No video

ROUND YA KWANZA KWA FIRST 11 BACHU

  Рет қаралды 21,690

Al Ihsaan TV

Al Ihsaan TV

Күн бұрын

ROUND YA KWANZA KWA FIRST 11

Пікірлер: 634
@herbybramo17
@herbybramo17 11 ай бұрын
Alhamdulillah Wenye Akili wamekufahamu sana Ustadh Said.
@ayauii
@ayauii 11 ай бұрын
Watu wamemfahamu kuwa walipanga kyvunja mjadala watu wasione haqi alokuja nayo bachu.lakini tumeiyona haqi alotuonesha bachu na tumekuwa tayari kuifuata alhamdulillah
@jemedarmohamed3644
@jemedarmohamed3644 10 ай бұрын
@@ayauii Elimu haifichiki kwa anaeifahamu Acha kudanganya watu,Bachu hamna lolote analolijua hadi ashindwa kusema hajui !!!!!😄😄😄😄 hivi hajui kusema neno sijui au pia halijui maana yake hilo neno sijui?
@yongpalg9524
@yongpalg9524 11 ай бұрын
Mtihani wallah ustadh umeonesha kujiamini kumbe hamna kitu tuweke bayana ww basi km yy ameshindwa kukujib utakavyo ili tujifunze kutoka kwako lakn umeshindwa kusafisha ina maan ww mwenyew ulikuwa huna jibu sahihi kitu ulicho uliza shekh
@ramazanimulongoy2272
@ramazanimulongoy2272 11 ай бұрын
Mansha allah ustadh saidi mungu akulipe wana twariqa wote wa congo weko nyuma yako mansha allah
@UmmYusrah1
@UmmYusrah1 11 ай бұрын
Ustadh Said MashaAllah. Alhamdulillah, umefanya jambo muhimu sana kwasababu wale huwa wanatupotosha utadhani wamesoma. Wanakashifu maulamaa wa kale kumbe hata lugha hawaijui subhanAllah. Tunakuombea Allah azidi kukupa ilmu Ameen. Napenda vile wampeleka step by step ukituonyesha kuwa misingi ni muhimu
@binttwaha2887
@binttwaha2887 11 ай бұрын
Nani alisema ukiwa mwenye kulingania awe ajua Arabic Mia fil mia?
@UmmYusrah1
@UmmYusrah1 11 ай бұрын
BintTwaha. Kutojua lugha ilikuwa Moja wapo.wa dalili za ukosefu wale wa ilmu. Pia alikuwa na makosa makubwa katika kuelewa misingi ya masomo anayosema anayategemea
@m7.mmd_
@m7.mmd_ 11 ай бұрын
@@UmmYusrah1 kweli kabisa JazaaKilllah kheir
@m7.mmd_
@m7.mmd_ 11 ай бұрын
@@binttwaha2887 kulingania ni lazima uwaelezeee umma yapi yamesemwa katika Quran. Hadith na maneno ya wanazuoni.. na hizo ni luggage za kiarabu lazima usome .. usipo soma ndio haya yakina Bachu
@ExcitedCricketHelmet-wr4sq
@ExcitedCricketHelmet-wr4sq 4 ай бұрын
Alhmdulillh kumbe barzanji ni bidaa tupu na upuuzi mwingi nimefahamu sitohudhuria tena maulid wameshindwa kuutetea barzanji na kutumia ujanja wallah mkhurafi Allah anawaona mnavyopotosha ummah kumbe mko ivo
@shabanihassan8678
@shabanihassan8678 11 ай бұрын
Muhammad Nassor bachu Allah akulinde unatuwakulisha uzuri
@allysangwe1192
@allysangwe1192 11 ай бұрын
Unajidanganya
@farijalaidd-sv8zb
@farijalaidd-sv8zb 11 ай бұрын
anakuwakilisha kwa sababu huna elim lakini ungekuwa nayo ungejua mtu anatembea na pepa za khtuba
@sumeyasumeya5490
@sumeyasumeya5490 11 ай бұрын
Afadhali yy atembea na paper na akazisoma kuliko huyo ust said alijaza maktaba nzima ya vitabu juu ya meza Wala hatukumuona kuvifungua akams
@user-gi3mp8nf2v
@user-gi3mp8nf2v 11 ай бұрын
Yaan kiukwel mwenye akili shekh said wamekufaham sana Wallah allah akulipe
@omarymakange8449
@omarymakange8449 11 ай бұрын
JazzakaLlahu khairy, Allah akufungulie na akutanulie Elimu na Ufahamu.. Leo watu wameelewa Sasa Elimu iko wapi na Ushabiki uko wapi.. Allah atuhifadhi
@sheikhmuriditiba146
@sheikhmuriditiba146 11 ай бұрын
UNA MANENO MENGI HUNA ELIMU ALAFU BACHU NI MSHINDI
@mwalimjecha6893
@mwalimjecha6893 11 ай бұрын
Usimtetee bachu kagaragizwa chini
@munnihussein9352
@munnihussein9352 11 ай бұрын
Ana uswahili mwing Kisha uelewa wake ni mdog sana dj saidi
@SaidiOmy
@SaidiOmy 3 ай бұрын
BACHO ameshindwaa Tena ukisema ameshinda ni aibu Maana hadi MAWAHABI wenzake wanamlaumu kwa hana elimu alafu anaenda kushindana na wenye elimu. Na pia MAWAHABI wamekiri KUWA Bachu ameshindwa... Kaulizwa suala moja tu chaliiiii Ebu msaidie wewe kulijibu ... Jee mtu akitumia hadithi munkar kuitwa ni muongo?? Au jee maneno yake huitwa ni uongo ??
@sierabravo848
@sierabravo848 11 ай бұрын
Subhanallah huu ni mtihani mkubwa .tumuogope mwenyezimungu tutakufa tutafufuliwa jamani dunia c makao. Allah atuongoze
@ishirininasita2626
@ishirininasita2626 11 ай бұрын
Lia polepole
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 11 ай бұрын
Maa shaa ALLAH 💚 YARABI anisamehe thambi zangu & wazaz wangu na amlinde uyu kijana mdogo kwa umri ila mkubwa kwa elimu. amin amin YARABI amin 🤲🤲🤲🤲.
