Mbosso mwanangu hapa oa huyu Rukia ana mapenzi ya dhati sanaaa na ww, hpa piga cha mtume mwanaaa
@fauziakarama85812 жыл бұрын
Daa maisha hayaa mnaishi na kuzaa bila ndoa na wote waislam sio vizuri.
@ruqiyanasir71412 жыл бұрын
Wewe unasema ni waislam lakini ninavo juwa miye muislam ana fungandowa ndimpo akazaa watoto wahalali uslam ndivo unavosema usiseme Allah ndie alowaeka pamoja Allah hakukwabia uzini
@ilynpayne74912 жыл бұрын
Na nywele zake ziko waz
@maryamconstantine22322 жыл бұрын
Uongo uwo uongo uwo..etii upajuh kwa mbosso..mnhh!!! Uongo uwo bana
Watoto wa kiislamu hiyo vipi unamuhusisha Allah na uzinzi nyoooooo 😞😞😞😞
@therealone42652 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@naplousemukunzi102 жыл бұрын
Mbosso Hana bahati ya wanawake wazuli
@hajjiomary23832 жыл бұрын
😁😁
@fathiyahmuzney73672 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣daah jmn
@yunyun7992 жыл бұрын
😂😂😂
@bakarisakawa69792 жыл бұрын
Nyooo mzizi mkubwa zinaa tuu ndo unayjuwa
@footballtv99882 жыл бұрын
Hizo machunusi Zimegoma Kufichama Pamoja Mekapu
@zananahassan9602 жыл бұрын
Sio chunusi it's like alegi hv 🤣🤣Ila ndo hv
@mimahally80252 жыл бұрын
Nakwel kapaka mekapunyingi
@yousramutwale24632 жыл бұрын
Usiongeye ivo wanaume sio watu wakujiringia ata kidogo
@dynessjames85632 жыл бұрын
Nani alkwambia kazi ya make up kuficha chunusi?
@rehemacabdalla17852 жыл бұрын
Huyu amezeeka kweli nowonder Abudu kiba alimdumb
@KoreanDramaMoviesKiswahili2 жыл бұрын
🔥❤️🔥
@reginamanyangu27512 жыл бұрын
Et sisi ni watt wa kiislam kuish na mwanaume hadi akuoe😂kwaiyo kuzin na kuzaa bila ndoa hilo lipo vp? 🤣🤣🤣
@edithaeugeni9695Ай бұрын
Ushamba mzigo sana
@لناعه2 жыл бұрын
Eti mtoto wa kislamu mbona umeza nae bila ndoa. pale mnajifanya mnajua dini wakati mnazini hovyo
@salminmabrouk54332 жыл бұрын
Uislam ni kunyenyekea mafunzo ya M.mungu sio jina bro
@ruthmichael54172 жыл бұрын
mtoto wa kiislam kichwa kiko waz kama mjusi na mamakeup kama makata dada pole tafuta wakukukenda unalazimisha upuuzi
@hancemsuya35562 жыл бұрын
Unyama sana
@ilynpayne74912 жыл бұрын
Ukiwa na ela kila dem ana kutaka 🤣🤣 FILISIKA uone 🤣🤣
@mwaramimwarami14792 жыл бұрын
That's true
@ceciliajohn63292 жыл бұрын
Wwe n muislam na bado unataka kuzaa nae watoto 10 no arguments no what ndoa hauiwazii ila unawz uzinzi na pesa je angekuw kapuku hana hela ungekuw na jeur hyo ya kuzaa nae watoto kumi nyooo ovyooo😏😏
@winnieindire67082 жыл бұрын
Ma frnd jipange sawa
@zehrahaji15662 жыл бұрын
Je kuzaa uislamu unasema je unazinii mpk unazaa inekaaje
Sio kwa cementi hiyo uliojisiriba lakini mapere bado yaonekana
@fathiyahmuzney73672 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@mozamagaya86182 жыл бұрын
Umezaa halamu
@ruthkasumba77392 жыл бұрын
Shingo na sura ni vitu viwili tofaut😂😂😂but she looks like anajali san👻
@MsununtaJuma5 ай бұрын
Uwakika
@hadijabgapsanauyomamaamiri63812 жыл бұрын
kabaya
@saifamahrez4132 жыл бұрын
Hashuoloo
@janetahmed69482 жыл бұрын
Kujichaua huko hwioo unajisifia kwa mwanaume anazaa hovyo na kila mwanamke badae eti nini ebu toka huko
@estherrobart40702 жыл бұрын
Khaaa!hapajui kwa mzazi mwenzake arafu yeye kila sku anakuja kwako hapo kwanza ngoja nicheke 😂
@zuweinaalhabsya87732 жыл бұрын
Hhhhh yaan anachekesha kweli huyu Dada
@lucynelsonmungure17192 жыл бұрын
Cheka tu mama
@fadhilaally18262 жыл бұрын
Mbon mmezaa bila kuowa
@theresiapastory96372 жыл бұрын
Nyoooo eti emergency huyu dada hajielewi🤣
@cutee34052 жыл бұрын
Make up mbona iko sawa jamani 😍😍
@bellabakera2 жыл бұрын
No way. Kama kapaka tope
@ThisisMubashshir2 жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️❤️
@zuleikhaissa6842 жыл бұрын
Ivo ulivo ndio mtoto wa kiislam polee mama mtoto wa kislam anajistiri mamaangu jistir kwanza.
