๐——๐—ท ๐—ฆ๐—ฎ๐—ถ๐—ฑ๐—ถ ๐—”๐˜€๐—ผ๐—บ๐—ฒ๐˜€๐—ต๐˜„๐—ฎ ๐—จ๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐—บ๐˜‚ ๐—ช๐—ฎ ๐——๐˜‚๐—ณ๐˜‚ | Aส™แดœแดœ Uแดแด€ส€ Qแด€๊œฑษชแด ุญูุธู‡ ุงู„ู„ู‡

  ะ ะตั‚ า›ะฐั€ะฐะปะดั‹ 36,804

salafi

salafi

ะšาฏะฝ ะฑาฑั€ั‹ะฝ

๐—–๐—ต๐—ฎ๐—ป๐—ป๐—ฒ๐—น ๐—ต๐—ถ๐—ถ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ต๐˜‚๐˜€๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐˜‚๐˜๐—ผ๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ณ๐˜‚๐—ป๐˜‡๐—ผ ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ๐—น๐—ถ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ๐—น๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ฑ๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐—ถ๐—ถ๐˜€๐—น๐—ฎ๐—บ๐˜‚ ๐—ถ๐—ธ๐—ถ๐˜„๐—ฒ๐—บ๐—ผ ๐——๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐˜€๐—ฎ(๐——๐˜‚๐—ฟ๐˜‚๐˜€) ๐˜‡๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐˜€๐—ต๐—ฒ๐—ถ๐—ธ๐—ต ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ๐—น๐—ถ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ๐—น๐—ถ ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ž๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—ป๐—ท๐—ฒ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ฒ ,๐—บ๐—ฎ๐˜„๐—ฎ๐—ถ๐—ฑ๐—ต๐—ฎ, ๐—ธ๐—ต๐˜‚๐˜๐—ฏ๐—ฎ๐—ต, ๐—ณ๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐˜„๐—ฎ ๐˜‡๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ฐ๐—ต๐˜‚๐—ผ๐—ป๐—ถ, ๐—ค๐˜‚๐—ฟ๐—ฎ๐—ป, ๐—ป๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐˜€๐—ต๐—ฎ๐—ถ๐—ฟ๐—ถ ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ๐—น๐—ถ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ๐—น๐—ถ
๐‘ป๐’‰๐’Š๐’” ๐’„๐’‰๐’‚๐’๐’๐’†๐’ ๐’†๐’๐’ˆ๐’‚๐’ˆ๐’†๐’” ๐’Š๐’ ๐’•๐’‰๐’† ๐’…๐’†๐’๐’Š๐’—๐’†๐’“๐’š ๐’๐’‡ ๐’—๐’‚๐’“๐’Š๐’๐’–๐’” ๐’•๐’“๐’‚๐’Š๐’๐’Š๐’๐’ˆ๐’” ๐’Š๐’ ๐’•๐’‰๐’† ๐‘ฐ๐’”๐’๐’‚๐’Ž๐’Š๐’„ ๐’“๐’†๐’๐’Š๐’ˆ๐’Š๐’๐’, ๐’Š๐’๐’„๐’๐’–๐’…๐’Š๐’๐’ˆ ๐‘ช๐’๐’‚๐’”๐’”๐’†๐’” (๐‘ซ๐’–๐’“๐’–๐’–๐’”) ๐’๐’‡ ๐’—๐’‚๐’“๐’Š๐’๐’–๐’” ๐’”๐’‰๐’†๐’Š๐’Œ๐’‰๐’” ๐’Š๐’ ๐‘ฒ๐’†๐’๐’š๐’‚ ๐’‚๐’๐’… ๐’Š๐’•๐’” ๐’๐’–๐’•๐’”๐’Œ๐’Š๐’“๐’•๐’”, ๐’”๐’†๐’“๐’Ž๐’๐’๐’”, ๐’๐’†๐’„๐’•๐’–๐’“๐’†๐’”, ๐’‡๐’‚๐’•๐’˜๐’‚๐’” ๐’๐’‡ ๐’”๐’„๐’‰๐’๐’๐’‚๐’“๐’”, ๐‘ธ๐’–๐’“๐’‚๐’, ๐’‚๐’๐’… ๐’Š๐’”๐’๐’‚๐’Ž๐’Š๐’„ ๐’†๐’…๐’–๐’„๐’‚๐’•๐’Š๐’๐’๐’‚๐’ ๐’‘๐’๐’†๐’Ž๐’”
๐ŸชฉEMAIL:
๐—Œ๐–บ๐—…๐–บ๐–ฟ๐—‚๐—’๐–บ๐—.๐—๐—@๐—€๐—†๐–บ๐—‚๐—….๐–ผ๐—ˆ๐—†

ะŸั–ะบั–ั€ะปะตั€: 334
@user-rq8le1cd9b
@user-rq8le1cd9b 21 ะบาฏะฝ ะฑาฑั€ั‹ะฝ
ALLAH atuepush
@samirrubeya2379
@samirrubeya2379 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Huyu Said ana balaa sana wallah.. Allah amuongoze kama hana kusudi. Ikiwa anafanya kisudi Allah amlipe na ailinde dini yake.
