ROYAL BLOOD { 1 }

  Рет қаралды 47,254

MBWELA MEDIA

MBWELA MEDIA

Күн бұрын

Пікірлер: 326
@mbwelamedia3469
@mbwelamedia3469 4 күн бұрын
NAKUOMBA UKIMALIZA KUANGALIA USISAHAU KUGUSA NENO SUBSCRIBE ILI UPATE MUENDELEZO WA HII FILAMU 🙏🙏🙏
@FavoriteAyat
@FavoriteAyat 4 күн бұрын
Umepata ila baada ya hiii TUNAOMBA ALCOHOL SEHEM YA 2 PLZ
@alihabib7640
@alihabib7640 4 күн бұрын
Jina la mchezo liwe la kiswahili au huu ni wa kizungu
@alihabib7640
@alihabib7640 4 күн бұрын
Mimi toka snake boy nipo nanyi ila mko vizuri sana Wanda na wewe ndio mnanigusa sana
@RizikiZiki
@RizikiZiki 4 күн бұрын
Sasa kaka alcol iliishaje hatujaona ndowa yako
@SelemanKayange
@SelemanKayange 4 күн бұрын
Tumeshafanya hv kaka tunasubir mwendelezo tu! 🎉
@Msodokijoneke
@Msodokijoneke 3 күн бұрын
Napenda sana filamu za mbwela na usije kusahau kuwa unapendwa na mimi Sabrina ❤❤❤❤❤
@RucyDhegreat
@RucyDhegreat 4 күн бұрын
Mm nami movie ikiwa n ya mbwela siez pita bila kuiangalia anajuwa sanar huyu mkaka❤❤😊😊
@PendoJoseph-vm1oc
@PendoJoseph-vm1oc 3 күн бұрын
Nibra mazonge big up sana
@IrakozeHami-t9m
@IrakozeHami-t9m 3 күн бұрын
Hizi movie za ku vaa ki Africa ni nzr sana maan ni utamaduni wa kale asante kaka MBWELA
@morishoissa4155
@morishoissa4155 3 күн бұрын
Wanda na Mbwela Mbwela Mbwelaaaaaaaaaaaa nawakubali sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 kama kweli niigizo basi mfanye iwe kwel ❤❤❤❤❤❤ mana inanoga kaz nzur
@NorahTema
@NorahTema 2 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@SophiaAlifa
@SophiaAlifa 3 күн бұрын
Ok p mzee baba ❤❤
@SamuelNgala-ik3ci
@SamuelNgala-ik3ci 3 күн бұрын
This series is so iconic, thanks to the director for making it special and non - predictable plot. I have always wanted to be an actor but my education led me to a course in a journalism , however, I will still chase my dream.Big up to you Mbwela💪
@verdianavalentine6242
@verdianavalentine6242 3 күн бұрын
Good job mbwela
@makambosafari2746
@makambosafari2746 3 күн бұрын
Tumehuhanza mwaka vizuri tena ❤❤❤
@MaryamMubarak-lw8kw
@MaryamMubarak-lw8kw 4 күн бұрын
Kwa kweli hii tunafungulia mwaka❤❤❤❤ulipo tupo team Mbwela🎉🎉🎉🎉
@ZUMBAVEVO
@ZUMBAVEVO 4 күн бұрын
Kumekuchaaaa sasa jambo kubwa sana
@BENARDKARISA-ln8hv
@BENARDKARISA-ln8hv 3 күн бұрын
Mbwela to the world 🎉🎉
@BENLE-y6h
@BENLE-y6h 3 күн бұрын
Hajira umeuwaa sister 🙌✊✊✊
@Khajra-r1u
@Khajra-r1u 3 күн бұрын
Asante
@Khajra-r1u
@Khajra-r1u 3 күн бұрын
Nice Pamela umepiga hatua hakuna hongera mwalim wako yupo good❤❤❤
@Mariam-q7t3v
@Mariam-q7t3v 3 күн бұрын
@jumammanga8511
@jumammanga8511 3 күн бұрын
Kaz mzuli sana sikupingag blaz kwenye Kaz zako 🙏
@VanAbbah0
@VanAbbah0 2 күн бұрын
❤❤ nakubali xana kutoka mbwewe Zaire legendary
@Khajra-r1u
@Khajra-r1u 3 күн бұрын
Kiukweli makoi umecheza vizur nimependa
@MonicaMkombwe
@MonicaMkombwe 4 күн бұрын
Kazi ya moto yaani Kwa mala ya kwanza narudia rudia movie
@ADOFEmmanuel
@ADOFEmmanuel 3 күн бұрын
Malikia umekuja kwa sipidi ya fg ooo big up Sana umecheza viziuri na sura unauyo.
