reality kuombewa , kabla ya mauti
@catherineakinyi6372
@catherineakinyi6372 3 жыл бұрын
Nimefuatilia kwanzia part 1,2🙏🙏🙏🙏thank you all
@lucianbenedict7199
@lucianbenedict7199 3 жыл бұрын
Amen
ROHO YA MAUTI NA UHARIBIFU (MAOMBEZI) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:55:42
Reality of Christ Church
Рет қаралды 27 М.
ROHO ZINAZOZUIA ONGEZEKO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:12:39
Reality of Christ Church
Рет қаралды 24 М.
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 36 МЛН
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 49 МЛН
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 42 МЛН
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 88 МЛН
ROHO YA MAUTI - PASTOR SUNBELLA KYANDO
17:47
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 7 М.
KUTEGUA YALIYOPANGWA NA SHETANI (DODOMA)
1:05:11
Reality of Christ Church
Рет қаралды 100 М.
AMANI YA KWELI NDANI YA MTU_PASTOR WINNIE MSAMI
49:41
Pastor Winnie Msami
Рет қаралды 378
KUPAMBANUA ROHO III (JINI MAHABA ) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
52:02
Reality of Christ Church
Рет қаралды 13 М.
UCHAWI UNAVYOENDELEZA JAMBO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:18:25
Reality of Christ Church
Рет қаралды 4,3 М.
FINANCIAL TRANSFORMATION  (DAY 1 ARUSHA) - Pastor Sunbella Kyando
59:38
Reality of Christ Church
Рет қаралды 16 М.
NAMNA NGUVU ZA GIZA ZINAVYOFANYA KAZI - PASTOR SUNBELLA KYANDO
52:58
Reality of Christ Church
Рет қаралды 34 М.
ROHO MTAKATIFU(SEHEMU YA KWANZA) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:27:16
Reality of Christ Church
Рет қаралды 67 М.
UMUHIMU WA KUIFAHAMU VITA UNAYOPIGANA NAYO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
45:58
Reality of Christ Church
Рет қаралды 45 М.
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 36 МЛН