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Ww kasome mwanzo
@seifsalum3018
@seifsalum3018 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Allah amuongoz huyu jamaa, maan anawapoteza weng sana
@KomoraMohamed
@KomoraMohamed 2 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Wacha ujinga ww katili wa kumwaga damu za w2
@adamabubakar7569
@adamabubakar7569 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Maalim said wahalalisha mziki sasa innaalillah wanna ilaihi raajeuun
@MohammedAlnabakhany
@MohammedAlnabakhany 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Ukifa katika mila hiyo bwanamkubwa umeangamia vibaya mbele ya Allah, Bwanamtume anasema sauti mbili zimelaaniwa duniani na Akhera, sauti ya kwanza ni Zumari na magitaa, nasauti ya pili nivilio vyakuombeleza katika mazishi, asa apo penye dufuu hapana Zumari apo na magitaa.
@user-xh4ym6ik2h
@user-xh4ym6ik2h 6 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Kweli akhy allah akulipe kher huyu said anakoenda Allah amuongoze ahalalisha vilivyoharamishwa na sharia tukufu
@adamkilembwe.
@adamkilembwe. 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Mashaallah doctor wa bacho ustadh said
@saidimkwinzu9106
@saidimkwinzu9106 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Doctor wa dj saidi ni bacho
@suleimanadim6522
@suleimanadim6522 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
ALLAH ATUONGOZE KATIKA NJIA ILIO YOOKA ILA TUWE MAKINI TUSIMSINGIZIE MTUME SWA JAMANIIIII
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Sasa mtume s a w hajasingiziwa na hadithi mumepatiwa subhanallah wale wanawake pia walimpokea mtume s a w kwa twari
@mohamedturanardan8871
@mohamedturanardan8871 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
DJ saidi huwezi kutuhadaa na kufata uzushi na uharamu, utawapata wenye matamanio ya dunia
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Ww Huna matamanio ya dunia wataka kusema ww mkamilifu
@ramadhanyusuf2401
@ramadhanyusuf2401 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Mbabaishaji sana dj Allah amwongoe
@Zuwenamachela
@Zuwenamachela 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Ninyi mnaona hayo yakupiga dufu lkn hamujioni ninyi mnakufuru katika Aqiidah Mara Allah anamiguu anamikono miwili
@Zuwenamachela
@Zuwenamachela 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Masalafy wakosoaji wakat kihakika wao ndowamepotea Zaid Aqiidiyah
@mafiatv5479
@mafiatv5479 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
wewe umeongoka? km mwajipa kazi ya uungu, hy aswali afunga mwata aongoke vp? au kafiri huyo? acheni usenge mbwa nyie
@IbrahimRamadhan-nc6hu
@IbrahimRamadhan-nc6hu 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
โ€‹โ€‹@@mafiatv5479 hakuna mwenye kupinga kama sala yakataza maovu. Vp kwa mwanaume mwenye kupambania mambo ya wanawake kisha akadai anasal je sala yake itakua iko sawa ???
@user-bp6fb6wo5u
@user-bp6fb6wo5u 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
โ€‹@mafiatv5479 ndugu kwa kweli unafuatilia sanaa darasa za masalafy kisha ukishasikia hoja za nguvu unaanza kutusi vibaya sana, kumbuka tu kila Unachoandika kitabaki baada ya kuondoka duniani, na kila atakae soma utabeba madhambi kaka, nasaha kwako hupungui kitu kutumia lugha nzuri hata ukiwa mpinzani wa haki basi kuwa na adabu.
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Al rajuli yadhrib dufufu wahuwa makhnuth!
@mussajuma7460
@mussajuma7460 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Hujuw kitu wewe sheikh kaaa kimya kwa dufu hilo na vinanda hivyo kuna tofaut gani na nyimbo
@musakibindo6345
@musakibindo6345 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Tafauti ni usasa na ukale. Je wakati wa Mtume microphone na mixer zilikuweko. Na mbona mwazitumia.
@NadharMohd-ek8wl
@NadharMohd-ek8wl 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Mimi ni Ahlultwariqa wallahi nakwambieni,lakini kwa dufu hili ni ujahili,hili dufu au rusharoho,huyu anajua kua huu ni ujahili lakini anawarizisha walimu wake. Sheikh saidi ninakukubalisana shekhwangu lakini kwadufu hili navinanda vyaMuziki tumuogope Allah,musilichafue dufu hili sio dufu letu Ahlultwariqa.
@alihabib7640
@alihabib7640 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Dah hatari kweli dufu ndo kijikirubisha kwa Allah??? Wewe wacha upotofu huo
@user-mr1sl6dd7g
@user-mr1sl6dd7g 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Hujui chochote wewe
@NadharMohd-ek8wl
@NadharMohd-ek8wl 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Mimi sijui chochote lakini dufu musilitie vinanda na muziki mukalishabihisha na rusharoho,tofauti iko wapi wakati ala za muziki ndo zilezile,Kila siku mwaongeza maajabu katika dufu,Shetani anawavuta darja kwa darja mwisho atawapoteza
@user-wc5sj2oc6v
@user-wc5sj2oc6v 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Dufu libaki kwa akinamamatu maanahiyo c ibada tumche allah
@user-vb6vm6hc6g
@user-vb6vm6hc6g 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Una simamiawapi
@ramadhaniomary7083
@ramadhaniomary7083 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Kimi namkubali sana shekhe saidi yeye anaelimisha kwa wanaopiga dufu na wasiopiga wasipige watulia watu waendelee kumsifu mtume muhammad ( s.a.w)
@thabitimkufi7388
@thabitimkufi7388 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Hoja ya kusema anaepga apge asiepga akae kmya hyo maanake hana hoja rasmi ya kuhalalisha dufu ktk uislam
@user-rf2zs4kk1v
@user-rf2zs4kk1v 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Hakika wanaomuelewa sheikh said ni watu wasio na ilmu ambao hawajasoma dini yao wakaielewa,
@haridyhillaryndembo1946
@haridyhillaryndembo1946 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Huyu sheikh kichwa sana, Mungu amuhifadhi
@ahmedrage9664
@ahmedrage9664 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Allah akuongoze said Bado hujasoma
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Ndio kamyamazisha bachu
@mzeerajab9154
@mzeerajab9154 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Wewe je?