@jumafaki2891
@jumafaki2891 11 ай бұрын
Shekh mungu akubariki. Ulipotoa chozi nami lilinitoka chozi nikiamini radhi za mashehe ziko pamoja nawe nakuomba unitakie dua nami kwa nipate radhi zako
@salmaabdalla6488
@salmaabdalla6488 11 ай бұрын
Msibaa huu yani huyu ndo akupe radhi innaalillahi wainnaailayhi rajiiuun
@alwysaggaf
@alwysaggaf 11 ай бұрын
@@salmaabdalla6488Radhi kuna sambuli nyengi ndugu yangu! Radhi za MOLA, Radhi za Wazazi, Radhi za Walimu, Radhi za kadha na kadha…. Maskini ndio maana labda waliposkia Hadithi ya Munkar wakaona ni Munkar kwa maana ya kiarabu tuu. Hawakujua Hadithi za Munkar sheria zake ni zipi. Elimu ni muhim. Kama haukusoma basi usitusi au kudhania maovu Sababu mtu amesema neno Radhi. Jamani kusoma muhim. Kama hatujui basi usiwe mwepesi kuhukumu 😊
@ayman4-cf7xd
@ayman4-cf7xd 11 ай бұрын
​@@salmaabdalla6488watu wa maulidi wanashangaza radhi gani watu wanafanya uzushi maulidi hayakufanywa na mtume wao wanazuwa Kisha wanataka radhi za watu kama wao wanachekesha
@FarahJey
@FarahJey 11 ай бұрын
Mshirikina huyu ataka radio kwa mpiga guitar
@rashidswalehmwanjama3404
@rashidswalehmwanjama3404 11 ай бұрын
​@@FarahJeykumbe waumia juu ya gitaaaa😂😂😂😂
@abuuhaytham
@abuuhaytham 11 ай бұрын
someni muache upumbavu Mungu awaongoze
@salmjamal2137
@salmjamal2137 11 ай бұрын
Shekh said Tumcheni Mungu kama hyo ndio ilikuwa ni Elmu umeveli sana hadith Munkarr na bado mwaifundisha au mwaitangaza
@aifadmohammed5231
@aifadmohammed5231 11 ай бұрын
Mashallah Sheikh said Mungu akuhifazi na kila Baya , ila nimependa hukupaniki na Una hekma na busara Mungu akuzidishie
@hafswanaaman2911
@hafswanaaman2911 11 ай бұрын
Mashaallah mashaallah mpongezi ust Said mungu akujazi kheri akupe umri twawili. Wape kweli wao. ❤❤❤
@hassanmwadzugwe
@hassanmwadzugwe 11 ай бұрын
Mashallah mungu akujaze kheir Leo umenitoa machozi ya furaha
@idihsingano-kq2sy
@idihsingano-kq2sy 11 ай бұрын
Mashaallaah mungu akulinde nakila baya
@suleymansalim5732
@suleymansalim5732 11 ай бұрын
HUJAULIZA HIVO UMESEMA MTU NI MUONGO⁉️⁉️⁉️ MWENZIO ASEMA KUHUSU UONGO KWA KITABU
@SaidiOmy
@SaidiOmy 3 ай бұрын
KAULIZA HIVI JEE MTU AKITUMIA HADITHI MUNKAR KTK KITABU CHAKE HUITWA NI MUONGO AU MANENO YAKE HUITWA NI YA UONGO ?? KWAIVO KTK SUALA KUNA KHIARI IMAA MTU HUITWA NI MUONGO AU MANENO NI YA UONGO .. ALHAMDULILLAHI WENYE AKILI WAMEFAHAMU KUWA BACHO KAJIINGIZA MWENYEWE KATIKA KISIMA .. HANA ELIMU ALAFU ANAJIPELEKA KATIKA MDAHALO . SUALA MOJA TU MASAA ZAIDI YA MAWILI KASHINDWA KULIJIBU
@mohcreative
@mohcreative Ай бұрын
Aliuliza barzanji ni muongo saiv anajidai hadithi munkari ni uongo
@hemedhamdan
@hemedhamdan 11 ай бұрын
الحق يعلو ولا يعلى عيه... اي، الباطل لا يعلو على الحق أبدا... Unapozungumza kuhusu munaaqasha wa kielimu, lakini wewe hukutumia elimu hata kwa jambo moja. Vitabu umeviweka kwenye meza wala hukusoma hata ibara moja.... Wallaahi Wabillaahi Watallaahi watu wa maulidi mumeshindwa kuitetea barzanji. Allah awaongoze nyinyi na sisi na jamii islaam, Aamiin.
@sumeyasumeya5490
@sumeyasumeya5490 11 ай бұрын
AMEEN inasikitisha sana kuona hajisikii anachokizungumza ni sahihi au la
@arafatali1327
@arafatali1327 11 ай бұрын
Umejisifu sana shekhe. Umemtia goli mwenzako roundi ya kwanza. Ililihali umejijibu wewe mwenyewe. Je kutumia hadithi munkar kwa mtu aalim kulingana na nyinyi ni sawa. Hilo ndioo swala la kwanza uliloulizwa na ukalikuwepa kisiasa kuingiza swala lako la pili Na wajua vizuri ungelijibu Hilo swala kwanza si kuuliza swala juu ya swala ungelijiingiza mtegoni. Ndipo hapo ulikua ukikiepuka sana na kushikilia.
@JabirBakar-ys8dw
@JabirBakar-ys8dw 11 ай бұрын
ulikuwa unasikiliza pekeyako au unatazama pekeyako usiwe mwongo utadhalilika kama muhammadi bachu
@arafatali1327
@arafatali1327 11 ай бұрын
@@JabirBakar-ys8dw Ndio nilikua naisikiza peke yangu na hio niliosema ni Rai yangu. Na madam umenihukumu mimi ni mwongo nithibitishie ni wapi wanijua ukaniita mwongo.