@jay-nyeye19002 жыл бұрын
Mbona mshamba sasaa
@jamesobedy39402 жыл бұрын
Vyenye amejipaka mvua ikinyesha mtanipa jibu nimekaa pale 😁😁😁
@esthersiresire2 жыл бұрын
😂😂😂😂
@vema_tv2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂 kmmk
@hawyahussein90622 жыл бұрын
😂😂😂
@tatotato5062 жыл бұрын
😄😄😄😄😄😄
@fatumajumanne59612 жыл бұрын
Hakuna alyekamilka hzo dhamb Za kuzin watapona wachache kkubwa ku2bu kwa wakat
@cynthiamaduhu81732 жыл бұрын
Dada alisomaga sangara secondary huyu 😙
@cynthiamaduhu81732 жыл бұрын
Eeh htr mvuti mojaa hiyoo 😅
@muh_tz2 жыл бұрын
Nice
@swalhaabdallah73252 жыл бұрын
Kama ni Muslim kweli pia usingezaa na yeye hadi mngefunga ndoa
@leylasaidy10092 жыл бұрын
Kwel kabisa ache kujicfia eti anahaibu dah ingekuwa kwel asingezaa bila kuolewa wala ckuonei wivu ila kwa hapo umebugi
@nancyg86642 жыл бұрын
@@leylasaidy1009 upo sahihi
@ashminaabdulla89462 жыл бұрын
Mmmh
@mdomar46502 жыл бұрын
Wameendekeza UZINIFU. Mola awaswameh maana kuzaa bila ndoa sio umaarufu. Hao wazazi inakuwaje wanawaruhusu wawe pamoja bila ya ndowa? Ama kweli ulimwengu umetawaliwa na pesa. Hayo yote yamechangiwa na pesa ambazo ndizo wameziona ni kila kitu. Mbele ya Mola watakwenda sema lipi haswa? Bora uhalalishe coz hata huyo mtoto huitwa mtoto wa nje ya ndoa hana nafasi ama fungu kwenye kurithi. Mola awaswameh na wazinduke kwa kuacha kuzini. Mola ndie muelewa zaidi..
@wanaupendotv71832 жыл бұрын
@@mdomar4650 amiina rabi
@guenterernst54812 жыл бұрын
Waulize wamefunga ndoa ya halal au wanaishi tu kiharamu jamani hai fai kuzaa zaa watoto wakiharamu
@omanbahla15112 жыл бұрын
Mtt wa kislm mbona umezalishwa
@feynation37392 жыл бұрын
Binti kapenda asipopendwa maskin binti mzuri mwanaume ndio ovyo 💔 tafuta mwanaume akupende achana na mboso cha wote Eti mwanangu wa thahabu my foot 😏
@samiraabdimahamed44492 жыл бұрын
Yaani wanawake wengine 😳😳aibu tupu, alafu Hilo mboso sioni ambae anae, alafu ukija kwenye Sura linatisha , alafu kuzaa zaa hovyo hata amemshinda mbwa
@edinakyaruzi92262 жыл бұрын
😁😁😁😁😁 nimecheka kiukweli ananichosha hapo tu
@nadrahassan52412 жыл бұрын
Ww unamuombea baraka kwasababu mko vizuri je kwawale walo achana wana muombeaaje !?
@khadijamohamedy44922 жыл бұрын
Umeonaee
@tumainimwakyaka27752 жыл бұрын
Shikamoo urembo
@deboramartin81112 жыл бұрын
Muh chunusi izo loooh meckap yote lakin imedunda
@angelbwija95472 жыл бұрын
To much foundation 😏😏😏😏😏😏 hila wewe ni mpole sana ❤
@jasminehamza5882 жыл бұрын
Unampenda mbosso Ila mwanaume Malaya atar mh siwezi
@hamisiissa86282 жыл бұрын
Hakuna dini hapo asee
@abusahil55272 жыл бұрын
akuoe sasa 😂
@sihamnjagi2 жыл бұрын
msijifanye hamukumuona balqis binti isihaka na queendarlin jamani
@mohamedirasul4182 жыл бұрын
Achausenge
@vanessalaizer43632 жыл бұрын
Khee sasa hupajui home pa baba mtoto wako? Na mtoto wakiislamu ka ulivosema mbona ukazaa kabla ya ndoa? Unamngangania Mbosso ila yeye anakulisha matukio adi unaona rangi zote but unakaza moyo tu! Em kuwa real basi we dada khaa!
@nanaritho68502 жыл бұрын
Mbona una hasira unawajua????
@vanessalaizer43632 жыл бұрын
@@nanaritho6850 yes nawajua nje ndani ndani nje. Kuna tatizo?
@estherminnahboaz69562 жыл бұрын
Njaa dada njaa ataenda wapi ???
@عباسعباس-ش9ه4ت2 жыл бұрын
Wachonganishi nyie
@tiffahdangote75482 жыл бұрын
Kama lipumbavu Fulani iviiiii........eti watoto wa kiislammmm!!!! Kiislammmm kiiislam ya maviiiii! Wakati unamuonesha lipapa lako Hilo uislam uliuweka kwenye pochi?????? Fyuuuuuuuuuuuu! Achen kutaja udini kwenye Mambo yenu ya kipumbavuuuuuu!!! Na mipoda yako Kama nyagoooo
@tatotato5062 жыл бұрын
😄😄😄😄😄😄😄😄😄
@winnieindire67082 жыл бұрын
Be open unatuficha kitu only God knows
@janesiwingwa31422 жыл бұрын
Mmmmmmmh
@jescajames27742 жыл бұрын
Acha uongo mpaka kutobwa umetobwa na kuzaa juu Sasa hapo dini linahusika vp usiende kwake
@felisterchimtunga93862 жыл бұрын
Ukiachana na make up huyu demu anamoyo was upendo sana na anampenda kweli mboso na anaongea kwa hisia sana
@yasmeenaal41912 жыл бұрын
Kama wew ni mtoto wa kislam mbona umezini na mpk kupata mtoto , wew sio mkweli sana unaonekana unamengi unayopitia ila huwezi kusema hapo mmmh ila Pole sana
@lucynelsonmungure17192 жыл бұрын
Mboso unakwama wapi??????? Mziki nakukubali ila kwenye hili angalia pa kwenda aisee
@rithadonatus81102 жыл бұрын
Kwanza ncheke na make up yako alafu dada unamachunusi kibao na makeup yako ya michongo ... Stay natural na unakuwa mzuri tu
Dada ni mwendo wa kuchokonoa masikio tuu, makeup imekoleaaaa,kama majivu..anakuambia lasta lasta...Dada ni Rasta😔 ushamba huu,mbosso anaoa nini hapa
@vema_tv2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@tatotato5062 жыл бұрын
@@vema_tv 😄😄😄😄😄😄
@babyhamisi14372 жыл бұрын
Kitoto kirembo
@ayshahassanjuma75172 жыл бұрын
Mmh
@King_Of_Everything2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️👍
@hashymharun93372 жыл бұрын
Mbovu huyu demu
@aysha15372 жыл бұрын
Hio make up punguza kama unataka kusafisha uso nitafute upate cream mzuri yakungarisha uso wako bila kujichubua
@latifamubba1002 жыл бұрын
mjinga kwer nimechek kwanguv jaman
@mariasixmund79642 жыл бұрын
😁😁😁msaidie jmn
@hmddhmdd11692 жыл бұрын
Sasa mboso anasema yuko single
@sabinaonline65752 жыл бұрын
Fahamu sababu mtot kunywa maji machafu tumboni
@mariamfrancis18142 жыл бұрын
Masikin kamepooza kaliposikia kazaa na mke wa abdu kiba🤔
@mwajumaomar36482 жыл бұрын
Anajishaua nakujiaminisha bwanamwenyewe kicheche
@yunyun7992 жыл бұрын
@@mwajumaomar3648 😂😂😂
@roudhamahmoud7632 жыл бұрын
Mistake mungu kwenye kuzini
@missclementsemizigimisscle74582 жыл бұрын
Unauslam gani jiwigi umezalishwa ovyo unaijua dini wewe nyoko
@bintykigan73092 жыл бұрын
Huyo mtoto hapo mbona nikama Balkis wa Darleen
@abelyadam80382 жыл бұрын
Umejishika usoni makeup imebakia mkononi😂😂😂
@mariasixmund79642 жыл бұрын
😀😀😀unaona sna
@sherin31712 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@nahyialetomia92842 жыл бұрын
Kufa kwenu na hajakuoa?
@vanessalaizer43632 жыл бұрын
Nimeingia kuangalia iyo make up mnaoisema wadau! Hata mie nimeona, hii ni make au chupping? Nataka nijue coz kuna nyumba najenga labda naezapata chupping ya bei poa kutoka kwa da Rucky🧐
@tiffah27672 жыл бұрын
😂😂😂
@wadantas3862 жыл бұрын
🤣🤣🤣 una vituko khaaa
@zaitunirashidi55322 жыл бұрын
Ni tighting sio chupping🤣🤣🤣🤣
@vanessalaizer43632 жыл бұрын
@@zaitunirashidi5532 tighting ndio inakaaje?🤣🤣
@thebosslady90012 жыл бұрын
Mboso bonge la Malaya jmn
@omarmahewa9282 жыл бұрын
Kwahiyo unataka kuniambia huo huislam inaluhusu kuzaa nje ya ndoa?
@janenachalwe81502 жыл бұрын
Njaa mbaya unazaeje na mwanaume hujui kwake anapoishi? Mchaga mie huo ni utopolo bi dada yupo hapo ki maslai tuu
@rehemadearing33802 жыл бұрын
Huyu dada kuna machungu anayopitia hataki tu kuharibu mboga.
@ilynpayne74912 жыл бұрын
Duh kumbe 🤣🤣
@عباسعباس-ش9ه4ت2 жыл бұрын
Masikin
@farhatomar74952 жыл бұрын
Kadada kazuri hiki
@husseinomary23972 жыл бұрын
Nyambafu
@ijsound51492 жыл бұрын
dada kapigwa make up sasa hatumjui mtu halisi ndo yupi
@najuf80212 жыл бұрын
🤣🤣😅😅watoto kumi
@janethjonas17002 жыл бұрын
Yukoje????
@Boaz222 жыл бұрын
Dada ana chunusi mpaka makeup imekataaa,mbosso atakuoaje kwa mfano,we endelea kuzaa tuu,sio kwa machunusi hayo sugu😔
@beatricekadzo52152 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@lucynelsonmungure17192 жыл бұрын
Ajipake wix tu uenda mboso akamfikiria😂😂😂😂😂
@theresiapastory96372 жыл бұрын
Mbona mbosoooo 🤣🤣🤣🤣
@maryamsuleiman73032 жыл бұрын
😂😂😂
@thuwebahemed61112 жыл бұрын
Sasa kama mtoto waki Islamu naku zini pia muna zini mi mbona siwa elewi nyie
@rayanaabdallah65802 жыл бұрын
Hiyo si makeup ni zege, michunusi bado pia yaonekana teleeeee afu una rangi ngapi sijui...
@florencesalha51692 жыл бұрын
Dhuu nafikiria hivi hi sura ikiwa bila mak up itakuwaje maana naweza Ku kufuru
@annethsongwe60632 жыл бұрын
Ni mzuri Sana bila makeup
@winfridangoloke19162 жыл бұрын
Afu uyu dada ni kama anaumwa goiter ajaribu kwenda hospital achunguzwe
@happymwanyelele85762 жыл бұрын
Dalili zpi umeziona??
@winfridangoloke19162 жыл бұрын
@@happymwanyelele8576 tha way sauti inatoka ni kama ako na shida