@user-bo1ew3xq6w
@user-bo1ew3xq6w 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Mawahabi mumejaa husda
@mohamedturanardan8871
@mohamedturanardan8871 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Tupo mbali na uzushi
@issahabdallah9018
@issahabdallah9018 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Haya maelezo ya abu hawla mbona yako wazi sana. Wala hayahitaji kuwa wahabi wala tariqa. Bali yanahitaji uwe mfuasi wa Muhammad bin abi talib kuyaelewa
@AbdulFadil-g7y
@AbdulFadil-g7y 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Ustadh said acha kupoteza w2 muogope mungu
@KomoraMohamed
@KomoraMohamed 2 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Alimfanya bachu akakojoa kwnye kiti
@machintangachibwena5922
@machintangachibwena5922 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Dufu la Vinanda Dufu La Diamond Platnumz hilo hawa Mashekhe wa mchongo wanazingua sana
@alikurran150
@alikurran150 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Assalam alaykum sheik wangu.Allah azidi kukuongoza katika dini.InshaaAllah.Piga dufu kaka usiumize sana sauti we ukipiga tarajia kheri kama ni kheri utaikuta hata uzani wa mdudu chungu na kama sharri pia Allah haghafiliki.Ikhlass fanyeni kwa iqhlas.
@salummzee9739
@salummzee9739 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Wallah mitihan dunia imeisha hatar Mtume Muhammad s a w alitabiri mwisho watu wataipenda dunia kuliko Akheir muda umefika Allah atujaliye khatima njema na kizazi jema
@shafikakrabi8490
@shafikakrabi8490 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Mashaalah sheikh Said jazakallah kher
@user-zj3bj4ge6o
@user-zj3bj4ge6o 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
ุจุงุฑูƒ ุงู„ู„ู‡ ููŠูƒ ูˆุฌุฒุงูƒ ุงู„ู„ู‡ ุฎูŠุฑุง ูˆุฒุงุฏูƒ ุงู„ู„ู‡ ุนู„ู…
@fikratulmuhibbonlinetvismail
@fikratulmuhibbonlinetvismail 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Mwaongeleaga jikoni
@abdulfatahumarsaideazamo2654
@abdulfatahumarsaideazamo2654 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
ุฒุงุฏู‡ ุงู„ู„ู‡ ุนู„ู…ุง ู„ุง ูŠู†ูุนู‡ุŸ
@abdulrazakmansur4938
@abdulrazakmansur4938 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Wewe jahil mzuka acha kelele katafute Elimu acha kupoteza ummah dufu maulidi samai haviko katika mafundisho ya dini yetu dini yetu si dini ya kucheza cheza ๐Ÿ˜…
@AbuuSiiriin
@AbuuSiiriin 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Allah akulipe kheri zote โค
@Abdulwaheedomar
@Abdulwaheedomar 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Swadakta Abu umar โค
@BashiruDigital
@BashiruDigital 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
HAWA WANAO JIITA MASALAFI,, WALLAH NIWAPUMBAVU UFASWAHA HAMUMUWEZI ELIMU HAMUMUWEZI MMEBAKIZA MIPASHO NAKUTOA MAJINA YAKEJELI
@IbrahimRamadhan-nc6hu
@IbrahimRamadhan-nc6hu 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Eeeee mbona huuu upumbav makuraf pia wanao tafuta hoja elimu usipende ushabiki
@ashrafuyusufu9344
@ashrafuyusufu9344 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
ha ha mbona umepaniki kweli ukhuraf mzigo mtu anaongea kama mtoto anajifunza kuongea halafu unasema ni fasaha halafu avae rinda bas apige dufu ili tumwelewe
@BashiruDigital
@BashiruDigital 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Kinachotakiwa,, Ajibiwe kwa HOJA sio kumpa MAJINA ya ajabu NIMFASWAHA narudia Tena,
@IbrahimRamadhan-nc6hu
@IbrahimRamadhan-nc6hu 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Kwaio alivyo jibiwa imetumika gazzet
@khamiisabubakar412
@khamiisabubakar412 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Masalafi wanaotetea sunna za mtume swallaahu alaihi wassalaam ni wapumbavu na huyu anayelingania kucheza na kukata viuno msikitini ndo mwerevu siyo? Tumieni akili enyi makhraafi na masuufi watu wa twariiqa
@hafidhnzota2142
@hafidhnzota2142 6 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Wewe mpuuzi HIVYO unaona DUFU (ngoma) ipigwe KWENYE shughuli.wewe kwa upotoshaji huu.Mwenyezi Mungu akulipe
@ramygichero1016
@ramygichero1016 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Una sema sawa sawa ila kuna dunia iko mbali jaribu kufanya vitu vye maslahi makubwa kwa Uma
@dr.jakayeherbalist5848
@dr.jakayeherbalist5848 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Allaah azibaarik zaidi jitihada hizi za kuuhifadhi uislamu sahihi aliotuachia mtume wetu muhammad (swalla Llaahu alayhi wasallam) na amlipe kila mwenye kushiriki ndani yake ujira mkubwa utakao mfaa siku ya hisaab. Angalizo langu kwa ndugu zangu waisilam na hasa vipenzi vyangu masalafi Baada ya tawfeeq ya Allaah juu yetu kutupa hidaya na kutuongoza ktk kujenga imani na misimamo yetu juu ya hoja sahihi za kisheria ndugu, zangu kisha adabu nzuri imekuwa ni sababu kubwa ya kuipamba haqqi tuliyoafkishwa juu yake na kupendeza ktk nyoyo za watu hata wasio kuwa waislaam Allaaha Allaaha ndugu zangu, wallaah tujitaahid kujichunga ktk maneno Huenda mtu akaikataa haqqi kutokana na namna alivyosemeshwa Ni kweli watu huudhi, kwani huzama ktk ubishani wa mambo wasiyo na ilmu nayo, tena wakti mwingine kwa kuwatusi watu wa haqqi na vipenzi vyetu, laakin sisi tuna kigezo kwa wema tunaojinasibisha kwao, na litutoshe somo la vitendo kwa mtume(swalla Llaahualayhiwasallam) kwa wapinzani wake kwani yeye himma yake kuu ilikuwa ni kuongozwa wao pia ktk haqqi aliyonayo, hakuwatusi wala kuwaanza ubaya. Allaah atuhifadhi sote ktk njia hii ya haqq na awabaarik mashekhe zetu wote walio ktk haqq na awaongoze ndugu zetu wote ktk njia ya sawa ili tupate sote ujira wa kumpenda mtume (swallaLlaahualayhiwasallam) siku ya kukutana na Allaah mwepesi na mwadilifu wa hisabu. Allaah awa
@hashiali6834
@hashiali6834 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
ุฌุฒุงูƒ ุงู„ู„ู‡ ุฎูŠุฑุง
@jumakumala1337
@jumakumala1337 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Mbona masheikh wa twariqa mnawachukulia Maswaaba za Mtume wetu MUHAMMAD sala na salamu zimfikie ki raisi raisi tu kama mm n ww
@user-bo1ew3xq6w
@user-bo1ew3xq6w 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Kwa maana hio nyinyi mawahabi mukipeleka salamu huwa munapaa mbinguni sio?
@OmarAlly-iz8ot
@OmarAlly-iz8ot 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Maashaa Allaah umeongea maneno mazima sana, khususan kuqnzia dkk yq 40 hadi 43โคโคโคโค
@arkaanahmed1231
@arkaanahmed1231 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Hao watu ambao wanakuskiliza akili zao ziko vp jamanj ู„ุง ูŠูƒุงุฏูˆู† ูŠูู‚ู‡ูˆู† ุญุฏูŠุซุง
@kambotambwiza9582
@kambotambwiza9582 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
As/aleykm Abuu umaira kaa usome ndugu yangu
@ummohammed8380
@ummohammed8380 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Asallam aleikum Ndugu yangu ukiandika Asallam aleikum ikamilishe Asallam ni jina la Allah usilifupishe Shukran
@forgames6425
@forgames6425 6 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
M. A we ndo umesoma sana๐Ÿ˜‚
@muftishaban.a.musamombasak6577
@muftishaban.a.musamombasak6577 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Uzuri wa wasiosoma hawana wasilojua. UST SAIDI endelea na elimu zenye tabia njema
@samakisamaki3226
@samakisamaki3226 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Mwendawazimu huyu. Ana unga unga ili kuhalalisha upuuzi na jambo ambalo halipo kisheria katika Islam.
@user-qp5ct1it9e
@user-qp5ct1it9e 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
ุจุงุฑูƒ ุงู„ู„ู‡ ููŠูƒู… ูˆุฌุฒุงูƒู… ุงู„ู„ู‡ ุฎูŠุฑุง
@husseinthabiti311
@husseinthabiti311 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Shukran Sana sheikh Said nakuelewa sana
@MkindiJujan
@MkindiJujan 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Yaani ni hatari analolipigania hapo ni waislam wapige ngoma wacheze sasa hao akina kiba diamond na wasanii mbalimbali ni halali wanachokifanya DJ Said haelewi maneno yake yanatoa ruhusa watu kuimba kucheza na kupiga ngoma
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Sasa ww utakua huelewi ama ni kibri asema dufu sasa diamond kiba wao wapija dufu ama ni bongo flever
@user-jp8lf7dy5z
@user-jp8lf7dy5z 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Izo dufu zinazopigwa hapo na za diamond zinatofautiana au?
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
@@user-jp8lf7dy5z diamond yuwapija dufu ama mziki jibu unalo ila chuki punguzeni
@DelightfulGolfBall-dn1nl
@DelightfulGolfBall-dn1nl 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Allah akuhifadhi ....gusa point tu mwenye akili anaelewa vzr
@jumakitadu8674
@jumakitadu8674 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
ุณุฆู„ ุงู„ู‚ุฑุทุจูŠ ุนู† ุงู„ุงู…ุงู… ุงู„ุทุฑุทูˆุณูŠ ููŠ ู…ูƒุงู† ูŠู‚ุฑุคูˆู† ุดูŠุฆุง ู…ู† ุงู„ู‚ุฑุงู† ุซู… ูŠู†ุดุฏ ู„ู‡ู… ู…ู†ุดุฏ ุดูŠุฆุง ู…ู† ุงู„ุดุนุฑ ููŠุชูˆุงุฌุฏูˆู† ูˆูŠุถุฑุจูˆู† ุจุงู„ุฏู ูˆุงู„ุดุจุงุจ ู‡ู„ ุงู„ุญุถูˆุฑ ู…ุนู‡ู… ุญู„ุงู„ ุงู… ู„ุง ูุงุฌุงุจ ู…ุฐู‡ุจ ุงู„ุณุงุฏู‡ ุงู„ุตูˆููŠู‡ ุจุทุงู„ู‡ ูˆุธู„ุงู„ู‡ ูˆุฌู‡ุงู„ู‡ ูˆู…ุง ุงู„ุงุณู„ุงู… ุงู„ุง ูƒุชุงุจ ุงู„ู„ู‡ ูˆุณู†ุชู‡ ูุงู…ุง ุงู„ู‚ุถูŠุจ ูุงูˆู„ ู…ู† ุงุชุฎุฐ ุจู‡ ุงู„ุฒู†ุงุฏู‚ู‡ ู„ูŠุดุบู„ ุจู‡ ุงู„ู…ุณู„ู…ูŠู† ุนู† ูƒุชุงุจ ุงู„ู„ู‡
@salimasalim405
@salimasalim405 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Mungu akuzidishie ufaswaha ktk kuongea, na ukuzidishie elimuโคโคโค
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Amzidishie elimu ya madufu?
@abdallahkaggy1452
@abdallahkaggy1452 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Hilo jina ulilompa Muislamu mwenzako si sahihiii kwa muita Dj๐Ÿ˜ข Pili hiyo picha uliyoiunganishaa kwa pembeni si dufu hizo ni hala za zumari miziki ya ki Zanzibar si madufu๐Ÿ˜ข
@khamiisabubakar412
@khamiisabubakar412 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Wacha hata eti imeunganishwa...yeye anapiga kinanda na ngitaa haswaa
@musabomar661
@musabomar661 5 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
We huoni hiyo video ilounganishwa ya vinanda na huyohuyo Dj ndio bendi yake na yeye ndio anayepiga guitar hapo? Au unajitoa fahamu na wewe?
@JosMatty-bq9ii
@JosMatty-bq9ii 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
hyu ni sheikh au dj
@ahmedrage9664
@ahmedrage9664 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Mzushiii
@musaomar4184
@musaomar4184 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Huyo ni mwanamke je nyinyi ni wanawake
@user-vu4ec8ox4w
@user-vu4ec8ox4w 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Huo ni ukhurafitu hiyo ngoma kama ngoma zingine acheni kubabahisha sugu ni ngoma tena ni ktk ujahiliya munachanyika na wanawake pia nina rukaruka huku mukimtaja mungu na MTUME wake ng'oma hikipigwa
@muniraally4091
@muniraally4091 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Said ni moja wa sikio la kufa tena kwa kusudi
@adammuhidin3016
@adammuhidin3016 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
aasant abuu umar nimekuelewa san chapa waazushi awo
@user-zo6wx9zt3p
@user-zo6wx9zt3p 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
jaman angalie kwakuchukua elimu hilo dufu au gitaa
@hadanahadana4205
@hadanahadana4205 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Mtume Muhammad swalallahu Alaihi wasalama tayari aalisha sema zama zamwisho patakuwa washeikh wengi alakini maulama nikidogo
@FakikomboBakar-bs4tu
@FakikomboBakar-bs4tu 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Dufu Haina tafauti na mziki wa tarab jmn hamjiulizi nyinyi Allah amekemea Katia Qur'an suratatu zinaeleza uharam wangoma kwann ss tunahalalisha tuacheni ujinga tusomeni kwanza tuache kufata mkumbo utatupotea
@abubakariali9848
@abubakariali9848 ะะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Huyu mnaemwita DJ said naona mmemkimbia nyie wenye vyeo vya Mashekh ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Kama mnahisi mna hoja za kupinga dufu wekeni mdahalo mbadilishane hoja msikeshe mitandaoni kuchambana ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚ watu wanataka hoja uso kwa uso Faqat
@AbdallaMwagora-sm1rj
@AbdallaMwagora-sm1rj 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Abuu umaira hatuna elimu ya kumsomesha sheikh ,Dj,Saidi.kumuita dj si matusi ni kivumishi .
@i_gabbykisalo4280
@i_gabbykisalo4280 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Please nitumie hiyo video ya hao wenye kupiga dufu, nawakubali sana
@ATHUMANIKIJAMBO
@ATHUMANIKIJAMBO 6 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Mungu akupe elimu wapenda kuwa maarufu ila rudi darasani ajabu wapinga hadithi dhaifu kwakutumia dhaifu kueni wakweli
@KomoraMohamed
@KomoraMohamed 2 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Ww unayo
@ibrahimabdul6586
@ibrahimabdul6586 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Vaa rinda basi
@user-gh2su5fb1k
@user-gh2su5fb1k 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Sheikh Said Allah akuhifadhi mi naangalia comment za Hawa waimba taarabu mawahabi ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
@user-uj7vm4pg2e
@user-uj7vm4pg2e 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Wakiongozwa na bba yako
@IbrahimRamadhan-nc6hu
@IbrahimRamadhan-nc6hu 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Huyo Dj ndo kaz yake na hilo liko wazz
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
โ€‹@@user-uj7vm4pg2eww wahabi tu utabaki kuwa wahabi matusi ndio munayo ilimu hamuna
@Abdulwaheedomar
@Abdulwaheedomar 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Si DJ wenu ndio wakwanza kukatisha mauno
@Abdulwaheedomar
@Abdulwaheedomar 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
โ€‹@@saba-gv3mjukiwa nayo ww hio elimu yatosha
@JabirHaji-vj2nf
@JabirHaji-vj2nf 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Huyu sheikh hafai kusikilizwa na waislamu wampuuze kabisaa anapotosha umma dhaahir shaahir
@naimaabdallah4002
@naimaabdallah4002 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Allah akuongoze wewe unao pinga akisifiwa mtume
@faisaloaljabry6400
@faisaloaljabry6400 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Hoja si kusifiwa Mtume. Sikiliza kisha leta hoja yako ingwa kwa muktasari wa ujumbe ulio uweka hapa inathibitisha hujui chochote
@abaadharri6873
@abaadharri6873 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Abu umair soma vizuri hiyo hadithi ya aalinuu
@HabibuUrasa
@HabibuUrasa 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
kwahiyo mnavyopiga na nyiye mmeweka nadhiri ?pia aliyepiga ni mwanamke. sasa nyiye mnapiga ni wanawake ?
@jaalbrek1941
@jaalbrek1941 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Je kuna pahali wanaume wamekatazwa kupiga dufu?
@khamiisabubakar412
@khamiisabubakar412 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
We nawe jielewe....kwani yule aliyekuwa anapigia mtume dufu(vile Dj wenu anaeleza) alikuwa mwanamme?
@ibraa1157
@ibraa1157 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Saidi aliwapiga kwa kitu Kizito ...๐Ÿ˜‚
@hafidhseif9638
@hafidhseif9638 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Kizito kipi soma kwanza uwelewe usiwe kama wakiristo na akili zao,muislam hua anatumia akili za kutosha, mtume alimruhusu kwa kuweka nadhir na kua hujaweka usipige je huoni hapo karuhusiwa kwa dharura tu,je hao je wanaopiga wana dharura gani .sijui kua wewe ni msomi wa Quran nisije kupa aya kumbe hujui kitu kuhusu nadhiri laki hata hivyo nenda kasome kisa cha nabii ayubu kuhusu nadhiri ya kumpiga mke wake bakora mia halafu uwone nini Allah alihukumu kuhusu tukio hilo?
@khamiisabubakar412
@khamiisabubakar412 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Huyu ni msaniii Dj Said hadi na kinanda baba....halafu mwamtetea... Acha kinanda hadi ngitaa Dj Said anapiga...halaf bado mwamtetea ..,..ehhh enyi ? masufiiii>iiiiii
@user-lo1ui8tb6b
@user-lo1ui8tb6b 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Mashetwani ni mawahabi kwa hadithi ya mtume kuwa watoka najdi
@saidimkwinzu9106
@saidimkwinzu9106 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Hujui lolote
@BashiruDigital
@BashiruDigital 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Si mtetei ila Hamwezi huyu jamaa Mmebakiza matusi tu
@IbrahimRamadhan-nc6hu
@IbrahimRamadhan-nc6hu 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Hatumuwez kwakutetea vitendo vya kike vp mume aweza kuleta ubishi kwakuta kuvaa nguo za mkewe
@BashiruDigital
@BashiruDigital 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
@@IbrahimRamadhan-nc6hu wee ndo akili matope kabisa,, Eti nae Salafi Stupidity
@IbrahimRamadhan-nc6hu
@IbrahimRamadhan-nc6hu 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
@@BashiruDigital we yako ujii vp watetea munkar wajielewa kwel .
@waleedalhinai367
@waleedalhinai367 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Kiti kulitoa maji Mombasa
@JUMAJUMA-ym1kt
@JUMAJUMA-ym1kt 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Huu ni ujaahili endeleeni na ujahili wenu
@MohamedMgwami-nw6bl
@MohamedMgwami-nw6bl 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Sheikh said ni msomi isipokuwa nyie mawahabi mnaelimu ya kiwahabi ndio shida kubwa mliyonayo vichwani,hapo ametoa ushahidi wa hadithi bado hamkubali?,
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Wapi dj saidy ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
@hajisalum8028
@hajisalum8028 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Kama wewe haupigi dufu baki kwenye msimamo wako lkn si kutakana wenzenu kikubwa wote kuoumba mwisho mwema mkamilifu ni mwenyezi mungu
@adammuhidin3016
@adammuhidin3016 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
โ€‹@@hajisalum8028sasa mwisho mwema ni kuacha ayo mamb ya haram jamaa abuu umar kaelez vzr uko mwisho kama wakufaham utafahm
@nurdinali4026
@nurdinali4026 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
can someone silence this Dj pls!!!๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
@bakariomari8758
@bakariomari8758 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Mwenye kutaka kuelewa ataelewa. Sheikh umeeleza, vizuri mno
@MtandaKibari-zm4bj
@MtandaKibari-zm4bj 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Usiseme wew ni mwanatwarika tu Kila Mmoja ni mwana twarika awe salafi awe muhabi awe Sufi awe shia wote ni wanatwarika
@alhadharngwali
@alhadharngwali 6 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Dj.said nna kikao na ww siku ukijaaliwa kuja Zanzibar tukutane inshallah...๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ฎ
@KomoraMohamed
@KomoraMohamed 2 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Bachu ywamjuwa huyo alijikojolea
@Salimsubeya001
@Salimsubeya001 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Jee mtume aliwahi kupiga twariii jee katika makhalifa wa nne waliwahi kupiga twarii twarii la wanawake wanaume walikua hawapigi twariii mtume alipokufa Nana aisha aliishi zaidi ya miaka ishirini jee Nana Aisha aliwahi kufanya maulidi au kupiga twarii
@MordiySB
@MordiySB 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
kijana amewashinda kielimu , hata ukucha wake hamumfiki, na bado ni kijana mdogo sana, tarajieni vitabu vya dini kutoka kwa huyu kijana, waheni hasad na hiqd.
@personunknown7413
@personunknown7413 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Ile hadithi alivyoiboronga ndo elimu hiyo?...
@adammuhidin3016
@adammuhidin3016 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
pengine elimu uloikusudia ww co hii aloileta mtume s.a.w kwaio upo sawa mann yko
@MordiySB
@MordiySB 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
@@abdullahisiasa7861 Ukosefu wa ilimu wako wajulishwa na alfadh zako , siku zote sema " ALLAH akuongoze na atuongoze na sisi sote" ama "ALLAH atuongoze sote" watu wenye ELIMU ndio husema hivi kulingana na sunnah.
@allyfundi6405
@allyfundi6405 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Sema huyu mwamba DJ kawapiga sana mpaka mmejinyea huko Kenya na bado tu anawapelekea moto๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
@IbrahimRamadhan-nc6hu
@IbrahimRamadhan-nc6hu 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Ajabu yan mtu ywa furahia maovu bali kuutetea tumche Allah
@IbrahimRamadhan-nc6hu
@IbrahimRamadhan-nc6hu 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Kujinyea huenda likawa na afadhali lakini hili la wanaume kuvaa marinda cjui wewe walionaje
@KassimMsalangi
@KassimMsalangi 5 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Aliepiga dufu ni mwanamke wewe mwanaume dufu ni la nn
@salimmohamedakidzmoh6993
@salimmohamedakidzmoh6993 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
shekhe yu tube hujasema kweli wasema sana na waunga unga hakika.................. wewe yani mwanamke hakuogopa kufanya dhambi mbele ya mtume n sayyidina abu bakr lakn akahofia dhambi kwa kuja Umar............weeeeh kuwa na insaf huoni wamtukana mtume kuwa ameruhusu ushetani mpaka kuja kwa umar.... na mtumi aruhusu ushetani siku ya eidi mambo gani hayo shekheee.................. na mtumi atuambia man aswallahu fii yawmi eid kaman aswaahu fii yawmil waiid shekhe yu tube chunga maneno unayosema.... na nyny wenye account za youtube mwaziskiza hizi vtu au ni kazi tu mwapewa ogopeni dhimma hini madhambi haya ni jaariya nayo shauri zenu,.................
@ramadhanikimweri1240
@ramadhanikimweri1240 6 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Naili mtume alisema zitangazeni ndoazenu mkazifunge msikitini nampige difuhuko je kulemskitiniwalopiga matari nakufungishandoa niwanawake? Achenikuwapotoshawatu nyisarafi mayahudi wakubwatunajua mmeyumwa mayahudi kuipotosha wiisolamu
@user-zx7me2iz8v
@user-zx7me2iz8v 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
huyo kasimu mafuta hana hoja na kama anajiweza kielimu naandae mjadala wakutane ana kw ana kama hatokimbia kama mtoto wa bachu .......
@ismaailabuughariyb313
@ismaailabuughariyb313 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Nyinyi ni wapotevu saidi na watu wake,weye ni msanii
@user-uw8pg9ju5s
@user-uw8pg9ju5s 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Mimba za zinaa za mikesha ya maulidi mtaenda kujibu
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Na ww utajibu kwa Allah ni nani alitiwa mimba kwenye maulid ambao wamezini utajibu insha Allah
@muddiesmart
@muddiesmart ะะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Mmeingia kwenye kutukana sasa๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
@MNGWAYAONE
@MNGWAYAONE 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Kwa hivyo sheikh wetu unatuambia kwamba jambo la dhambi wameruhusowa kufanya watoto wadogo tu? Wao wakifanya mambo yaliyoharamishwa ni ruhusa na wengine ndio katazo? Tafadhali elimu sheikh wangu
@saidmohamed804
@saidmohamed804 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Shekh wangu kwel ila mpaka vinanda bc
@saadabdalla6062
@saadabdalla6062 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Fanyeni adabu zenu mwasema shekh said avaae rindaa hiyo ndio dini matari tuta piga museme musiseme wacheni upuzi nakama hamunyamazi tutawakomesha kwa bunduki endeleeni tu sauti kama demu ww
@AllySully
@AllySully 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Nyinyi ni makafiri no 2 baada ya hao makafiri no 1.
@abuushakiraddausiy8666
@abuushakiraddausiy8666 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Nanyie ni mademuu eti wapiga dufuu!!!!!!
@Suleimanbakari-wu2pw
@Suleimanbakari-wu2pw 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Hakuna sheikh somavizuri
@hamissnjumba302
@hamissnjumba302 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Mimi na me kwenye duffu hapana silitaki
@user-ql2om7qj3v
@user-ql2om7qj3v 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Waambiye dj saidi natena karibuni tutatoa cd zetu
@IbrahimRamadhan-nc6hu
@IbrahimRamadhan-nc6hu 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Pia mtavaa marinda
@RabiyaShamuty
@RabiyaShamuty 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Sema sijui๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
@eddiemay547
@eddiemay547 6 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Sasa ww unasema kmwanamke alifanya kwajili ya nadhir sasa jee hizi dufu za sasa zinapigwa kwajili ya nadhiri mie sikubali hata kidogo munaoitosha umma kuhalalisha maovu sasa hakuna tena nadhiri ila maasi mwanamke atie lipstik wanja kuonesha kwenye hadhar watu wanacheza wanawake na wanaume usimtumie mtume kupotosha waumini inamaana hizo dufu zote hisasa zinazopigwa ni kwajili ya nadhiri ? Hustadhi huna elimu
@ABUUDARDAAI
@ABUUDARDAAI 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
we unaumwa kazi za wanana wake
@user-jj4gf5wj1w
@user-jj4gf5wj1w 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Cc ww nimwana mke au imeweka nadhiri gani ww she said vp mbona unazingua mambo . Au ndo.unataka umaarufu naww
@user-dp1dj8ti6h
@user-dp1dj8ti6h 6 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Bahari yako ni neema kwa wenye macho
@naimaabdallah4002
@naimaabdallah4002 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Jamani kwenu picha niharamu mbona mwatuletea picha
@kabasileissaya8786
@kabasileissaya8786 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Mmmmmh sasa wewe huu wako ni ujinga kabisa sio lazima ucomment kama Huna cha kuongea sasa iyo picha apo ndio ya msemaji
@mahmoudukusso4488
@mahmoudukusso4488 6 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Mbona hampigi dufu mwezi wa Ramadhaan? Maana ibada ya sunna mwezi huu ni kama faradhi miezi mingine
@DiniMwambashi
@DiniMwambashi 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Mimi nashindwa kuwaelewa hawa jamaa mtume akisifiwa hawataki kwaniniwasipammbane na hawawanaomtukana mtume wanapambana na waisilamu wenzao
@naimaabdallah4002
@naimaabdallah4002 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Hata vigawanyo vya tauhidi hakugawanya abubakar wa Umar mbona nyinyi mumegawanya kuweni wakweli musijichanganye
@MB-yq3ty
@MB-yq3ty 7 ะฐะน ะฑาฑั€ั‹ะฝ
Unataka kumaanisha nn yan kuhusu Tawhiid
ๅคงๅฎถ้ƒฝๆ‹‰ๅ‡บไบ†ไป€ไนˆ#ๅฐไธ‘ #shorts
00:35
ๅฅฝไบบๅฐไธ‘
ะ ะตั‚ า›ะฐั€ะฐะปะดั‹ 86 ะœะ›ะ
escape in roblox in real life
00:13
Kan Andrey
ะ ะตั‚ า›ะฐั€ะฐะปะดั‹ 46 ะœะ›ะ
Magic or โ€ฆ? ๐Ÿ˜ฑ reveal video on profile ๐Ÿซข
00:14
Andrey Grechka
ะ ะตั‚ า›ะฐั€ะฐะปะดั‹ 70 ะœะ›ะ
WILL IT BURST?
00:31
Natan por Aรญ
ะ ะตั‚ า›ะฐั€ะฐะปะดั‹ 45 ะœะ›ะ
KUSIMAMA MAAMUMA KABLA YA IQAMA KWA AJILI YA KUSWALI
6:28
MASJID AISHA MCHINA MWISHO
ะ ะตั‚ า›ะฐั€ะฐะปะดั‹ 10 ะœ.
LIVE KASRI LA KIKEKE: KILELE CHA IMEWASHIKA/ ALIKIBA LIVE NA SALIM, POLISI YAZUIA MAANDAMANO CHADEMA
Crown Media
ะ ะตั‚ า›ะฐั€ะฐะปะดั‹ 1,3 ะœ.
MARKAZ OMAR IBNUL KHATWAAB JANGWANI K/KOO NI MAHIZBI
1:11
ABUU AMMAAR
ะ ะตั‚ า›ะฐั€ะฐะปะดั‹ 5 ะœ.
swali moja tu lamzuzua bachu na kukimbia maskini
2:40
MUFTI SHABAN. A. MUSA Mombasa Kenya
ะ ะตั‚ า›ะฐั€ะฐะปะดั‹ 22 ะœ.
Mohammad Bachu afundishwa na ustadh Said Omar Al Shiraz.
19:54
Shilingi Ahmad online TV.
ะ ะตั‚ า›ะฐั€ะฐะปะดั‹ 2,4 ะœ.
โ˜€๏ธ๐Ÿ’ฅ HAIJUZU KUSOMA KWA MAHIZBI WA IRSHAAD WALA JANGWANI NI WATU WANAOPOTEZEA WATU MUDA WAO
4:30
FAWAAID za KIELIMU
ะ ะตั‚ า›ะฐั€ะฐะปะดั‹ 2,1 ะœ.
ๅคงๅฎถ้ƒฝๆ‹‰ๅ‡บไบ†ไป€ไนˆ#ๅฐไธ‘ #shorts
00:35
ๅฅฝไบบๅฐไธ‘
ะ ะตั‚ า›ะฐั€ะฐะปะดั‹ 86 ะœะ›ะ