@JanethMuhongole
@JanethMuhongole 3 күн бұрын
Hajila good kaz nzuli
@Khajra-r1u
@Khajra-r1u 3 күн бұрын
Asante❤
@rashidbenzimba528
@rashidbenzimba528 3 күн бұрын
Wapi like za Mr Kapela
@Nojabz
@Nojabz 3 күн бұрын
Hii movie ya moto 🔥 sana, from 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@BahatiIssa-ly9nw
@BahatiIssa-ly9nw 3 күн бұрын
Wow ndo naelewa vitu vya asili kama hivi❤
@BalethMedia
@BalethMedia 4 күн бұрын
Kazi🎉💥🔥🔥🔥🤜🤛
@alhajjabdoo625
@alhajjabdoo625 3 күн бұрын
Na waona stars karibu wote wako ndani❤
@ALIMOHD-bk9lr
@ALIMOHD-bk9lr 3 күн бұрын
Nawakubali sannaaaaaaaaaa
@HamidaSita
@HamidaSita 3 күн бұрын
Safi sana move mzuli
@TajiwidiallyMussa
@TajiwidiallyMussa 3 күн бұрын
Kazi nzul kaka Allah. Akupe hitaji moyo wako
@EmanuelKapama
@EmanuelKapama 3 күн бұрын
Kazi nzur nawapend
@PendoJoseph-vm1oc
@PendoJoseph-vm1oc 3 күн бұрын
Aya nimegusa Mzee wa noma
@FadhilaAbeidKuchauka
@FadhilaAbeidKuchauka 4 күн бұрын
Wanda umecheza vzr kuliko mwanamke yoyot hum ndan❤❤
@aminamunga9030
@aminamunga9030 4 күн бұрын
Mbwela hapa umenikosha nakupenda bure tu🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@NikssFocus-c9o
@NikssFocus-c9o 4 күн бұрын
Mopoy unajua sana,sema nini mbwela anajuwa kukuza vipaji 🎉🎉🎉🎉
@GHOSTVj-r9j
@GHOSTVj-r9j 3 күн бұрын
iko vizuri sana
@RizikiZiki
@RizikiZiki 4 күн бұрын
Mwaka mpya na kazi mpya🎉🎉🎉🎉🎉ongera sana kaka Mbwela❤
@UmmiRamadhan
@UmmiRamadhan 4 күн бұрын
Mko sawa nyote mloigiza fabby unacheza poa sanaa❤❤❤❤
@Khajra-r1u
@Khajra-r1u 4 күн бұрын
Daah kapela familia baba huna baya nimwendo wakuwakilisha umetisha ❤❤❤❤
@ZakiaAlRamadani
@ZakiaAlRamadani 3 күн бұрын
Umeua kinoma maua yako🎉🎉🎉🎉🎉
@kaskasifilm5413
@kaskasifilm5413 3 күн бұрын
Mmmmh ila khajira mungu akuweke wallah
@LeticiaCharles-z9i
@LeticiaCharles-z9i 3 күн бұрын
Kaz nzur endeleeni kutuburudisha...
@Free.account01
@Free.account01 4 күн бұрын
Love from my miami this one is big🎉
@tiffahbby3697
@tiffahbby3697 4 күн бұрын
MashaAllah safi sana bro Mbwela nimeipenda sana ino series ❤❤❤ mungu akupe wepesi ktk utafutaj wako InshaAllah 🤲
@rachidndayisenga8382
@rachidndayisenga8382 3 күн бұрын
Congratulations,kazi nzuri Na kubadilisha kwenye kingereza Safi sana
@IsmaelOkongo13
@IsmaelOkongo13 4 күн бұрын
Kuona dada Wanda Kwa hii series nasikia 💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋
@RizikiZiki
@RizikiZiki 4 күн бұрын
Hakosagi mu move za kaka Mbwela
@rolahemanuel
@rolahemanuel 4 күн бұрын
Hajra uko poa sana unacheza vyenye inatakiwa
@Khajra-r1u
@Khajra-r1u 4 күн бұрын
Asante kwa hiloo
@rolahemanuel
@rolahemanuel 4 күн бұрын
Nzurii sanahhh❤😂😂🎉🎉🎉🎉🎉 hongera sanah Omar mbwela
@Mukomariboy
@Mukomariboy 3 күн бұрын
Baada Ya kimya kingi kaka amekuja Na bomb shell Kali all the best Kaka tunakupa support
@ElmayaMuhindo
@ElmayaMuhindo 3 күн бұрын
❤❤ kazi Nzuri kaka mbwela
@MubarakaChipula-g1j
@MubarakaChipula-g1j 4 күн бұрын
❤ kaz nzur
@BaziramwabotjEugène-c1b