@JabirBakar-ys8dw
@JabirBakar-ys8dw 11 ай бұрын
wewe n mwongo kwasababu umesema uongo maana unachukuwaje rai yako unampandikizia mtu wewe n mwongo na ndio maana mnadhalilika kwa watu@@arafatali1327
@JabirBakar-ys8dw
@JabirBakar-ys8dw 11 ай бұрын
maana swali hilo wewe ndiye unaeuliza sasa kisha ety wasema ndio swali la kwanza kuulizwa na nani mlitaka uthibitisho na huo uthibitisho ulipatikana maana hadithi mlipewa wanyama kweli walitamka hadithi hini hapa @@arafatali1327
@yusufathman2478
@yusufathman2478 11 ай бұрын
Izo ni mbwembemwe za mahurafi... saidi huna lolote. Wallahi afadhali maajazil kubraa. Subhannallah.. kutetea bid'ah wasema ni haqqi. Huu msiba
@HABARYTv-vd7lq
@HABARYTv-vd7lq 11 ай бұрын
Ww mwenyewe kichwa maji mweupe kabisa
@yusufathman2478
@yusufathman2478 11 ай бұрын
@@HABARYTv-vd7lq Alhamdulillah Hii elimu chache nliyonayo najua kubainisha haqqi na baatwil.
@SaidiOmy
@SaidiOmy 3 ай бұрын
​@@yusufathman2478 Haya ebu mwambie haqqi ipi ulioiona kwa BACHO ? KAULIZWA suala moja tu. Hadi mdahalo umemaliza hajalijibu .. Na wewe pia tunakuuliza : Jee Mtu akitumia hadithi MUNKAR huitwa ni muongo ?? Au jee maneno yake huitwa ni ya uongo ??
@swalehabdulrahman4118
@swalehabdulrahman4118 11 ай бұрын
Tunakupenda kwa ajili ya Allah
@nusalim3389
@nusalim3389 11 ай бұрын
Ushindi wa wazi kwa bachu mashallah,Allah amempa thabat Leo kihoja na pia kia khlaq,kw bahat mbaya kapata na majahili,kiufupi wadanganye wengine ,na mbele ya haki umwfwli mbele ya ujanja kawadanganye wengine,
@fikafikan8484
@fikafikan8484 11 ай бұрын
Mbona kakimbia bachu kashindwa kashindwa kufafanua hadithi munkar alafu kama ww ni msema kweli sio mnafik ulivopangwa mjadala ulisikia kitu chochote kikiulizwa utoe ushahidi kupitia wanazuoni hadithi quran ila bachu kashindwa kueleza kama ww simnafik sema ukweli walielewana nn na video ziko
@HABARYTv-vd7lq
@HABARYTv-vd7lq 11 ай бұрын
Nu salim kasome acha usha biki
@husseinally5550
@husseinally5550 11 ай бұрын
Muhabiiii chaliii😅😅
@mbagaherbal4796
@mbagaherbal4796 11 ай бұрын
Asalam alaykum warahmatullah wabarkatuh, Jamanii naomba namba za USTADH SAID naomba Tuwasiliane inshaallahu taala
@jemedarmohamed3644
@jemedarmohamed3644 11 ай бұрын
first round bachu kala kumi bila mwenyewe😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤ Allah akuzidishie Elimu ustadh wangu ilituweze faidika zaidi
@MUBKAM-th3ln
@MUBKAM-th3ln 11 ай бұрын
huyu hamna kitu...
@saidhassan-vd8tp
@saidhassan-vd8tp 11 ай бұрын
ALHAMDULLILLAH RABBIL AALAA AAMIIN.kijana wetu waa waa mambrui, kwa Imani,Mungu aku ongoze kwenye haki, matwari ya yapashwe moto safu Zipane. Swalu Alla Nabbii, Allahu maswale Allee .keep it going my brother, one love from somalia.
@user-jm4od9ee8e
@user-jm4od9ee8e 11 ай бұрын
Congratulations my beloved brother I'm in south Africa I really appreciate what u did may Allah reward you tremendously ❤
@user-nh2wt4yd7w
@user-nh2wt4yd7w 11 ай бұрын
Mashallah sheikh Muhammad Bachu Allah akuhifadhi umeshinda
@abiabi9353
@abiabi9353 11 ай бұрын
Bachu wako amepigwa ko
@fikafikan8484
@fikafikan8484 11 ай бұрын
Haha amekimbia bachu wako amenda wapi peponi ama
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 11 ай бұрын
Wallahi kitu ch kuckitisha sn n kuona kua hawa masheikh zetu wanaokikubali kitabu ch BARZANJI ilihali wanakiamini, wanakisomesha kw vizazi vingine, wanaamini kua kusoma kitabu hichi n ibada bado mpk leo hii cjamuona sheikh hata mmoja aliecmama na kuzipinga kw hoja zile hoja 19 za Bachu... Ss km Bachu hayuko sahihi basi nyny tuelewesheni huo ukwl upo vp ili tujue kua Bachu hana uelewa mzuri wa kile kitabu ch BARZANJI... Wallahi sheikh mm nakuhisia unalolifanya lifanye kw ajili ya Allah na uckubali kufanya jmb ili kuwaridhisha watu fulani au kulinda cfa ya dhehebu fulani sheikh wng tutafute radhi za Allah yaani tukiiona haki tuseme kua hii n haki...
@mustimustafi3207
@mustimustafi3207 11 ай бұрын
Hakuna aya kwa quran wala hadithi wala riwaya ukatowa Tushaakuekewa Hakuna siku mtatetea barzanji Allah akuongoze bro said umepotea
@salehmohammedsalum2054
@salehmohammedsalum2054 11 ай бұрын
Ndugu yangu naona najinapa tu lakini hatujaona kwenye mjadala ukitetea maulidi yani hujatetea ata hoja moja
@HABARYTv-vd7lq
@HABARYTv-vd7lq 11 ай бұрын
Lete cha kwako tukisome ambacho kina faaa
@user-gl8lh2hb4i
@user-gl8lh2hb4i 11 ай бұрын
Ustadh Said itawezekana vipi Bachu aje asome elimu ya mustalah hadeedh ikiwa elimu ya imlai hajui? Usimpe kazi ustaadh Fadhil bure. # Sheikh suduqا # الشيخ السدوق
@user-ru8oe8le4d
@user-ru8oe8le4d 11 ай бұрын
MashaAllah congratulation kwa ushindi ustadh said Allah akuzidishie elmu ambao uko nao Allah akubariki na akuhifadhi
@raskingo1495
@raskingo1495 11 ай бұрын
Jazakkah llah kheri Allah Azidi Kuusimamaia Ustaadh Tumeona Kakimbia na Hajui Kitu
@AbuSaeed-pz2kb
@AbuSaeed-pz2kb 11 ай бұрын
Ustazi said muogope Allah unatumia hila na urongo katika mazungumzo yako Wewe ndio umeshindwa kuthibitisha Ulikuwa unafaa kuleta hadith sahih kuthibitisha hoja yako
@SaidiOmy
@SaidiOmy 3 ай бұрын
ABUU Saeed Wala hatumii hila. Bali ndio uhalisia MADA SIO KULETA HADITHI SAHIHI WALA DHAIFU . MADA NI JEE JAFAR AL BARZANJI NI MUONGO ?? AU JEE MANENO YAKE NIYA UONGO ?? SUALA MAOJA TU BACHU AMESHINDWA KUJIBU .