@BaziramwabotjEugène-c1b 3 күн бұрын
❤❤❤ napenda sana filamu za bwela
@SylvesterMwinga-ff5iy
@SylvesterMwinga-ff5iy 3 күн бұрын
Kazi nzuri
@MzeeMkongwe
@MzeeMkongwe 4 күн бұрын
Kazi mzuri bro
@aminasalimAminatha
@aminasalimAminatha 4 күн бұрын
Team bwela tumewasili🎉🎉❤
@chumapro783
@chumapro783 3 күн бұрын
KAZI kubwa Sana hii kaka
@rehemamutua44
@rehemamutua44 3 күн бұрын
Kaz nzuri sana yani kwa hii mbwela chukua soda Bill ju yangu❤❤🎉😂
@JamesSingani
@JamesSingani 3 күн бұрын
Duu nimeipenda sana
@Godfrey_lusekelo
@Godfrey_lusekelo 3 күн бұрын
Iko pw sana kaka mauwa yako 🎉🎉🎉
@QUEENSUU-e7r
@QUEENSUU-e7r 4 күн бұрын
Kazi n nzr sana mbwela na team Yako mungu awaongoze inshallah ❤🎉
@Khajra-r1u
@Khajra-r1u 3 күн бұрын
Asante
@estherchoni-yq6dr
@estherchoni-yq6dr 2 күн бұрын
🎉🎉❤❤❤
@BeatusMbilinyi
@BeatusMbilinyi 4 күн бұрын
Kazi nzuri hasa nafurahi utamaduni wa kiafrika hivyo huvutia
@stamilyzombe4423
@stamilyzombe4423 3 күн бұрын
Nzr kuliko mtoto kautaka
@MaryMaryk-n4z
@MaryMaryk-n4z 3 күн бұрын
Mbwela nilikupenda kuanzia snake boy...kazi nzuri❤
@AliCasa-h4l
@AliCasa-h4l 3 күн бұрын
Hadi laha kaka mbwela kazi mzuri sana ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@JasmineJamal-k6i
@JasmineJamal-k6i 3 күн бұрын
👊♥️🙏 "(MUNGU) akuzdishie kipawa MBWELA wangu ♥️🙏🥰🥰"
@anasisultanialhinai1580
@anasisultanialhinai1580 3 күн бұрын
Khajira boss kazi nzuri sanaaa
@Khajra-r1u
@Khajra-r1u 3 күн бұрын
Asante 🎉🎉
@barakajoackim-xu3hi
@barakajoackim-xu3hi 4 күн бұрын
Yaani unamaliza Moja unatuletea nyingine bigup sana mbwela
@jingamedia1423
@jingamedia1423 4 күн бұрын
Ulimwengu mpya huu kazi nzuri
@Dejavuclassic76
@Dejavuclassic76 3 күн бұрын
@Mbwela is a vibe, 💯💯💯💯💯💯
@nduwimanadiane3609
@nduwimanadiane3609 3 күн бұрын
Kazi nzuri mbwela wangu
@joelHenriquemediMedi
@joelHenriquemediMedi 3 күн бұрын
Good job bro @Mbwela from Mozambique 🇲🇿☑️
@shakwikindolo
@shakwikindolo 3 күн бұрын
hv vitambaa vy zebra mumevipat wap na me navitaka sn
@YasiniMasese
@YasiniMasese 3 күн бұрын
Nakukubali San kak
@damawangoni
@damawangoni 3 күн бұрын
Much love from Kenya Mbwela and your team nauliza tuu who is director of this movie popote ulipo kunywa pepsi baridi movie imechezeka vizuri
@sofiaabdallah8741
@sofiaabdallah8741 3 күн бұрын
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉❤kazi nzuri
@TifaSaid
@TifaSaid 21 сағат бұрын
Bwelaa
@JEURI.Mwinyimkuu
@JEURI.Mwinyimkuu 3 күн бұрын
MAN CHILE KARUKA KZbin BHANA KWENYE BONGE LA MOVIE BHANA😅😅😅😅. Proud sana wanangu, Kaz Kaz mbaka WASEME. Big up Mbwela. Unanisaidia kuvusha wanangu WA KAZI. Congratulations DIZANGE. Kaz nzur, MWANZO mzuri. Mama BINT NGUZO, Mzee wangu Dibwimbwi, Mapoy. en all in all Pamoja sana. Kikubwa BIDII NA DUA ✊✊✊
@MariamPaul-h6r
@MariamPaul-h6r 2 күн бұрын
Kazii nzuriiii jamaniii
@AliMunga-c8n
@AliMunga-c8n 4 күн бұрын
Kazi nzuri bro mbwela big up sana
@EmmanuelMutchoma
@EmmanuelMutchoma 4 күн бұрын
Ongera saana bwana mbwela