@ayauii
@ayauii 11 ай бұрын
Ustaz said ilikuwa nakuamini kumbe nimtu wa drama hii ya leo inaonekana kama ni ekting..mawahabi waonekana niwakweli.kwa sura ya mnaqasha ulivyo kwenda kusema ukweli
@ishirininasita2626
@ishirininasita2626 11 ай бұрын
Lia polepole mwenye akili ameshuhudia
@user-sn5hi8ug4b
@user-sn5hi8ug4b 11 ай бұрын
ndoivyo Al akhii wanajuwa kwamba maulidi niupotevu ilawana masilahi yaoyakidunia kwahivyo wanaikwepa haki
@sumeyasumeya5490
@sumeyasumeya5490 11 ай бұрын
Wanajua kabisaaa hakuna dalili yoyote ya kisheria inaoonyesha maulidi ni halali ila Wana mapato hupata kutoka inchi za inje na Hawa wengine swala ya jamaa hufuata kula tu mabiriani na mapilau Kwa wingi na hii njaa iliopo Kenya hapitwi mtu maulidini🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@ayauii
@ayauii 11 ай бұрын
@@sumeyasumeya5490 ndio hivo.kila mtu ataingia kaburini pekeyake madhali washaoneshwa haqi na mtu hajataka kuifuata niyeye na Allah watapambana.
@AminaDodios-ml2lv
@AminaDodios-ml2lv 11 ай бұрын
muhammadi bachu Allah akulinde nashari za masheitwani wakibinaadamu. Saidi ww kwa bachu cha mtt.
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 11 ай бұрын
Aaamin. Nabila Shaka Shaitwani Wakwanza Niwewe Sisi Twafuata.
@user-rb8ir9co9k
@user-rb8ir9co9k 11 ай бұрын
@@nurdinmfamau3493 kwa nini nyinyi MASUFI hamtaki kuambiwa ukweli nyinyi?
@user-rb8ir9co9k
@user-rb8ir9co9k 11 ай бұрын
@@nurdinmfamau3493 kwa nini nyinyi MASUFI hamtaki kuambiwa ukweli nyinyi
@AminaDodios-ml2lv
@AminaDodios-ml2lv 11 ай бұрын
@@nurdinmfamau3493 Allah kakudhihirisha inaonyesha kuwa wewe ni sheitwani wakibinaadamu! Ila kwa bachu umegonga mwamba,ila kwa bachu umegonga mwamba sheitwani hasogei wa kijini wala wakibinaadam full Ruqya ulinzi wa mungu upo kamili
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 11 ай бұрын
@@AminaDodios-ml2lv Nawe Ni Shaitwani Wakijini Kama ulivyojidhwirisha.
@adamaliali2206
@adamaliali2206 11 ай бұрын
Nyinyi masufi munafikiria kula tu
@sheikhfadhilaljahdhamy6751
@sheikhfadhilaljahdhamy6751 11 ай бұрын
{ وَیُطۡعِمُونَ ٱلطَّعَامَ عَلَىٰ حُبِّهِۦ مِسۡكِینࣰا وَیَتِیمࣰا وَأَسِیرًا (8) إِنَّمَا نُطۡعِمُكُمۡ لِوَجۡهِ ٱللَّهِ لَا نُرِیدُ مِنكُمۡ جَزَاۤءࣰ وَلَا شُكُورًا (9) إِنَّا نَخَافُ مِن رَّبِّنَا یَوۡمًا عَبُوسࣰا قَمۡطَرِیرࣰا (10) } [Surah Al-Insān: 8-10]
@osmanmanbile9327
@osmanmanbile9327 11 ай бұрын
Ustadh ulimwenngu umeshihudia kwamba sayid jacfar siyo mwongo Bali farst eleven ndio mwongo
@user-ke3kw5pd5h
@user-ke3kw5pd5h 11 ай бұрын
Huna ilmu yeyote
@bafaaabuu
@bafaaabuu 11 ай бұрын
Hauna elimu yako ndogo haki kweli imezihiri kwa kushindwa kutetea hoja umekaririshwa nukta mbovu hauwendi mbele bachu elimu kubwa
@abiabi9353
@abiabi9353 11 ай бұрын
Hoja ipi aloshindwa kutetea
@jabirhussein4180
@jabirhussein4180 11 ай бұрын
Bado hujasema hahaha
@user-sn5hi8ug4b
@user-sn5hi8ug4b 11 ай бұрын
❤kwani unazani wanakuelewa akhii wanajuwa kwambaniupotevu ila hawatakikuifuata kwasababu wata kosa biliani na pilau na uzinzi wamaulidini
@sumeyasumeya5490
@sumeyasumeya5490 11 ай бұрын
Alishindwa kujibu hoja tuonyeshe ni wapi ilithibiti wanyama walizungumza kwa mimba ya MTUME? Mbona hakujibu tuliweka mabando zetu kusubiri jibu lakini ust said kashindwa kujibu na saa hii aongea ovyo
@abiabi9353
@abiabi9353 11 ай бұрын
@@sumeyasumeya5490 mawahabi mbona vichwa mchunga hamuelewi kabisa.ulitaka ithibiti vipi wakati hadith imetolewa.tatizo lenu nyinyi mbumbumbu mnataka kuzungumza hadith wakati elimu ya mustalahul hadith hamjui
@Mariam99-ld4gw
@Mariam99-ld4gw 11 ай бұрын
Mashall ah natamani usimalize kusema ❤❤❤❤❤
@yusufntamila541
@yusufntamila541 11 ай бұрын
Mashaallah kazi umeimaliza
@salmaali7080
@salmaali7080 11 ай бұрын
MABROOKkkkkk shekh letu umemtoa kijasho c haba ,swalluu allannnabyyyyu
@sierabravo848
@sierabravo848 11 ай бұрын
Hakuna alomtoa bachu kijasho ila said sioni alichosema.sababu swali moja tu hakujibu.ust said ww ingekua wajua ungejibu.hakuna ushindi hapo hujajibu swali la bachu fujo Tu mlofanya
@JumaaBarua-fx3xw
@JumaaBarua-fx3xw 11 ай бұрын
maashaallah mungu akulipe kila la heri.
@carolinewanjiri714
@carolinewanjiri714 11 ай бұрын
mashaallah sheikh said, Allah akupe umri mrefu uzidi kuwafahamisha waslamu kujua elimu ni muhimu
@sultansallah8772
@sultansallah8772 11 ай бұрын
Mnatumia nguvu nyingi sana kujieleza
@user-mp5cr5hu1l
@user-mp5cr5hu1l 11 ай бұрын
Maasha ALLAAHU, ALHAMDU LILLAAH!
@Bosezizunae
@Bosezizunae 11 ай бұрын
Ust said Allah Atakulipa
@jemedarmohamed3644
@jemedarmohamed3644 11 ай бұрын
pongezi sana sheikh said Allah akubaarik sana kwakulikosha na kulisafisha Jina la mwanachuoni mkubwa mufti shaafiiyah madhhab- katika mji mtukufu mji wa Mtume s.a.w Madina -Sheikh Jaafar Barzanji
@user-zk8xl7gp6r
@user-zk8xl7gp6r 11 ай бұрын
Allah akuhifadhi Sheikh said Pia tunakuomba utuombee dua na cc amba tunaendelea kusoma na kufuatilia harakati hizi mola atufungulie na atuoneshe njia ilio sahihi tuweze kuifata
@harithhemed9920
@harithhemed9920 11 ай бұрын
vitabu 40 hujanukuu ata kimoja sisi ni kitabu na sunnah uzushi peleka mamrui
@fikafikan8484
@fikafikan8484 11 ай бұрын
Sasa angenukuu bachu angekunya mbona amekimbia alikua aseme hajui hakikuguswa kitabu jee kingeguswa bachu mungempeleka atiwe maji agakhan
@F.j84
@F.j84 11 ай бұрын
Mtu mwenye elimu hafanyi ushindani ke kulaximisha ajibiwe anavotaka mtu wa elmu hufundisha akaelezea akatoa km ahadith riwaya au hata aya za quraan kuthibitisha jambo linalojafiliwa maana watu wote wanasubiri kuelemishwa kua yafaa kw uhalali upi na dalili ipi.. Lkn zero bin zero utasema amemez kaseti iliokua recorded akariri hapo hapo hakuelemisha kitu
@fikafikan8484
@fikafikan8484 11 ай бұрын
@@F.j84 ww wataka ukasome ndio utajua bachu ni mrongo na mwisho wake mutaona tu simbali atazirika ilimu hana bachu yuwatoa maneno anavo taka yeye watu waenda na ilimu alikua aseme hii hadithi munkar yafaa mtu ama maneno yake hawezi kuitwa mrongo athibitishe kupitia wanazuoni ama aya bachu alikua aseme sijui afundishwe watu wasonge mbele na makubaliyano kila swali litakalo ulizwa lijibiwe ndio watu waende swali lengine bachu kashindwa kujibu na ustadh said alimwambia yy yuwakubali hadithi ni munkar ila thibitisha kupitia wanazuoni na hadithi munkar kwenye masnadi yake mtu huitwa mrongo ama maneno yake yatakua urongo bona jambo liko wazi kakimbia ajua akijibu ameshikwa ki ilimu wacha bachu shekh yoyote wakiwahabi hawezi jibu hilo swali kwa sababu hawana ilimu ushabiki weka kando ni ilimu bachu kakimbia mwenye ilimu hakimbi hujibu swali
@sarl33m
@sarl33m 11 ай бұрын
Huna elimu ww sheikh said
@NemaJuma
@NemaJuma 11 ай бұрын
Shkh wako amekimbia
@ibrahimnoordin3420
@ibrahimnoordin3420 11 ай бұрын
Jazaka Llah khayral jazaa.. ya ustadh Said Omar Asshirazy .
@madrasatulnoorislaamiyaera3163
@madrasatulnoorislaamiyaera3163 11 ай бұрын
ALLAH AKULIPE KHERI SHEKH SAID, WALLAH HUYU KIJANA NI MTIHANI NA YEYE NA MAWAHABI WENZAKE, IKIWA HATA ILMUL HADITH HAJUI NA MAWAHABI WENZAKE WANAMUONA NI SHEKH, HAWA NDIO MAWAHABI WAMEKUA HUHUKUMU MAMBO KWA AKILI ZAO NA SIO WALIOTUTANGULIA WANASEMAJE?
@abdulali753
@abdulali753 11 ай бұрын
Allah Akuhifadhi Ustdh Said , MashaAllah ❤
@kiddrc353
@kiddrc353 11 ай бұрын
Shekhe tumetizama masaaa matatu huna baya waqad jaa a l haqqa wazahaka l batwila wale hata usipate tabu now tuachie sisi😂😂😂
@ayauii
@ayauii 11 ай бұрын
Mumepanga kufanya drama ndio mana mukakaririshana nukta ya kwanda .ili watu wasijue uwongo uliomo kwenye barzanji angeliendekelea watu wangezidi kuujuwa uwongo wa barzanji ndio mukapanga ndrama
@akthammuhammad7844
@akthammuhammad7844 11 ай бұрын
Allah akuhifadhi sana Sheikh Said ukweli upo wazi.Hawajui kuandika for ibara za kiarabu wataweza kumtoa makosa Al Barzanji
@salwamahfudh8129
@salwamahfudh8129 11 ай бұрын
Asalamu aleykum warahmatullahi wabarakatu MashaaAllah tabarakallah
@fakihbakari
@fakihbakari 11 ай бұрын
waalaikum salam warahmatu allaahu wabarakat
@user-gi3mp8nf2v
@user-gi3mp8nf2v 11 ай бұрын
Mashaallah mashaallah yan kiukwel shekh said nakupenda kwa ajili allah yaan leo umetufurahisha sana yaan nataman hata nkupe dada yangu yaan allah akuhidhali aminiiiii❤
@yasserabubakar6167
@yasserabubakar6167 11 ай бұрын
Ahhh mm leo sina raha kabisa sababu ilikua mjadala umalizike wotee ili bachu agagararazike kama alivotoa jasho ….
@user-ki4sg8yz9j
@user-ki4sg8yz9j 11 ай бұрын
Mikojo ilimtoka duuh
@fauztv.
@fauztv. 11 ай бұрын
wewe mbna hujatoa jibu lake kama sio ww ndio hujui kama kwel kidume njoo kama ulivo kuja hapa useme jib la ulicho uliza unauliza swali mwenyew jibu hujui
@issacksomo967
@issacksomo967 11 ай бұрын
Walokuja bila elimu ni nyie matwariqa hoja hujengwa kwa hoja mbona ulikua wagangana sema sijui yeye amekwamba haipo katika maneno ya wanazuoni, usawa ulikua useme wewe sio sema sijui
@fikafikan8484
@fikafikan8484 11 ай бұрын
Hoja bachu kakimbia ww huna ilimu wajua juzi kabla nikash ukiulizwa swali ujee utete ama utoe ushahidi kwa wanazuoni sasa bachu alikua aseme hajui aoneshwe ww uko wapi mana kukimbia alijua amewekwa kwenye mtego kilimu hamuwawezi twarika
@WardatJuma-ov1pz
@WardatJuma-ov1pz 10 ай бұрын
Mashekhe Alhamdullah mjadala wen ila mujue kwamba baada mukajadiliana namna ya kuendesha dini munakaa kujadili mambo yenye maslahi madog kwa Jamii
@bilaligona5478
@bilaligona5478 11 ай бұрын
Ustadh Omar ulikua wataka kuzungumzia kuhusu shekh barzanji mwenyewe.naye mhd bachu alikua anataka kuzungumzia kitabu Cha barzanji sasa hivi ni vitu viwili tofauti kabisa na mjadala ukaisha hapo sasa huo ushindi umeutoa wapi?hapakua na mshindi bali kulikua na ushindan tu.
@hamisimohammed1950
@hamisimohammed1950 11 ай бұрын
Ustadh Bachu alishindwa kujibu swali lako na alikubali alishindwa. Kilikuwa kikao Cha elimu mbona hukumpa jibu faida kwa waislamu wote? Hoja ilikuwa ni mashindano ya kusoma ibara za kiarabu au tafsiri ya sawa?
@sumeyasumeya5490
@sumeyasumeya5490 11 ай бұрын
Alijifanya yy ni msomi mbona hakutusomea Kwa alicho shindwa bachu iliobaki nikuwaombea Dua ALLAH AKAWAONGOZA
@SaidiOmy
@SaidiOmy 3 ай бұрын
BACHO alijisifu KUWA yeye ni first 11 Na kumsema Ust saidi KUWA yeye sio first 11 . Vipi leo ambae hajafikia first 11 anamkosia aliyefikia first 11 ?? Hii inaonesha namna gani MAWAHABI ni weupe . Na wewe tunakuuliza Jee mtu akitumia hadithi MUNKAR huitwa ni muongo ?? Au jee maneno yake huitwa ni yake huitwa ni ya uongo ??? Ebu mjibie bacho suala ambalo limemshinda ??
@rashidabdi5974
@rashidabdi5974 11 ай бұрын
Iyo Sasa ni kujikosha tu hukujibu maan. We uliulzwa swali mwanzo
@nassoro5341
@nassoro5341 11 ай бұрын
Sheikh we kaa kimya huna elim kwenda zako huoni aibu mabidaa tu
@misbahukhalifa3216
@misbahukhalifa3216 11 ай бұрын
جزاكم الله خيرا وبارك الله فيكم الحبيب الأستاذ سعيد البيض
@muhammadkassim6291
@muhammadkassim6291 11 ай бұрын
Amiin
@mohcreative
@mohcreative Ай бұрын
Professor 😂😂😂
@user-jm4od9ee8e
@user-jm4od9ee8e 11 ай бұрын
ما شاء الله بارك الله فيك و أطال الله في عمرك ❤
@nusalim3389
@nusalim3389 11 ай бұрын
Ila bachu Allah akusamehe kubishana na jahili mshabiki mkaririshwa ni hayo masharti ya kibabe tu na kijanja ya kujiwekea ushindi bandia ila nilikuw napasukwa na nyonga natamani kupaa kumjibu ,macho yake tu hakufaa kuitwa tuweilibul ilm,
@athumanisaid759
@athumanisaid759 11 ай бұрын
Njoo wewe sema lini mjadala?
@salimuawadhi8043
@salimuawadhi8043 11 ай бұрын
Wewe wapi umefungua kitabu hata kimoja mbona hukutueleza maneno Yale barzanji ameatoa wapi nyinyi kaabuduni TU makaburi TU lamu mamburui na makinarod
@salimasalim405
@salimasalim405 11 ай бұрын
Sheikh Sayd Masha Allah, Allah akuhifadhi ukuzidishie hekima na elima
@Captainome
@Captainome 11 ай бұрын
Alhamdulilah tumejua kuwa ni mtupu na barzaji ni upotevu huna hoja brother.
@fikafikan8484
@fikafikan8484 11 ай бұрын
Kwa ushahidi gani mtupu bachu kakimbia huna hata haya ww mnafik
@Captainome
@Captainome 11 ай бұрын
@@fikafikan8484 mnafiq mgejaribu kujibu hoja japo moja mkaona moto wataka Kuleta ujiga kwenye elimu mtabaki navilemba venyu mkisubrii baraka za walokufa na elimu zao kaeni tu msisome mambo ni hayo.vitabu mmevipanga kama muza 💿 CD LAKINI kutumia hamujui.mtacha upotevu tu
@JumaHaruna-yg6pt
@JumaHaruna-yg6pt 11 ай бұрын
Sheikh mche mola wako, kwenye jambo la ilm, kamwe haiambatani na kibri.
@fikafikan8484
@fikafikan8484 11 ай бұрын
Ww ndio mche mola mwenye kibri bachu kakimbia aliona sabasilkubra huyu shekh said kakimbia bachu
@mwanakheri2880
@mwanakheri2880 9 ай бұрын
Umeshinda kweli kabisa. Nockout 1st round umemtowa mpaka mkojo ukamtoka😅😊
@salmaali7080
@salmaali7080 11 ай бұрын
Allah akupe umrr shekh said
@AbuuAbdillah-hb8li
@AbuuAbdillah-hb8li 11 ай бұрын
Kumbe mlikuwa mnatafutamshindi hamtafuti haqi huo ni ujinga juu ya ujinga
@fuadbilalsaid-fe3zu
@fuadbilalsaid-fe3zu 11 ай бұрын
Huyu si Shekhe ni Ustadhi tu wa madrasa za Twariqa. Hana lolote aende akapige hizo vinanda na madufu. Lakini katika Barzanji kuna uongo wa kupwa na kujaa.
@paulmushi2428
@paulmushi2428 11 ай бұрын
Wewe Sheikh hamna kitu debe tupu hata elimu ya kuthibitisha Kitabu Cha Barzanji huna wee Mweupeeeeeeeeee
@rashidabdi5974
@rashidabdi5974 11 ай бұрын
Hukujibu kitu shekhe Bora sabbas alijikaza we ndo hunaaaaaaaaa
@RayhanaMohamed-nk2rt
@RayhanaMohamed-nk2rt 11 ай бұрын
Huna kitu debe tupu
@AshishaNNS
@AshishaNNS 11 ай бұрын
Hamuna kazi, kazi kufatilia twarika wafanyalo na wa kwanza kucomment upuzi wenu. Bro mwatupenda haya endeleeni kutufatilia mufaidike. Na musisahau kumlipia shekhe lenu fees akasome kiarabu. Usiku mwema😂
@muhideennoor2458
@muhideennoor2458 11 ай бұрын
N pia amnunulie pampers sije akajikojolea kitandani
@user-zo6wx9zt3p
@user-zo6wx9zt3p 11 ай бұрын
unampelekea mtume upotevu na uzushi wakuzuuliwa uongo haliakua katika maisha yake katahadharisha uzushi amakweli ukiwamjinga mtihani na allah akitia upofu na uziwi hakuna ataekuongoa
@HABARYTv-vd7lq
@HABARYTv-vd7lq 11 ай бұрын
Lete cha kwako ambacho nikwel tupu acha ujinga hamna kitu ww
@fikafikan8484
@fikafikan8484 11 ай бұрын
Uzushi gani urongo gani kazushiwa hemu tuambie tuelimike na utoe na ushahidi
@japharytwaha8552
@japharytwaha8552 11 ай бұрын
Ustath Said mimi nimeelewa swali lako lakini alikujibu kwamba hakuna sehemu katika vitabu vya wanazuoni wa kiislamu ambao walimuhukumu mwenye kitabu bali wamehukumu kitabu, kwa hiyo wewe ilikuwa umuonyeshe mahali ili umshushe thamani kabisa sasa wewe hukufanya hivyo
@Capzonlinetv
@Capzonlinetv 11 ай бұрын
Wazungumza urongo kwanza mwanzo wa maneno yako!!! Allah atakufedhehesha insh.a...
@sumeyasumeya5490
@sumeyasumeya5490 11 ай бұрын
AMEEN
@AbdillahSOthman
@AbdillahSOthman 11 ай бұрын
Muwe ni wenye kuja kujibu mbele ya Allah kuwa Mtume wetu aliwafundisha maulidi.
@aliswabu3575
@aliswabu3575 11 ай бұрын
Hahah licha ya Mtume, iko kwa Quran haswaaa kumswalia mtume surah Ahzad aya 56 😂 Somaaa babaaaa
@abuuayoubayoub9260
@abuuayoubayoub9260 11 ай бұрын
Hilo tuachie wenyewe na mungu wetu
@fikafikan8484
@fikafikan8484 11 ай бұрын
Na ww wahabi ujuwe kujibu mbele ya Allah hizo tawheed tatu umezitoa wapi mtume hazijui tawheed tatu wala maswahaba nyinyi mawahabi wapotofu kawaletea nani tawheed tatu
@user-ki4sg8yz9j
@user-ki4sg8yz9j 11 ай бұрын
Ujinga huoo mfata bendera tu
@user-hb1om2ho5r
@user-hb1om2ho5r 11 ай бұрын
Mtume hajakataza maulid bana tuache tusome maulid we kama hutaki basi tusamehe
@suleymansalim5732
@suleymansalim5732 11 ай бұрын
HAKUNA HAJA YA MJADALA NA WEWE. UMESEMA MTU NI MUONGO⁉️⁉️MWENZIO ASEMA hazungumzii mtu yani we mpaka munaqasha unaisha we upo mada ni ipi⁉️⁉️⁉️hujui . Mada sio jafari mada ni kitabu . Hujatetea kitu hatujaona elimu yako
@SaidiOmy
@SaidiOmy 3 ай бұрын
Usijitoe mshipa wa fahamu.. Ust saidi kauliza pande zote mbili.. Auliza ivii Jee mtu akitumia hadithi munkar huitwa ni muongo ?? Au maneno yake huitwa ni uongo ?? Hili ndilo suali alilouliza Ust Saidi baada ya Bachu kusema hamjadili mtu . Mbona KASHINDWA kujibu si angesema tu Ndio mtu akitumia hadithi munkar maneno yake huitwa ni uongo . Na kutoa ittifaqi ya watu wa mustwalahul hadithi ktk hilo . Kama Bachu angejibu hivi bas naam angekuwa amejibu suali .
@sarl33m
@sarl33m 11 ай бұрын
Tueleze ww hilo swali lako kama bachu alishindwa
@jabirhussein4180
@jabirhussein4180 11 ай бұрын
Je hadithi munkar huitwa ni urongo thibitisha kiilimu sio mawazo yako
@shamsuddin4582
@shamsuddin4582 11 ай бұрын
Hamuoni aibu kujiita ahlsunna???? Hili jina haliwafai hata kidogo ninyi ni masufi aau sema makhurafi ,bila aibu eti ahlsunna vs mawahabi ... Alaf sheikh ndani ya nafsi yako washuhudia kuwa hili jambo si haqi lkni unaling'ang'aniza hivohivo, hivi tumefikia kutomuogopa Allah kiasi hichi!! Yn ilimradi TU tusionekane wanyonge kwa binadam wenzetu daah Allahu musta'an
@abdulali753
@abdulali753 11 ай бұрын
Nyinyi Ni mawahabi 😂
@sharifuteacher5025
@sharifuteacher5025 11 ай бұрын
Yani ilivyo ni ivi twariqa ni njia ya haki ya kumtoa mtu kwenye kiza kwaiyo twariqa ipo ila watu wa twariqa waendelee kuwapeleka watu kwenye njia ya haki na yauzima si kuwaacha tu tuendelee kupambamba ili watu wapewe fatwa zayd ISHAALLH
@alijabu6226
@alijabu6226 11 ай бұрын
Maashallaah tabaaraqallaah. Mm nlivokuona2 nlijua utamzima m2 mapema sna mana kwanza una jiamin na hupaparik yaan huna matempa tuliiiia kabisa mana jambo unalijuaaa na ndio mana ukawa humpaparikii bachu
@MohammedAli-oo5vk
@MohammedAli-oo5vk 11 ай бұрын
Simbaaaaaaaaaaaaa
@seifsalum3018
@seifsalum3018 11 ай бұрын
Aisee uyu jamaa ni mjinga kwel kwel, sasa ata hadith moja umeshindwa kutoa
@fikafikan8484
@fikafikan8484 11 ай бұрын
Mjinga sana bachu kakimbia mezani huoni aibu
@sumeyasumeya5490
@sumeyasumeya5490 11 ай бұрын
Abaki apotezewe mda wake kw kushindana na mtu asielewa chochote
@IddiNkupe-no8lh
@IddiNkupe-no8lh 11 ай бұрын
Mbona haukutaka muendelee wacha porojo
@issajaha5162
@issajaha5162 11 ай бұрын
Si angejibu huyo bachu mbona amekimbia
@salmaali7080
@salmaali7080 11 ай бұрын
Hakujibu swali Bachu ndomana haukuendelea upooooo
@naimasheikh3055
@naimasheikh3055 11 ай бұрын
Bachu alitoroka ndio haikuenelea😂😂😂
@IddiNkupe-no8lh
@IddiNkupe-no8lh 11 ай бұрын
@@salmaali7080 hilo siyo swali hiv una uliza swali ambalo halina majibu utapata wap majibu ambalo haliwezeani kujibika et kuna itifak gan ya wanazuon wa mustwala hadeeth wanayosema kuwa mtu akiandika hadith dhwaifu anaitwa muongo? Hilo syo swali bhana DJ said ametafuta njia ya kuukimbia huu mjadala laa kiimata lahu hana uwezo wa kufany niqaash na bacho
@IddiNkupe-no8lh
@IddiNkupe-no8lh 11 ай бұрын
@@salmaali7080 hiv mfano nakuuliza swali mtu anakuambia kuna kinyesi tumekiona barabaran na huyu mtu aliyekunya ni jinsia gani?nawew haukumuona huyo mtu wakat akiwa anajisaidia utawez kujibu
@alihamadsalim8042
@alihamadsalim8042 11 ай бұрын
Shekhe wangu upo swahihi kabisa huyu bachu hajui lkn shida anakiburi jinsi alivokuwa akikuzarau dah kaibika yeye dah😢
@neemamohamed5926
@neemamohamed5926 11 ай бұрын
Ni kweli tumesikia ila hatukuona elimu kutoka kwako, ila tupe elimu zaidi wanyama waliongea kwenye vitabu gni ili tukiulizwa mtaani tujue usituache njia panda Ila la msingi ni ukishindana na mwenye elimu utashinda na ukishindana na mjinga utashindwa, Bachu alikuwa anashindana na mjinga!!!😂😂😂😂
@Fardadihd
@Fardadihd 11 ай бұрын
Baba huna unalojua umezingua hamumuwezi bachu
@user-rb8ir9co9k
@user-rb8ir9co9k 11 ай бұрын
Hahaha
@abubakarhajjabubakarhajj1252
@abubakarhajjabubakarhajj1252 11 ай бұрын
Jisifu lakini tumeona wenyewe kwa macho yetu Huna lolote
@kalelaonlinetv
@kalelaonlinetv 11 ай бұрын
Kisu kimekata mfupa bachu anaona aibu na arudii ten
@swabrianwar1020
@swabrianwar1020 11 ай бұрын
bachu kapigwa kiboko kakojoa
@sheeqassim6274
@sheeqassim6274 11 ай бұрын
hhhh 😂😂😂 njoo useme sijui ufundishwe
@ishirininasita2626
@ishirininasita2626 11 ай бұрын
Amefundishwa kama mtoto haya rudini tanzania mkaombe msamaha waumini
@user-rb8ir9co9k
@user-rb8ir9co9k 11 ай бұрын
Kabisa hana lolote
@salimkhamis9406
@salimkhamis9406 11 ай бұрын
Kiufupi Bachu kapwaya aache kibri elimu c kibri
КАКУЮ ДВЕРЬ ВЫБРАТЬ? 😂 #Shorts
00:45
НУБАСТЕР
Рет қаралды 3,4 МЛН
UNO!
00:18
БРУНО
Рет қаралды 5 МЛН
Yum 😋 cotton candy 🍭
00:18
Nadir Show
Рет қаралды 7 МЛН
HAWA DUA ZAO HAZIKUBALIWI HATA WAFANYE NINI !! Muhammad Bachu || 1/2/2024.
1:03:31
Muhammad bachu sio salafi bali ni mropokaji tu by sheikh Abu Ume'yr Adam Khamiss Allah amuhifadhi
10:41
Abu Muhsin Minani Abdoullah As'salafiyyu
Рет қаралды 36 М.
MAJIBU KWA YUSSUF DIWANI || SEHEMU YA KWANZA || Muhammad Bachu || 2023.
44:58
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 27 М.
MUNAQASHA ULIOWAFUNGUA WATU MACHO- SHEIKH. MUHAMMAD BACHU MOMBASA 24/9/2023
2:54:48
КАКУЮ ДВЕРЬ ВЫБРАТЬ? 😂 #Shorts
00:45
НУБАСТЕР
Рет қаралды 3,4 МЛН