@Aisha-ld3ol
@Aisha-ld3ol 3 күн бұрын
Mbwela kazi nzuri sana ❤❤❤
@HmkMushi
@HmkMushi 3 күн бұрын
Bro mbwelaaaaaa leta burudani🎉❤
@JacklinebosiboriMomanyi
@JacklinebosiboriMomanyi 4 күн бұрын
Wakwanza Leo kutoka kenya🎉🎉nipitieni guys😢❤
@Stanzooboykenya
@Stanzooboykenya 3 күн бұрын
❤❤❤❤
@HudhaimaYussuf
@HudhaimaYussuf 3 күн бұрын
Kazi mpya yenye muonekano mpya hongera mbwela
@NorahTema
@NorahTema 3 күн бұрын
Ongera kaka angu kazi nzuri, pia da ajira mmmh mungu akupigania 💯💯
@Khajra-r1u
@Khajra-r1u 3 күн бұрын
Asante❤
@jingamedia1423
@jingamedia1423 4 күн бұрын
Mashaallah khaira unajuwa mpaka unabow sin moja ila ❤
@CristinaAidaoAidao
@CristinaAidaoAidao 3 күн бұрын
Nawapenda sana kazi nzuri sana
@FestusJuvinary
@FestusJuvinary 4 күн бұрын
MBWELA kazi zako huwa hazina kigugumizi
@CollinsOdhiambo-x9c
@CollinsOdhiambo-x9c 3 күн бұрын
Ngoma imeanza Kali kweli nakubali na pia kaka ungendeleza na nyimbo ata ka ni ya kiutamatuni
@tausifautini407
@tausifautini407 3 күн бұрын
Kwel kabisa
@MwinyiMkuu-n8w
@MwinyiMkuu-n8w 4 күн бұрын
Hiii Mashineeee kama naiyona Netflix 🎉🎉🔥🔥🔥🔥
@DancanJuma-fn8qu
@DancanJuma-fn8qu 4 күн бұрын
Big up bro Kazi mzuri sana Mimi ni fun wako kutoka Kenya napenda sana Kazi Yako ongeza dakika basi
@StellaNyinga
@StellaNyinga 4 күн бұрын
Next level 💯
@esterkimalio8846
@esterkimalio8846 3 күн бұрын
Mbwela mbwela mbwela,,,,nakuita mara 3,,,,hongera kaka hujawahi kunifelisha kwenye kazi zako,,,,Mungu azidi kukupa kibali cha kazi nzuri zaidi
@MwajumaShaibu-g5v
@MwajumaShaibu-g5v 3 күн бұрын
Kazi nzuri sana nimeipenda ❤
@KassimKhalaid
@KassimKhalaid 4 күн бұрын
wow nilikuwa nasubiri nimuone mrembo kachumbaeri na kishuzi chake cha chinichini
@LewisHamiltonGLD
@LewisHamiltonGLD 3 күн бұрын
Mbwela hii umetisha zaidi nawatakia kila lakheli..mwaka mpya mambo mapya pia congratulations 🎉🎉🎉❤❤
@JamesThebaba
@JamesThebaba 4 күн бұрын
𝐤𝐚𝐳𝐢 𝐳𝐚𝐤𝐨 𝐧𝐚𝐳𝐢𝐤𝐮𝐛𝐚𝐥𝐢 𝐬𝐚𝐧𝐚 𝐦𝐰𝐚𝐦𝐛𝐚
@Khajra-r1u
@Khajra-r1u 4 күн бұрын
Rolah ❤umecheza vuzuri kwanafasi yako
@Adimin254-e6o
@Adimin254-e6o 3 күн бұрын
Hii movie nakubal san I can't to see next episode
@moshikasalenge6174
@moshikasalenge6174 4 күн бұрын
Mbwela na Wanda kwani mnataka kufanya kweli ❤ Alcohol
ROYAL BLOOD { 2 }
20:37
MBWELA MEDIA
Рет қаралды 15 М.
MKOBA WA MAMA Episode [ 26 ] {S2 }  Tradition & Love story
20:05
TANU PLUS+
Рет қаралды 18 М.
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН
ZUMBA | EP 1 |
16:54
ZUMBA VEVO
Рет қаралды 29 М.
BEST FRIEND movie #mwasi #movie #kakoso #love story 💕💕💕
31:37
MWASI KAKOSO OG
Рет қаралды 11 М.
ZEE LA GUBU - episode 01
12:17
NIVA_SUPERMARIYOO
Рет қаралды 6 М.
LIKIZO _ part 02
21:10
ZEBUU FILM
Рет қаралды 369 М.
SHEM KAMA SHEM 😋 FULL MOVIE
42:22
MATUTU MEDIA
Рет қаралды 23 М.
MISSION IMPOSSIBLE [32] SEASON 2
24:02
CHADO MASTA FILMS
Рет қаралды 32 М.
ALBASTINI _ Episode 1
52:10
kp wa Aquino
Рет қаралды 140 М.
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН